“FANYENI MUHOGO KAMA ZAO LA BIASHARA, SIO MKIVUNA HEKA MOJA TU MNAOA MKE WA PILI “ - RC MALIMA

  Рет қаралды 1,994

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka maafisa kilimo wa wilaya zote za mkoa huo kuandaa mkakati wa kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo Chao kutoka kulima kwa mazoezi nankulima kiushindani wa soko.
Malima ameyasema hayo wakati akijitambulisha kwa wataalamu wa wilaya ya Handeni ikiwa Ni siku ya kwanza ya kazi yake mkoani humo tangu kuteuliwa kwake.

Пікірлер: 3
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Mungu akuongoze mkuu wetu
@kabulamhembe1024
@kabulamhembe1024 3 жыл бұрын
Uongozi ni ubunifu sio mabavu,hongera mkuu
@fadhilhaule9618
@fadhilhaule9618 3 жыл бұрын
Safi sana mkuu
President Ruto gobbles Ksh. 500 million in State House renovation
6:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 107 М.
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 461 М.
A 91 Year Old Prime Minister Shares His Best Life Lessons
16:03
Sprouht
Рет қаралды 1,5 МЛН
JE MIHOGO INAVUNWA WAKATI GANI?, JIFUNZE KUHUSU KILIMO CHA MUHOGO...
10:43
Why This Country Was Erased From History
16:50
Johnny Harris
Рет қаралды 1,7 МЛН
Bagus Muljadi: Universitas Bukan Produsen Tenaga Kerja! | Part-8
18:36
Asosiasi Dosen Indonesia
Рет қаралды 23 М.
Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo
2:30
DW Kiswahili
Рет қаралды 157 М.