FENNY KERUBO -THE BEAST (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 1,779,113

FENNY KERUBO OFFICIAL

FENNY KERUBO OFFICIAL

Күн бұрын

#FennyKerubo # prophecy#Beast #fennykerubosongs
#fennykwrubolatest #top #gospelmusic #duet #trending #music #trend #fennykerubolatest #dance #new #newsong #markofthebeast #endtimes signsofendtimes#666 #ngommagospel #newvideo #rosemuhandomusic#music #madhabahuyamoto
©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

Пікірлер
@derickligenga7504
@derickligenga7504 26 күн бұрын
Asomaye na afahamu my sis God u are the blessings in my life
@PaulHero-o8n
@PaulHero-o8n Ай бұрын
Nyimbo hii ukiifuatilia kwa umakini yametimia maana aready we ae on the process are Christian s we should be keen,,adi machozi yanilenga its torching with tears😢😢😢😢
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 12 күн бұрын
Kwa nyimbo sote umeimba akuna kama hii hii ndio imepepa ujumbe wote sasa apa tuko pamoja kwa wale wamesoma unabii nafikili wanaelewa
@nthianigeoffrey
@nthianigeoffrey Ай бұрын
Fenny Mwenyizi Mungu akuinua kabisaa kwa mahana ukona unabii kamili God Has Gifted kwa hii maono ya nyakati za mwisho:: May you be blessed and keep it up 🎉❤❤🎉
@alexonesmo1753
@alexonesmo1753 2 жыл бұрын
Wewe ni Nabii kamili , unahubiri Injili inayokwepwa na Watumishi wengi leo wanahubiri laini isiyo Onya katika kweli. Barikiwa sana
@demdah5949
@demdah5949 4 жыл бұрын
Good work indeed wenye tumeona kubarikiwa kupitia wimbo huu gonga like zake fenny kerubo tumpee motisha kwa kazi nzuri.
@eugineamunga9129
@eugineamunga9129 2 жыл бұрын
Umenibariki Na Huo wimbo xnaaa dada fenny
@dadamkubwa1087
@dadamkubwa1087 3 жыл бұрын
Walae nyakati za mwisho natokwa na amariga amange with no control all your song venny seseniwa mono but I have one ambao sasa miaka minane unasema nigonde nobororo ase omoyo one obororo obonge intanyare gokwana is the one of me gogonkonya in my life veliane from saudia Arabia barikiwa sana sana.
@carolinemutinda2897
@carolinemutinda2897 2 жыл бұрын
Anayesikiliza huu wimbo haifahamu ulilimwengu wasasa vile uko
@isaacchepkicho8887
@isaacchepkicho8887 2 жыл бұрын
Awachao mungu amewapa uwezo wa kufahamu ujumbe Huu. Shukran Fenny umetumika kama chombo
@JudithMwainyekule
@JudithMwainyekule Ай бұрын
Barikiwa sana kwa ujumbe wenye mafundisho . Mungu atusaidie kuijua kweli maana kweli itatuweka huru
@FennyKerubo
@FennyKerubo 4 жыл бұрын
Not everyone will understand the message of this Song , asomaye na afahamu
@winfredmaithya8903
@winfredmaithya8903 4 жыл бұрын
Mungu akubariki na akusidishie maarifa ya kumtumikia kwa mazuri na mabaya 🙏🙏🙏♥️
@geoffreytheprincemwimbaji9343
@geoffreytheprincemwimbaji9343 4 жыл бұрын
I like the song mwenye sikio asikie Sasa I need the video please fenny... Send to my number. 0703895992
@mercyonyona6015
@mercyonyona6015 4 жыл бұрын
Message delivered my sister keep it up ,,,,send me the song dada +966582664639
@winfredmaithya8903
@winfredmaithya8903 4 жыл бұрын
@@geoffreytheprincemwimbaji9343 that is the video
@millicentnyaboke5415
@millicentnyaboke5415 4 жыл бұрын
We are undergoing going hard time 😭😭But nothing but prayers 🙏🙏🙏
@Eunicegesare-p8p
@Eunicegesare-p8p 2 ай бұрын
Mm narudia kila kunapokuja ninambalikiwa sana 😢❤❤
@rosewoiemitau8376
@rosewoiemitau8376 2 жыл бұрын
Hii ndiyo injili yenye tunaitaji kwa nyakati hizi sababu watu hawaelewi ukweli ,watu wako tu mbioni tu juu ya maisha ya duniani ee mungu tuzaidie kuhesabu siku zetu.
@malisianosanga590
@malisianosanga590 2 жыл бұрын
God bless you wewe na huduma yako
@VioletIndusa
@VioletIndusa Ай бұрын
Nabarikiwa sana naizi myimbo ❤
@birenziclaudinne1620
@birenziclaudinne1620 2 жыл бұрын
Mungu ukatupe kumaliza mwendo wetu salama na kujua ya kwamba nyakati hizi niza mwisho barikiwa dada Fenny Kerubo wimbo huu wanigusa rohoni mwangu
@wilsonniwagila9632
@wilsonniwagila9632 11 күн бұрын
Ahsante sana nimebarikiwa
@mildredwekesa3357
@mildredwekesa3357 3 жыл бұрын
Unabii uliojawa ujumbe kwa wakristo wa kweli,Mungu n saidie pia nami nielewe unabii wako kwa Jina la Yesu ,asante fenny
@juniormakoko1355
@juniormakoko1355 3 жыл бұрын
Halellujah,,Nalibariki Jina la Yesu sana kwa kukupa ufunuo Huu,wacha Mungu akupeleke Kimataifa uwahubiri ujio wa Kristu Yesu.
@kaboyirunezerwa4176
@kaboyirunezerwa4176 Жыл бұрын
Fany ubarikiwe kwa wimbo huu umenifanya nichunguze maandiko kabisa siku ya mwisho wa dunia imetimia.
@elizabethouma
@elizabethouma Жыл бұрын
It's true my sister fenny tell them,be blessed
@jeliahnyagitari3208
@jeliahnyagitari3208 Жыл бұрын
Amen let God use you to preach hhe gospel, this is pure prophesy, kuelewa ndio shida
@ceciliaungwaa2003
@ceciliaungwaa2003 4 жыл бұрын
Siku za mwisho kweli, nimebarikiwa fenny...nyimbo zako unibariki Sana hata zenye umeimba Kwa lugha ya nyumbani hata kama sielewi yote
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc Ай бұрын
Amen 🙏
@vaniskerubo6709
@vaniskerubo6709 2 жыл бұрын
Shida iko Kwa wenye hawataamini Dada wambie watunza jua yaa Sunday keepers wako Kwa shida n wafuate amri za mungu kumi
@MWAMPAMBA
@MWAMPAMBA 4 күн бұрын
Umeupiga mwingi
@mosesmokua2543
@mosesmokua2543 2 ай бұрын
Amen , ujumbe mzuri 🙏🏿
@thadeusnyabuto6639
@thadeusnyabuto6639 2 жыл бұрын
Kwani nimekua wapi huu mwimbo nausikiza leo mungu na akuvunulie zaidi dadangu wewe ni kama dada Ester white alievuniliwa ufunuo
@janerosemukami189
@janerosemukami189 4 жыл бұрын
Hata siesabu gharama ya data zangu kurudia huu wimbo Mara mingi kupita fahamu zangu,unanibariki sana
@amkenikumekucha
@amkenikumekucha 2 жыл бұрын
Hakika tuko karibu kurudi nyumbani moyo wangu unafurahi tunataka kwenda kumwona yule tuliye mwamini, barikiwe sana dada Fanny Kerubo wetu ujumbe wako umefika kwenye udongo wenye rutuba love you so much 🙏
@malackanjawa8270
@malackanjawa8270 3 жыл бұрын
Fenny kerubo wimbo mzuri huwo ..mwenye masikio na asikie
@jastinemweta4830
@jastinemweta4830 2 жыл бұрын
UJEMBE MZURI..TENA WA WAKATI...FNNY KERUBO MUMGU NDIO AMEKUTUMIA KUTOA UJUMBE HUU ENDELEA KUOMBA NA KUNYENYEKEA MIGUUNI KWA BWANA KWANI VITA NI KUBWA SANA.ILA UTASHINDA MAANA UNAYE MTUMUKIA NI MUNGU MUUMBAJI. SONGA MBELE FANYA HARAKA WAKATI UMEKWISHA
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 4 жыл бұрын
Narudia rudia kusikiliza i think Mungu anaongea na mimi. Umepandakitu kwangu. Donald from Arusha Tanzania Mungu akubariki dada
@lordorcas9344
@lordorcas9344 2 жыл бұрын
BaA CHRISTU Mu si OGOPE TU SI MAME NA YESU! ATA MBELE YA MUPANGA WOMBE NGU YA BUANA TUKUFE JU YAYESU MOKONZI WETU !ATA TU FUFULA TU TA PEWA UZIMA WA MILELE AMEN ❤
@kerubojane7606
@kerubojane7606 4 күн бұрын
Hallelujah 🙌 🔥 🔥
@jymoshofficial668
@jymoshofficial668 3 жыл бұрын
You really bless me my sister fenny, ningependa tu siku moja unipe collable hata kama mm huimba secullar najua Mungu atanijalia hio siku tucharaze gospell moja moto saana
@mariannenyiranazemonie1731
@mariannenyiranazemonie1731 4 жыл бұрын
Fenya una ufunuo wa mungu amefunguliwa kweli lakini kunawale hawajajuwa mungu aongeze ufunuo santi mama fenya
@violetnzomo56
@violetnzomo56 2 жыл бұрын
Wenye maamini akuna mungu,sikizeni huu wimbo ,na mfahamu kwamba siku za mwisho zaja
@brankomkandawire3031
@brankomkandawire3031 4 ай бұрын
Mama FENNY please pray for me I want to be rich and I want to build church of GOD please pray for me mama FENNY❤❤❤
@mannuh2171
@mannuh2171 3 жыл бұрын
Good one ...nimeona wimbo yako kwa status ya mtu watxapp na ikaniguza nikakufuata mpaka huku .....mungu akuzidie kibali na akubariki kwa kazi zuri unayoendelea kufanya 🙏
@Ts-cf3vw
@Ts-cf3vw 7 ай бұрын
Amen,dada yangu huo wimbo huko na ufunuo God bless you
@Ts-cf3vw
@Ts-cf3vw 7 ай бұрын
Amen,kwa nyimbo zako ziko na massage nzuri
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 жыл бұрын
Mi na barikiwa saaaana muenye iko na masikiyo asikie maneno Roho y’a Mungu ina sema n’a Kanisa
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Nyimbo zenu aziwezi kuchuja kwa sababu Zina ujumbe mzuri Mungu azidi kuwafunulia kutunga nyimbo nzuri
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 3 жыл бұрын
Lov you so much my sister nakupend sana nyimbo zenye kutufungua macho ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋
@judithphiliptvKenya
@judithphiliptvKenya 4 жыл бұрын
Uimbaji ndio huu umejawa na roho mtakatifu, anakufunulia kila kitu, wimbo wa nyakati hizi, Mungu akuzidishie dadangu kipenzi
@judithadede3394
@judithadede3394 4 жыл бұрын
Vita vimeanza wakristo simama imara..... Subira inatakikana.... Vumilia.!!!....🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
@SEM-px9el
@SEM-px9el 4 жыл бұрын
Amen amen, mubariwe na Bwana wetu Yesu 🙏 nawafwata 100% Norway.
@AdonisSifa
@AdonisSifa 4 жыл бұрын
Oyore namato tiga aigwe eki omoika agotebia chikanisa...amen fenny
@omaryrashid2697
@omaryrashid2697 4 жыл бұрын
Mtumishi bwana hapewe sifa mungu akutumie sana umetukumbusha kwamba tuko na vita
@kavinyangunu9758
@kavinyangunu9758 4 жыл бұрын
The true gospel....narrates on eschatology time. wahubirie watu Fenny umetumwa uwakomboe
@felixomondi3673
@felixomondi3673 3 жыл бұрын
Amen amen ukweli ni siku za mwisho tusimame imara kwa kuomba na kufunga na kumwita Mungu atupiganie
@dorisbonareri7104
@dorisbonareri7104 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, unatupa moyo WA kuomba,be blessed kerubo
@cadettemutimukeye565
@cadettemutimukeye565 4 жыл бұрын
Napenda wewe dada yangu nyimbo zako nzuri tele ubarikiwe sana
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 жыл бұрын
Accenti mupendua Wetu wa Roho mafundisho y’a wakati za muicho Iyi Wimbo inanipatia Moyo tu chimame Imara Wateule Amen Shalom Shalom Amen
@jackyjacky2930
@jackyjacky2930 4 жыл бұрын
Tena nko hapa sichoki watching from country 966
@SophieTsui-p9g
@SophieTsui-p9g Жыл бұрын
That's true maandiko yanatimia kwetu walokole tusimame imara, vita vimeanza, barikiwa sana dada❤❤❤❤
@saasamaf7188
@saasamaf7188 3 жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie ujumbe mzuri dada barikiwa sana
@jacobkatwale6452
@jacobkatwale6452 3 жыл бұрын
Veryvery nice song ubarikiwe zaidi uzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri mtumishi wa Mungu!
@josedrama2098
@josedrama2098 4 жыл бұрын
Let take the message. ... ufunuo wa mungu...tumepokea habari Fenny. ...more grace
@irenkarembo1558
@irenkarembo1558 2 жыл бұрын
Fenny it is God who is sounding in you keep it up and mungu akujaze huyo roho zaidi uwashinde walimwegu wa giza.nawaombea waimbaji wote wakenya iwafunike maadui waangamie wenyewe.fenny dumu uokoe watu.
@jacintamwende3947
@jacintamwende3947 2 жыл бұрын
Fenny be blessed Kwa kufafanulia wengi kuhusu end times I feel like joining u to preach da gospel
@abednegonzuve8404
@abednegonzuve8404 4 жыл бұрын
This is true gospel music, let all musicians copy from you. Congratulations
@petronkashapa
@petronkashapa 4 жыл бұрын
Very powerful message. I could not hold my tears. 😭😭😭😭
@precious5277
@precious5277 3 жыл бұрын
@@petronkashapa true soooo touching
@petronkashapa
@petronkashapa 3 жыл бұрын
@@precious5277God bless u
@aubreykamanga4014
@aubreykamanga4014 3 жыл бұрын
True
@gustavokambengo4880
@gustavokambengo4880 2 жыл бұрын
Amen sister fany may God bless you bcs I can see they trône Angel's of GOD are very happy, congratulations
@salimkitui3171
@salimkitui3171 2 жыл бұрын
wimbo hi ulitoa poa pia na kujaza taratibu mungu akubariki
@msaniiezekielkamoyani
@msaniiezekielkamoyani 3 жыл бұрын
Is true watakatifu tutaokolewa sana AMEN 🙏🙌👏 be blessed
@dennismwenje7041
@dennismwenje7041 4 жыл бұрын
Hio sasa ndio Biblia God bless your
@SusanJemutai-t2z
@SusanJemutai-t2z Ай бұрын
Good evening 🎉🎉🎉
@jacquehatangimbabazi1598
@jacquehatangimbabazi1598 2 жыл бұрын
Hiyo nyimbo nzuri sana inafundisha unabibbi
@sarahonesmo2516
@sarahonesmo2516 2 ай бұрын
Wimbo mzuri jamani,😭😭😭🙏🙏
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 3 жыл бұрын
Nakuombea kwa MUNGU maana ujmbe huu sio wa kawaida shetani atakuandama sana
@valiannytalia5149
@valiannytalia5149 4 жыл бұрын
Ni kweli dada dunia imefika mwisho nakusikia kutoka qatar aja mungu asidi kukuinua na kukutia nguvu mamie
@Bhad_joker.Official
@Bhad_joker.Official 4 жыл бұрын
First one to view wapi likes za Fenny Kerubo
@mercytanui4334
@mercytanui4334 4 жыл бұрын
amen mam h
@petergeoge3994
@petergeoge3994 4 жыл бұрын
Only holy spirit can guide you to understand the meaning of the song barikiwa sana Dada good message indeed
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 жыл бұрын
He ! Mungu Uyu simamiche Imara Ye Yula Nyama Wa Yahuli Anafika Buana Yesu Tusaidie
@lizylizymoraa6798
@lizylizymoraa6798 3 жыл бұрын
That is My favorite artist si mwingine Bali ni Fenny Kerubo ❤️❤️❤️ dada Lizylizy anakupenda ❤️
@dominickbugerula352
@dominickbugerula352 Жыл бұрын
Barikiwaaaa Sanaa Fenny kerubo songa mbeleeee 🙌🙌🙌🙌🙌
@lucasitinde2402
@lucasitinde2402 4 жыл бұрын
Waooo,,,, good song I love this song, nimeirudia zaidi ya mara 10 naisikiliza
@antonymutembei6771
@antonymutembei6771 4 жыл бұрын
dada fenny ombi langu lile kubwa ni mungu akuweke maisha marefu kutoa unabii kwa mataifa ya malimwengu be blessed endlessily
@doreendee6273
@doreendee6273 4 жыл бұрын
Amen dada vane wimbo wenye upako kweli. Barikiwa sana 2021 mko wapi huu ni wimbo mtamu acha roho wa mungu atusaidie tuelewe.
@josphinekiinga7776
@josphinekiinga7776 11 күн бұрын
blessing song
@InspirationalGlassRose-sv3tl
@InspirationalGlassRose-sv3tl 10 ай бұрын
True gospel hii no siku za mwisho
@mercymutabe1306
@mercymutabe1306 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu mungu akubariki sana I like the song
@gabrielkipondokimirei3150
@gabrielkipondokimirei3150 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 жыл бұрын
Si weze ku muabudu Yule munyama Mokonzi wa KUZIMU Yule muenye matatizo Halicha Laumiwa tokea Zamani Accenti Dada
@sharonkerubo610
@sharonkerubo610 4 жыл бұрын
Wow amen yaliyotapiliwa yametimika amazing song congratulations our fenny
@linetnyaga2368
@linetnyaga2368 4 жыл бұрын
Fenny u touch my heart sister ,hii song kwali umetuguza wacha mungu akulinde dear nimeokoka mom
@timotekamasa7066
@timotekamasa7066 4 жыл бұрын
Kerubo munguakubariki sana miminaitwa timoteyo naishimarekani
@dangelk3904
@dangelk3904 3 жыл бұрын
Ni nyakati za Mwisho
@WinstoneSamson
@WinstoneSamson 9 ай бұрын
Hongera sana kwa massage sand,imefka vya kutosha
@hellenogembo260
@hellenogembo260 2 жыл бұрын
Amen hakika tumemwona bwana🙏🙏🙏
@faithmutiso2288
@faithmutiso2288 3 жыл бұрын
Woooow,, gud job,,,acha roho mtakatifu atufafanulie,,,be blessed for this good work
@ValentaineMokeira
@ValentaineMokeira 10 ай бұрын
Mungu pokee maombi yetu tuta shinda.
@judithnyantikanyaboke6363
@judithnyantikanyaboke6363 Жыл бұрын
Nakuelewa my dear sisy naupe sana nice one song.
@sitellamatni6878
@sitellamatni6878 3 жыл бұрын
Amina utukufu juu mbinguni🙏🙏🙏🙏
@KeruboHellen-n7n
@KeruboHellen-n7n Жыл бұрын
Mwimbo mzuri,ujumbe mwema
@lordorcas9344
@lordorcas9344 2 жыл бұрын
Denny Kerubo acsenti Dada mupendwa tu n’a sukiyakiya mafundisho
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 жыл бұрын
Ndio huyo mpinga kristo amekuja na corona byt God will always fight for us,,,ameen
@AsheryAbeli
@AsheryAbeli Жыл бұрын
Mungu akubaliki Kwa huduma yako nzur kupitia nyimbo
@amozhymulley6219
@amozhymulley6219 Жыл бұрын
Madam mungu akubariki n akupelekea atua nyingine aky u are a blessing
@judynyantika1981
@judynyantika1981 Жыл бұрын
Nice song my dear sisy ukweli vita vimeanza duni ya tisha imani yako ndio itakuokoa
MWIBA BY FENNY KERUBO
8:38
FENNY KERUBO OFFICIAL
Рет қаралды 239 М.
FENNY KERUBO -  NIOMBEE (OFFICIAL 4K VIDEO)
7:43
FENNY KERUBO OFFICIAL
Рет қаралды 394 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Stephen Kasolo - Ni Wa Ngai  Dial *812*57#  (Official Video)
7:01
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 120 М.
FENNY KERUBO - ESABARI(OFFICIAL VIDEO)
5:14
FENNY KERUBO OFFICIAL
Рет қаралды 735 М.
FENNY KERUBO - HONGERA KASOLO SPECIAL DEDICATION. (OFFICIAL VIDEO) *811*104#
6:14
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 1,7 МЛН
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 2,3 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.