I trust her! Evidence 1: She was married and lived in Nakuru Evidence 2: She had a child called Christine Evidence 3: She had a mpango wa kando Evidence 4: The first husband name was Joel Now bring the gate man, Odhis then the sister.
@MarthaMuthee-t5oАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@nanamakoshi1942Ай бұрын
You know how to take the notes... waauuuh bravo 👏👏👏 atleast l can understand very well 😂😂😂❤
@robertkenyanchefАй бұрын
😂😂😂😂😂
@kevinwesanza7562Ай бұрын
Mko na evidence lkn still si police case
@magarematara8919Ай бұрын
True,huyu hana any valid evidence apart from endless story
@shadrackamani7675Ай бұрын
You are the man now Stevo i like this follow up, it's about damn time 😂😂😂
@charitymutungi0013Ай бұрын
I believe this girl 💯...That woman is capable of the most dispeakable things
@fridahkarimi345724 күн бұрын
This lady she has a clean heart.😊 Stivo kindly bring even the whole village for proving. This lady she is a good story teller,she has a all the truth now bring the brother,mom to the late Husband. Bring the watchman.
@thelonewolf4429Ай бұрын
Ahsante sana kufwatilia sakata hii ya uyu mwanamke shetani . She even had a horrible plan for this man as well . God has delivered this man from this evil woman’s hands.
@judessunnaАй бұрын
BMS is patient,this almost a whole Bible,I can't wait this long This is a whole year's prayer by the community of single mothers of Kenya 😢😢😢😢
@magarematara8919Ай бұрын
The longest story with 20 % evidence
@Ghettouppergarden26 күн бұрын
That's lady so hardworking, wapi likes zake🎉🎉
@MinahAhmed-e9iАй бұрын
Waaahh shoga angu uko na moshene....unaambia stave mpk mambo na braa ......all the way🇹🇿
@JacintaMiringuАй бұрын
2016 n u remember everything even the dates sharp gal ungesoma ungekua lawyer
@Bekita-nz7bqАй бұрын
Mtu akikutendea unyama, unakumbuka everything, ask me 😂😂
BMS please bring the sister in law on set. This girl is wasting our data
@marangalydia4049Ай бұрын
Yeah she is wasting our time
@patriciakitivi3276Ай бұрын
Switch off your data why are watching this information is very important
@queene7751Ай бұрын
After kuona hii commet yako, and I trust my fellow comrade members, acha tu niache kuwatch
@86liljoАй бұрын
We want all the evidence, pole pole
@marionmuturi5283Ай бұрын
@@queene7751 she talked about her life badala ya the real bandit🤣🤣🤣
@BOSSWachira10 күн бұрын
Odhis caretaker..😂😂Tunakuona sana😊
@IanMachanja-pz2mm23 күн бұрын
She can story tell na Mkurugenzi💪😂
@marlineisiji414Ай бұрын
😂😂this girl is a story teller 😂😂😂mjaluo kamili
@رحيمهموينديموتوАй бұрын
Wadau ile ya Karaoo na Mamboch iliendajee😊
@marlineisiji414Ай бұрын
😂😂😂eeeh hata Mimi nashindwa😂😂😂
@bethwest6840Ай бұрын
This has been one of the most entertaining episodes of flavor 001. This woman is a story teller. She qualifies for a book deal.. I would buy her book 📖. We now waiting for the former sister in law to corroborate and confirm this information or statement. This is juicy…!!!!
@chella2608Ай бұрын
If you dare stivo he will make it his business and you'll regret😂
@marlineisiji414Ай бұрын
😂😂😂😂true
@myk6519Ай бұрын
Now that has he proved.....? Bring pple to talk negativity. Let her show facts, not stories. Acting
@fridahkarimi345724 күн бұрын
Twende nalo for proving. Stevo bring even the who clan from their village...lets the light shine💥
@fridahkarimi345724 күн бұрын
@@myk6519 Its not acting are you one of the main suspects in this case?😞
@benonditti8864Ай бұрын
BMS Ithink this is the longest tale we av ever been entertained on...rotating btwn Jaba na fitina...
@nabongottc_officialАй бұрын
😂😂
@NancyMokaya-r5tАй бұрын
Uchashikiwa binduki kuwatch za jaba
@bensonwacira1287Ай бұрын
Been waiting for this leta huyo mkora apa Advice to my fellow men if possible pata mtoi pekee marriage imetukataa 😂
@deborahosoro3623 күн бұрын
Ai! Leo umetuletea story teller kweli
@akinyiokeyo4618Ай бұрын
As someone who will never be sensitized by BMS...i can confidently say never ever dare BMS ...sasa akuje akatae
@christinewerimo8416Ай бұрын
Lord of Abraham help me never to meet BMS my marriage must stay in the name of Jesus christ
@Esty1248Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@christinewerimo8416
@producergoodmanАй бұрын
@@christinewerimo8416 😂😂😂😂😂😂
@JulieWandeiАй бұрын
@@christinewerimo8416 hahaaaa
@QueenvalleАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@christinewerimo8416
@jackieSimon77427 күн бұрын
Who else wants the Sister in law from previous Marriage,We want problems always 😂😂😂
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Huyu dem n mluhyaa this stori hao tu ndo wanawezaa 😂😂😂😂😂kuelezea
@brendaachieng5184Ай бұрын
Nop she is Luo.
@marangalydia4049Ай бұрын
Aky ana story kweli!
@lavinamiroya940Ай бұрын
Eti mluhya hii Kenya hakuna mtu hajui story!
@SaaS-Guide25 күн бұрын
No, she just has good oratory skills.
@SarahEva-j4d20 күн бұрын
Exactly 💯 @@brendaachieng5184
@BettybiozАй бұрын
This girl's story is true.
@Zaza-bt1hxАй бұрын
Waaaaah 😳 THIS girl can talk for hours
@erickimla8222Ай бұрын
Very true, she can talk for hours and hours indeed😐😐
@EuniceMacharia-l3xАй бұрын
She is chatty
@lyslinejepchirchir7559Ай бұрын
😂😂😂😂@@erickimla8222
@b.9811Ай бұрын
We need them in society 😂 They 🗣️ speak for those who can't speak for themselves 😂
@ivykerry3110Ай бұрын
Talking is a talent💪
@levinemuhanji3881Ай бұрын
Story imekua ndeefu Sana na bado hajaguzia ukweli
@thekenyan5596Ай бұрын
Mnapenda msheneee😂😂😂😂
@levinemuhanji3881Ай бұрын
@thekenyan5596 Sana lazima kieleweke😂😂😂
@thekenyan5596Ай бұрын
@@levinemuhanji3881 😂😂😂🤣huyu anataka mzee
@MohammedMohammed-uz4jn26 күн бұрын
😂😂😂😂lmagine
@fridahmwenje914321 күн бұрын
tafta siz inlaw.tunataka kujua kama ni muuwaji wa ukweli.ata nahurumia mtoi zaidi
@Mama-AАй бұрын
Imebidi niskize na speed ya 2.00.....hii kitu inataka patience
@j.jawabu1677Ай бұрын
Celle has a killer smile and unforced beauty.
@loisemutiso3242Ай бұрын
Hii Story ni mob.... We want whoever wrote the txt
@loisemutiso3242Ай бұрын
Sikuamini niliskiza all that ya leo stevo ametuenjoy
@eversweedakemoАй бұрын
Enda straight to the point
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Sasa huyu dem alikuja fanya nini juu hakuna kitu ameongea bali tu stori yake na maisha yake venye alienda qatar na kupata mimba ya mluhya na kukuwa single mother. Na kuwatch comrade flavour kama sisi.plz stevo next bring matured people on set
@Josephineonyango-cl6qlАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marangalydia4049Ай бұрын
Hata mie nashidwa
@ronnydon8583Ай бұрын
Kuja uongee
@irynejames5161Ай бұрын
To proof the lady was married. Ni vile ameeleza story ikawa mrefu
@goshengoshen3913Ай бұрын
😂😂😂😂aish comrade, si story ya huyo msichana imekubamba. naona umebambika mbaya. Inaitwa udas ama uhondo, ama perenyonyo ama muhahe. Inakuanga taaaaamu. Commercial break😂😂😂😂
@lifeandliving775Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@dianajuma337824 күн бұрын
Big man stevo acha story mingi tulete mwenye alituma message 🫴🫴
@marytasha1386Ай бұрын
Huyu mama anatuzungusha what's the main reason she's here it's like she was waiting for a place to vent and here Stevo gave her all the ears...atupee uhondo straight to the point.
@serahwanyama680829 күн бұрын
That's why I love you BMS🥰🥰🥰🥰🥰
@susanaseyonyundo9689Ай бұрын
Thanks Steve ❤❤❤❤ for bringing that in law of wicked woman
@duncanmunene61779 күн бұрын
I think sister in law hatapatikana asha shughulikiwa na huyu mkora ndio anataka apigiwe na akipigiwa ako mteja. This lady is a serial killer mpeane kwa DCI Ama ata wewe BMS Tuanze kukumiss
@christykenyanqueen367727 күн бұрын
I can listen to her all day.Lakini wapi continuation?BMS
@wilystancechАй бұрын
Hakua anawacha chakula mtoto alikua anakula nini 😂😂😂story za jaba
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Stevo amechoka hata yeye😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nanamakoshi1942Ай бұрын
😂😂😂😂Aki hata pia mm nimeona amechoka kusikiliza hii story but Ni client lazima avumilie😂😂😂
@Ghettouppergarden26 күн бұрын
Waah stevo, you're so patient...i envy you..thanks 4 taking time to listen to her side of the story
@joanchepkemboi1685Ай бұрын
Sinapenda mdomo yahuyu mmama
@duncanNjuguna-k8dАй бұрын
Kwa hii mambo ukipatikana, afadhali kukubali juu hujui nani mwingine anawatch 😮 imagine maid wako ankuexpose vibaya na huwezi kana juu aliishi kwa hio nyumba😮
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
We need evidence jamani this story don't add up naona leo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@TonyObieroАй бұрын
This is the first evidence that she was previously married with a kid the rest will follow.
@marangalydia4049Ай бұрын
Yeah please. This is a story teller!
@ruthremahАй бұрын
at least we now know she had a family
@Neem867Ай бұрын
Sasa izi ni gani akh!....
@violetnyabuti3944Ай бұрын
Yaani nimewatch siku mbili duh!!! story ni refu sana 😊😊
@wycliffemogaka9713Ай бұрын
Pima yeye akili kwanza utatoka hapo end month 😂😂😂
@MohammedMohammed-uz4jn26 күн бұрын
😂😂😂😂
@EmeldahOminde-gc3ntАй бұрын
Mbona inakaa vitina kwangu 😂😂😂 acha niende
@johnwafula4917Ай бұрын
Ju alikataa fitina inahitajika Tena kazi ya investigation huwa inahitaji fitina
@Vallerie_val27 күн бұрын
Nyasaachiel. Kuchoma tuu.
@jane-bv8smАй бұрын
Ngai stivo nistory ama whaa😄😄😄😄😄😄
@MarthaMuthee-t5oАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnesmutindi3094Ай бұрын
Sijui nikwanini siamini story ya huyu dem
@andy22442Ай бұрын
She can't tell that story if she didn't know her, what we wanted to know is if she was married before and now we have confirmed so let's get the family of the late husband
@gladysgichohi2566Ай бұрын
Kama hauwezi amini hii hata Steve haumwamini
@marieannjones6769Ай бұрын
Mimi pia simuamini watch this space
@marangalydia4049Ай бұрын
Kazi nzur stevo. Tou huy dem anaongea mengi kweli. What NXT stevo???
@marionmuturi5283Ай бұрын
She dared the wrong person😂😂😂😂Stevo bring everyone on set..😂😂😂 Our gal here can really talk, 1 hour later, bado tuko kwa story yake but not the real reason why she is here😂😂😂😂
@siphirawaciuri512Ай бұрын
Walai
@86liljoАй бұрын
She has exposed the woman, she had a child and a husband and mpango wa kando ama hamjaskia
@marionmuturi5283Ай бұрын
@@86liljo wueh hio sijaskia labda itakua kwa continuation 🤣🤣🤣
@stevenmutumbu286026 күн бұрын
@@marionmuturi5283Ni story left but fine tunyihie what..Suturday Night
@fanmuthura4844Ай бұрын
Viazi na uji nikakula nikashiba😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏....
@lewinmukui7029 күн бұрын
I have surely watched this video and one thing I'm sure one big politician is at home now and it's not bondo it's mlimani. So it was true lazima mzee apelekwe home 🏡
Huyu ni maid alikuwa wake si sista wa bwanaaa mwenye alikufa
@janemusa9529Ай бұрын
Confirmed that Christine was married before.
@magarematara8919Ай бұрын
Now this was what we wanted,the woman killing the hubby n getting re-married is very dangerous
@QueenvalleАй бұрын
😂😂😂😂😂aki wajamani hasemi chenye ameitiwa aseme
@naomimoraa1493Ай бұрын
Wow😂😂😂😂 I knew she was the devil 😅😅😅 Steve the title says it all
@wilfredomeka9326Ай бұрын
Wanaume waluhya.. wanakuanga hivo..huwa nahurumia sana wanawake wanaolewa na waluhya
@Bekita-nz7bqАй бұрын
😂😂😂😂Was waluhya necessary, wueee, umenitag
@mishj.677729 күн бұрын
Really 😂😂😂😂
@LizzieNimoАй бұрын
Unalipaje maid 3k 🤔 pesa za kulewa kwa siku moja😵💫 she is heartless
@olphahkwash9250Ай бұрын
Kwanza nakuru milimani weuh
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Dem ametoka kisumu akaenda nakuru akaenda Nairobi akarudi kisumu akaenda qatar akarudi kenyaa akakuwa single mother b4 nijuwe mkufi😂😂😂😂😂😂😂😂
@LucyiminzaАй бұрын
Shida kanachekacheka,anyway thanks for the evidence, now we need the family ya wakufi sasa watuambie
@lilianjanet3699Ай бұрын
Huyu ni story teller ata hakuna anything constructive that is relevant to the story we are following she just came here to gain audience asha divert story from what it was.she’s not even the sister to the dais deceased man.amekuja kutupatia life story yake😂😂😂😂😂stevo buana uko tu hapo unaskiza Vitu haziambatani kweli udaku ni tamu😂😂😂
@fridahnkatha9589Ай бұрын
She dared BMS let her see!! Am now waiting for those two who were threatened by the coast guy they will never pupu or kojoa!! I know the threat was real 😂😂😂 I want to see them crying 😭😭😭 here!!
@francisfrank8719Ай бұрын
😂😂😂😂 hizo zilikuwa vitisho baridi tu.
@marlineisiji414Ай бұрын
😂😂😂😂😂mimi too
@lenniefei6710Ай бұрын
@@francisfrank8719 Usicheze na wacoast Francis, hao watalilia choo very soon !
@paulkaranja9257Ай бұрын
Camera man will follow them to the toilet to confirm.
@ppatopАй бұрын
She didn't know BMS is a professional doing what he loves.
@mercymulandi5102Ай бұрын
Uyu naye ameharibu tu data jameni. 😢 Anaroroa jameni yooooooh ....
@penny4310Ай бұрын
Mtajuwa lini Narcissist. Huyu mama extin ni NARCISSIST. Run 🏃♀️ 🏃♀️ .
@gokoviolet9570Ай бұрын
I noticed the same just before she walked out on them the first day...gaslighter and manipulative 😮
@kadetenyar6597Ай бұрын
Waaaaw comred waaaaw,, 👍
@OdindoIreneАй бұрын
When luo men marries luhya ladies they really take good care of them but a luhya man marries a luo lady😢😢😢 mateso bila chuki.
@milkahkimotho6722Ай бұрын
😂😂😂😂stevo kwani umeleta nani Huyu alikuja kujieleza her history😂
@sheecool03Ай бұрын
Ati mluhya amesema walitupa kamisi zake....ama tumchangie anunue kamisi ingine😂😂😂
@MultiHabah24 күн бұрын
As a luhya man I sincerely apologize for what he did . Baby all the best 🙏🙏🙏
@maryannwaweru5623Ай бұрын
Big man sasa tunawait wenye waliambiwa hawatakonjoa please ebu walete kuskie vile kulienda after kutoka kwako 😂kama unawait hao watu kama mimi piga like tujuane
@Kenybizo1988Ай бұрын
😂😂😂😂 huyu sasa hakutuambia chenye tumengojea
@brillianodhiambo13 күн бұрын
What's always wrong with akina Aoko😂 they talk allot,,sa ata sijasikia part ya kifo....mara bra, chakula ya mtoto akuna oooooh alafu alafu poooh🙆
@wycliffemogaka9713Ай бұрын
Kuna vile utafika haki sina nini hizi sasa 😂😂😂😂😂😂
@King-em6ozАй бұрын
Huyu tu story teller sema udaku.
@Edith-lk1ruАй бұрын
Sasa tushatoka kwa mama Christine
@CROWNMEDIAKEАй бұрын
Nimechokaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@ellyomondi664Ай бұрын
Stivo is a smooth operator.... don't ever dare him...
@faithhenry5369Ай бұрын
Mashemeji kujeni pia unmasking is real. Funs of BMS don't disappoint
@kadetenyar6597Ай бұрын
Bt all in all,ame,, confirm ,,aliolewa ,, before n alikwa n mtoi, one evidence
@carolineoyugi2740Ай бұрын
Huyu ni story yake Metupea, bahati ajaanza ya Qatar tungelala hapa.
@mutisyatimothy8199Ай бұрын
Huyu amepitia shida mpaka akili ikayeyuka noma sana😢😢😢😢😢😢
@KilunguExpressBandАй бұрын
Nani mwingine anataka odhis aletwe aseme kama ni kweli alilala nje na cele ndani peke yake. Aki odhis ni mzuri hata Mimi nammiss😊😊
@Aisha-x5kАй бұрын
😂😂😂
@louiseoluochАй бұрын
😂😂😂😂
@joycekhavereАй бұрын
😂😂😂😂
@MisanyaMusavaАй бұрын
Damu ya mtu si ya kuku😢😢😢it hurts ..why kill someone when you have a chance to walk away😢😢
@wilystancechАй бұрын
Odhis pia akuje kwa set😂😂😂
@fanmuthura4844Ай бұрын
By the way odhis ndiye sasa ako na story😂😂😂😂😂😂....huyu hana story tunataka yawa😢
@januartechno9311Ай бұрын
Alighula
@lucyjohn5418Ай бұрын
Uyu akona stori mongi BMS😂tuletee that sister in law who wrote the message tafadhali
@HecPromanАй бұрын
After listening to this lady, I can confirm the other lady is indeed wicked.
@FaithKananu-re7pu29 күн бұрын
So wajaluo pia hutumia jaba🤔🤔like izi ni gan steve😂😂😂
@bsherry237125 күн бұрын
Makasiriko iko huku kwa comment section 😂😂😂😂😂😂, rela, BMS ako hustle at the same time...anatarget views pia
@BellahKangechuАй бұрын
Alidhani atakua tisho kwa Kila mtu 😢 shock on her 🙄 Ukueli itajulikana na hao marehemu wapate justice machozi ya mama yao haindi bure
@shishkhasoha431529 күн бұрын
Hizi nazo ni story za jabaa😊
@atienokatiendgi1724Ай бұрын
Apparently employers in Nakuru pay 3500-4000. Wenye kusema anadanganya waende Facebook kwa Amakove Wala. It’s shocking
@mahoya1232Ай бұрын
Part 3🎉🎉🎉
@shemgogeАй бұрын
Never bring such character BMS. Nimetopeza wakati yangu hapa juu what I expected sijasikia 🚶🚶🚶. Mdaku kweli kweli
@louiseoluochАй бұрын
😂😂😂😂😂
@steveitongu871929 күн бұрын
At least she has confirmed that Joy was married and had a kid.
@japhethsang2321Ай бұрын
Hii sasa ni story gani surely 😢😢
@peetsolenyamo3952Ай бұрын
Enyewe house girls can gossip , huyu amepiga mushene almost an hour bila break 😃😃