MLINZI WA MOCHWARI AFUNGUKA JINSI ALIVYO SHINDWA KUVUMILIA NA KUFANYA/NA MAITI /NDOTONI

  Рет қаралды 1,297,153

FETY MEDIA

FETY MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 593
@ElishaMakuza-i2p
@ElishaMakuza-i2p Ай бұрын
Ndungu yangu usiofu kaka omba Toba Kwa Yesu maana Yesu Yu Hai maana uo niushunda mkubwa sana mwombe Yesu Awaa okoe na wengine Yesu Akubariki Asante
@MeshackKaaya-nh9ln
@MeshackKaaya-nh9ln 3 ай бұрын
Utamtamanije maiti arifu unazingua sana
@samiramhina4762
@samiramhina4762 Жыл бұрын
Mmmh Mpaka ninaogopa
@bonaiko2983
@bonaiko2983 Жыл бұрын
Nowadays,,, life ni kuwa mjanja. Be creative....
@Zainabu-z1e
@Zainabu-z1e Ай бұрын
Dugu yangu omba to a kabla hujafa mungu atakusameh t
@adinanimjomba2338
@adinanimjomba2338 2 жыл бұрын
Nitaftie Raman mwanangu
@OtomaniWaziri
@OtomaniWaziri 16 күн бұрын
Apo hupo kwenye upambanaji una laana tubu Kwa yesu
@justersmatiko3553
@justersmatiko3553 Жыл бұрын
Kazi ya mochwari mtu upitia mafunzo natilia mashaka na wajiri wako la mwisho mdogo wangu ushamba
@AnoldLyimo-h1e
@AnoldLyimo-h1e 11 ай бұрын
Muongo huyu dogo hii story yapili naona wanamtumia vibaya kupata likes tuu
@elizabethbora9985
@elizabethbora9985 11 ай бұрын
Tabia mbaya God apendi
@salmaayubu5238
@salmaayubu5238 2 жыл бұрын
Msenge kwel huyu km serekal inaskia akamatwe harak San hafai hat bule
@CastrbBizzo
@CastrbBizzo 2 ай бұрын
Ila mi naona wanaofanya kaz mochwar sio mlinz sio madocter i think wote akili zao zinatokaga aiseee yani kumnyoosha maiti sio kawaida ujue
@julianashani9408
@julianashani9408 Жыл бұрын
mbona hii n movie, hapo hakuna kaz ya mochwari wala nn, kfup we n shoga wala so kjana n mpuuz tu
@luobae4128
@luobae4128 Жыл бұрын
😆😆😆alitamani ngono huyu
@jairaskachelo2039
@jairaskachelo2039 Жыл бұрын
Hahahahahahaha 😂😂
@calistisulley9476
@calistisulley9476 Жыл бұрын
Hiii taarifa ni ya ukwel
@frankamash
@frankamash Жыл бұрын
Unless pia wewe hujijui kama yeye
@salmantezrush2300
@salmantezrush2300 2 жыл бұрын
Wanaosema iyo kazi lazima akue amesomea la tunaishi ju ya connections wenye wakona adi madiploma wengi hawana kazi
@HajraAlly-jo8zf
@HajraAlly-jo8zf 7 ай бұрын
Mjinga kwelikwel tamaa t omb kwamollah wako San nyooo huna hata haya wanawake dunian kibao nyiye ndo wale mnalal ht na wanyam ach tamaa huk ni kuto mjua Allah inalillah wainailayh rajiyghn
@asmaramadhan4866
@asmaramadhan4866 Жыл бұрын
Taften kiki nyengin musitafut kiki kwa mamb sioo
@anthonyngocihkisilu2973
@anthonyngocihkisilu2973 Жыл бұрын
Nonsense.... uongo mtupu...kuharibu bundles tu
@HalimaHerman-r9f
@HalimaHerman-r9f Ай бұрын
Nyie kilamtu anasimulia kilicho mkuta acha asimulie maisha nisafarinzito acheni kumziaki mbona nyinyi amjasimulia zakwenu?😮😮😮😮😮😮
@KHalidi-dn8kt
@KHalidi-dn8kt 5 ай бұрын
Jamani nduguzangu nikweli siyo uwongo uyo dogo ni mdogowangu anachosema ni kweli
@HusseinSalimu-k1s
@HusseinSalimu-k1s Ай бұрын
kikubha alichofanya nikosa sana Allah amsamehetu
@AlfaniMohammed-zk1hn
@AlfaniMohammed-zk1hn 4 ай бұрын
Kichwa kimejaa maji huyo bwana mdogo hii ndo tanzania, ya sku za mwisho
@shabanially7226
@shabanially7226 5 ай бұрын
Kwanin unasema wakati uliamua kufanya naukasubutu ok haikuwa nahaja yakkusema bhana ,,hujawa tajiri mpaka utoesiri ya kaz so bado unafait unajaharibia,,,take care my friend,
@fireboyfireboy-ib3of
@fireboyfireboy-ib3of 7 ай бұрын
mbn mewek picha ya uyo jojo sasa kwhy ndo mait mwenyew au
@AshrazyMassaweh
@AshrazyMassaweh 8 ай бұрын
P0le mwaya ila mh tue makin wa vijana
@RizikiMkombe
@RizikiMkombe 10 ай бұрын
Wewe ni kweli umefanya hivyo Basi omba toba kwa mwenyezi mungu akusamehe Kama unataka kick shauriako mwenyewe mungu atakuonyesha
@PatrickAron-qo9qj
@PatrickAron-qo9qj Жыл бұрын
Nenda kanisani ukaombewe toba na uokoke
@williamdouglaskiondo8270
@williamdouglaskiondo8270 2 жыл бұрын
Sijui kwann nimeiangalia mpka mwisho upuuzi shwaain
@bonifacemsimbehuto6710
@bonifacemsimbehuto6710 9 ай бұрын
Huyu mtoto alietembea na marehemu kama kweli alifanya hivyo alaaniwe milele. Na ninyi warusha stori za hivi iwe mwanzo na mwisho wenu. Siyo sifa kutembea na marehemu wa watu. Ni ushenzi sana
@SabatoBenson-y6s
@SabatoBenson-y6s 11 күн бұрын
wengine ni pepo syo hvyo mungu awasaidie2 wabadilike
@LovenessJamess
@LovenessJamess 2 ай бұрын
Mmmmmh pole sana mungu akusaidie sana 😢😢
@WinifridaMakala
@WinifridaMakala Жыл бұрын
Liongoo😂
@BensonKajongolo
@BensonKajongolo 10 ай бұрын
Du,,,,! Pole saana mdogowangu hayo ndio maisha
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Uyu aliota na kma akua ndoton bac alivuta bangi ndo akajiwa na hii stori ya uongo kuku wew wakufugwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@Niyonzimarwubakadaniel-wm4hm
@Niyonzimarwubakadaniel-wm4hm Жыл бұрын
Kazi nikuwaombeya walinzi mochwari
@LucasRobert-q6i
@LucasRobert-q6i 7 ай бұрын
Weweeee kijana huna ata aibu kusimulia mbele ya hadhira kweli ulikifanya kwa hakri Yako ni sawa kweli kwann usingepambana na misha Yako tu
@ShabaniKigalu
@ShabaniKigalu 23 күн бұрын
navip kuhusu familiya ya huyo bint baada ya kusikiya hiz lipot
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 9 ай бұрын
Mwandishi na anayehojiwa wote wamekosa hofu ya Mungu. Hii siyo history ya kuweka hadharani ni ushetani haina faida yoyote kwa jamii.
@JacobMasha-fm5yd
@JacobMasha-fm5yd 12 күн бұрын
Waaaa kaka omba mungu atakusaidia kaka ulilofanya sio jambo larahisi.
@MaryCharlesSewando
@MaryCharlesSewando 7 ай бұрын
hahhaahhahah upewe salute kutembea na maiti so powa 😂 umeupiga mwingi kijana mjinga😅
@ZulfaSengo
@ZulfaSengo 6 ай бұрын
Mmhk kwakwel uyo kijana wa ovyo
@vyonalisa1207
@vyonalisa1207 2 жыл бұрын
Boring end
@salminmabrouk5433
@salminmabrouk5433 2 жыл бұрын
Huyu shetani mkubwa du
@preciousivan3291
@preciousivan3291 2 жыл бұрын
Du pole uyo kaka msameni shetani alipita
@MichaelMatemula
@MichaelMatemula 2 ай бұрын
Msenge sana daaah Yan we ni muongo maiti huyo ulimlala kwan mlinzi ulikua wewe mwenyewe acheni hizo pigo za kutunga uongo ili kupata fedha
@sharifumussa9416
@sharifumussa9416 2 жыл бұрын
mnafiq mkubwa wewe maiti yakike haikoshwi na wanaume
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 Жыл бұрын
Kumbe ni kahongo haka kajamaa
@asmahhamis9416
@asmahhamis9416 Жыл бұрын
Hivi hii story iliendelea jamani maana siioni muendelezo
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm Жыл бұрын
Story za kutunga
@edgarwilliam3363
@edgarwilliam3363 Жыл бұрын
Mnafki mnafki
@petertemba9048
@petertemba9048 2 жыл бұрын
Kufanya kazi mochwari ni kazi kabisa uwe na vyeti vya mafunzo..
@LilyNkwaya-zs8qe
@LilyNkwaya-zs8qe Жыл бұрын
Ni kweli postmutum paka uwe na mafunzo ya corps manadgement
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 8 ай бұрын
Noma sana
@CharlesChacha-jz4yi
@CharlesChacha-jz4yi 7 ай бұрын
Mlinzi hahitaji kua na shehada bora awe anajua kuongea na kwandika 🤣🤣
@ibrapawacr7120
@ibrapawacr7120 3 ай бұрын
Sure. it's a big Lie
@HalimaHerman-r9f
@HalimaHerman-r9f Ай бұрын
Yale yalikuwa nimajalibu na maisha lazima ujalibiwe alikuwa anajalibiwa
@adammakame63
@adammakame63 2 жыл бұрын
Hii media ifungiwe kuleta upuuzi huu
@hassaniamiri5594
@hassaniamiri5594 2 жыл бұрын
Mbn uyu dogo ana story za uongo??, Hem achen unafk bhn,
@zeinabbakari8242
@zeinabbakari8242 2 жыл бұрын
Weeeh dunia imeisha yani hisia zinatoka wapi kwa maiti ? Io ni laana
@usrahismail3196
@usrahismail3196 5 ай бұрын
Kusema mtu ni mzuri siyo hisia kwani ukise ma mbaya unakuwa wa hasira
@bhokejaqulineelias4197
@bhokejaqulineelias4197 2 жыл бұрын
Acha uboya kwanza wanaofanya zile kaz nati Moja haipo we mtanashat hivyo eti tu ili update kick nyoooo macho yanaonyesha mwongo😠😠😠😠
@DeboraZakaria
@DeboraZakaria 2 ай бұрын
Kjan mzuri Ila unahatari
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 жыл бұрын
Hivi ndugu zake wakikusikia kwa kuzini na marehemu dada yao unafikuli itakuwaje
@ramhatemba9162
@ramhatemba9162 2 жыл бұрын
Acha uongo maiti ya kike uoshe wewe mtto wa kiume duh hz zitakuwa laana mjinga wewe
@desideliusleonidas9742
@desideliusleonidas9742 Жыл бұрын
Acha mamb ya ajbu hayo ni matatzo tu sas mtu kutoa ukwel ni dhambi
@tawfiqfarajimrisho2434
@tawfiqfarajimrisho2434 Жыл бұрын
​@@desideliusleonidas9742 subiri akifanyiwa ndugu Yako uone kama utsema hvyo kakades
@kaizanyangabo2325
@kaizanyangabo2325 2 жыл бұрын
Sio maadili ya kiutumishi tumieni kick nzenye madili na sio ujinga huu huwezi kupata kazi ya ulinzi wa mochwar bila kupewa kiapo Cha maadili acha ushamba kuzalilisha fani za watu kenge mkubwa
@ussenemunalaga2558
@ussenemunalaga2558 2 жыл бұрын
Kabisa, unasomea kama wanavyo somea fani zingine. Sio mtu tuu kukurupukia
@issachege5606
@issachege5606 Жыл бұрын
Watu wanavunja vyapo kwani vyapo Nini? Unamkumbuka judars Iscariot kwenye biblia aliahidi awezi kumkana yesu masia ila lipi lilitendeka siku yatatu? Binadamu ivo tulivo viumbe dhaifu Dana mno
@Denzzotz
@Denzzotz 10 ай бұрын
Wewe inaonekana unafanya kazi mochwali maana umetumia sana
@SalmaSaid-q3k
@SalmaSaid-q3k 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@SteveOdera-yx6xl
@SteveOdera-yx6xl 9 ай бұрын
​@@ussenemunalaga2558😅 0:02
@Azamwaziri
@Azamwaziri 3 ай бұрын
Shetani umepitia huyu kijana MUNGU amsamehee.😊
@devidremenga3454
@devidremenga3454 2 жыл бұрын
Dogo mwenyewe hata miaka 10 hana atafanya kaz moshwali
@vivianremig8524
@vivianremig8524 Жыл бұрын
😃😃😀 Miaka 10 kabisa labda 14
@HurumaMligo
@HurumaMligo Жыл бұрын
Kwanz ata akil haijakuwa, Kul lazm uw umejitoa kufany. Kaz atahv ilitakiw awe mkubwa atreast
@BanjoMamelody
@BanjoMamelody Жыл бұрын
Maajabu kutoka duniani tazama
@fababindawood8363
@fababindawood8363 2 жыл бұрын
Huu ni uwongo huyuu mwenye channel anatafuta views mahojiano yanaukakasi hayana ukweli kabisa
@SideRamso-oh4fs
@SideRamso-oh4fs Жыл бұрын
Waongo stor za kutunga izo..
@Shaimaa-i2w
@Shaimaa-i2w 10 ай бұрын
Shale ulikataa saizi waongea uwongooo
@YasintaMlay-x7w
@YasintaMlay-x7w 6 ай бұрын
Yaan stori lenyewe halielewek,,,mwandishi nae hajielew,,,hajui hata ethics za mwandishi,,,washenzi tyuu wote kufen na nyinyi Bata maji kwel na mkofia wake kama uyoga,,,mfyuuuu bangi achaa mtt
@passuamasangula2984
@passuamasangula2984 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Dgo Si Bora Ungepiga Master Tu Kak... 😅😅😅😅😅😅 Dahhhhh... We 2much Asee.
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 Жыл бұрын
hivi hizi media zinatufikisha wapi? upuuzi ,upuuzi,upuuzi.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@frankdanford8245
@frankdanford8245 Жыл бұрын
STORY HII KAI COPY NA KUI PASTE KWAKE NIMESHAISIKIA HII STORY KUNA MKENYA MMOJA AMEISIMULIA MIAKA 3 ILIYOPITA. MPUMBAVU WEWE YAANI UTENDE MAOVU KWENYE HOSPITAL ZA GOVERNMENT ALAFU ULETE SURA YAKO MBELE ZA VIDEO USEME UNGESE WAKO. HOSPITAL ZENYE MOCHWARI KWA TZ HII 99% NI ZA SERIKALI TU
@SeifJuma-l8t
@SeifJuma-l8t Ай бұрын
Afu so kusema kijan kafanya na maiti kumbee ni uwongo story haiendan na kichwa cha habal wee mpuuz kwel unamualibia dog cv yake tafta vitu vya kuposti co kuweka habar za uwong
@clintonyjustine
@clintonyjustine Жыл бұрын
Daaaah jamaa ana ugumu ko bora apige puchu tu mpaka ing'oke
@ezreekboetz3432
@ezreekboetz3432 2 жыл бұрын
Uongo uongo huo ni uongo bhana
@shaibukilembo2749
@shaibukilembo2749 9 ай бұрын
Duuuuh pole sana
@benardbwanali611
@benardbwanali611 2 жыл бұрын
Ahwwa wandishi wa Mika hii wajinga story gani hii mbwa nyiyee acheni ujinga mnamuoji mtu chizi kabsa huyo acheni ushenzi
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Mimi naomba Serikali itenge Vyumba vya Maiti Kama walivowatenganisha Wodini,Wanaume wasitiriwe na Wanaume na Wanawake wasitiriwe na Wanawake Hospitali zote.(MOCHWARI).
@annamlozi4538
@annamlozi4538 5 ай бұрын
Point yako nzuri Saaaaaaana. Hata huu owongo usigeuke kuwa ukweli na wasipate pa kusingizia.
@annamlozi4538
@annamlozi4538 5 ай бұрын
Inatakiwa SERIKALI ilitazame hili.
@OtomaniWaziri
@OtomaniWaziri 16 күн бұрын
Kaamua kusema hatujui jambo Gani limemsibu dada dogo hafai Kwa kweli Hela iz ndo maana tuwe tunaziosha na spirit kabla ya matumiz
@JoakimuKavusha-bg5xr
@JoakimuKavusha-bg5xr 8 ай бұрын
Acha uwongo
@HalimaHerman-r9f
@HalimaHerman-r9f Ай бұрын
Ulaaniwe na www una semaivyo kwamwenzako arivyo jalibiwa naww yakwako vp? Nani akulaani Sasa ayo anasimulia mapito yake jamani eleweni ivyo ajaanza kuyapitia yy Bora ata yy ukasema vp wario nyamaza
@piusmajo8133
@piusmajo8133 2 жыл бұрын
Duh!!! Kabisa ulifanya?
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Mi naona alifanya kwenye ndoto uyu 😂😂😂😂
@piusmajo8133
@piusmajo8133 Жыл бұрын
@@neemamzande8547 kazidiwa tumuache tu
@HakizimanaJimmy
@HakizimanaJimmy Жыл бұрын
Niatali
@samwelcharles1349
@samwelcharles1349 4 ай бұрын
Marehem mwajuma, jeneza la nini??? Tafuteni Kiki zingine, japo mb zangu mmekula c mbaya
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Wewe umelaaniwa huwezi kusema maneno kama hayo wewe umekosa akili hata ngombe hawezi kufanya jambo hilo wewe umekosa dini na imabi
@AugustinoNyakunga
@AugustinoNyakunga Ай бұрын
Wewe nimuchafu ulalaje namaiti au unataka kuuza jina tu acha uchafu kijana wewe bado kijana mdogo sana unadhalilisha wanaume mjinga kabisa
@RucyMakapa
@RucyMakapa 26 күн бұрын
Nyie waandish kuna mambo mengine haipasw muyarekodi changamoto kull na mait c usenge huo
@Shukrani-e2f
@Shukrani-e2f 9 ай бұрын
Huyu dogo na mdomo wake kama samaki Tasi ni muongo aisee inaonekana ni kichaa sema hajitambui unatunga story kupotosha umma WTF
@AishaAthumanimohamedi
@AishaAthumanimohamedi 7 ай бұрын
Sula yake tu maelezo tosha ni muongo ,mue munaangalia na vitu vya kuzungumza,ona hata maelezo yake yaubabaifu huuyuu achukuliwe hatua
@ChristopherMichael-fk4nu
@ChristopherMichael-fk4nu 3 ай бұрын
Uongo! Hakina mtu anaeweza kufanya mapenzi na maiti. Mm kumshuhudia tu najikaza....
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
Mungu bariki vijana wote wanaotafuta kwa shida
@MatikuKibwana
@MatikuKibwana Ай бұрын
Nashkur wewe kumkumbuka mung by aman
@ElishaMakuza-i2p
@ElishaMakuza-i2p Ай бұрын
Amina
@mehmemtonga1536
@mehmemtonga1536 Жыл бұрын
Wewe nimuongo nani ariekuwajiri mochwari .mochwari uwajiriwa watu wenye vyeti sawa wewe muhomgo unataka kiki
@goldenonlinetv2077
@goldenonlinetv2077 Жыл бұрын
Hana utafauti na ugali na sukari 🤣🤣🤣🤣 mbn sura kama Ile ile
@esthergoldenheart9478
@esthergoldenheart9478 9 ай бұрын
Hii story niya mtu mwingine ambaye alitafutiwa kazi na mchipuko wake aliyekuwa daktari Magdalene na huyo aliyeletwa si msichana ila ni mzee na hiyo story ilikuwa yakulisha sana
@GoodluckAyo-no9en
@GoodluckAyo-no9en 3 ай бұрын
Hongeren kwabiashara ya maneno
@bernardjohn6571
@bernardjohn6571 Жыл бұрын
Inamana wwe mwandishi umekosa habari au ndo mambo ya unatafuta pesa au ndo ujanja wako umehishia hapo ndo mpaka story za machizi unarusha hewani kwerii stori gani hyo
@SaladoAbdi-y8c
@SaladoAbdi-y8c Жыл бұрын
Wasituletea bangi zao...where is evidence kama video...picha...
@bernardjohn6571
@bernardjohn6571 Жыл бұрын
Huwezi kuitaja jina kwa sababu wewe muongo na mzushi chizi bangi zinakuzinguah
@ruthycharles9378
@ruthycharles9378 Жыл бұрын
Ujinga brooo
@SumeiyaBakari-oy4fq
@SumeiyaBakari-oy4fq Жыл бұрын
Uo ni uogo kwanza wewe bado mdogo uwezi ajiriwa mochwari mana mochwari mpaka usomee acha uogo
@njungunajohn-ri4kd
@njungunajohn-ri4kd Жыл бұрын
Dunia ina mambo
@AminaMaruzuku
@AminaMaruzuku 4 ай бұрын
Assalaam alaikum hukupaswa kueleza makosa mtandaoni tubu kwa mola wako hii ni siri yako
@WardamssamiMssami
@WardamssamiMssami 2 ай бұрын
Nyie muoneni muongo ilo ni jepesi alilosema kuna mazitobzaidi ya huko
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Uongo wa pili hakuna monichwari yoyote mwanaume anakosha maiti ya kike huyo ni muongo
@MaikoBoy
@MaikoBoy Жыл бұрын
Huyo ni muongo, Mwajuma ni islamic itakuwaje kuwekwa mochwal
@jacksoniritte6523
@jacksoniritte6523 2 жыл бұрын
We muongu na mundashi muongo Mnatuseti bn
@WinifridaMakala
@WinifridaMakala Жыл бұрын
Uongo mtupu
@saadsaid-qz7ze
@saadsaid-qz7ze Жыл бұрын
Uyu jaa nimuongo anavyo adisia kama anahadisia mpila mh co kwer
@annamlozi4538
@annamlozi4538 5 ай бұрын
Mfukirie tuu hata anaemhoji!!!!!
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 2 жыл бұрын
Huyu dogo mnamtumia vibaya 😂✋ hii story yake ya pili naiona
@hassaniamiri5594
@hassaniamiri5594 2 жыл бұрын
Kweli kak hawa wanaedit story, yan uongo mtupu
@florahsungura564
@florahsungura564 2 жыл бұрын
Eti kama amerara,stupid kabisa, huyu kweli kichwa chake kimejaa vumbi,mtoto mdogo kama huyu ujinga mtupu,hekima hakuna kabisa kwanini Fety Media mnakubali kufanya upuuzi kama hui nq hawa viumbe wasio na maadili??zile sheria na taratibu za kazi zimepotelea wapi?mamlaka husika wanapaswa kikamata vijana kama hawa kusaidia polisi,huu ni zaidi ya ujinga
@vctor6768
@vctor6768 Жыл бұрын
Alaa hadithi zote kumbe
@demolenebooysen2085
@demolenebooysen2085 Жыл бұрын
Huyu jumaa ni kiboko naomba link ta story yake nyingine
@eddymasoud11
@eddymasoud11 10 ай бұрын
5
@SteveMunis-e3e
@SteveMunis-e3e 9 ай бұрын
Achen kucheza na hakiri zetu huyo muongo naona meishiwa story
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Жыл бұрын
Msenge ww
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Top U.S. & World Headlines - September 25, 2024
10:41
Democracy Now!
Рет қаралды 169 М.
Hezbollah fires missile at Tel Aviv | BBC News
12:56
BBC News
Рет қаралды 278 М.
Liban/Israël : le Hezbollah contre-attaque
10:24
LCI
Рет қаралды 291 М.
Hitting Hezbollah Hard | Jerusalem Dateline - September 24, 2024
25:25
20 Celebrity Plastic Surgery Disasters
30:13
The Ultimate Discovery
Рет қаралды 9 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН