pole lovedee kipenzi mungu you nawe na foxe kazi nzuri
@happykabungo620710 ай бұрын
Silinzigine zaugo
@SimonMughanga9 ай бұрын
Very creative and interesting stories it's good but sometimes always base your lies along the aspects truth keep it 💕
@JacquelineMalumalu6 ай бұрын
Pole sana dada MUNGU yupamoja nawe
@LeticiaAntony-of6nt5 ай бұрын
Daaah! pole
@MohammedBarahiyan3 ай бұрын
Hongera nq pole
@JoniaIssaya3 ай бұрын
Pole dear sister,
@bitishoriziki55858 ай бұрын
Pole sana KBS😌😌
@RatifaSalimu-b3i4 ай бұрын
Pole dada ❤
@Naeemah-r6e2 ай бұрын
😢😢😢😢 duh mbona kama ni uongo!!!!?
@kaomakaluba224010 ай бұрын
Ivi Leo unatumia wembe washingapi, na Tena una mtoto umza siulisema auwezi kuza mtoto? Namwenye anampikia mtoto ninani kwasababu wewe ulisema kupika aujui? My dear sister life is not something to play with coz I remember 2 years ago you boosted to for your air cut you used 300,000 Shilling. You can't have a baby and you don't know how to cook but today you're asking people to help you! Anyway you've learned a lesson. Plz followers of foxe tv let's try by all means to help her and her baby plz🙏🙏
@SeifMahiza5 ай бұрын
Pole mamy😢
@AnnahNdenga8 ай бұрын
Pole sana dada yangu mungu akuonekanie
@annesikangei74278 ай бұрын
Pole sana dada
@JenniferBahaty7 ай бұрын
pole xn dear Mungu akusimamie
@KhadijaMasoud-m6u7 ай бұрын
Mh sio kali hiyo kwa kutunga movie ss hv yupo wapi huyo nyoka
@swaumuomary18438 ай бұрын
Pole sana
@HemedAbdala7 ай бұрын
Umetisha dada kwauong😢😢😢
@carry4pf5 ай бұрын
Nan kakufunza uongooo?? At mbingn wakiomba m2 wa kuongezea we upitii allohhh
@johnkasyoki695010 ай бұрын
Nakuhitaji sana love d tuanze maisha kama bb na bwana Niko Nairobi Kenya
@puritynyanchoka82110 ай бұрын
Uko sure😅
@johnkasyoki695010 ай бұрын
@@puritynyanchoka821 Yeah nampeda xana 😘
@johnkasyoki695010 ай бұрын
@@puritynyanchoka821 Na pole kwa yoliyompata
@johnkasyoki695010 ай бұрын
Nisaidie namba zake za simu
@Kashi-c4z10 ай бұрын
😂😂😂 🙌🤣 the
@bonabonala555910 ай бұрын
pole sana ira bado unajitafuta chumba cha elfu 80 huna kazi itakushinda tafuta cha elfu 25 au 30 uanze moja ujitafute kwanza
@MargertNalumasa7 ай бұрын
Hello
@abrahammpawenimana73644 ай бұрын
@@MargertNalumasahmm hmm b
@wakozuka8 ай бұрын
Duh
@ZainabuIddy-r1o10 ай бұрын
Mbona Saiv Kawa Mzee sana jaman Lovede
@sophiadarabu860610 ай бұрын
Aache story za uongo na hiyo Fox Tv yake analipwa anatuletea story za kutunga apa
@fatma-f9m6 ай бұрын
Pole
@HameedaHh-y5y10 ай бұрын
Bibiii asiyeishiwaaaa na manenoo kilaaa akipoteee akirudiii anajipyaaa
@reginamlay526310 ай бұрын
Huyu dada ni NYOKO jamani alianza story za joka la Zumaridi kumramba, mara anaimba bongo flavour mara kungwi wa mchongo, huku tena katelekezewa mimba na kunyonyesha joka
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂
@MariampetroPaulo8 ай бұрын
Pole sana Aisee ni hal ya utafutaji jipe moyo😂😂😂😂
@GloryTarimo-g3t6 ай бұрын
Kama umesubutu kutoa siri za uyo bibi na bado upo kwak. Na huyo bibi ni nyoka unafikiri atakufanya nini. Embu acha uongo bhana we kama una taka ela tafuta kiki ya kuingilia hii umefeli
@MegaNasri-bv7tc2 ай бұрын
Duh staki kuamini pole lkn 😢
@LilianJames-kg7jx5 ай бұрын
Pore sana dada
@KipkorirKitur7 ай бұрын
Na pesa ya Kenya inaeza fika hapo
@ZawiyaSelenan9 ай бұрын
Huyu dada anastor nying mno za ajabuajabu😂😂😂😂😂
@VeveYasol9 ай бұрын
Polepole
@aishaaisha709710 ай бұрын
Unamoyo binafsi ziwezi ata kwamamilioni
@mawazoJackson22 күн бұрын
Dada unafeli acha kukimbilia vya bure..... Acha usitamani ndg....
@twalibukassim6111Ай бұрын
Sasa huyo bibi akijua kuwa ulikuwa unatoa Siri awez kujua wew na mtoto?
@ZianaNyoni8 ай бұрын
Duuh kwakwl pole sana lovedee kw mitihani hiyoo
@AminaRashidi-gh8kc2 ай бұрын
🙄🙄🙄🤦🙄
@st.alvincollege61847 ай бұрын
Sasa mbn umetoa siri???
@EgidiusElizeus10 ай бұрын
Huyu dada muhongo alianza kuongea habari zumarid sasa ameanza na Bibi
@KaribudyoDjuma10 ай бұрын
Sindoa na anza
@lovedeetz44617 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/pIbZeqNoqZKHoMU. Bonyeza mziki mtamu wa lovedee
@NewtonthaCatarina10 ай бұрын
Hee kwani uyo dada mbona anadipagilia?😂😂 Uyo maisha yamepiga picha🇲🇿
@NasmaNasmahamiss8 ай бұрын
Mapera na watu watapenda😢😂
@gertrudeshao268910 ай бұрын
Jaman itakuwa na mwili linanyonya maan ka mwili .
@JohnsonFredrickJohn6 ай бұрын
Huyu dada haishiwi na stori ni mjanja sana Kila mara anakuja na stori zakee
@MariamGweba-i4u10 ай бұрын
Huyu dada muongo sana mbona hatujui nyimbo zako muongo san huyu mbon hatupi sitor vizur
@FeristerNyangoya10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂aaa
@SeifMahiza5 ай бұрын
Hayajakukuta
@PaskaliaCostintinАй бұрын
Polele usipende vyabei chee sana hma sasa unasubili nn kuhama dada mbona ww bado msichana sana
@EvaMponela9 ай бұрын
Acha ugo ww mdad mungu anakuon ujue
@SabinaNduku-xk5ds7 ай бұрын
Wee akoka dada na umwamini Bwana yesu utajiri utaisha
@Blessedboi801910 ай бұрын
Haka kamama ni kaongo Sana. Uwongo Mwingi
@NoorPrince-v1v9 ай бұрын
Ume onaee kaongo hadi siyo vizur
@hallat2547 ай бұрын
Hahaha
@FauziaJamal-c3t7 ай бұрын
Muongo sana kaa upikwe ya nini kuomba msaada tena kaa kwa bibi
@margretsambula6849 ай бұрын
Sielewi hayo
@EstaThomas-ep5ce7 ай бұрын
Mapepo
@twalibukassim6111Ай бұрын
Hawez kukuua au kukudhuru wew na mtoto?
@shuweyaabdulkarim32616 ай бұрын
Wewe ni muongo kwanza ulisema bibi kakuambia usiondole utatoa Siri za HUKU sasa mbona umetoa Siri
Maisha mangumu hayo mungu akuzidishie utakacho muomba
@JoyceMwasenga-e5yАй бұрын
❤❤😅
@RitahNash-yg3yf10 ай бұрын
Subiri upikwe dada
@ChristinaElias-s4o2 ай бұрын
😅😅😅😅😅 nmecheka kwa saut
@fatumazakalia-yx4kg10 ай бұрын
Jaman huyu Hy zawadi anayotaka kukupa ni kumuuwa kwa sababu umetoa siri yake
@marrygicho405010 ай бұрын
Huyu kila mahali yupo
@ShanyShany-d1u8 ай бұрын
😅 nimefulai
@AminaMtui7 ай бұрын
Duuh mtihani
@zippyjepps275010 ай бұрын
Surely...these are lies.
@HappynesJames9 ай бұрын
Ila huyu dada ni muongo inabidi apewe chet cha uongo yupo vizuri sana kwenye kuongopa
@ViraBabwiriza7 ай бұрын
Uyo bibi iko wapi nimuone acha kuongopa kamaukweli
@KipkorirKitur7 ай бұрын
Huyu ni mwongo. Si kina siku alisema ni msanii mkuu na ashawahi lala na mnganga
@HameedaHh-y5y10 ай бұрын
Eeeeeeeeee karudiii kijijini kabsa
@lovelybetty20499 ай бұрын
Huyu ni dadangu akiwa njaa hua anabehave ivo
@saudakoho15849 ай бұрын
Mutangazaji wala una mlipaka
@KhadijaMasoud-m6u7 ай бұрын
Usiwe mjinga ww mtu km huyo hawezi kukupika atakutia nuksi na kufanya zezeta
@JinaJuma-gy1us10 ай бұрын
Muongo sio story ya kweli umetunga
@AliAbdullah-oy6yo8 ай бұрын
Wabongo mmezidi uongo na balaa
@HappyBobsleigh-mn6sq8 ай бұрын
Wee dada wee unanguvu zako fanyakazi wapo wasio jiweza ndio wanataka kusaidiwa sio ww una nguvu una afya ,na unataka chumba cha80 na wachangiaji wanaishi chumba cha 15000 wee dada weee
@yukundapeter820010 ай бұрын
Hivi hili mbwakokonux bado una2potexea mb xe2.Wote c wale2 nendeni vjijini mpate kaxi nyingi.Mnaxurura hapo2 tu.
@rebeccakemunto448810 ай бұрын
Siku hizi una mtoto 😮
@ErryOmar4 ай бұрын
Jikaze dada.ili utoke.kimaisha
@xavierowino10 ай бұрын
Foxe tv, mbona hamthibitishi stori kama hizi. Tutajuaje ni ukweli. Siku hizi watu wako na smatfon
@Eliza-r1g10 ай бұрын
Yaani zielewi mmmm mbona story ya uongo ama wewe mchawi
@KhadijaMasoud-m6u7 ай бұрын
Ss huyo mchawi ukiongea tu anasikia ht km hayupo ss iweje akuache utoe siri
@ChristinaElias-s4o2 ай бұрын
Tafuta chumba cha 30 ukijipata utapanga cha 80
@FauziaJamal-c3t7 ай бұрын
Nonesense
@nancymuthoni-e6j6 ай бұрын
Ulijuaje hawana nguo bila taa
@yohanajkanigi37768 ай бұрын
Dada ww nimtunzi wastor yani hamna ukweli hapo
@judymiano618710 ай бұрын
Uwongo mtubu mnalipangwa pesa ngapi ndivyo mdanganye??
@nancymuthoni-e6j6 ай бұрын
Mbona uongo,ulijuaje hawana nguo bila
@Mohaa430910 ай бұрын
Ulitembe na bwana we wenyewe congo ndomaa
@JacquelineYana10 ай бұрын
Mfalme YESU Kristo aishi milele na milele. Uyu Dada unamuitaji YESU KRISTO ili amufunguwe maana wachawi ni niwaongo sana. Amupe tu YESU KRISTO maisha yake. YESU Kristo anaweza yote na amekuja kwa ajili yakuwaweka huru wetu walifungwa. Asante sana na ubarikiwe na Bwana wetu YESU Kristo.
@AishaJuma-tp3sz7 ай бұрын
Kwa hiyo wewe kifua Huna! Ulimuongopea bibi
@ElishaErnest-er2ol7 ай бұрын
Acha uongo vyote hivyo vya uongo
@aishaaisha709710 ай бұрын
Unatuongopeya ww😂
@stelasianga94689 ай бұрын
Huyo muongo visa kilasiku
@NasoroMaurid3 ай бұрын
Duu hiyo bbi munomA
@ednahumazi77710 ай бұрын
Muongo lovedee
@aishaian862510 ай бұрын
I no longer trust this women,mbona ako different stories all the time
@AnnstellaKarimi-fl3qy8 ай бұрын
Huyu dada ni muongo kwani Kila siku Hana visanga..uongo mtupu tafuteni kitu hingine ya kufanua