KIBANIO CHA BAMBUCHA KIZURI NA KINAVUTIAA SANAA

  Рет қаралды 50,211

FARIDA OTHMAN

FARIDA OTHMAN

4 жыл бұрын

KIBANIO CHA KIDOTI
• KUBANA KIDOTI KWA BI H...
KIBANIO CHA CROCHET
• Kibanio cha crochet na...
KIBANIO CHA BAMBUCHA
• kibanio cha Bambucha
KWA MAHITAJI YA VIBANIO VYETU WASILIANA NASI
0657292650
instagram Farida makeup artist
facebook Farida othman

Пікірлер: 139
@user-mw7rg9ns9j
@user-mw7rg9ns9j 6 ай бұрын
🎉🎉super kibanio
@mpendwalucas2617
@mpendwalucas2617 4 ай бұрын
Jaman kazi nzuri saana ❤❤
@halimaally8822
@halimaally8822 3 жыл бұрын
Hii ni rahisi sana, tofauti na nlivyokuwa natengeneza mm. Asante kwa mafunzo dear
@user-hw9vc3xy7l
@user-hw9vc3xy7l 8 ай бұрын
Nakupenda sana maana umekua ufunguo wamaisha yang❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana dadangu kwa kutuelimisha mungu akubariki sana
@faridaothman
@faridaothman 10 ай бұрын
Ameen
@joaoidrisse7293
@joaoidrisse7293 3 жыл бұрын
Asante dada nakushukulu sana siyo siri kwa mafundisho yako yamenisaidia sana kwa sasa nimekuwa fundi japo siyo kivile Mwalimu wangu. Bado nipo dalasani kupitia KZbin yako Mwalimu wangu
@faridaothman
@faridaothman 3 жыл бұрын
Shukran Sana nafurah kusikia ivyo
@joaoidrisse7293
@joaoidrisse7293 3 жыл бұрын
@@faridaothman siku nikija Bongo japo soda nitajikakamuwa Mwalimu wangu. Hapa nashona kofia ya Bambucha
@treshraphael4049
@treshraphael4049 4 жыл бұрын
Kiukwel sijutii mydya maan nmejua kutengeneza na mm,,,love u mpnz
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsante sanaaaaa
@raidinewton3268
@raidinewton3268 4 жыл бұрын
Asante sana mpendwa. Barikiwa mnoooo!!!!! Tunakupenda😍😍😍
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Nawapenda pia @raida Newton
@happypaizony1653
@happypaizony1653 3 жыл бұрын
asanten sanaa yan nisha jifunxa nimeelewa Mungu abariki kazi za mikono yenu
@siakandidusi2231
@siakandidusi2231 3 жыл бұрын
Sijutii kabisa kukufuatilia napat vitu vingi San vigeni kutok kwako nimefungua saloon ko kila ninavo kufuatilia napt vitu vyipwa
@user-gn1ir1zn1b
@user-gn1ir1zn1b 8 ай бұрын
Nimeipenda kazi Yako sister bigapu sana
@faridaothman
@faridaothman 8 ай бұрын
Sante sana
@verocleanwell1961
@verocleanwell1961 Жыл бұрын
Asante sana dada nimejifunza kutengeneza kibanio
@SecySubira
@SecySubira 6 ай бұрын
Asant dada Farida mungu akubariki kwa mafunzo Yako .asa dada naomba kuuliza kama nataka kiwe kifupi inawezekana?
@jenifasimbuta6257
@jenifasimbuta6257 Жыл бұрын
Dada farida naomba msaada wako nimefungua saloon lakini yebo yebo yangu bado inanipa changamoto
@maliyagainvestment61
@maliyagainvestment61 2 жыл бұрын
Unaweza ukatumi rasta
@mwajumaabdalah1325
@mwajumaabdalah1325 2 жыл бұрын
Nimeinjoy hsw
@bernadamsigwa6871
@bernadamsigwa6871 3 жыл бұрын
Naomb kuuliza mambucha tunavyokroch kibaniao hatuzika katikati
@marthamwakanyamale6969
@marthamwakanyamale6969 4 жыл бұрын
Thanks mum
@lovenanalove1282
@lovenanalove1282 3 жыл бұрын
Leo nimetengeneza yaan kimetokelezea, kizuri hatari. Asante mom kwa mafunzo
@mariachazy6413
@mariachazy6413 2 жыл бұрын
Umetumia bunda ngap dear
@mauaismail1689
@mauaismail1689 3 жыл бұрын
Nimependa nitakuja kujifuza my
@benitaemanuer7254
@benitaemanuer7254 3 жыл бұрын
Hats mm nimependa
@faryammy8115
@faryammy8115 4 жыл бұрын
Farida naomba group la whtp kwa ajir ya ujuz zaid plz wajin
@bupesandube3717
@bupesandube3717 3 жыл бұрын
Upo vizuri
@marycharles9889
@marycharles9889 3 жыл бұрын
Mko vzr
@mariamhassan7828
@mariamhassan7828 4 жыл бұрын
Nakupenda bure my mungu akubariki sana
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsante sanaaa ubarikiwe pia
@mariamhassan7828
@mariamhassan7828 4 жыл бұрын
next time tunakuomba utuwekee video jins ya kutengeneza kibanio cha mkia wa farasi kwakutumia rasta ya kawaida my
@mwenesisaid5230
@mwenesisaid5230 2 жыл бұрын
Mngu akuzidishi una ubinafsi
@westwest8024
@westwest8024 4 жыл бұрын
Nmependa
@winpoly6785
@winpoly6785 4 жыл бұрын
Asante farida unatusaidia sana
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsante pia
@fridahhamis2010
@fridahhamis2010 4 жыл бұрын
Yan sijutii kabsa bando langu linatumika sawasawa na darasa lako Mana nna nufaika sana pia napenda unavyofundisha unaeleweka dada farida.
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Santeee
@gacerigakarisi4971
@gacerigakarisi4971 3 жыл бұрын
woow I like your videos Nimesoma tu kitu apo
@winfredndinda2814
@winfredndinda2814 3 жыл бұрын
Nzuri Sana
@mwajumangaka6706
@mwajumangaka6706 3 жыл бұрын
Asante
@mwanaidally237
@mwanaidally237 3 жыл бұрын
Yani sijui kwanini nilikupoteza now nimejua kuchora wanja kupitia group lako so I hope nitajua mengi tu🥰
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 4 жыл бұрын
Kibanio kizuri. Mi naomba msaada kwa upande wa nywele nifundishe kusuka mwiba wa samaki na Facebook au kantangaze
@mwanamisimndeme1682
@mwanamisimndeme1682 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mpenzi
@dominasam6437
@dominasam6437 4 жыл бұрын
Ahsante mamy kwa kushare nasi maujuz
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsnteee
@zuhurashabani8277
@zuhurashabani8277 4 жыл бұрын
I like it
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Thanks love
@zawadiasajile177
@zawadiasajile177 3 жыл бұрын
Unatoa vibanio vingapi kwenye bambucha moja
@jacksonnjau7290
@jacksonnjau7290 3 жыл бұрын
Uko vizuri my
@catherinemhapa4594
@catherinemhapa4594 3 жыл бұрын
Enxxxxxx sana dadaangu wafaida
@gladnessmallaki9730
@gladnessmallaki9730 3 жыл бұрын
Naweza kutumia njia hii kutengenezea kibanio cha selfie
@estheredson7471
@estheredson7471 3 жыл бұрын
Umebarikiwa maaa
@priscabrown2938
@priscabrown2938 2 жыл бұрын
Nimekipenda kweli
@hellenalphonse8852
@hellenalphonse8852 Жыл бұрын
Asanteh Sana huna darasa wasap, na km IPO Bei gani naomba kuungwa
@chimamyroza2395
@chimamyroza2395 4 жыл бұрын
Ngoja nitengeneze kesho nakuonyesha umenifanya nipende urembo sana
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Hongera Sana'a na karibu dear
@fettynaj6766
@fettynaj6766 2 жыл бұрын
Dada farida asante sana kwa mafunzo yako.je banio kama hili la bambucha unaweza ukatumia bunda ngapi za rasta ili kupata banio zuri na bora?
@maryamfakhi4993
@maryamfakhi4993 4 жыл бұрын
😋
@catherineernest399
@catherineernest399 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana
@aminabakari4269
@aminabakari4269 3 жыл бұрын
Huwezi kutengeneza kibaoni bila hiyo sindano ya kukrochia
@faridaothman
@faridaothman 3 жыл бұрын
Inawezekana
@shabanedward1238
@shabanedward1238 4 жыл бұрын
Unaweza ukakifanya kifupi kama staki kiref
@odgahyera4973
@odgahyera4973 2 жыл бұрын
Nice
@sofiagashomba5550
@sofiagashomba5550 4 жыл бұрын
Barikiwa mdada
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Santee barikiwa pia
@asmasrajab80
@asmasrajab80 4 жыл бұрын
Dar nashindwa kusema neno kwa kazi yako safi sn wacha nikupende kama ulivyo
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Nakupenda pia ahsante sanaaa
@nestamhule3519
@nestamhule3519 2 жыл бұрын
Nime kipenda sana nitajalib namimi
@jemimaneyo2900
@jemimaneyo2900 4 жыл бұрын
Asante sn
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Karb sanaaaa
@judithmdeda823
@judithmdeda823 4 жыл бұрын
Blessed nimejifunza kitu
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsante na karibu sanaa
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 жыл бұрын
Safi sana
@happypaizony1653
@happypaizony1653 3 жыл бұрын
sana tena
@mariamamour4402
@mariamamour4402 3 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza naangalia kazi yako na nimekukubali sana
@catherinemhapa4594
@catherinemhapa4594 3 жыл бұрын
Jamani Dada nifundishe mbinjuo kuanza ndiooo changamoto
@heavenvoice8431
@heavenvoice8431 3 жыл бұрын
Nmeona jn hii vedio leo nmejarb jmn nafurahi.... I made it.. I wish ningepig picha ukione.... Asante mpnz unatufunz wengii
@mariamshafii7348
@mariamshafii7348 4 жыл бұрын
Mashallah did ang umenitia ham yakujifundish
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Karb sanaaaa
@mariamshafii7348
@mariamshafii7348 4 жыл бұрын
Ahsnt did
@AshreyJumah
@AshreyJumah 3 ай бұрын
Dada bambucha bunda moja linatengeneza vbanio vingap kama hvo
@chikumasoud9749
@chikumasoud9749 4 жыл бұрын
Mambo dear nimependa naomba kuuliza ule mkia wafaras waweza tumia rasta yyte tu atazile za buku jelo
@joycedaudi1769
@joycedaudi1769 4 жыл бұрын
Yap
@helena8463
@helena8463 Жыл бұрын
Kubana bambucha
@ressakabazi8763
@ressakabazi8763 4 жыл бұрын
Kila siku nazindi kujipatiya faida kwa video zako dada asante sanaaaa👌
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Karb sanaaa
@christinawilfred9027
@christinawilfred9027 2 жыл бұрын
Najaribu Ila nazid kujifunza zaidi
@mwanaidally237
@mwanaidally237 3 жыл бұрын
Nataka kujua kusuka yebo
@christinamollel8489
@christinamollel8489 4 жыл бұрын
Asante sana farida nmejifunza mengi ila me naomba unifundishe kusuka nywele za mkono
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aYqcd5p4j9eVhrc
@berthamussa5444
@berthamussa5444 3 жыл бұрын
Asante kwa kutufundisha nimeelewa na kizur kwel
@annamarry2033
@annamarry2033 4 жыл бұрын
Mimi naomba ufundishe kuweka mirija natamani kujua
@magrethmapunda9855
@magrethmapunda9855 Жыл бұрын
Mekapu na malemba
@sophiakipingu5395
@sophiakipingu5395 3 жыл бұрын
Mi naomba kujua kibanio cha crochet
@faridaothman
@faridaothman 3 жыл бұрын
Tumeshafundisha dear pitia mafunzo yetu
@joycedaudi1769
@joycedaudi1769 4 жыл бұрын
Salsa inafaa Dada farida
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Inafaa dear
@josephmipawa8339
@josephmipawa8339 4 жыл бұрын
Nzuri
@floraedson9405
@floraedson9405 2 жыл бұрын
Iyo njian tatu naweza nikaisuka na uzi?
@OmanOman-rj7iu
@OmanOman-rj7iu 4 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo nimejifunza kitu😍
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ahsante na endelea kuwa nasi kw mafundisho mengine mazur zaidiii
@steventairo7489
@steventairo7489 2 жыл бұрын
sorry hiso ni rasta gan
@bhochakulive8867
@bhochakulive8867 3 жыл бұрын
Kozi ya week tatu unajifunza nini na nini
@annamwatwinza3057
@annamwatwinza3057 3 жыл бұрын
Naomba group wasap,,no Ni 0754 662455
@upendokaaya372
@upendokaaya372 2 жыл бұрын
Je kwa wanaotoka Mikoani hostel kwa wiki 3 i shilingi ngap?
@kajembemchoropa9327
@kajembemchoropa9327 2 жыл бұрын
Sija elewa ple anapo shona Uzi waka waida na rasta
@joharimahimbi6041
@joharimahimbi6041 4 жыл бұрын
Naomb kuliz nywe hiz n rat z kawaid au rast z babuch unayusuk hp
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Ni bambacha hiz
@vanessajingu8988
@vanessajingu8988 4 жыл бұрын
Please naomba nitafute WhatsApp +254745458020
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Sawa dear my no +255657292650
@rosemarymaullusi3086
@rosemarymaullusi3086 3 жыл бұрын
Njia nyingine ya kutengeneza kibanio cha bambucha tunaomba tuelekeze
@pendojustin9110
@pendojustin9110 4 жыл бұрын
Nimejifunza
@ashaabdallahabdallah671
@ashaabdallahabdallah671 4 жыл бұрын
Ninataka kujifunza
@agnessmaximilian5392
@agnessmaximilian5392 4 жыл бұрын
Unapatikana wapi
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
TEGETA AZANIA 0657292650
@jetrudajoseph7304
@jetrudajoseph7304 3 жыл бұрын
Ukitumia sindano ya mkono kushonea aifai
@phynermarcos7833
@phynermarcos7833 3 жыл бұрын
Sorry iyo rasta uliotumia kusukia ni ya bambucha au ya kawaida
@hamisamsangawale605
@hamisamsangawale605 2 жыл бұрын
Huko nyuma umewakaje mpaka kimetuma Mana mi ninacho Ila nikiban nyuma hakituni hvo
@faridaothman
@faridaothman 2 жыл бұрын
Hello umekijaza vzr?
@hamisamsangawale605
@hamisamsangawale605 2 жыл бұрын
@@faridaothman hapana hakijajaa sana
@aquabir5366
@aquabir5366 2 жыл бұрын
HELLO CAN I USE ANY RASTA TO MAKE IT ..
@sally_tz1231
@sally_tz1231 4 жыл бұрын
Hapa umetumia pambucha je naweza tumia hata rasta?
@neemamakau484
@neemamakau484 3 жыл бұрын
Madam umetumia bunda moja au
@lightnessminatakakujifunza5039
@lightnessminatakakujifunza5039 4 жыл бұрын
Gharama yake ni kiasi gani
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Laki 3 miez mitatu 0657292650 TUPO TEGETA AZANIA
@mwenesisaid5230
@mwenesisaid5230 2 жыл бұрын
Sijuwi niseme nini
@gwiransolo9447
@gwiransolo9447 4 жыл бұрын
Unasuka kwenye rasta juu na chin ama upande moja tu
@faridaothman
@faridaothman 4 жыл бұрын
Upande mmoja tuuu
@hellenalphonse8852
@hellenalphonse8852 Жыл бұрын
Asanteh Sana huna darasa wasap, na km IPO Bei gani naomba kuungwa
@joycedaudi1769
@joycedaudi1769 4 жыл бұрын
Nice
@odiliamavunde6486
@odiliamavunde6486 4 жыл бұрын
Asante
@hellenalphonse8852
@hellenalphonse8852 Жыл бұрын
Asanteh Sana huna darasa wasap, na km IPO Bei gani naomba kuungwa
DIY | Easy bow baby headband tutorial
9:29
Jeanly Handcrafts
Рет қаралды 65 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,1 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 34 МЛН
Final muy inesperado 🥹
00:48
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 19 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA KIBANIO CHA BAMBUCHA #ponytail
11:23
Rebby wigs
Рет қаралды 3,1 М.
KUFUNGA LEMBA KITAMBAA CHA CRUSH Mita moja| crush Gele
9:47
FARIDA OTHMAN
Рет қаралды 41 М.
😱Stylish Short Braids Hairstyles You’ll Fall In Love
8:53
nkemjeffrey
Рет қаралды 2 МЛН
Njia Rahisi ya KUTENGENEZA KIBANIO
3:09
FARIDA OTHMAN
Рет қаралды 8 М.
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН