Fahyma I love you very much and I love your personality and I love your interview and I love your family. And your friendship with Tanasha is precious👏👏👏🍦🍦🍦
@winniemagoma49505 жыл бұрын
I love the way she answers the questions
@nadiamakala74075 жыл бұрын
Napenda unavyomuheshimu mpenz wako... mungu awape furaha ya milele
@joycemutheu85903 жыл бұрын
Rayvanny should just watch this interviews and see how much love and respect Fayhma anampa, mi naomba mrudiane .🙏🙏
@officiallyneytzooboazi69985 жыл бұрын
Faymah ur look beautiful ukiwa natural😘 kulik kujijaz mimakeup bna
@munalook44775 жыл бұрын
Upendo ni umoja baby girl so cute .
@mulhatjamal66785 жыл бұрын
Fahma roho ako safi ndo maana ukampenda na kumkubali tTanasha mungu akuzidishie
@leylaelmi89845 жыл бұрын
Safi nimekupenda,umemjibu sawa.
@FabianoJumanee5 ай бұрын
NAPENDA SANA UNAVYOJIHESHIMU DADA FAHYVANNY
@ashanalinga87195 жыл бұрын
Fahma naheshima Sana inaonyesha jinsi gani unamueshimu mpenzi wako
@lucy69405 жыл бұрын
So humble, honest and beautiful. I like the way you are referring to Ray as your husband you must be real soul mates and whoever is hating on you for that it's just jealousy....so haters please instead of hating go look for your own and let this beautiful couple be. She's allowed to call him whatever she wants after all Ray is the only one who should complain if he doesn't like it but he isn't.
@topistarnelima67975 жыл бұрын
Hii ni interview ya kitambo before breakup I think people are hating on her because she broke up with rayvanny,people should stay out of others business.
@lucy69405 жыл бұрын
@@topistarnelima6797 It's a pity they broke up, hopefully they'll come to their senses and get back together soon 🤞🤞
@carolinekangai48872 жыл бұрын
@@lucy6940 finally they are together again ,, I love this 🥰🥰
@lucy69402 жыл бұрын
@@carolinekangai4887 For real? When did it happen, that's awesome 🔥
@carolinekangai48872 жыл бұрын
@@lucy6940 from the eve of their son's birthday ~~> Jayden Chui junior🔥🥰🥰
@munalook44775 жыл бұрын
This girl she is very beautiful .na yote kumi ww unaudhaibu ya kuwa na mume wako.congraculation
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Nice 👍 🙏🙏🙏🙏😎😎😎😎💛💛💛💛💛🌹
@assumptapeter95535 жыл бұрын
Your so cute fayma I love you😘
@farihiamass87395 жыл бұрын
Nashukuru Mungu sikupendagi fyuuuuuu
@irenemjema38955 жыл бұрын
Farihia Mass hahahahahahahaha
@catherinefortunatus88775 жыл бұрын
Mtu wamezaa wote mlitaka amuite nan baba ake au ndo kashakuwa mume wake ndoa ni mipango ya Mungu kama wao wanaishi happylife its ok kwao.
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Mm najuwa ni mzazi mwenzake au?
@salomewandya72573 жыл бұрын
Duh jmn hii dunia inaenda kasi sana,pole sana Fayma
@sylviemutwale95275 жыл бұрын
Mh nakupenda faima
@sophiabot9462 жыл бұрын
You are so cute
@wacundirangu16615 жыл бұрын
Staring at her hair....
@hawaasaidi22465 жыл бұрын
mungu akutoe uliko coz mtoto wakislam mazigiraa unayo ishii siyo dunia twapitaa kuna kesho tutajitatea vp.
@zabibunduwimana46125 жыл бұрын
Mume wang😂😂mwambiye mufunge ndoa
@aishaaisha29575 жыл бұрын
💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@Swgamegan5 жыл бұрын
Nice picture my. 😘😘my sister
@marymusa35795 жыл бұрын
😘😘😘😍😍
@leanahbusanga1175 жыл бұрын
😘😘😘😘
@jenifajafari76705 жыл бұрын
Mme wangu 😁🙈umefungua Lin ndoa jamani 😎
@keyakeya89115 жыл бұрын
Hawa wameshafunga ndoa tayari kama hamujui tuu sherehe tuu ndo bado
@sylviemutwale95275 жыл бұрын
Mtiani kweli kweli
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Watuu wanatesekaa kusemaa mume wngu jmn sina mbavuu mm 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@subiradalabu66165 жыл бұрын
asinath asinath 🙊🙊🙊🙊🙊
@fambrown4905 жыл бұрын
wanaskia raha labda maana hicho kitu mume ni hatua kubwa huwezi kuita hivyo hujaolewa au kuoa
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Mtihani ndomana tunapata misukosuko yakidunia kila kukicha
@pamelaakinyi26525 жыл бұрын
Mmewangu na hamjafunga ndoa, na wengine wanangoja tanasha avishwe pete kuviswa pete kuolewa
@tinambaga89575 жыл бұрын
Pamela Akinyi mkikaa miezi mitatu kiserikali ni mume na mke
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Bila serikali kuwatambuwa? kwasababu awa serikalini hawaandikwi hata kwenye dini hawaandikwi sasa inakuwaje?
@birdofpry38975 жыл бұрын
Mume kwa ndoa ipi jamani... wabongo tumezidi kukuza mambo... yaan hatujui kutofautisha mume na mwanaume looh!?!?
@a.8565 жыл бұрын
Umeonaeee wanakwaza😡😡😡
@angelpella4375 жыл бұрын
Nmesikia kama wanatu adimaya
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Na ndomana wanazidi kuwachezea wenye tabia km yake
@zayanazayana53535 жыл бұрын
Mume mume mume hamjui maana ya mume
@rizikihamisi89545 жыл бұрын
Zayana Zayana hhhh
@fatmahassan64975 жыл бұрын
Mwenye mume asemeje
@rizikihamisi89545 жыл бұрын
F HASSAN hhhh
@giftgodson56035 жыл бұрын
😁😁
@maryamm77655 жыл бұрын
Majanga kweli
@leahkparsino4815 жыл бұрын
hiv jaman mnataka amtaje je? mtu umezaa nae sasa utamwita vp, acheni wivu bhana ni mume wake tena ni vizur ujitabilie kitu unachokipemda so anajitabilia ray aje kuwa mume wake
Ko km huchkui hzo deals hzo pcha zina faida gn au znakuingzia nn
@khadijajuma38875 жыл бұрын
Mume Wangu😁😁
@wacundirangu16615 жыл бұрын
Si mmwacheni woiye lol
@mwanaidmgwigwi96725 жыл бұрын
🤔🤔🤔mume wangu...???????!!!???
@happynessmichael45075 жыл бұрын
Jmn eb muachen dada wa watu kwn akimuita mme nyie Minawakuna nn umbea tuu
@mwanaidmgwigwi96725 жыл бұрын
@@happynessmichael4507 mume anakua wa ndoa 😂😂 mbona inakua km hujui maana ya ilo neno
@joycewignasjoseph10445 жыл бұрын
Hhhhhh wabongo mnamambo nyinyi ina maana kila anayeishi kwenye mji wake kafunga ndoa...hv wazazi wakishalidhilia na taratibu zote zikafatwa kuna tatzo kuwa mume wake achen wivu wabongo wengi wenu hamna ndoa mko kwenye familia mna watoto zaid ya sita kwaiyo mnaitanaje????
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Joyce Wignas Joseph usisapoti upuuzi kila siku ukweli unauma na dunia ya leo watu wanatafta maslahi tunasahau kesho kwa Mungu tutasema nn? Hakuna wakumuskilia wivu wala nn kwani kuna wenye analisha ao anaendesha maisha yao? ukweli usemwe na unaumagaaa uyooooo😂😂😂😂😂😂😂
@mariamsaid23775 жыл бұрын
Fahyma mstarabu sana
@dasaky27315 жыл бұрын
Ila thamani ya ndoa mnaishusha siku hizi...............mume wako vipi tena,
@tinambaga89575 жыл бұрын
da saky haishuki ukikaa na Mume au mke miezi mitatu kiserekali nyie ni mume na mke
@fambrown4905 жыл бұрын
kwa kweli
@hawaynatimam9824 жыл бұрын
@@tinambaga8957 sheria ya mungu ndo muhimu Zaid kuliko iyo mnayosema nyie
@priscambilo5 жыл бұрын
Wale mnasema Oooh mume Ooh nini, hizo harusi kitambo hazikua my parents aren't legally married but they've been together for over 40 years so they're husband and wife, just incase haiko Tanzania Lakini Kenya ikiishi na mwanamke for over 2 years she has the right to claim to be the wife legally
@rebbyfrancis28085 жыл бұрын
Wifi karibu nyumbaniiiii
@anastaziaquenberth94435 жыл бұрын
Nilikuwa ckufatilii ila now umenicomvince na nimekupenda bure
@yassinponera42715 жыл бұрын
nice
@estermagambo69295 жыл бұрын
upo vizur
@kavurhamushi74912 жыл бұрын
Huyu dada hajiamini, hujitiyatiya kwa Rivany.
@emmanuelmville4475 жыл бұрын
😹😹😹😹😹gold digger tu huyo hana lolote.........Ndo maana kaachwa😹😹🏃🏃🏃🏃🏃
@fatmanahay99805 жыл бұрын
Dada sauti yako unaongea km Dada yangu
@vennyrichard67003 жыл бұрын
🤣 saiv account kapew paul 😂
@a.8565 жыл бұрын
Mumewangu.....😡nalo neno🤔
@jenifermahenge33045 жыл бұрын
Fahyma upo sahihi 2 call rayvany mume
@uwellenitallent50015 жыл бұрын
Rayvan kaokoa
@wardadanda63225 жыл бұрын
starehe yangu kubwa mume wangu haaaaaaaa
@tonnadimples40395 жыл бұрын
Lol
@WentExtinct5 жыл бұрын
Tanga wachawi aiseeeee
@neemayatosha16185 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fatmanahay99805 жыл бұрын
😂😂
@halimatanzani85875 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@charlenesolomon2665 жыл бұрын
Lol
@asinatkarimu96715 жыл бұрын
Isihaq Shaban haha wewe
@medysaid27045 жыл бұрын
ANACHOKOSEA ANAONA KAPATA SANA AMEJISAHAU MPKA ANAITA MUMEWE KWASHANGWE UYU AKIACHWA ATALIA SANA SHENZ UYO SIO MUMEO MWAMBIE AKUOWE PUMBAV PESA ZIMEKUZUZUA UNAONGEA PUMBA MUNGU MSAMEHE HAJUI ATENDALO
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Kanapenda kuolewa maskini Ray muoe ataje jina mume kuliuhalali napenda sana sababa maisha yake yote kawekeza kwake Ray
@fatmahymaulidy62645 жыл бұрын
Umeolewa kwanii fahym
@morogorodoll3975 жыл бұрын
Yani siku hizi wasichana tunajiozesha wenyewe😂😂😂😂😂
@fatmahymaulidy62645 жыл бұрын
@@morogorodoll397 kwakwelii😃😃😃
@morogorodoll3975 жыл бұрын
Mwanaume ajakuoa unampa cheo kikubwa hivyo mimi siwezi yani @fatmahy maulidy😞😞🏃🏻
@fatmahymaulidy62645 жыл бұрын
@@morogorodoll397 anakandamiza kabisa mume😃
@fatmanahay99805 жыл бұрын
@@morogorodoll397 😂😂😂mm siwezagi kbx naonaga ni ujinga ht nikiitwa mke wang najiulizaga hv huyu ni mjinga au
@a.8565 жыл бұрын
Mumewangu🤔
@rizikihamisi89545 жыл бұрын
Doa&Mum cheefu .mume mume kaolewa lin
@princess-uf5ux5 жыл бұрын
Eti mume uyo bwan wako nimwizi kwa sababu hajakuowa wew 😂😂😂😂😂😂😂😂🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Acha kusem Eti mume wangu na me pia nimume wangu
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Falina Lom 😂😂😂😂😂😂😂
@princess-uf5ux5 жыл бұрын
@@uwingeneyeshadia7697 😂😂😂mume wangu 🤣🤣🤣duuh
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Wenye waume watakimbia mwaka huu😂😂😂😂😂😂😂
@odethakatabalwa16065 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@marywatta71093 жыл бұрын
Unasifa
@Tiffany2-Jr5 жыл бұрын
Sns wacheni ujinga mkianza upuuzi wa kutuletea wapenda sifa mnapoteza mashabiki alafu we mtangazaji cjui unamtaka uyo mbulula aliyejuwa kuoga lotion baada ya reyvvan
@zerohero56405 жыл бұрын
Acha Upumbavu wewe kwahiyo we nae unajiona shabiki wa SNS ungekua shabiki usinge weka comment Pumba kama hii Boya wewe utakufa na wivu shenzi kabisa kama vipi ondoka kabisa Hapa usituletee JOTO fala wewe
@catherineamani88055 жыл бұрын
Wewe huna akili unajiona shabiki alafu hata creez humjui shenzi ondoka wewe wanakuja wengine kumi
@catherineamani88055 жыл бұрын
Natena umkome creez na ukomae kenge wewe eti mtangazaji anamtaka wewe jiangalia mbwa wewe tena mashabiki tupo kimya wa SNS usituletee ujinga umetumwa kuangalia hii interview au jinga wewe
@noelgasto79895 жыл бұрын
Ni wivu tuu
@mariamkizenga16255 жыл бұрын
Kama umeona shanga za fahma alizoweka kwenye rasta zake gonga like hapa
@asifiwepeter1315 жыл бұрын
Unajishaua ww wanaume wenyewe wakibongo tena msanii pole sana
@protamwenyegzaketv74085 жыл бұрын
Good
@furahajonas74253 жыл бұрын
Umewaka
@ayyupoyallo93175 жыл бұрын
Toka nikufahamu sjawai kukuona umependeza bichwa kubwa