Рет қаралды 183
Karibu tena katika kipindi chetu pendwa chww Nguvu ya Maarifa kutokeaATAPE ECT. Juma hili tulikuwa na mada inayohusu FARAGHA na usalama katika mitandao ya kijamii hususani Facebook na WhatsApp ambazo hivi karibuni imeendelea kuonyesha hali nyingi za baadhi ya taarifa kuibwa na pengine kuleta maudhui yasioendana na muhusika katika akaunti yake.
#pizzoonlinetv #nguvuyamaarifa #atapeect #atape
#NguvuyaMaarifaSeries