Karibu Hapa kwa channel yetu ya filamu furahia wasanii wako hapa Bongo Movies Bongo Comedy Bongo Series
Пікірлер: 29
@charydnasey96785 ай бұрын
Aki huyu mwalimu wa very simple amenifurahisha sana,kila nikimwona namwona maremu kanumba amefanana nae hadi sauti😊naona ukiwa star 🌟 kama kabumba,nakupenda sana hapo kwa very simple ndo penyewe😂😂😂😂akuna series utakua nikose kufurahi shabiki wako kutoka kenya 🇰🇪
@FaibeZaina3 ай бұрын
Mwakatobe umearibu san hiiih movie
@damawadama-ll9wr6 ай бұрын
Najua swaili nandika mwakotobe nzuri mouvie!
@user-bw2ed5jf3q5 ай бұрын
Mwakatobe anajua
@samyabahatialhiani4016 ай бұрын
Wapili2 ❤❤❤🇧🇮
@AgreyAckim-pt3wv6 ай бұрын
Manenoo haya sikiki
@SamiraGodfreyMushi5 ай бұрын
Lakn sauti mbona hipo chini sana mziki ndio mkubwa
@user-md5bu5md2c6 ай бұрын
Kibonge....kibamia😅
@user-zj7wf8qq7k6 ай бұрын
Guixa ndota guixa baria 😅😅😅
@SurprisedBackgammon-zf9tb5 ай бұрын
Make kdg nchek😅 umalaya tu kuoga mmmmh mm.h🤣🤣🤣🤣
@blaisekadhafi35596 ай бұрын
Madebe kwa nini wew mouvie huyamiliz tena?? Mundo umeach tanuri umeach ivi we vipi??
@RASHIDIKASOMA5 ай бұрын
Movie siku zote ni suti vp tena jangle za nn jmn director na team nzima
@salmamwamba27456 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@eddymaphy6 ай бұрын
Huyu Mwakatobe ameharibu sana hii movie,inaboesha sana