Allah akupe umri mrefu She uzidi kutuelimisha Shehe......
@mahsinmbarak7191 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين عدد خلقه ورضا نفسه وزنه عرشه ومداد كلماته
@HusnaMwera-wc1xc Жыл бұрын
Mashaallah napenda sana mawaidha yako Allah akuzidishie baraka nyingi sana
@fadhakkirchannel Жыл бұрын
Ameen shukran
@afidhumpangani6 ай бұрын
Nampenda sana uyu sheikh
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akuhifadhi
@asnaaali3264 Жыл бұрын
ALLAH awahifadhi masheikh nyote mnaohudumia dini ya ALLAH
@abdullahiiddi4109 Жыл бұрын
Allah Hu maswali alaamuhad wa alaa alihi Muhammad.
@fatmahassan47902 жыл бұрын
ALLAHUMMA SWALI WA SALIM WA BARIK ALAYH. MASHA ALLAH TABARAKALLAH SHUKRAN KWA UKUMBUSHO. ALLAH HAFIDH
@ummukamillah Жыл бұрын
اللهم صل على محمد صلاتا دائما
@KarimHusseinGau3 ай бұрын
Masha'Allaah.M, Mungu akuhifadhi Shekhe wangu,❤
@HusnaIbrahim-k7i Жыл бұрын
Allah awajaze kheri wote wanaotulingania kwenye heri
@NassoroMwamtuyaАй бұрын
Allah akuzidishie mazuri Inshaallah
@ashashaban6484 Жыл бұрын
ALLAH AWALIPE KILA LA KHER INSHALLAH
@HaithamTwahir3 ай бұрын
Shukran ustadh Allah akulipe na ss atujaalie wenye kusikiza na kutenda
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair
@habibaramadhani-xv2ed2 ай бұрын
Shukrani Shukrani Jazira.
@habibaramadhani-xv2ed2 ай бұрын
SA.W S . A .W S . A .W S. A W❤❤❤
@husseinkazungu51012 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh
@nusratbintabdullah57134 ай бұрын
Maa shaa Allah shukran sheikh
@IssackMaalim-y7x8 ай бұрын
Mashallah Leo wengine wamejua hakuna kitu huitwa maouldi
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Kwani maulidi ni nini? Kwa dhana za watu wengi wanavyodhani maulidi ni kukusanyika na kupiga matari na kula wali tu, hiyo siyo tafsiri sahihi, maulid ni siku ya kuzaliwa kwa Mtume (S) na maana yake halisi kimatendo ni historia ya mazazi Mtume (S), ila kwa bahati mbaya baadhi ya wanaokusanyika ktk vikao vya kufanya sherehe za mazazi hayo yani maulid wamekuwa wakifanya mambo ambayo yanayoenda kinyume na maulid yenyewe yani wanaenda kinyume na sira au historia ya kuzaliwa kwa Mtume (S), wanapiga matari kama vibao kata au madensi huku mabarobaro wakinengua kama mabinti au kaumu Lutwi hakika huu ni ufasiki wa hali ya juu. Kwa matendo haya ndiyo yanayopelekea wasiojua maana ya maulid wakihukumu jumla jumla kuwa maulid ni haramu jambo ambalo siyo sahihi kwani ukisema ni haramu bila ya kujua unachokiharamisha ni nini katika maulidi hayo maana yake umesema kuzaliwa kwa Mtume (S) ni haramu tafsiri ambayo inayotuweka ktk makosa makubwa yani tunaharamisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S).
@ZalhaHaruna4 ай бұрын
Mashaallwa allwa atufanyie wepes tumswalie mtume kila muda