Samahani kiongozi, tunawezaje kupata Adobe Premiere, kwa sisi watumiaji wa Mac.. ndo mwanzo.
@jebftech54674 жыл бұрын
Wa kwanza Leo😁
@IMRANIEDITOR2 жыл бұрын
NZURI SANA😀
@DanielyMwaitarako3 ай бұрын
asante sana brooo nimepata vitu vingi sana good bless you
@diijuma3685 Жыл бұрын
Uko vzur bro! Keep pushing we need more 2023
@HAPPYLIGHT4 жыл бұрын
Asante sana nimeelewa sana ila muendelezo wa kuedit sasa naomba na pia uelezee zile tools ili niende hatua mpya
@EmmanuelSitta-MidiaTV2 ай бұрын
Yaan kaka nimekuelewa sana
@mwambenjamedia784911 ай бұрын
Nimeelewa kiasi chake 👏 , sema tools muhimu sana
@Godwisdom23 жыл бұрын
Uko vizuri sana bro, Let God increase your knowledge
@jeskagerard22552 жыл бұрын
I got u how i can got are adobe premiere pro or how much cost tell me
@ElsonKazuzi-bh8oi7 ай бұрын
Nakubali kaka nimejifunza vingi naomba darasa lingine utupe nondo ku Edit na kuunganisha clips.
@ndayishimiyeadamo57584 жыл бұрын
Shukran sana. Big up
@juliussechu95374 жыл бұрын
Asante sana kaka, ubarikiwe ndugu yangu.
@SAHESA2 жыл бұрын
Kaka wewe ni mwalimu mzuri sana fungua center uwe unatoa darsa kwa bei nafuu utapta watu wengi san
@dconcept97164 жыл бұрын
Ndugu yangu ninaona inasaidia, nimwongozo mzuri.
@CBC254-h5z2 жыл бұрын
KAZI NZURI SANAAA
@edwinmshahara86694 жыл бұрын
Ahsante kaka, nimeelewa issue ya sequence. Na namna ya kupangilia mafile maana yanaletaga noma sana.
@TimothConrad4 жыл бұрын
Safi sana masomo mengine yapo kwenye chanel yangu
@AmyAboubakar Жыл бұрын
Vizuri sana kk wey ni mwalimu mzuri sana ila mimi nataka nijuwe kk kuwanziya mwanzo adi mwisho
@AndreaMlwafu6 ай бұрын
Uko vizuri kaka
@musomayetuchannel63383 жыл бұрын
Mimi nimeelewa sana bro kwenye introduction.uko vizuri sana kaka
@zanzibarqurrautv2 жыл бұрын
dahh broo nataman sana kufika levo zako
@DavidMwakyabula Жыл бұрын
Vyema bro
@directorabiero3404 ай бұрын
Asanteeee bro umenisaidie pakubwa
@kefa2002 Жыл бұрын
Nimekuelewa bro....
@Mbeyaconscious4 жыл бұрын
Boss 🙏 🙏🙏 🙏🙏 🙏🙏 🙏
@nshimuwerajosue6902 жыл бұрын
asante sana
@mgbtv87584 жыл бұрын
NIMEKUWAA NIKIKUFATILIAA SANAA KAKA MKUBWAA TIMOTHY KAZI ZAKO NZURI SANAA KAKA ALAFU HIVII NDO VITUU VIZURI SANAA.
@TimothConrad4 жыл бұрын
Sawa sawa
@ALUDINVESTMENTPICTURESBONGOMOV4 ай бұрын
Nice one 🎉🎉🎉
@bannclaud2 ай бұрын
unafundusha vizuli sana kaka
@geofreykarani76872 жыл бұрын
asate sana nimetamani kujuwa
@yonamkisi28272 жыл бұрын
nakupata mtalaam upo vzr
@witomtama Жыл бұрын
Nakupata kwa uzuri kabisa
@tonymufasa33244 жыл бұрын
Ongera sana Mkubwa
@EmmaStudioMpandakatavi Жыл бұрын
Asante sana kaka
@neemahappyeverafter6181 Жыл бұрын
Asante kwa video nzuri, can you please show me how i can take my videos from iphone to windows pc ili nianze ku edit
@wigostudio59942 жыл бұрын
Nilikua na omba unisa idie jinsi ya kudawnload effect za movie
@onniboy23422 жыл бұрын
I appreciate bro
@lambadavid6297 Жыл бұрын
Naomba uniunge kwenye group
@H.Kauma_Jr4 жыл бұрын
Yeah
@aloycemsuya94434 жыл бұрын
broo mwendelezo aisee
@nyuzmastory65383 жыл бұрын
Good
@emmanuelmmasi72833 жыл бұрын
Blessed sana bro
@hmanews12 Жыл бұрын
Habari yako brother, naweza nikapata mawasiliano yako ili niweze kuwasilian juu ya mafunzo ya content creatoes
@sospeterpeter40152 жыл бұрын
Nashukru Kwa elim kuusu Adobe premier pia naomba nielewe jinsi ya kuweka colour mpya za kudownlod kwenye video
@DEVOTIONTV3 жыл бұрын
Weee Jamaa ni Fundi
@kigwampismonlinetv9164 жыл бұрын
Tunashukuru sana husani sisi ambao hatujui kiingereza na hatuna fedha ya kwenda shule na tuna ndoto ya kuwa maeditor. leo nimeelewa maana sequence ongeza videos nyingine ili tuweze kuelewa sisis ambao ni masikini
@TimothConrad4 жыл бұрын
Safi sana kwa kuelewa. Video zingine zipo kwenye chanel yangu
@MANKATV-sl8cn11 ай бұрын
Kiongo nauliza namna ya ku copy material toka kwenye Sim au camera wenda kwenye machine plz nisaidie
@feisalabdalah192111 ай бұрын
Naipataje Adobe photo shop
@shaafsalum612 ай бұрын
I like it
@KudenguFilm5 ай бұрын
tunataka kujifunza jinsi ya kutumia tools izo
@DBOYSTZOG4 жыл бұрын
jinsi yaku edit clip yako ionekane vizuri I mean ku edit rangi
@Cliffton02 Жыл бұрын
Ninaimani nitakua pro kpitia mafnzo yako Asanti am from kenya
@FrankEligy8 ай бұрын
nimekuelewa
@EmmaStudioMpandakatavi Жыл бұрын
Kaka Mimi nataka kujuwa jinsi ya kueditor video iwe na muonekano muzuri naomba unisaidie kwa hilo
@djbonge85774 жыл бұрын
Naipataje nipo iringa na kwabei gan
@FelixRemy8 ай бұрын
Me naomba link yake
@officialdee72264 жыл бұрын
Iko poa kaka mim nakwama upande wa fillter na color gridding
@makeloentertainment Жыл бұрын
Naomba program
@jumadaudi24394 жыл бұрын
Dah natafutaga sana
@TimothConrad4 жыл бұрын
Karibu
@tripleccomedy73534 жыл бұрын
Ok mimi..nakuelewa lakini jinzi ya kuweka picha ya sterring kwenye iyo movie or clip baada ya kuedit..kama vile bwana mjeshi na mwanadada pale anapo onekana kwa movie( SEMA) nitafanya aje
@DonMooSTUDIO_Express3 жыл бұрын
👇🏻TIZAMA NA HII HAPA👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@kizaziperfect4 жыл бұрын
i need to learn blender
@Billbrowntz5 ай бұрын
Broo naeeza pata namba yako
@estondaudi99512 жыл бұрын
Naweza kupata Inbox namba?
@japhethpaul12 күн бұрын
Jinsi ya kuingiza maneno kwenye video mtu akiongea na maneno
@zanzibarqurrautv2 жыл бұрын
tunahtaj muendelezo
@directorsampro3 жыл бұрын
Wow nice I really know how to use Adobe premier pro but Adobe after effects is hard for me
@makeloentertainment Жыл бұрын
Braza naomba program
@DAINOSSA4 жыл бұрын
I wish u can act on green screen
@bonamwengele24493 жыл бұрын
Nimeelewa baadhi lakini sijaelewa pale ambapo nimeletewa material yenye format tofauti je nitaitambuaje? Pia kwangu undo siioni
@constantjameskambale62832 жыл бұрын
Jambo Brother nakufata tano juu ya tano na nime kuelewa sana Ila vipi mtu anweza kuwa directer kwani mi mwingizijali
@abcreativemediadesigncentr26414 жыл бұрын
Bro nmeona una Adobe after effect ahsee. Naipataje na kwa bei gani?
@DonMooSTUDIO_Express3 жыл бұрын
👇🏻TIZAMA NA HII HAPA👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@eliakimhomanje27193 жыл бұрын
Kama haujaipata after effect ninayo
@eliakimhomanje27193 жыл бұрын
Kama haujaipata ninayo
@jebftech54674 жыл бұрын
Mwalimu sasa PC gani inafaa kwa mambo ya kigraphics?
@TimothConrad4 жыл бұрын
Nitatoa somo kwenye chanel yangu
@HAPPYLIGHT4 жыл бұрын
@@TimothConrad kaka tim naomba mueendelezo bas
@djunior21074 жыл бұрын
Kaka tuelekeze jinsi ya kutuka video scene festival
@DonMooSTUDIO_Express3 жыл бұрын
👇🏻TIZAMA NA HII HAPA👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@gregorystanley37304 жыл бұрын
Broo mm ni mgeni sana.........Kwaio nlitaka kujua kama io Adobe Premiere Pro unaipata kwa Kuinstall au kwa kununua kama Windows au kama kuna subscription yyte ya kupata updates
@tripleccomedy73534 жыл бұрын
Iyo adobe premiere inalipiwa kwanzia 4740 kwendelea...na inalipiwa kwa kutumia smartcard yako ya bank baada ya kusave
@mubabray98454 жыл бұрын
Poa
@hassanmwamba93344 жыл бұрын
Link gani naweza ku download adobe premiere pro for free
@abcreativemediadesigncentr26414 жыл бұрын
0763498995. Nahitaji Adobe After Effect
@isejemedia67604 жыл бұрын
100/-
@DonMooSTUDIO_Express3 жыл бұрын
👇🏻TIZAMA NA HII HAPA👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@IbrahimkmbeleleimbeImbembelele8 ай бұрын
naomba number kak
@Godwisdom23 жыл бұрын
Uko vizuri sana bro, Let God increase your knowledge
@Godwisdom23 жыл бұрын
Uko vizuri sana bro, Let God increase your knowledge
@Godwisdom23 жыл бұрын
Uko vizuri sana bro, Let God increase your knowledge