FAMILIA YA SHEIKH MWAIPOPO YAZIDII KUSILIMU

  Рет қаралды 3,599

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv #ibnjauztv #islamicuniontv

Пікірлер: 102
@khalidahmed6900
@khalidahmed6900 Жыл бұрын
Maa shaaa Allah, shukran sana Sheykh kwa kuwatoa watu katika kiza na kuwaingiza katika nuru
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Pole sana shekhe mwaipopo kutokwa na mama yetu mungu akupe nguvu
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
To Allah we belong and to him we shall return,,pole sana sheikh wng
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@salehothman6144
@salehothman6144 Жыл бұрын
Mashallah sheikh Mwaipopo,unafanya kazi kubwa sana Mungu akuhifadhi sana
@abasjuma4295
@abasjuma4295 Жыл бұрын
Mashallaah tabarakallaah mwenyezi mungu amuongoze ktk njia iliyo njooka pamoja na sisi pia
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Amiin
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Shekhe asalamaleykum pole sana kaka said mwaipopo Kwa msiba uliyo kukuta wa kufiwa na mama mzazi Na mama
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
Masha Allah, sheikh wng nakupenda sana unafanya kazi kubwa.from Jambian zanzibar
@drnow1528
@drnow1528 Жыл бұрын
Sheikh Mwaipopo wewe ni mfano nzuri kwa wote. Pia nakupa pole kwa msiba uliopita
@firdaus7428
@firdaus7428 Жыл бұрын
Allahu Akbar!
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 Жыл бұрын
Masha allah
@SadiHassan-ob6nv
@SadiHassan-ob6nv Жыл бұрын
Allah akulinde mwaipopo
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Innalilah wainallh rajiun polesana
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 Жыл бұрын
Mama mungu amsamehe
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤
@shabandamas1759
@shabandamas1759 Жыл бұрын
MashaAllah
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Hivi kila anayesilimu lazima mumtangaze,au ni ushamba tu,, Wangapi waislam wanaenda kwenye ukristo lakini huoni upumbavu kama huu
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Hii ni husda na wivu ambai wanao wasiokiwa waislam yaan wanapenda sana kuwaona waislam wakipata shida lakim waislam haWashughiliki kumfanyia mkristo hila ila wao wakristo mida mwingi wanashughulika sana kujaribu kumtafutia muislam matatizo mpaka wanajufa hawana mungu wala kitab wanakufa wakiwa wanafikiria uadui namuislam dunia wanaikosa na mbinguni wanapakosa kote kote hasara. Muislam anafikiria kiswali mara tano na kutoa na kutangaza dini mkristo anafikiria kupiga dili na kumfanyia muislam uadui jadi anakufa uislam una nguvu kubwa na yeye kama alikuwa ana comment ovyo kupiga vita au uadui wa wazi akiwa kiongoz wa siyasa anakufa na tai yake akiwa hana zaidi ya damu za watu dhulma na jasho la watu na kwa mungu hayupo kwayesu hayupo na mali yote hapo nayo mbele ni motona shetan tu anamcheka
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks Жыл бұрын
Mashallah !!Ewe Mwenyezi Mungu ipe nuru familia ya sheikh MWAIPOPO na waislam wote!! Amiin
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Amiin
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Amiin
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
'ALLAHUMMA AMEEN'
@babyzuchu3866
@babyzuchu3866 Жыл бұрын
Mashaallah Allah ubariki hii family tunawapenda Kwa ajiri ya ALLAH
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@babyzuchu3866 amiin
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Жыл бұрын
Masha Allah
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
MashaAllah
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 Жыл бұрын
Takbriiiii Allah waakibar Masha Allah tabaraka Allah ❤karibu sana katika dini ya kweli yenye mafundisho matakatifu aaminy Yaraby 🤲
@yami_hami
@yami_hami Жыл бұрын
MASHALLAH WAJINA WANGU MWENYEZI MUNGU AKUOINGOZE KWENYE NJIA YA KHERI.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
MAASHAA ALLAH! Kazi nzuri sana Sheikh Mwaipopo. Allah akuzidishie kheri
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Mash Allah binti yetu amependeza sana na mavazi yake ya kiislam. Kwa uhakika Uislam ni Nuru, stara, heshima. Karibu ktk Dini yetu ndugu yetu na Mwenyezi Mungu akuongeze Amiin.
@JumaMeamba-px5vc
@JumaMeamba-px5vc Жыл бұрын
Mashallah mashallah nakupenda mwaipopo kwa ajili ya allah
@othmanothman4849
@othmanothman4849 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR @ Mungu aibariki familia yako Sheikh Mwaipopo
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Maashaallah
@drnow1528
@drnow1528 Жыл бұрын
Uislamu pekee ndio njia sahihi
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 Жыл бұрын
Maasha allah
@ashrafbunu2371
@ashrafbunu2371 Жыл бұрын
MashaAllah
@JumaMeamba-px5vc
@JumaMeamba-px5vc Жыл бұрын
Tupo pamoja mkono kwa mkono mpaka peponi
@MustafaSambala
@MustafaSambala Жыл бұрын
Maa shaa allaah
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Mashallah
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Mashallah
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Nakupenda sana binti khadija soma dini
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Жыл бұрын
Maachallah brother mwaipopo mm nipo mozambique
@nahiriali1405
@nahiriali1405 Жыл бұрын
Waooow Ma sha Allah
@aminaamina3972
@aminaamina3972 Жыл бұрын
Allah Akibar
@radhiaaboubakari4619
@radhiaaboubakari4619 Жыл бұрын
Kwanza pole sunaa kwa msba wa mm yako mwenyezi mungu apekaulidhabiti inshallah 😂 alahu akbar 3 hadija mwenyezi mungu amuongoze njia njema inshallah ❤
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Walahy hii ndio maana halisi ya kuumbwa kwako shehe Mwaipopo unamtangaza ALLAH na Mtume wake kwa ikhilaswi kabisa.ALLAH ajaalie daa,wa hii iwe ni asbabu ya kuonana na kipenz chetu Mtume MUHAMMAD Rehma za ALLAH ziwe juu yake.
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
MashaALLAH ❤❤
@alinurharun8468
@alinurharun8468 Жыл бұрын
Masha Allah Mungu awabarikia
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Allah u akbar
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
HONGERA ZAKE BINT ALHAMDULILLAH
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Takbiiiiiir
@allybulula9104
@allybulula9104 Жыл бұрын
Alhamduli llah bi Khadija Allah akuongoze tueote ktk pepo kubwa ya fil dauth amin na mwaipopo Allah akupe uongofu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Kazuri mashaa الله. الله akuongoze my binti.
@halimaramadhani5941
@halimaramadhani5941 Жыл бұрын
Alihamdu lillah mungu awaangazie nuru shehe na familia yake amiin
@napoli1667
@napoli1667 Жыл бұрын
Pole sheeikh wetu Mwaipopo Kwakuondokewa na Mama. husiwe na wasiwasi Allah atamlipa pepo atapata rekhema za Allah kuanzia kabulini mbaka siku ya kiama nawashali waisilaam tusikose kumuombea Duah kila tunaposwali Amin
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Жыл бұрын
MashaAllah Allah akubarik insha'Allah
@KhadijaJuma-ik9ee
@KhadijaJuma-ik9ee Жыл бұрын
Mashallah
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Allahu Akbaru .Miumini bora niyule anaenza kulingania kwenye Familia yako.Allah akulipe malipo mema dunia yako naAkhera yako
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
We ndio unailisha family yako kwa nini wasisilimu wanakula kwa ajili yako
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Kwan shkh mwaipopo alisiliimu juz mpka wasema anawalisha
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw Жыл бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni Pole Sana sheikh Mwaipopo
@hakizimanamariam8566
@hakizimanamariam8566 Жыл бұрын
Pole sana sheikh wetu Allah akupe Subra kwa kuondokewa na mama mzazi pia Allah amjaalie mama etu kauli thabiti uko alipo aje kukutanisha peponi insha'Allah pia ongera sana kwa kumsilimisha binti Allah amjaalie moyo wa kuzidi kumcha Allah sub'hanahu wataala karibu dada kwenye uislamu kwenye dini ya manabii
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 Жыл бұрын
Masha ALLAH shukran sheikh mwaipopo
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuepeshe nakila shari sheikh wngu
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 Жыл бұрын
Innalilai wainnailai rajihuni pole sana mungu atakupa subra
@avityohana6725
@avityohana6725 Жыл бұрын
Unawapeleka motoni hao watu. Bila yesu huwezi kuiona pepo
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw Жыл бұрын
Mnaokwenda Motoni ni nyie mlioukataa Uislamu kwa sababu ya Mtume Muhammad ni mwarabu, na wala sio mzungu. Yesu mwenyewe ni Muislamu, huo ukristo mmeutoa wapi. Hizo ni propaganda za wazungu. Msikilize Mchungaji Mbarikiwa anaelezea kuhusu biblia. kzbin.info/www/bejne/bJmlc2Wdh697rpY
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Pole yako. Mungu akuongoze uione hakki.
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
YOHANA KARIBU KATIKA UISLAM... NA JINA LAKO UTAITWA YAHYA. ...MASHALLAH
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe siku ya mwisho anasubir hukumu kutoka kwa MUNGU wake maana na yeye ni kiumbe kama mimi.Ushawahi kuona muislam kamili akaingia kwenye ukafir?? Na kila siku mnahubir ukristo ni dini lakini cha ajabu wanazidi kuja kwenye dini ya haki.
@shabbymakapane
@shabbymakapane Жыл бұрын
@@aishahazary4097Mashallah
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Mwaipopo ukyala ukubona leka imbombo isyo
@abubakarisinani3234
@abubakarisinani3234 Жыл бұрын
Allah(SW) akujaalie shekh Mwaipopo kila la kheri ktk dunia na akhera
@maryammaryamm9548
@maryammaryamm9548 Жыл бұрын
Takbir AllahuAkbar Takbir AllahuAkbar
@ummohammed8380
@ummohammed8380 Жыл бұрын
Subhana allah Lahaula Wala kuwata ila biallah Allah Akbar Alhamdulillah
@kennedyngusa8890
@kennedyngusa8890 Жыл бұрын
Yesu anaweza kumtoa shuetani
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Mzuri MashaAllah
@umsoud3306
@umsoud3306 Жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الرحمن
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv Жыл бұрын
Allahu mma aamin
@Saida-rb8mx
@Saida-rb8mx Жыл бұрын
AllahuAkbara
@Allymbaruku991-lj1om
@Allymbaruku991-lj1om 11 ай бұрын
Ma Sha Allah
@saumkisira9328
@saumkisira9328 Жыл бұрын
Masha Allah
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
Allahuakbar
@oseamkama6264
@oseamkama6264 Жыл бұрын
Umekubali kupulizwa
@shabandamas1759
@shabandamas1759 Жыл бұрын
Utakuwa mjinga acha hizo
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Yesu pia muislam ww wapi alingia charcoal ya wazungu wakati alingia masjed al aqsa uliza kama hujui kanisa ilejenngwa bada yake
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Na ujue mzungu hana na bee hi
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Pole motoni pamoja na majini na mwaipopo
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 Жыл бұрын
Motoni motoni dini ya majini
MUIMBA KWAYA ASLIM NA KUWALIZA WAISLAM
16:28
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 33 М.
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,7 МЛН
CCM YATABILIWA MIAKA 100 NA VIONGOZI WA DINI
34:56
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 592
DADA ALIEKUWA AKISOMEA USISTA ASILIMU
27:39
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 77 М.
KINA DADA WALIKIMBIA KANISA TANZANIA NA KUJIUNGA NA WAISLAMU
20:20
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 6 М.
Ajali yatokea katika msafara wa Sheikh Othman Michael
14:01
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 13 М.
SHEIKH WA KIGOMA ABATIZWA ATOA MANENO YA UWONGO
29:00
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,3 М.
SHEIKH MWAIPOPO ASLIMISHA WACHUNGAJI WA NGOMBE PORINI
14:23
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 10 М.
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН