Ferooz Feat Professor Jay - Starehe (Official Video) SMS SKIZA 7916961 to 811

  Рет қаралды 6,454,785

FeroozMusic

FeroozMusic

3 жыл бұрын

#Ferooz #SlideDigital
Ferooz Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/ferooz
Written & Performed by Ferooz
For Bookings: feroozmrisho@gmail.com
Follow Ferooz on:
/ feroozgram
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 2 900
@rajah9328
@rajah9328 28 күн бұрын
Goma lolote zamani lilikua na mafunzo ndio maana ady sas bdo ukisikiliza waona mtunzi mzuri tu gonga like team 2024
@BarakaThadeoSebastian-rj8rq
@BarakaThadeoSebastian-rj8rq 28 күн бұрын
Mwezi wa 6 2024 tujuane jaman kama bad unaikubali hii ngoma
@valentinbahati2069
@valentinbahati2069 13 күн бұрын
USA 🇺🇸 tungali tunapandisha mikono juu🙌👏✊ya kumpa heshima ferooz na professor jey kwa ushauri usiyo isha nguvu ya kuasha umalaya na kumrudia Muumba wetu❤
@EmanuelJeremiah-xo4cx
@EmanuelJeremiah-xo4cx 7 күн бұрын
Kwaherini
@FransisMtweve
@FransisMtweve 5 күн бұрын
Hihi ngoma bado Kali 2024
@Mr_kocha
@Mr_kocha 5 ай бұрын
2024 bado nakukubali huu mziki..tujuane kwa likes wenzangu
@chebetoffficial
@chebetoffficial 4 ай бұрын
Niko mtaa pia ,,
@Fauqdaq
@Fauqdaq 4 ай бұрын
❤ pamoja chuga🇹🇿
@user-kl3ud1zf4y
@user-kl3ud1zf4y 4 ай бұрын
​ 2:23
@nurumustapha2448
@nurumustapha2448 4 ай бұрын
Am here
@carolinenorman863
@carolinenorman863 4 ай бұрын
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa​
@joenologies
@joenologies 5 ай бұрын
Tunaoskiliza huu wimbo mwaka 2024 tujuane hapa kwa likes
@bestmotivationalarena312
@bestmotivationalarena312 2 ай бұрын
mimi hapa na walai iko na message
@BrianIsiaho-sq8br
@BrianIsiaho-sq8br 2 ай бұрын
njoo ukautazame pia Leo 14.4.2024
@cabylake2320
@cabylake2320 Ай бұрын
❤ 0:58
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
❤❤❤
@mgalulaiddi7075
@mgalulaiddi7075 Ай бұрын
kitambo sana
@RahmaAlly-bx8dl
@RahmaAlly-bx8dl 2 ай бұрын
Kama upo hapa 2024 tujuane kwa likes
@monicahmuigo5699
@monicahmuigo5699 Ай бұрын
Site
@Raitonkyando-sd7qo
@Raitonkyando-sd7qo 5 ай бұрын
Hivi Kuna watu wanasikiliza huu wimbo mwaka 2024 gonga like hapaa twende
@AllyJuma-ed9lj
@AllyJuma-ed9lj Ай бұрын
We acha2 tuna punguza mawazo sasa hiv haukuna nyimbo
@Kingsamurai254
@Kingsamurai254 Ай бұрын
Twende nalo
@BiddazTz
@BiddazTz 5 ай бұрын
Kama bado unaupa sikio huu wimbo 2024 Gonga like hapaaa tuondokee
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w 2 ай бұрын
Kaka huyu' Anapaswa'arudishwe tena kundini, na Hawa
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w 2 ай бұрын
Jamaa,,, Wanao,trend kwasasa"""*
@IDDMWENDO
@IDDMWENDO Ай бұрын
Jamaa alikuwa anajuwa kupangilia ujumbe na sauti pamoja...huu unanikumbusha nipo STD 7
@richardmagana4665
@richardmagana4665 22 күн бұрын
Mgosi wandima welda
@TarimozoneOfficaltz
@TarimozoneOfficaltz 9 күн бұрын
Kama unaskiliza huu wimbo 2024 nipe like zangu hapa
@Keba08xavier
@Keba08xavier 18 күн бұрын
Sio Tu 2024 hii ngoma ni 4ever ❤ kama unakubali gonga like
@Lifewithdeniskii75
@Lifewithdeniskii75 17 күн бұрын
💪🇰🇪🇰🇪
@martinnassary587
@martinnassary587 15 күн бұрын
ili ni Ngoma letu tutaishi nalo adi tamati boss
@Hatamiiddi
@Hatamiiddi 2 ай бұрын
Huyu mwamba so poaa aiseee wapo wanao usikiliza huu wibo gonna like Tujuane familia❤
@user-td6er6gx3h
@user-td6er6gx3h 12 күн бұрын
Nakubali San hii nyimbo naisikiliza 2024 gonga laiki apa
@user-ee9ye3qt6l
@user-ee9ye3qt6l 5 ай бұрын
Tunao sikiliza hapa 2024 tujuwane.❤
@RomwardNyoni-bb1hb
@RomwardNyoni-bb1hb Ай бұрын
Tupo
@charlesnzwalla3001
@charlesnzwalla3001 Жыл бұрын
Hivi bado kuna watu bado wanausiliza huu wimbo kama me 2023..tujuane kwa likes
@abdfattah883
@abdfattah883 10 ай бұрын
Tupo man
@HamisiMajuju
@HamisiMajuju 8 ай бұрын
Tupo
@isaiahonyango6082
@isaiahonyango6082 8 ай бұрын
Moto kama pasi big message
@user-fs3ir7bb5p
@user-fs3ir7bb5p 8 ай бұрын
Tupo
@IdrisaHaji
@IdrisaHaji 7 ай бұрын
Tupo
@francispaul5806
@francispaul5806 5 ай бұрын
It's now 2024 but still listening to this song. Najua sipo peke yangu, hebu tugonge likes za kutosha hapo wakuu.
@AishaAmiani
@AishaAmiani 5 ай бұрын
From 254
@user-rr8hu7sm6d
@user-rr8hu7sm6d 3 ай бұрын
Tuko wengi
@user-vl6hu5pu4g
@user-vl6hu5pu4g 5 ай бұрын
Sio kwa Tz tuu hata kwetu Burundi bado tuna enjoy leo 2024
@Yanga_tv
@Yanga_tv Жыл бұрын
TUNAO SIKILIZA MWAKA 2023 TUJUANE KWA KULIKE ❤
@evejap6887
@evejap6887 6 ай бұрын
❤❤❤
@user-gw2bl1od9g
@user-gw2bl1od9g 6 ай бұрын
😂😂😂
@IreneRaphael-wf3xz
@IreneRaphael-wf3xz 5 ай бұрын
Yan nmeshika tama
@celestinemuneeni5879
@celestinemuneeni5879 5 ай бұрын
Hata 2024 bado tuko😊
@CasianMakochi-en1bp
@CasianMakochi-en1bp 5 ай бұрын
Nipo hapa 2024😂
@Queendawn777
@Queendawn777 3 ай бұрын
After confession hapo social media kuhusu HIV nimeona nirudie huu wimbo,,, likes plz
@cheruiyoterick2306
@cheruiyoterick2306 5 ай бұрын
2024 and still feeling the beats with warning from ferooz
@benjaminhimba6348
@benjaminhimba6348 10 күн бұрын
Kuna watu waliopata maambukizi mapya wakisikiliza huu wimbo sijui wanajisikiaje na ugonjwa ulivyo hauna tiba. Duu lakini mitihani tu ya hii Dunia. Mungu atusaidie kila namna.
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 Жыл бұрын
Huu ni wimbo wa taifa kwa vijana wa tanzania lazima wapite kwqnza hapa kabla ya kula starehe ama baads ya starehe mm nipp hapa 2023
@auxgenmahewa5777
@auxgenmahewa5777 Жыл бұрын
Nikiwa mtoto kila mara hii nyimbo yaimba, nilikua nalia nashukuru Mungu kwa kunipa uzima mpaka huu mwaka 2022 bado naupenda huu wimbo... 🙏🇰🇪🇰🇪
@hanifahanifa7708
@hanifahanifa7708 Жыл бұрын
Aamin 🥰🥰
@antoneyclinch6510
@antoneyclinch6510 Жыл бұрын
Huu wimbo ulinifanya kuogopa madem sana sana,Kila mara nkiona Dem mrembo nlikua naona kifo na ferooz
@hanifahanifa7708
@hanifahanifa7708 Жыл бұрын
@@antoneyclinch6510 sio madem tu hata nyie boy
@BenardBittok
@BenardBittok 3 ай бұрын
Aki tulikua tunalia😂😂😢😢
@amirymuna7699
@amirymuna7699 4 ай бұрын
2024 mko wapi niwaoneeeeh tyyuuuu hata coment najua huu mziki utaukumbuka kwa enzi zako ndo anazawadiwa gari na hayati, kiongozi wetu,jemedari wetu mkapa daaaaaaaaaaah dunia inazunguka kwa kasi sana aseeeeh
@MussaSelemane-yz1cj
@MussaSelemane-yz1cj 16 күн бұрын
Huuu wimbo naukubali sana kwa mwaka huu 2024 🇲🇿
@harunaabrahaman1679
@harunaabrahaman1679 Жыл бұрын
Nyimbo bora ya muda wote Tanzania Kama wakubaliana nami like zenu
@robinapaul1185
@robinapaul1185 Жыл бұрын
Niko Kenya lakini Niko ndani
@iambillonair
@iambillonair Жыл бұрын
Kipi Sijasikia
@davidaguvasu4553
@davidaguvasu4553 Жыл бұрын
Hapa Kenya pia twaukubali
@geofreymamboleo7091
@geofreymamboleo7091 7 ай бұрын
Justice
@loydjpn
@loydjpn Ай бұрын
Nakubali
@djnickymosh7867
@djnickymosh7867 Ай бұрын
Ilikua moto 🔥 sana huku Kenya 2000s na baado inawaka 2024... I always love it
@trataofficial7706
@trataofficial7706 13 күн бұрын
2024 wenye bado tunakubali weka 👍 like
@jeremynganga8473
@jeremynganga8473 5 ай бұрын
2024 and still vibing to ferooz
@fuguremalone
@fuguremalone 4 ай бұрын
Pamoja sana
@user-zu1of2yh4m
@user-zu1of2yh4m 2 ай бұрын
mimi huwa naipenda sana
@omidopatrick9029
@omidopatrick9029 20 күн бұрын
tuko pamoja 2024,mungu awalaze mahali pema mbinguni waliouskiliza huu wimbo wakati huo gonjwa hili lilikua janga la kimataifa na wakafariki🙏👈,najua vitukuu na vitungule mtaskiliza huu wimbo 2090,muelimike kwa kuskiliza wimbo huu wa mababu zenu.gonga like hapo kama tunakubaliana,
@gibsonolaka4424
@gibsonolaka4424 Жыл бұрын
When music was music of lessons,2023 ndani from kenya
@andrew29468
@andrew29468 2 жыл бұрын
Huyu mtu anastahili kupata zawadi na heshima,huu ujumbe kamwe hautasahaurika Ilikuwa kazi nzuri alitumia akili nyingi.Hongera Feruz
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#hakuna nyimbo Dunia nzima kuzidi hii hakuna
@ngojwikeabdallah7382
@ngojwikeabdallah7382 Жыл бұрын
kweli mkuu umesema jambo la maana. ujumbe wao ni mzuri na haupitwi na wakati. BASATA kupitia maoni yetu waangalie namna ya kuwazawadia bwana Feruzi na Prof J kwa kazi yao nzuri yenye manufaa kwa Taifa na Afrika nzima kwa ujumla.
@nyambochristelle7640
@nyambochristelle7640 Жыл бұрын
@@ngojwikeabdallah7382 🙏🙏🙏😘
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
Alishapewa zawadi huyo mbona
@alfanabdallah4959
@alfanabdallah4959 Жыл бұрын
sahii yuko vzr huyu jamaa
@stoneboy3469
@stoneboy3469 5 ай бұрын
Tunao sikiliza hii ngoma 2024 love sana❤
@nancynyanchama3958
@nancynyanchama3958 6 күн бұрын
Listening to this jam still,Leo 21 June 2024 hii ndo nyakati huu mziki unafaa kupigwa❤
@mamawawili4069
@mamawawili4069 3 жыл бұрын
Hii nyimb imeimbwa kiukubwa zaid maan inamdundo na ushaur umoumo nimeiyelewa sana kma mpo mnaeisikiliz hii kwa hisia km mm tujuane kwa lik
@HassaniLubilo
@HassaniLubilo 4 ай бұрын
Imetisha
@lynnajema4163
@lynnajema4163 2 жыл бұрын
When music was real and full of lessons. Still one of the best to date. FEROOZ💖
@emillianamwendi4082
@emillianamwendi4082 2 жыл бұрын
Fact
@richardkaweda2861
@richardkaweda2861 Жыл бұрын
I do ask myself where such likes artist went
@nelsonwanyonyi1907
@nelsonwanyonyi1907 Жыл бұрын
Very true
@danemmamuziq9397
@danemmamuziq9397 Жыл бұрын
Honestly where did Ferooz disappear, he was greatly talented.
@adamshirima5880
@adamshirima5880 Жыл бұрын
Sure. The reality that the current generation is missing
@PacifiqueSumaili-xg5xk
@PacifiqueSumaili-xg5xk Ай бұрын
Nikasikiliza huu music, naipata uzuni kwa kuona ndugu zetu wanaopenda starehe za dunia😢😢😢
@user-to7fn6eu2h
@user-to7fn6eu2h 28 күн бұрын
Kama badooo una ukubaliii uuuu mzikiiii gonga like
@monjimonjitaiyai
@monjimonjitaiyai Жыл бұрын
Jamani naskiliza mwenyew 2023 kama upo nione like yenu 🥰🥰🥰🥰
@harrietjared698
@harrietjared698 9 ай бұрын
You are not alone!
@monjimonjitaiyai
@monjimonjitaiyai 9 ай бұрын
@@harrietjared698 🤝
@albinswai9227
@albinswai9227 9 ай бұрын
Naskiza now 2023
@methodnkundumukiza6367
@methodnkundumukiza6367 8 ай бұрын
Yan hizi ngom za kale🤣🤣🤣
@SaraJulius-on4ir
@SaraJulius-on4ir 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mfalmepeterekuwom9237
@mfalmepeterekuwom9237 2 жыл бұрын
it used to frighten me at my childhood...i thought he was dying but the message in it will reach my nephew in 2097,my generation will appriciate as i do
@janemukami4285
@janemukami4285 Жыл бұрын
I was frightened too
@elidenisnjagi2301
@elidenisnjagi2301 Жыл бұрын
Not to worry...surely it will for thy generations to come...ispokuwa magonjwa hubadilika
@elidenisnjagi2301
@elidenisnjagi2301 Жыл бұрын
@@janemukami4285 👍☝️
@gideonkiarie5744
@gideonkiarie5744 Жыл бұрын
Umeniteka pia
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 Жыл бұрын
Haudaiwi kwenye huu mziki
@ashleysimiyu2331
@ashleysimiyu2331 Ай бұрын
Huyu kijana alifanya nikaogopa Sana, mziki wake bado upo juu❤, much love from Kenya 🇰🇪
@okeamhanga4372
@okeamhanga4372 3 жыл бұрын
Wakati Hawa Maprofesa wanafundisha jamii Mimi nilikuwa bado sijazaliwa, naomba irudiwe irudiwe ❤️🇳🇴
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 3 жыл бұрын
Upo Norway sehemu gani
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
🤣🤣
@bonnykartelo7943
@bonnykartelo7943 3 жыл бұрын
Ausioo
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Mie pia naombeni maan yaleta mafunzo na si matusi masha allah ck hizi matusi had waona aibu kukaa kwa bus na baba mzazi kwa nyimbi za matus yaan zaman walikuw wanaimba nyimbo kweli watu walieenjoy kweli
@fatumasomo1830
@fatumasomo1830 2 жыл бұрын
Watoto mlale
@user-rn4pg5rm7p
@user-rn4pg5rm7p Жыл бұрын
wanangu sana huwimbo uki usikiya Huwa unawzanini mwakahu 2023 liki hapo tujuwane
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 2 ай бұрын
Nimejiskia leo kuja kuangalia viuwers tu za wamba wangu hat hivo so kinyonge San gonga like twende 2024🔨
@KutereSamuel-tn2hr
@KutereSamuel-tn2hr 4 күн бұрын
Mwezi wa 7 2024 gonga like hapa❤😊
@somalisujuu2592
@somalisujuu2592 Жыл бұрын
For those who will be here in 2040 kindly just know that this two guys were the best East African artists in our generation. So please never stop respecting and remembering them always. Keep this track in safe place even if KZbin will be no more.
@ShamuahMuhanguzi
@ShamuahMuhanguzi 9 ай бұрын
😂😂😂
@narcissekimpinde8515
@narcissekimpinde8515 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mamboemmanuel6152
@mamboemmanuel6152 7 ай бұрын
Mr Nice is laughing at this comment 😅😂
@shabankolia8204
@shabankolia8204 6 ай бұрын
True
@agun_machine
@agun_machine 2 жыл бұрын
Hawa jamaa walikuwa hawafanyi mziki kuhusu maisha ila walikuwa wanafanya maisha kwenye mziki🔥🙌
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 Жыл бұрын
I like this
@BaTafari1
@BaTafari1 10 ай бұрын
For real manze
@vicenthendry6051
@vicenthendry6051 20 күн бұрын
2024 mwezi wa 6 gonga hapa
@youngsegu8548
@youngsegu8548 2 ай бұрын
Tunaosikiliza huu wimbo 2024 piteni na kalike tukijuana🥰
@kassimsaid4696
@kassimsaid4696 Жыл бұрын
Jaman ndg zangu watanzania kama tupo hadi leo 02/04/2023 tunapaswa kumshuru MUNGU coz sio simple toka May 2001-April 2023❤❤❤❤❤❤❤😢😢😅😅😅😅
@EdyTulatuma
@EdyTulatuma 7 ай бұрын
Mungu naomba nilinde afya yangu
@EdyTulatuma
@EdyTulatuma 7 ай бұрын
Amen
@gehaziemmanuel9266
@gehaziemmanuel9266 2 жыл бұрын
Tunao mwombea prof. J apone tugonge like as an identity of prayers. We still in need of his part on music and politics for the national prosperous
@godlovejoseph8336
@godlovejoseph8336 2 жыл бұрын
hengera sana
@user-bs9jg9ok7y
@user-bs9jg9ok7y 12 күн бұрын
😢 tuu na fwata hii mziki kwa 2024 pika kelele mungu anetutoa mbari
@user-in1wv1nu9n
@user-in1wv1nu9n 5 ай бұрын
Tumeanza na hii ngoma usiku wa manane 2024
@youngbosskijanger2416
@youngbosskijanger2416 3 жыл бұрын
Ferouz kwa hapa ulichora sana brother, hii nyimbo itabaki ya kipekee sana, 2021*****√√√√√
@echibizzotejja8059
@echibizzotejja8059 2 жыл бұрын
Sawa
@nimbonajamilla6102
@nimbonajamilla6102 2 жыл бұрын
Kabisa
@mariammnderi7757
@mariammnderi7757 2 жыл бұрын
Hii uhakika
@shabankiliani8234
@shabankiliani8234 2 жыл бұрын
Daaa jamaa alichora akamaliza aisee hakuna wa kumlipa huu mchoro ni wakarne
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 2 жыл бұрын
Swadactor man ....
@codeproexperts9986
@codeproexperts9986 Жыл бұрын
We don't search for old songs.. We search for old memories. ❤️❤️❤️❤️❤️
@bellaachiengodhiambo6096
@bellaachiengodhiambo6096 Жыл бұрын
❤Very true exactly what am going thru right now
@kipkoechcheruiyot6013
@kipkoechcheruiyot6013 Жыл бұрын
​@@bellaachiengodhiambo6096 p
@piusporiot38
@piusporiot38 Жыл бұрын
Exactly old is gold I don't get tired listening
@winnieogola9612
@winnieogola9612 11 ай бұрын
yeeeees
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 10 ай бұрын
Sure sure sure brother 🤝
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j 3 ай бұрын
Dahhh hap ferooz ulitoa wimbo Bora WA Muda wote yaani WA millennium Mzee
@branifchagwa
@branifchagwa 19 күн бұрын
2024 hoyeee🎉🎉🎉🎉Moto Kama pasi....Huyu Feroooz yuko wapi jameni
@cyndy4994
@cyndy4994 Жыл бұрын
Who else was so afraid of this song,,first thing thinking he's dying for real,,alafu my mom used to tell us "mnaona vile mtakua mkipenda starehe"Sasa Mimi sikua najua ni starehe gani,,I thought kurelax ata kwa kiti was starehe,,but I came to know the meaning and I love this song,,the message is 🔥,, thank God I grew up with these songs,
@Misifa
@Misifa Жыл бұрын
Hahaha pole sana....kwahiyo umegundua ni starehe gan
@ramaahke512
@ramaahke512 3 жыл бұрын
Ferooz najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏🙏❤️😍🥰
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 жыл бұрын
🤲🤲🙏
@ramaahke512
@ramaahke512 3 жыл бұрын
@@azizahamisi7349 shukran
@pilitindwa6419
@pilitindwa6419 3 жыл бұрын
Amiin kaka, daah yn huyu jamaa namkubali sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤗🤗🤗
@ramaahke512
@ramaahke512 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 💋💋😍
@alfacharles3945
@alfacharles3945 5 ай бұрын
Tunao sikiliza 2024 like hapa 🎉
@eliemastilos6235
@eliemastilos6235 Ай бұрын
Ulizo langu je jamaa huyu angali duniani kweli hii ni vimbo ya nyakati zote unapoisokiliza
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Жыл бұрын
This man used to respect Rhythms and the rhythms respected him too
@auxgenmahewa5777
@auxgenmahewa5777 Жыл бұрын
Where did he went!!? The guy Is really talented not just a singer
@johariamaghu4738
@johariamaghu4738 3 жыл бұрын
Ukitaka kuchepuka tu sikiliza huu wimbo akili lazima ikukae sawa na hauwez kufikiria kuchepuka Teena🙏 ujumbe mzur Asante Ferouz
@yohanajackson4160
@yohanajackson4160 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 duh umefikilia kama mm hatareeee sana
@zamonya46
@zamonya46 27 күн бұрын
Hadi leo hii wimbo huu ni hit ❤❤ ,,hapa Kenya 🇰🇪 tunamheshimu huyu Ferooz kwa mistari
@harontallamkoskei9056
@harontallamkoskei9056 3 ай бұрын
Ni wimbo mahususi kabisa. Mara ya kwanza nauskizi wimbo kupitia mambo mseto na willy tuvu.kali sana
@lomuriajeremiah1541
@lomuriajeremiah1541 2 жыл бұрын
The best HIV AND AIDS awareness song in East Africa 🙏🙏
@mananievans3646
@mananievans3646 2 жыл бұрын
There is no HIV/ AIDS. That is propaganda meant to scare u
@sammiebarasa811
@sammiebarasa811 Жыл бұрын
💯
@petermalinda8888
@petermalinda8888 Жыл бұрын
True👍
@Euphoria2381
@Euphoria2381 Жыл бұрын
I couldn't agree more 💯 I use to cry so much listening to this song thinking he was going to die 😭
@murikiranjunge348
@murikiranjunge348 Жыл бұрын
Just remembered how this song scared the hell out of East Africans coz no one wanted to 'end up like Ferooz' .Good job Jay and Ferooz and Happy World Aids day to everyone. Continue getting tested and taking precautions. Let's all fight stigma which prevents infected persons from seeking treatment and taking Antiretroviral drugs.
@johnmande8154
@johnmande8154 Жыл бұрын
Wonderful advice brother
@ameruben2365
@ameruben2365 10 ай бұрын
What do you mean?
@AnguyoMusa
@AnguyoMusa 8 ай бұрын
@@johnmande8154
@FestoMalisati
@FestoMalisati 6 ай бұрын
Kweli Marathi ni kitu kingine, ukimwangalia pj kwenye hii nyimbo n'a alivo Sasa, huwezi kuamini. Tuzidi kumuomba mungu kwakweli
@samsonkiplagatchesire9121
@samsonkiplagatchesire9121 6 ай бұрын
Tunaoingia new year 2024 tukisikiliza tujuane kwa likes
@aminatumbo7410
@aminatumbo7410 3 жыл бұрын
Zama hizo mziki ulikua mziki haukua na ubaguz wala bifu wala matusi 🔥🔥🇰🇪🇸🇦
@bensonkazungu6388
@bensonkazungu6388 3 жыл бұрын
Nakupoza xana hicho kibao
@ophryntirnigaprod1263
@ophryntirnigaprod1263 2 жыл бұрын
Fact sms
@ophryntirnigaprod1263
@ophryntirnigaprod1263 2 жыл бұрын
Wangekua wanaimba Kama huyu kizaz kinakua ktk maono
@muganyizifilbert2609
@muganyizifilbert2609 Жыл бұрын
Jaman tuliopa1 kusikiliza huu mziki 2022 nione likes zenu....,.
@khadijaahmedy3210
@khadijaahmedy3210 Жыл бұрын
Huwa haiish Utam na ujumbe wa mafunzo
@leeroyoseko5251
@leeroyoseko5251 Жыл бұрын
Kuna funzo kuu huku
@athumangido5675
@athumangido5675 Жыл бұрын
@@khadijaahmedy3210 hhhhhu
@gaudancezawadi4084
@gaudancezawadi4084 Жыл бұрын
Aki. Haaa
@gaudancezawadi4084
@gaudancezawadi4084 Жыл бұрын
Akiananikupsha. Bali
@user-gu7ds1jh5t
@user-gu7ds1jh5t 9 ай бұрын
Sio sili jamaa alituelimisha kitambo hicho ndio hili gonjwa la ukimwi linachanganya 👍👍👍👏👏
@reenymadeba4298
@reenymadeba4298 Ай бұрын
Wimbo wenye mafunzo na tahadhari❤❤❤kitambo hii song huwa inanifanya niwe makini na kuabstain from segs 😅😅April 2024 mpooooo😊😊😊😊
@oyay2821
@oyay2821 3 жыл бұрын
Muziki ulianza mbali Ferooz na prof ni ma legendary
@richatforty8883
@richatforty8883 Жыл бұрын
This song will remain the best East African composed song for centuries. This post was written in 2022 , more than 2 decades after the song was recorded. If you are here in 3022 please leave a comment and always remember professor Jay and ferooz
@iradukundabodin2245
@iradukundabodin2245 Жыл бұрын
Hahahh you comment is also art
@Youngreefa
@Youngreefa Жыл бұрын
3022 bro!!!!!
@samuelbrown9725
@samuelbrown9725 Жыл бұрын
3022...damn!!!
@elondesignske
@elondesignske Жыл бұрын
I am here at 3022, how I wish I had met you back then in 2022... How was life then?
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 Жыл бұрын
Here I am year 3023 💪🏾💪🏾💪🏾.
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 4 ай бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 20..✨🎇 Everlasting masterpiece🎉
@FattyDapetty-tj9vr
@FattyDapetty-tj9vr Ай бұрын
Ay wale wa mwez wa5 2024 tujuane mana tunakimbilia kugawa mwez
@tumainikyomo5646
@tumainikyomo5646 3 жыл бұрын
Kweli hii ndio miziki ya maadili sio iyo mingine
@yahyamussa1125
@yahyamussa1125 3 жыл бұрын
Huna mbaya Feroouz hakik hii ngoma itabakia kweny Trending milele yn
@levygasper7438
@levygasper7438 21 күн бұрын
inabidi uongenzwe tuzo nyingine kwasababu ngomba haijapata mpinzani 2024 bdo Moto
@amifideleamie1998
@amifideleamie1998 29 күн бұрын
Kbs hii wimbo ili nifanya niogope ukimwi sana ndani ya utoto wangu ,Asante sana ferouz
@josephjoseph8982
@josephjoseph8982 Жыл бұрын
The old school will never expire because of the strong message and they loved what they were doing it was not only for money it was both money and to educate the society . this song is still educating society today
@rasuluhkanju2231
@rasuluhkanju2231 Жыл бұрын
𝐨𝐟𝐜𝐨𝐮𝐫𝐬𝐞 𝐟𝐮𝐜𝐭
@fvkUis357
@fvkUis357 Жыл бұрын
2023 am still bumping, wakenya wangapi tumefika humu huu mwaka???
@barakapallangyo-zf9ge
@barakapallangyo-zf9ge 6 ай бұрын
Ilo ni somo mtu wangu make vijana wa siku hizi popote kambi baada inakuwa kamaa jamaa anavyo imba
@husseinally5550
@husseinally5550 8 ай бұрын
Dah siku zinaenda.Hawa ndo wasanii wa maana.sio kuimba uchi tuuuuu mapenziii ..wasanii wasiku hizi pumpafu tuuu
@brunomasebo5040
@brunomasebo5040 2 жыл бұрын
If you are here in 2070, know that l was here before you. This is great song that made our childhood. Music with real message . 🇹🇿🇿🇲
@CJPETER254
@CJPETER254 2 жыл бұрын
Niko ndani 2022
@densytechcreations1521
@densytechcreations1521 2 жыл бұрын
😂😪😪😪
@evalunamakena1399
@evalunamakena1399 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪niko pia
@sportscodesentertainment2753
@sportscodesentertainment2753 2 жыл бұрын
Hahaa
@johnoyamo3374
@johnoyamo3374 Жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣
@user-qk3wc9kf2b
@user-qk3wc9kf2b Жыл бұрын
This song holds a special place in my heart. My uncle, who passed away a few years ago, taught me this song and its message. Every time I listen to it, I remember him and the valuable lessons he gave us when we were young. The lyrics are powerful and the melody is beautiful, and I hope this song can continue to raise awareness and inspire others to make healthy choices. Thank you for sharing this meaningful piece of music. RESPECT 🙏
@Mussa_Daude
@Mussa_Daude Жыл бұрын
Please translate for me briefly
@BrendahChepkoech-lq3ip
@BrendahChepkoech-lq3ip 11 ай бұрын
This song taught me a lot of things I hope this masterpiece teaches this generation
@SavaiSylvia
@SavaiSylvia 9 ай бұрын
​@@Mussa_Daudeit's about a man who talks about how he wasted his life by sleeping with multiple of women who end up giving him Aids now he regrets it and saying bye to his relatives, friends and all the places he lived
@Mussa_Daude
@Mussa_Daude 9 ай бұрын
@@SavaiSylvia so heart touching story indeed, thanks very much for the information I really appreciate it!
@AnguyoMusa
@AnguyoMusa 8 ай бұрын
@@SavaiSylvia
@user-ib2ns8kf9h
@user-ib2ns8kf9h 15 күн бұрын
Wimbo wangu Bora wa muda wote
@peterganga9924
@peterganga9924 7 ай бұрын
Kama ulikuwa huujui mchango wa professor jay kwenye hii nchi njo usikilize hii nyimbo unaambiwa kipindi hicho hadi mkapa katoa benzi✍️
@mabitajunior
@mabitajunior 2 жыл бұрын
The song that brought a change of life for the youth in East Africa with a clear and positive message{Respect}
@opifeniasidra4960
@opifeniasidra4960 Жыл бұрын
Yes yes✌️🙏
@martinodhiambo-ww7eg
@martinodhiambo-ww7eg Жыл бұрын
Fo sure
@acholrecheal8201
@acholrecheal8201 2 жыл бұрын
I respect Alikiba , Diamond and Harmonize But The crown is for Ferooz ...He is unbelievable Love from Juba South Sudan
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 2 жыл бұрын
But Alikiba is better than all
@rileyfreeman7094
@rileyfreeman7094 2 жыл бұрын
@Achol recheal so true. He killed this beat🔥. Scary though 😂😂
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 жыл бұрын
@@mabenzimabenzi4348 sure
@jeremiahsanare8754
@jeremiahsanare8754 2 жыл бұрын
Visit Tanzania 🇹🇿
@ibrahimgerrard611
@ibrahimgerrard611 2 жыл бұрын
Gudele blok 9 juba I second
@user-xl4bq1xn7x
@user-xl4bq1xn7x 3 ай бұрын
This song is the best ever,starehe gharama,Kwa kisasi Cha Leo jichungeni sana.
@kichecheBurund
@kichecheBurund Ай бұрын
Ferooz 2024 bado nakukubali .kutoka inchini BURUNDI 🇧🇮❤❤
@samsonmajimbo829
@samsonmajimbo829 2 жыл бұрын
Still trending 2022. Best of the old skull
@abdallahmohammdullaed8969
@abdallahmohammdullaed8969 2 жыл бұрын
VP
@finestpro9723
@finestpro9723 2 жыл бұрын
Did Farooz die??? Or he is there
@gideonmarwa6347
@gideonmarwa6347 2 жыл бұрын
@@finestpro9723 he is there
@evalunamakena1399
@evalunamakena1399 2 жыл бұрын
2022 niko pia
@hocymaxxawe1932
@hocymaxxawe1932 2 жыл бұрын
Am here 2022
@amosyohana5351
@amosyohana5351 3 жыл бұрын
Ferooz unakwama wapi kurudisha heshima ya bongo flava 2021
@jacklinendimbo4529
@jacklinendimbo4529 4 ай бұрын
Profesa J voice❤ jaman tuishi tukimtukuza Mungu saiv et hawez hat kunyanyuka😢😢😭😭
@ramadamasco9242
@ramadamasco9242 Ай бұрын
Uandishi WA ferooz upo nxt level Huu ujumbe unaishi mpka leo
@arthurmariita4836
@arthurmariita4836 Жыл бұрын
2023 but this song is still one of a kind. Bravo!!
@chepkemoijuliet1028
@chepkemoijuliet1028 Жыл бұрын
Same here
@sibomanaemmanuel3159
@sibomanaemmanuel3159 2 жыл бұрын
These 2 legends use to be the greatest musician in East africa and congo 👏🥰 can’t get enough
@lamayzojahpeng7115
@lamayzojahpeng7115 2 жыл бұрын
uko wapi
@footballcombo2993
@footballcombo2993 Жыл бұрын
Jose chameleon
@JacksonMaimu
@JacksonMaimu 8 күн бұрын
2024 mwez wa 6 tunaoangaliaa bado hiii ngoma gonga like
@joshualaizer1707
@joshualaizer1707 16 күн бұрын
Hiii nyimbo aseee n Zaid ya nyimbo 🏆🏆🏆
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Nakumbuka miaka 18 iliopita mara ya kwanza kuusikia wimbo huu, hongera sana Ferroz wimbo bado mzuri hadi leo. 30.01.22.love from Switzerland.
@neemadaud7470
@neemadaud7470 Жыл бұрын
Jaman napenda hiyo nchi bcz walileta umissionary Tanzania kanisa la FPCT I wish one day I will come so congratulations
@gaudancezawadi4084
@gaudancezawadi4084 Жыл бұрын
Uyo. Mtu. Alitumia. Akili. Kuimba. Iyo. Wimbo. Inatufunsa. Mengi
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
@@gaudancezawadi4084 ni kweli kabisa ni kijana mwenye kipaji sana..12.11.22.
@gaudancezawadi4084
@gaudancezawadi4084 Жыл бұрын
Ukueli. Alitumia. Akili
Professor Jay ft Ferooz - Nikusaidiaje
4:57
ProfessorJay
Рет қаралды 6 МЛН
Zanto Ft Pingu | Binti Kiziwi | Official Video
4:53
Mziiki
Рет қаралды 7 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 19 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,4 МЛН
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 50 МЛН
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 18 МЛН
Boss (feat. Ferooz & Juma nature)
7:26
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 41 М.
Tundaman Featuring Spark & Madee  -   Nipe Repoti (Official video)
5:01
Comedians dancing to MARIAROZA by EDDY KENZO.
3:59
Eddy Kenzo
Рет қаралды 44 МЛН
Ferooz - Wema Umeniponza ( Official Video)
6:09
FeroozMusic
Рет қаралды 292 М.
BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA
5:19
ElodieMelodie
Рет қаралды 7 МЛН
Matonya featuring Lady Jaydee - Anita (Official Music Video)
5:31
Zali la Mentali Prof Jay fet Juma Nature
6:09
ProfessorJay
Рет қаралды 8 МЛН
Алмасхан Насыров - Ауылға барасың ба? (official video) 2024
4:14
Алмасхан Насыров
Рет қаралды 118 М.
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 657 М.
Райымбек Нысанбек - Сүйдім аруды
3:39
Райымбек Нысанбек
Рет қаралды 68 М.
Sadraddin - Если любишь | Official Visualizer
2:14
SADRADDIN
Рет қаралды 696 М.
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 450 М.