MIRAJI|LIBYA KUNATISHA|MABULULU AMESHINDIKANA KOTE | NAMBA ZA TRIPOL ZINATISHA |VIONGOZI WATAFUNGIWA

  Рет қаралды 31,368

Finest Online

Finest Online

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 4 күн бұрын
😂😂kolo shida sana,ukisema kweli unaonekqna mamruki,mkipigwa sasa mnakuwa wapoleeee😂😂🎉🎉
@EddahMgimwa
@EddahMgimwa 5 күн бұрын
Mechi ngum inshallah mwenyez MUNGU atajaalia tutapat ushind
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 күн бұрын
Mnapigwa😁😁😁😁😁😁
@ChenchiKing
@ChenchiKing 5 күн бұрын
Gambaaaah❤🎉
@abelimaganga417
@abelimaganga417 5 күн бұрын
Maramoja haujawahi nifelisha kwenye masuala mpira pamoja sana❤❤❤❤
@isayachingwile6694
@isayachingwile6694 5 күн бұрын
miraji mtu wa maana kabisa
@JoshuaMbena
@JoshuaMbena 5 күн бұрын
Miraji na chagamba bigapu❤❤❤
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Miraji leo kakaa😂😂
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 5 күн бұрын
Hello mara moja, usijichoshe sana kuhusu Kagoma, piga kimya mpaka mamlaka iseme, tusipoteze muda tusinge mbele. Simba nguvu moja#
@alphafrank.1932
@alphafrank.1932 5 күн бұрын
Sema miraj nakukubali sana naomba namba yako alpha nko Dom uk
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 5 күн бұрын
Miraji chagamba big up
@DanielChaula
@DanielChaula 5 күн бұрын
Ubaya ubwela ❤❤❤
@user-habarinamichezo
@user-habarinamichezo 4 күн бұрын
Honger MGen kwa kutultea hawa wtu wa ball
@JohnGoryo
@JohnGoryo 3 күн бұрын
Hapo miraji unakosea simba hana makosa yoyote kesi ni ya yanga Tff pamoja na kagoma na co simba
@VeronicaNyondo
@VeronicaNyondo 5 күн бұрын
Finest ukweli na uhakika 💯🔥💥
@RabietiMosha
@RabietiMosha 2 күн бұрын
Unajua nn miraji me sikupng nimkwel na unajua mpla
@EmmanuelMagoko
@EmmanuelMagoko 4 күн бұрын
Miraji e nakuelewaga sana pamoja na Mzee said na mchome
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l 5 күн бұрын
Simba bingwa 🏆🏆🦁💪💪
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Mara ya mwisho uBingwa lini vile?? Tukumbushe
@errydeo8865
@errydeo8865 5 күн бұрын
Lini bingwa
@kassimathumani3390
@kassimathumani3390 5 күн бұрын
MIRAJI KASHA PEWA RUSHWA NA YANGA
@kassimathumani3390
@kassimathumani3390 5 күн бұрын
MIRAJI ACHANA NA SIMBA MLA RUSHWA
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 5 күн бұрын
Miraji ukiona mtihani mgumu ujue hujasoma. Ukiona mechi ngumu ujue umesajili garasa timu yako ndo mbovu.
@iddykivu050
@iddykivu050 5 күн бұрын
Hapo kwa Viongozi Wetu Umepuyanga Viongozi Wamekamilisha Taratibu Zote Japo Mimi ni Miongoni mwa Nisio Waelewa Viongozi Ila kwa Hili Nawatetea
@wickwan6462
@wickwan6462 4 күн бұрын
😂😂 wanachanganya watu
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 5 күн бұрын
Nice
@JenniferMjie
@JenniferMjie 4 күн бұрын
Kwaiyo mo ndio anaenda kucheza😂😂
@JACOBWILSON-ff7ng
@JACOBWILSON-ff7ng 5 күн бұрын
🦁🦁
@rashidikawanga2941
@rashidikawanga2941 3 күн бұрын
Na chasambi je? 😢😢😢😢😢
@kassimathumani3390
@kassimathumani3390 5 күн бұрын
HUYO KWELI WEWE MJINGA ASIONGELE SIMBA, MIRAJI ANABOA HUYO YANGA
@HappyBabyKittens-wx2mb
@HappyBabyKittens-wx2mb 5 күн бұрын
Manura uyoo
@MosesKalewa
@MosesKalewa 5 күн бұрын
bro unaongea point kweli unaga ubaguz ukweli unausema
@jumaamohamedi5667
@jumaamohamedi5667 5 күн бұрын
Kwani mzee saidi yuko wapi chagambaa
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 5 күн бұрын
Huyo mzee mapengo, muulize meno alipotezea wapi?
@HappyBabyKittens-wx2mb
@HappyBabyKittens-wx2mb 5 күн бұрын
Uyu mbamba anajua mpira
@mohamedmfaume2280
@mohamedmfaume2280 5 күн бұрын
Miraji anajua sana mpira ukweli huwa anaweka ukweli.mbona jemedali said anasema timu ya kawaida sana kuliko simba? Hao mwaka juzi wamecheza nusu fainal
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l 5 күн бұрын
Miraji kaingia kwenye mfumo wa misukule ya yanga 🐸🤣🤣🤣
@othmanibakiri2010
@othmanibakiri2010 5 күн бұрын
Amasa
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 күн бұрын
Ila makolo😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@user-mx4vz3jt2n
@user-mx4vz3jt2n 5 күн бұрын
We mzee ni muongo milaji anaongea sawa
@hamzamaulidi
@hamzamaulidi 5 күн бұрын
Chagamba unatisha hamza ap kutoka Kwa faizani
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@allyuchebe8451
@allyuchebe8451 5 күн бұрын
Uyo miraji yanga lia lia Ana kadi tawi la yanga manzese ukombozi 😂😂
@kombadenis2906
@kombadenis2906 5 күн бұрын
Miraji unaongea Kama mlevi mlevi wewe unadhani ni rahisi kujiuzu
@giftkalenge418
@giftkalenge418 5 күн бұрын
Tff atajuaje shida ya mchezaji ni wajinu was club inayomsajili kuhakikisha mchezaji wanae msajili yupo sawa ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na clup aliyokuwepo iv tff itaweza kuanza kufuatilia mchezaji aliko toka? ndo maana hakuna timu iliishitaki shirikisho owe ndani ya nchi au caf au Fifa shikisho wenyewe ni wasuluhishi sio wasajili
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 5 күн бұрын
Bro miraji unakosea chama lipo ulaya hapana Simba wapi Asia - ugiriki hawapo Europe 😂😂
@EdwinAugustine-up5kd
@EdwinAugustine-up5kd 5 күн бұрын
mtume tena kalogwaaa
@mussakingazi8875
@mussakingazi8875 5 күн бұрын
Hujui au? Mtume alilogwa kweli hivyo waislamu wanaamini uchawi upo
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 5 күн бұрын
Kwenye biblia kunatajwa wachawi Mara ngapi?
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 5 күн бұрын
Huyu Bwana ni mpiga Dili tu, amekuwa km mwanasiasa anaangalia upepo, ktk timu zetu hizi mbili hata kama timu yako haipo vizuri kuizidi nyingine, Huwezi kujitoa ufahamu na kuanza kuisemea upande wa pili, Mara nyingi ni bora uisemee upande wako.
@MzansiDiski27
@MzansiDiski27 5 күн бұрын
Kuna watu walianza kupenda mpira kwanza, kabla ya kuchagua timu. Ninyi misukule mtaugua moyo, maana mnakomalia timu zenu kwa chukiii mpaka mnashindwa kufurahia mpira. Mimi ni Yanga lakini mechi za Simba mpaka Azam naangalia
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 күн бұрын
We NI shabiki WA team sio shabiki WA Mpira ndo shida ilipo
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 5 күн бұрын
Nice
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 45 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 886 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 45 МЛН