BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000)
Always najifunza kitu kipyaa kutoka kwak may god continue to bless you dadaa
@sharonayesa-ri3kh4 ай бұрын
Dada kazi ni nzuri hio nywele ya itwaje
@sitikhamis79783 ай бұрын
Kazi nzur maa shaa Allah..plz naomba kujua jina la weave uliyo tumia
@sabinapeter23754 ай бұрын
Nashukuru sana munguakubariki,nimejifunza mengi kutoka kwako
@RachelGibson-m6o2 ай бұрын
Nakupenda bule madam wangu❤❤❤ asanteee
@NeemaMeshaki-qm4ew4 ай бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako Asante sana
@AngelDavid-uj3qo4 ай бұрын
Asante da farida naomba utufanyie na extension ya kati ambayo unaweza bana kidoti
@FauJohn-f7z4 ай бұрын
Ongeraa kaz nzurii
@SophiaHelmes4 ай бұрын
Uko vzr kipenz hongera sanaaaaaaa❤❤❤❤❤
@faridaothman4 ай бұрын
Santee❤
@JacklineDankey4 ай бұрын
asante sana dia
@FridahKijumwa4 ай бұрын
amazing 😍
@IreneIrene-l2n28 күн бұрын
Asant madam
@Winifrida-j9w4 ай бұрын
Dada asnte na hongera swali no je kwa nywele ambayo haina dawa itafaa
@alicemakala-fi8xd4 ай бұрын
Barikiwa sana❤
@faridaothman4 ай бұрын
Sante snaa❤
@mwenzeguleirene420021 күн бұрын
Naomba kujua jina La hii weaving dear
@cathieommy54824 ай бұрын
Da Farida Mungu akubariki najifunza mengi kutoka kwako
@faridaothman4 ай бұрын
Sante snaa❤
@Rukiarukyruky-zj8nkАй бұрын
Asant dada naomba kuuliza kwa hyo nywele yoyote unaweza kusukia km ivo au inategemea
@ericksuitbert99712 ай бұрын
Samahan naomba kuuliza iv wiving nalo lina ndan na nje
@LeahSimoni19 күн бұрын
Nywele hiyo inaitwaje dada
@witnessmwikalo33384 ай бұрын
Tunaotaka kujiunga na coz mtandaon bei gani sister Farida
@MariamHussein-n3m22 күн бұрын
Dada samahan je Kwa sie ambao hata kukata njia hatujuw je inakuawaje hapo
@JoyceRichard-h5v4 ай бұрын
Dada kwaniii nikitaka kusoma miezi 3 ada ni shngapiii???
@Rukiarukyruky-zj8nkАй бұрын
Naomba kuuliza nywele za aina gan unaweza kushonea ivo au nywele yoyote tu nikanunue
@JacklineDankey4 ай бұрын
naomba niunge kwene group la watsap dada
@ivonneodhiambo564 ай бұрын
𝐾𝑎𝑧𝑖 𝑠𝑎𝑓𝑖❤
@ElizabethLaston-sw5fs4 ай бұрын
Da Farida me npo mbeya VIP Hanna branch huku mbeya??? Maana Nina hitaji
@ElizabethLaston-sw5fs4 ай бұрын
Hello
@RachelGibson-m6o2 ай бұрын
Kumbe tupo wengi
@SabrinaMuharuma4 ай бұрын
Vp hiy wiv unawez kusuk kweny nywel natural
@EvaJoseph-r7b3 ай бұрын
Dada apo unapo shone unashonea kama kawaida au kunastaili yakushonea
@faridaothman3 ай бұрын
Kawaida tu
@happinessgeorge4 ай бұрын
Nataman kujua make up online nijiunge darasa aisee
@GoodluckGodfrey-u4d4 ай бұрын
Hii umetumia weaving gani farida ,,,naomb unioneshe na maweavng amby ntaweza kutumia km kiextension
@faridaothman4 ай бұрын
Lipia online class 0657292650 elf 12 kwa mwezi
@RachelGibson-m6o2 ай бұрын
Online ndo inakuwaje madam
@JacklineDankey4 ай бұрын
unaweza kutumia rasta dia
@ZenaKondo-r6x4 ай бұрын
Inawezekan ilaukitaka ipendendesana. Utafute iliokuwa lain sio yakunyambuka
@JoyceRichard-h5v4 ай бұрын
Ety dada miezi 3 mnapokea na ni sh ngapii?? Naomba kujua tafadhali
@storytime12044 ай бұрын
Laki 3 miezi mitatu ni kusuka, kushonea, kuweka dawa na kufanya make aina zote
@faridaothman4 ай бұрын
BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000)
@ReginaKisiku4 ай бұрын
Samahani dada tufundishe jisi ya kufanya sikiea na fesho
@SashaTimothy4 ай бұрын
Chuo chenu kinapatokana tegeta sehemu gan
@faridaothman4 ай бұрын
@@SashaTimothy TEGETA NYUKI
@faridaothman4 ай бұрын
@@SashaTimothy 0657292650
@LizzyJohnson-q3g3 ай бұрын
Je ukilipia Hy lake tatu nimiez mingp lbda unawez ukasomea
@dinamsigala4 ай бұрын
Dada sorry nlikua nauliza izo wiving unazoshonea kwa mteja ni bei gan
@JoyceRichard-h5v4 ай бұрын
Ety dada miezi 3 mnapokea na ni sh ngapii?? Naomba kujua tafadhali