Huyu dem ni Mkali kushinda zuchu.. Management proffesional tu ndio anafaa
@_Soekjnr.4 ай бұрын
Very true she got the potential kabisa ,
@WiselightOfficial4 ай бұрын
Sure ako na talent na saut tamu mnoo mashair yake mazur
@fariathman4 ай бұрын
Im well managed already… be patient
@WiselightOfficial2 ай бұрын
❤ ufike pahali Mungu atakuweka kwa ukubwa binafsi ninakupenda a way from Tanzania@@fariathman
@kariukiwanduati54015 ай бұрын
I just hope that kenyans realize the great potential in Fari.. Lyrics 💯 Vocals🥹💯✅🥰
@TembeaNaBosaya5 ай бұрын
This girl she’s fire 🔥 walai Kama unakubaliana nami finya like comment na 💯
@bonga_namdabonge5 ай бұрын
Piga like kama ushai kuwa kwa hii situation ya kusema semwa
@africanjunior75 ай бұрын
ukifanya live ya hii itakua lit😊
@lorefrancis31434 ай бұрын
kali dada
@lorefrancis31434 ай бұрын
wakisema
@JanetKimanthi-cx8ur4 ай бұрын
Kwanza Mimi aunty's zangu walisema siendi mbali after kuzaa...lakini sai maisha naishi washaanza kusema Niko illuminati 😂😂😂😂mungu ni Nani
@estherkiarie33714 ай бұрын
Walisema sitamlz shule Kaa Sina mtoi,,now Niko majuu no child n watoto wako hawajoelewa nnkila mtu ako n watoi wawili
@ticketmastertips14925 ай бұрын
yaani nyimbo zako dogo zina mafunzo fulani kwa jamii ya kisasa huku umepeana twasira ya familia zetu zinapopigana kwa tabaka mbalimbali ya kimaisha mara huyu ni mlalaheri,mwengine mlalahai,mwengine ni mlalahoi.ubaguzi kwa uko-mara mtoto wa dada ama WA kaka ni amejilaza sana kwenye madawa ya kulevya,amegeuka kuwa kibererenge ama kicheche,yaani picha au sura unaopeanwa kwa mtoto wa mwenzako ni kumficha taji ya ubaya kwa jamii kabisa.alafu baadae mungu akibadili mambo aushini,wao ndiyo WA kwanza kumjia yule WA kitambo alikuwa mbaya,Leo anakuwa mzuri kisa na maana amefanikiwa,,shukrani sana fari umetupa ya ukweli hayo ndiyo maisha tunayoishi vigeugeu tupu rangi zao za kinyonga hazieleweki heri ata kakakuona tumthaminie sana kuliko kinyonga
@LinconKoech-k3e4 ай бұрын
My favorite ❤ kama unapenda songs zake piga like😜♥️ . Sauti nayo wueh 🎉🥳🥳
@irinewayua5 ай бұрын
Wacha tuone kwenye katafika, lakini God ni nani, wamebaki midomo waziiiiii. ❤❤❤❤❤❤
@radyvking5 ай бұрын
I always on this channel waiting for new banger kama unapenda good music nipe like ❤❤
@KennedyKimotho-t2x4 ай бұрын
I dont why am relating na karibu nyimbo zake zote, hii ukipost unaitiwa meeting na familia 😂😂 Tulikotoka ni mbali buana. But mungu akishasema ndio hakuna wa kupinga
@ShikwekweTheWise5 ай бұрын
Nzuri 🔥
@DJBunney2544 ай бұрын
That's my girl
@fariathman4 ай бұрын
@@DJBunney254 Thank u dear
@DJBunney2544 ай бұрын
@@fariathman so much welcome. Tufanyie kompa moja 🥰🥰🥰🥰
@Dancan-20035 ай бұрын
Kama umeisikiza hii more than ten times piga like.
@faikovirginAt245 ай бұрын
Realities💯💯💯kimewaramba
@mulikitonga33245 ай бұрын
🔥🔥
@justinasyokau20204 ай бұрын
congratulation 🎉🎉🎉🎉
@YamaKip2545 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alexernderalexics5 ай бұрын
Tunakupenda sana fari. ❤❤❤
@Officialmirryeve4 ай бұрын
🔥❤️🔥❤️
@shawnclassy54465 ай бұрын
Kazi Zuri keep up
@ALEXGULUNDU-w9n5 ай бұрын
Hatima ya mtu iko mikononi mwa Mungu...kimewaramba
@MoraaMarthaFaith5 ай бұрын
kazi safi Fari,huyu mtoto wa Afrika kweli unatikishaa na nyimbo zako tamu😝😝
@karolsanguraimpalaglass12724 ай бұрын
Honestly I love this song , It should be trending top 10 or no1 East Africa , I keep playing it over and over ...........I love the video to just a great simple video , Fari you have a new fan
@WiselightOfficial4 ай бұрын
Kbisa
@jafethbarasa67783 ай бұрын
Nilikuwa nafikiria huyu msupu ni Wa Tz until nikamuona Obina show..........na nyimbo zake nazipenda
@JKRules95 ай бұрын
Tamu Sana Fari🔥🔥🔥🔥naenjoy
@mwangaam5 ай бұрын
aahhh, our own😍😍😍
@ppcomedyke29185 ай бұрын
Fari Athman🔥🔥🔥🔥🔥
@officialseline96515 ай бұрын
I always love your songs❤ii challenge lazima nifanye
@CaptainTheGreat_5 ай бұрын
Hii nayo narelate
@sirmumo41325 ай бұрын
❤kimewaramba
@Ginger_n_Vanilla5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@josphatibrahim41364 ай бұрын
From Kijana Mdogo, Maandamano, Bila Dooh na kwa sasa Kinawaramba. So much together.
@luciniakarrey5525 ай бұрын
Kaliiii🔥💯
@jaberrabora47575 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@luckykenyacounty0175 ай бұрын
Fari athman ❤❤❤ keep it up mdada,
@MathewGiteri4 ай бұрын
Uyu Dem nampenda tangu day one
@mclosfoumusic5 ай бұрын
Niko hapa kuwakilisha na pia kusupport. Nice tune...❤
@sandyravin2545 ай бұрын
Kama kawa❤❤❤❤
@PlaylistZaKalawa5 ай бұрын
She has the beautiful voice of a goddess and the authenticity that makes one to pray that she changes not
@vixnature4 ай бұрын
Pure talent 🎉🎉
@marysetia31585 ай бұрын
Aaaah Faŕi thanks for making my work easier na hawa ma aunty
@MaureenOyatu4 ай бұрын
Na bila Doo sitaki kuskia umbea bila doo
@shadywaarsenal46984 ай бұрын
Huyu artist atakuja kunichomea tv...the song is 🔥🔥🔥
@amwaijoseph89645 ай бұрын
Waaah Fari u r such a vibe vocals on point ngoma safi safi nakupenda buree keep doing this hii yako nayo hau force
@paulmbai3635 ай бұрын
Sauti ❤️💯
@dazoldaz67363 ай бұрын
Sisi wa milaya for milayas tupatane Kando ya ring light usiku.. kujishika shika kasusi❤
@mrgee2544 ай бұрын
Noma sasa❤❤
@victorodongo72665 ай бұрын
❤🔥❤🔥🔥🔥🔥🔥
@naomyachieng84445 ай бұрын
Sauti yako mamaa❤❤❤❤
@MERCYMUASYA-sx3gp4 ай бұрын
Kimewaramba kimewageukia
@meshackmwendwa72115 ай бұрын
It's high time Kenyans wajue who fari is,,,always🔥🔥....keep going girl
@soundcashykenya5 ай бұрын
Kimewaramba❤❤❤
@stingergenerali2545 ай бұрын
Wow🔥🔥💯
@gativemoniquesrioba8295 ай бұрын
Keep it up gal❤❤❤❤❤
@BayamapenziBaya4 ай бұрын
Nmependa ulivyo vaaa ❤❤❤🎉
@francisjaluu57635 ай бұрын
Nice Fari
@djalexa2545 ай бұрын
nilikujuwa kwa zile cover ulikuwa unatolea kioko kwa video zake since then niligeuka kuwa one of ur biggest fan nakubig up farry lots of love
@linetliam9945 ай бұрын
🔥🔥kimewageukia for sure💯💯💯
@desmondglen60942 ай бұрын
Apa kuna talanta ,,, this international artist, ukiamini you will make it internationally
@djrajtmk5 ай бұрын
This is pure Talent 💯💯✅✅
@diingakol76805 ай бұрын
❤ 🔥
@aliciaflavian4 ай бұрын
😍😍😍
@zedkey2545 ай бұрын
❤❤❤🔥🔥🔥🔥
@bestialjaraf97355 ай бұрын
Kazi kuntu dadangu ❤ keep the stars shinning always utafika mbali
@dangerarts87505 ай бұрын
Unasauti poa... 🎉🎉
@joslynemutali85445 ай бұрын
I love this lady she sings vitu narelate
@rasjoe99485 ай бұрын
Lakini mimi nakuaminia ❤
@Princedavidamusic4 ай бұрын
Lovely from my Siz❤❤❤❤❤
@_iam_kenyancomics5 ай бұрын
Fari ❤
@vincentnyaenya84335 ай бұрын
Kwa Kweli kimewaramba😊
@Itsme-m8u-i1p5 ай бұрын
Love u and the beautiful song
@ShawnLexon5 ай бұрын
Good stuff 👌
@abrahamkilonzo2925 ай бұрын
kalii napenda 🥰
@kingkimmusical48515 ай бұрын
💯💯🔥🔥🔥
@djteknixxkenya51525 ай бұрын
Great sounds
@Zone.Of.Interest5 ай бұрын
Fari 🙈🥰😍♥️🔥
@lorefrancis31434 ай бұрын
Actually she is my celebraty crush, love you Fari🥰😍
@lorefrancis31434 ай бұрын
thank Fari love you
@carolinewambui75 ай бұрын
❤❤Fari
@dmtume5 ай бұрын
Motoooo sanaaa💪
@DJGolden016_theKambaprince4 ай бұрын
Fari mkali cku zote isay 🔥🔥
@SaudaKhamisi-wm6xy5 ай бұрын
Mbona hutumaliz ile yes I do
@Montanah254.5 ай бұрын
One of the biggest talents we have in the country ni venye hamjapea attention ama deserve💪💪her voice.....
@kakaiimmaculatenandako46045 ай бұрын
Napenda sana
@rosarealm.5 ай бұрын
Kazi nzuri Fari❤
@wachananamtoto68335 ай бұрын
I love this girl ❤ u r ma best female artist Unaenda far kamama
@jshstara.k.abonitoh80765 ай бұрын
Kamotoo🔥🔥📢
@katatatv24105 ай бұрын
African queen....💯 True superstar 🔥🔥🔥💯
@Annastaciahmbithe4 ай бұрын
Nyimbo zake nazipenda sana,fari big up,,, endelea vivyo hivyo
@ravishamal88895 ай бұрын
Amazing our own❤❤
@marinteldaisy8555 ай бұрын
Napenda hii❤
@thebenedict-20245 ай бұрын
wow ,, i love it...na nikweli kimewaramba
@savunimweenewakuthambya98655 ай бұрын
Ukona sauti mamaa wueh
@mercyabigail18855 ай бұрын
You've got nice vocals fari
@TeamCoseaAfrika5 ай бұрын
Bado tunatafuta dooh Athman😂 in the meantime kizidi kuwaramba
@VictorrThinker4 ай бұрын
I just like your VOICE!!
@TabithaM-e5k5 ай бұрын
Nipiteni guys , nitawapitia
@paulinanduku27485 ай бұрын
Wow this is great and pure talent❤💯
@brownngise5 ай бұрын
Mambo
@Doris-qq8zz5 ай бұрын
Your songs are on top❤❤❤❤
@yunyj98685 ай бұрын
Fari you are such a talented lady. Your voice and your writing is just super beautiful and interesting. ... Beautiful music , stay blessed 🙏🏾 your sound engineer #Nana makes a great Duo 👏🏾