It's 2024 now but I can't stop listening to this song 🇰🇪
@PeterJumanne-d6b11 ай бұрын
Wimbo naukubali sana asee umeimbwa kwahisia kali sana by bomani hapa Bk
@fadhilnamala57976 ай бұрын
Nyoosha kidole kama bado unaisikiliza mpaka mwaka 2024
@tadeotv4853 Жыл бұрын
Mnaoangalia 2024 gonga like zenu hapa
@YusuphKapita3 ай бұрын
Tupo pamoja
@PeterJumanne-d6bАй бұрын
Kama unacheki hii ngoma 2025 gonga like
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Dah hii nyimbo inanikumbusha mbali sana dah! Enzi hizo nipo home now napambana na maisha nchi za watu!! Kaz nzuri bro🔥🔥🔥
@bacryk387410 ай бұрын
Vitu moto moto mpka Sahi 2024,,,very educative songs ,,,I like it
@matridamalahya94752 жыл бұрын
Mnaoangalia huu wimbo mpaka 2022 gonga likes twende sawa
@fettsamri3835 Жыл бұрын
2023
@fettsamri3835 Жыл бұрын
Naupenda
@LowasaKivoi-pq7th Жыл бұрын
Am here all the way from LUSAKA ZAMBIA
@bahatisanga8664 Жыл бұрын
Me 2023
@mussasaidi16087 ай бұрын
Mm mpaka ss hv naurudia
@hidayaharoub Жыл бұрын
Niliitafuta sana na Leo nimeipataa ♥️♥️♥️
@abdulmacassardully3376 Жыл бұрын
Hii nyimbo imenikumbusha mbal enzi izo likizo nae da nyumba lkn skuiz duh😢❤ from mozambique🇲🇿
@josephinekwaselema55664 жыл бұрын
Tunao Angalia huu wimbo 2020 tupo wangapi
@isaisa91444 жыл бұрын
Tupo ndugu
@yusufkatana24263 жыл бұрын
Tupo✌️
@zubedamohamedi7532 жыл бұрын
Mm hapa 2023
@simonjackson4722 Жыл бұрын
Yupo
@Fatuma-z5n Жыл бұрын
Diamond karoga wenzie, huyu jamaa anajuwa kuimba🎉
@HemedyIddas2 ай бұрын
😂😂😂😅kwel kk
@KisesaMahenge Жыл бұрын
Dah huuwimbo huwaunanigusa xanna
@poulmbogo1770 Жыл бұрын
Naipend hii ngoma sijawai acha kuiona leo naisikiliz nikiwa india 20/10/2023 mungu akupe maisha marefu huko uliko moja ya ngoma ambayo naipend maisha yangu yote
@mussasaidi16087 ай бұрын
Na mm nausikiliza nipo India 28/6/24 saa 13:51
@realheartomary29723 жыл бұрын
Mziki una ujumbe mzito saaana tujifunze tujilinde na tujikinge,respect bro
@yahyabakary41274 жыл бұрын
Huu music umefunza sana sio kila mwenye ukimwi ameupata kwa zinaa
@GladyMussa-mh6vf Жыл бұрын
Naipenda hiii ngoma kipindi hicho nipo darasa la pili asaiv nipo Canada kimasom
@poulmbogo1770Ай бұрын
Unatoka katika family duni ya kifukara unapigania kukomboa familia yako mikono macho yao yote yaoo kwako wadogo mama dada na baba lakini kuna watu wapo kukwamisha ndoto zako wanafurahi kuona haufanikiwi hautoi familia yako kweny janga la umasikin vijana tusikate tamaa pigania ndoto zako pigana kwa kila haki hii ngoma kila mwaka lazima nije kuiona tukiwa tunaingia mwaka 2025 kwa jina mwenyez mungu wote mvuke salama x-mas🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mbwankilobwa794111 ай бұрын
Most educative song ever ❤❤❤❤❤
@pablosaimable696910 ай бұрын
2024 on the top
@DurahRich3 жыл бұрын
Hii ngoma nilikua naipenda kipindi hicho D jaro anaipromote sana TBC fm radha za Africa Mashariki daah leo niko hapa 2021
@ronaldmwakichuchu58722 жыл бұрын
D Jaro arungu huo wakati Nko hapa 2022
@honestmwacha5208 Жыл бұрын
Unanikumbusha mbali ulikuwa ukimsikiliza dj arungu unafikiri akuna kufa😂
@mossendoghwe3179 ай бұрын
Hatar sana!
@martiasisifuni Жыл бұрын
2024, one of my best song after FEROOZ, starehe
@rays_one1 Жыл бұрын
2023 still feeling this song
@muhammadomar1787 Жыл бұрын
One of the bongo best of all time.this song is so underrated and the fact iko so amazing than all bongo music combined,mashairi na mdundo vinaendana sambamba.kwa bahati mbaya wasanii kama hawa hawapawi kipaumbele lakini mtu akiimba utumbo ndio anapendwa na kusapotiwa.have been repeating this song na hakuna siku niliuchoka kuusikiliza
@keydeemasinga69869 ай бұрын
2024 naucheki sana,ngoma haichuji🔥🔥🔥🔥🔥
@bonifacdrahim5429 Жыл бұрын
Boniface Rahim from Kenya..I still feel the song till to-date (27th October 2023)
@muhammadomar17873 жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo.sijui huyu msanii alipotelea wapi He's great this was dope and still dope
@salminisaleh9249 Жыл бұрын
Ni Mwalimu Huyu Jamaa
@ezekieliamani12523 жыл бұрын
hii ngoma irudiwe itengenezwe upy ngoma kali sana
@mjukuuwamfalmetz3367 Жыл бұрын
Duuuh long story very painful
@KhaseebRusaganyaАй бұрын
Binafsi hadi sasa nipo nauangalia❤❤❤❤❤❤❤
@mrsix44053 жыл бұрын
Faddy hi ngoma salute sana toka kitambo sana naikubali that is expireless
@furahalewa47839 ай бұрын
Sidhani kama kuna wasanii wenye watashinda hawa legend ❤❤
@manyotamanyota54054 жыл бұрын
Yaani hii ngoma naijua kitambo nilikuwa naitafuta sana mno
@RAPHAELKALOLO6 ай бұрын
Dah mwaka huu wa 2024 bado hachuji unanikumbushaga mbali hengera fad
@mputamputaa5347 Жыл бұрын
Naishi nayo mpaka leooo coz saiz mnaga nyimbo
@greykafnar48272 жыл бұрын
The song with a message... 2022 loading.. More love from Kenya🇰🇪🇰🇪
@KpumpN20pump Жыл бұрын
Ni maisha halisi ,,God bless you,never giver up,
@KpumpN20pump Жыл бұрын
God is able, yes we can YUNUS from Kilimanjaro
@greykafnar4827 Жыл бұрын
@@KpumpN20pump thank you so much
@slemansleyum1251 Жыл бұрын
Ilikua napend sana ii nyimb kipindo Niko shule darasa la 6 2013 mpak naskia saii 2023
@suleimanhafidh63202 жыл бұрын
Daaaaah inanikumbusha mbali sana nakumbuka toka namiliki simu inaitwa six 208 kitambo sana
@FatinaKamote10 күн бұрын
Duh! Kitambo Sana KAZI nzuri asee
@jamesimakindi4534 жыл бұрын
Mambo si ndo haya sio mama amina ee kuma nina
@djluchmops35683 жыл бұрын
😂
@Ram_1893 Жыл бұрын
Dah 😂😂😂
@HamadAbdul-mw3jm2 ай бұрын
Huu wimbo haunichoshi yaani tangu hadi leo bado nausikiliza na naupenda sana,maana ni wimbo ambao uliimbwa kwa hisia kali sana ambapo wasanii wote wa hapa africa wafaa kuiga,ni wimbo ambao uko na mafunzo sana,hongera sana kakaa Faddy Dady kwa kutunga na kuimba wimbo mzuri kama huu.
@joshuadastan78404 ай бұрын
2024 gonga like wanagu ngoma kitambo lakin idea on fire sana
@justinlichard92892 жыл бұрын
Dar hakika binadamu tunakuwepo ila tunapotea tena inanikumbusha mbali sana kwenye harakati zangu za maisha 2010 niko geita nilisota xna
@KhalidiMtawanya-l1k2 ай бұрын
Duuhh aisee hi Ngoma we acha tu, na kama kwenye masaloon yakunyoa mungu tu mwenyewe atunusuru
@derrahnanah77814 жыл бұрын
the best song ever ,,, no expiring date 2021 in style
@greykafnar48272 жыл бұрын
Derrah Nanah
@greykafnar48272 жыл бұрын
hi
@eliusmasha50652 жыл бұрын
This song has no expiry date surely
@JacksonLulange-zy4xt2 ай бұрын
Dah ngoma inanilizaga mashahili noma noma dah
@husseingabo54972 жыл бұрын
Hii Ngoma inanikumbusha mbali sana
@nenojr4273 жыл бұрын
When music was music. 2022 Still enjoying this song
@G-meJames3 ай бұрын
Enzi za edu-tainment. Ngoma zilizokuwa na elimu na hisia kali. Nipo hapa 2024 kujikumbushia
@poulmbogo17702 жыл бұрын
Moja ya hit song sijawai kuzisahau 2022 December nimeiona tena asante fad dady mungu akupe maisha marefu
@handenitakuru66962 жыл бұрын
Daaaaàh 😳😳😭😭😭😭imenitoa machozi hii nyimbo imenikumbusha mbali sana kipindi hicho nasoma Kwamsisi secondary School, Handeni Tanga
@handenitakuru66962 жыл бұрын
2008 Leo ni 2022
@benymwakilasa56212 жыл бұрын
Fady upo wap kwani wewe ndg Yang me nakukubl blood Tung nyimbo me npo ntalipa why naipenda nymb mpka naliaaaaaaaaa meeeee
@muhammadomar1787 Жыл бұрын
Huu wimbo wafaa kua national anthem kwa watoto wa hii era,hawaogopi ukimwi wanauchukulia kama malaria
@KelvineJeremia Жыл бұрын
Nice song ❤❤❤❤❤❤ huwezi kupata vitu km hivi kwa sasa
@ronaldmaseje81143 жыл бұрын
Daaah nimekumbuka mbali sana, miaka hiyo huu wimbi ilikuwa kusema. Achana na kina Tetema...
@djluchmops35683 жыл бұрын
Yaaah mzee
@shantelshantel96694 жыл бұрын
We really need to be careful in everything such aheart touching song
@jumakwenya60883 жыл бұрын
nyimbo nzuli sana ujumbe mzuli unaelimisha sana kazi ipo vizuli
@trueboy2544 жыл бұрын
That's was the most educative song after ferooz
@alphamchele6722 жыл бұрын
Dijaro Alungu alikuwa anaupiga sana TBC fm enzi izo aisee
@Moneyteam2543 жыл бұрын
2022 still masterclass 🔥🔥
@michaelngua16914 жыл бұрын
Amazing Sana 🇰🇪🇰🇪
@DaudijofreyMsipi-cq4hw Жыл бұрын
Nakumbuka mbili san
@maryamsaid9912 жыл бұрын
💖💖💖💖 I really like this song
@shabaaniramadhani28833 жыл бұрын
Ujumbee mzurii kwajamii
@PeterJumanne-d6b11 ай бұрын
Gonga like kama unakubali hii song ya faddy
@fasamifaudy60582 жыл бұрын
2023 still enjoy
@jaysmart32774 ай бұрын
Wale wana watch hii song 2024 gonga like tujuane bana
@ibrahimobedi4498 Жыл бұрын
2023 Mko wap
@HamadAbdul-mw3jm2 ай бұрын
Huu wimbo haunichoshi yaani tangu utoke hadi ni leo bado huwa napenda sana kuusikiliza.
@joshuadastan78404 ай бұрын
Zaman watu ndo walikua wanaimba sio saiz kila siku mambo ya kizembe zembe watu zaman walikua na ma idea sana an
@marthawanjiru49114 жыл бұрын
Wow,wow finally video original nimeitafuta sana asante
@djluchmops35684 жыл бұрын
Kweli mtandaon kote hakuna ila kwangu utaipata
@sityomari87404 жыл бұрын
Kabisa hii ndio yenyewe
@omarkadi58022 жыл бұрын
Ndio mziki uuu!!! Cio kina platnumz ambao hwjui kuimbaa
@RAMADHANMOHAMEDMBESHIАй бұрын
Daah ujumbe mzuri mwimbaji kapotelea wapi
@AllyMusa-kn3ck8 ай бұрын
Ngoma kali sana❤🎉
@barakawilliam76324 жыл бұрын
mzee baba,tutafutie na kichupa cha mapenzi kitu gani cha mb dogg chonde chonde
@djluchmops35684 жыл бұрын
kichupa gani hicho mzee
@barakawilliam76324 жыл бұрын
Video ya Mb Dogg,inayoitwa mapenzi ni kitu gani utuwekee
@ahmadsinakichwa50533 жыл бұрын
Big up sana blaza
@eliasmbise43282 жыл бұрын
Dah kitambo sana 🤓🤓🤓
@tegopics3 ай бұрын
always mziki mzur unaishi
@thomassonoko99653 жыл бұрын
2021 Bado haijapata upinzani
@IsaacOnjwayo3 ай бұрын
Wale 2024 November mko wapi let's show some ❤❤❤❤
@bensonthobias6765 Жыл бұрын
Its 2023❤❤ ngoma bado kali maskioni
@AdamMbaraka5 ай бұрын
jamaa aliimba sana huu wimbo
@kgchippy Жыл бұрын
2023 bado nipo apa wapi likes na subscribers kwangu 🔥
@UzalendoNaUtu Жыл бұрын
Nimeutafuta huu wimbo kwa miaka karibu 6, leo ndo nimeupata daah. Sjui huyu jamaa yuko wapi?
@karengatwiri17142 жыл бұрын
I still love this song so much 😍
@jafarikitokito39872 жыл бұрын
Dah. Ngoma inanikumbusha primary school.
@jamesmathias-b5q Жыл бұрын
ngoma kalisana
@alexlwiwa6862 Жыл бұрын
Had 2024,tunaendlea nao
@athumanali77872 жыл бұрын
What gonna do by fadi daddy hiii nyimbo nmetafuta sana sion
@mwikafrancis2674 жыл бұрын
I really love this song...2021 still watching,,,let us be careful guys..i really seach 4 this song everytym
@dingiiman8654 Жыл бұрын
2023 gonga like
@brightonhamara6745 ай бұрын
2024 kama bdo unaangilia like chapu basi
@DanielKihoza-x8i5 ай бұрын
Wimbo mkali sanaaa
@novatnovatus88723 жыл бұрын
Uliwaza Sana mzee
@TangaMashewa-qe8kk5 ай бұрын
iahileini na nne hapa 2024
@nickyjuma55833 ай бұрын
14 years down the line and am still loving this song, it was a good composition
@happymwampiki6463 жыл бұрын
The best of all time 2021 april Watching till today onward