Fredrick Lowassa Ayaeleza Mengi ya Baba Yake | Amtaja Atakaerithi Nyumba ya Lowassa

  Рет қаралды 161,880

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@leilahleonard4628
@leilahleonard4628 9 ай бұрын
Kaka Pole Na Hongera Kwa Kueleza Uhalisia Wa Maisha Ya Baba Umetufundisha Jinsi Yakuishi Vzr Katika Maisha Ili Tupate Mwisho Mwema Amina
@theobartkingamkono5087
@theobartkingamkono5087 9 ай бұрын
Nimekupenda broo kwa majibu yako pole kwa kumpoteza baba,na mwanasia bora tanzania
@HAAM670
@HAAM670 9 ай бұрын
Pole sana comrade Fred, Mungu awatie nguvu familia ya hayati Lowasa
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 9 ай бұрын
MAASHALLAH kuishi na watu vyema kutoharibikiwa milele na milele tunamkumbuka Baba Edward lowasa.
@JohnEMeena
@JohnEMeena 9 ай бұрын
Fredrick E. Lowasa Nikupe Pole sana kuondokewa na baba mzazi Munguv ni mwaminifu sana tumtegemee hata baada ya kumpoteza Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa nasema pole kwa wote Faraja ya Mungu wetu mwaminifu iwe nanyi nyooote Amina 🇹🇿🙏🙏🙏✝️✝️✝️
@lemsanyajoel8360
@lemsanyajoel8360 9 ай бұрын
Pole Fredy Mungu amekujalia kuongea Kwa hekima sana.hongera na aendelee kkujazia.pole familia yote.
@stellamalima5667
@stellamalima5667 9 ай бұрын
waooo nimejifunza na nimeipenda sana kuishi katika wema wa mtu sio mabaya aliyonitendea eeh Mungu nisaidie, big up broo unautulivu mpaka raha
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 9 ай бұрын
Malezi ya baba amejaa hekima mno
@johnk.rogathe8525
@johnk.rogathe8525 9 ай бұрын
Pole sana familia. Kiukweli mzee na mama kwenu walitimiza wajibu wao haswa.
@ibraagwanda4683
@ibraagwanda4683 9 ай бұрын
Pole sana Fred, umemuelezea mzee wako vyema sana, apumzike kwa amani 🙏
@joycelongo1213
@joycelongo1213 9 ай бұрын
Poleni Sana kaka Fred mungu akutie nguvu katika kipindi iki kigumu
@marylibaba2589
@marylibaba2589 9 ай бұрын
Kwakweli nimeshiba kwakweli kwa maelezo yake mtoto wakwanza nimeshibaa. Ubarikiweee
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 9 ай бұрын
Najifunza kitu kupitia familia hii . Kuishi na watu vyema kutoharibikiwa milele na milele tutamkumbuka baba Edward ngoyai Lowasa. MAASHALLAH yaani mko peace sana , Najifunza subra na IMANI. Jmnn Allah azidi kuwapa ufahamu na BUSARA.
@KiriaKipara
@KiriaKipara 9 ай бұрын
Pole sana Fred na umemuelezea fresh na upawa mungu ndo anagawa
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 9 ай бұрын
Umejibu Point sana Kaka Fredy, vipawa vya uongozi sio vya kurithi. Japo wema wa Wazazi unaweza kuathiri hatma ya uzao wao
@humphreymlagalila1886
@humphreymlagalila1886 9 ай бұрын
Pole Kwa msiba, Asante Kwa maneno mazito na yenye afya
@HassanMwendapole
@HassanMwendapole 9 ай бұрын
Poleni Sana Fred msiba wa Mzee uiimarishe zaidi familia yenu na watanzania wote
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Pole sana Mh Fredrick pamoja na familia yote ya hayati,Mungu awape nguvu🙏🙏
@barakamichael3414
@barakamichael3414 9 ай бұрын
Anaweza kuwa kiongozi kabisa mungu akujalie nguvu kaka fred
@DianaroseLema
@DianaroseLema 9 ай бұрын
Mzee alikua ana busara sanah huyu kwenye kampen hakumkutukana mtu kbsaaa apumzike kwa aman jaman
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 9 ай бұрын
Poleni Sana familia yote Ila fread mzee alimpika sana
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 9 ай бұрын
Tulizoeshwa na baba yetu Lowassa kila mwaka mpya tunaenda kula apo nyumbani anachinja ngo'mbe mingi' Sijui tutakuwa tunaenda wapi jamanii" hakika kizuri ni cha Mungu hakikai' Allah akuepushie adhabu za kaburi Lowassa wetu' Msalimie Nyerere na Sokoine' mbele yako nyuma yetu.
@tatusalum2834
@tatusalum2834 9 ай бұрын
Pole sana Mheshimiwa kwa msiba mkubwa pia hongera sana umeongea vizuri sana
@Naely-bk8yy
@Naely-bk8yy 9 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia Mungu akumbuke yale yote mema alotendea Taifa letu na ampumzishe kwa amani
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 9 ай бұрын
Huu msiba umezidi mbali sana Msiba wa Mkapa maana huu umeenda juu mawinguni zaidiii🎉🎉🎉
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 9 ай бұрын
Luwassa jembe ❤❤
@LindajohnJohn-dy4ow
@LindajohnJohn-dy4ow 9 ай бұрын
Anamfanana Sana Nyerere huyu mtoto wa Lowassa
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 9 ай бұрын
😂😂😂😂 khaaaa
@IDEPHOSBLATUS
@IDEPHOSBLATUS 9 ай бұрын
Ni baba yake bhana
@annalyimo6234
@annalyimo6234 9 ай бұрын
Pole sana kwa msiba mzito,Mungu akupe nguvu
@dastansimpanzye4019
@dastansimpanzye4019 9 ай бұрын
Daa! Pumzika kwa amani Mh.Edward Lowasa, na mtoto wake Fredrick Edward Lowasa ameongea maneno ya hekima Sana,pole Sana kwa familia
@emmanyerere6479
@emmanyerere6479 9 ай бұрын
Vipawa havirithishwi, ni Mwenyezi-Mungu tu humpa mtu. Ni kweli, Kaka Fred ana hekima. Tujifunze
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 9 ай бұрын
Amen God bless all nivema kiwa mtu wa watu knstenda wema nenda zako
@AthumaniKibwana-t4c
@AthumaniKibwana-t4c 9 ай бұрын
Poleni sana Broo Fred Umejaliwa hekima ya uongozi kama MZEE
@LeahMkwabi
@LeahMkwabi 9 ай бұрын
Waandish wa hbar ni waongo sana soma kichwa cha habari kisha sikikliza ujumbe ni vitu 2 Tofauti
@FadMoe-o4f
@FadMoe-o4f 9 ай бұрын
Pole sana,umemuezea vizuri vywema sana,apumzi kwa amani🙏🙏🙏
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 9 ай бұрын
Mahisa ya Vodacom anarithi nani jamani Lazima msherekee maisha yake He made everything
@yusuphjames6905
@yusuphjames6905 9 ай бұрын
kijana yupo vzr anajibu kwa hekima sana 😢 msiba ni wetu sote
@ZiadaKindamba-d8q
@ZiadaKindamba-d8q 9 ай бұрын
Pole baba fredrik Kwa kuondokewa na baba yetu
@joshuakobe6619
@joshuakobe6619 9 ай бұрын
Ni mtu wa kusoma kwake! He was so wise!
@MarrySamwel-o4k
@MarrySamwel-o4k 9 ай бұрын
Pole Sana sio kwamba huna maumivu maumivu unayo lakin unajizuia TU Mungu aendelee kukupa Moyo wa uvumilivu 😢
@frankpius256
@frankpius256 9 ай бұрын
Pole Sana Mr Fredrick
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 9 ай бұрын
Pole sana kaka. Very interagency man
@zainurkiluasha2127
@zainurkiluasha2127 9 ай бұрын
Pole kaka kilio chetu wote kuondokewa nachina la familia
@joycebayo8106
@joycebayo8106 9 ай бұрын
Kitu ninachokumbuka kwa Lowassa, siku moja nikiwa nasoma Monduli, nilihudhuria kwenye mkutano wa CCM wkt wa uchaguzi, Lowassa alikuja na mpizani wake akamwambia aombe kura, yule Bwana aliomba kura lakin hakukubalika hata kidogo, Lowassa akauliza halaiki mtampa sauti kuu ikatoka hatumpi!!! Lowassa akauliza je mimi mtanipa wote wakajibu tutakupa
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 9 ай бұрын
Kafanana na baba yake sana
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 9 ай бұрын
Pumzika kwa amani baba❤❤
@zajiluibrahim3409
@zajiluibrahim3409 9 ай бұрын
Fred umeiva kihekma na kiimani pia pole sana
@evemariki3470
@evemariki3470 9 ай бұрын
Tunaimani lowassa ameacha nyota kwa sereka na itazidikungaa na ktk upendo wetu
@KituMelaupeshuti
@KituMelaupeshuti 9 ай бұрын
Poleni sana familia wa lowasa
@JumaCampuni
@JumaCampuni 9 ай бұрын
So plain pole kwa familia Wilaya ya.mondul.na wana inch kwa ujumla...rest in peace meze wet mindul hatutasaha nazir yako kwa kat ya makuyun
@TajewuoMoseka
@TajewuoMoseka 9 ай бұрын
Poleni sana familiar ya baba yetu Edward lowasa
@joycebayo8106
@joycebayo8106 9 ай бұрын
Ktk mkutano ule Lowassa alimpa mpizani wake pia ajieleze kwa muda sawa ambayo alijieleza yeye Lowassa, kwa hiyo Lowassa mtu mstahimilivu sana. Mheshimiwa Raisi wetu mama yetu Samia Suluhu Hassan anataka kufanana na Lowassa. Tumpe tena mitano mama yetu kwa ustawi wa nchi yetu
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 9 ай бұрын
😢😢😢😢😢pole sanaa brother
@juliethmziray
@juliethmziray 9 ай бұрын
Pole sana R.I.P Lowasà
@vanessajames2192
@vanessajames2192 9 ай бұрын
Huyu ana akili akipewa uwaziri huyu hata wa nishati atatufaa
@RoseRosewilliam
@RoseRosewilliam 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kusimamia msiba wa baba yako🙏🙏🙏
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 9 ай бұрын
Jamaa anahekima sana
@wilsongabriel6171
@wilsongabriel6171 9 ай бұрын
Poleni sana familia ya lowasa kwa kuondokewa baba mzazi
@ggemmadarigemma-rt5sf
@ggemmadarigemma-rt5sf 9 ай бұрын
Polen sana tena sana
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 9 ай бұрын
Alizaaa watoto wangapi
@JumaDea
@JumaDea 9 ай бұрын
Pole sana
@GeorgiaJonh
@GeorgiaJonh 9 ай бұрын
Mungu amlaze pema pepon Amina
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 9 ай бұрын
Poleni sana
@LucyCondrad
@LucyCondrad 9 ай бұрын
Poleni
@didah6553
@didah6553 9 ай бұрын
Poleni Sana family ya lowasa
@ditramgazuro
@ditramgazuro 9 ай бұрын
Polen sana Kwa wanafamilia
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 9 ай бұрын
Safi Fred
@LilianMaivaji-df7tz
@LilianMaivaji-df7tz 9 ай бұрын
Monduli imebarikiwa viongizi wazuri na mh fred ni kiongizi mzuri. Monduki kazi iendekee
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 9 ай бұрын
R.i.n Lowassa
@NashivayElibariki
@NashivayElibariki 9 ай бұрын
Polen sana familiya
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 9 ай бұрын
Pole fredrick
@Happines-m1g
@Happines-m1g 9 ай бұрын
Pole sana frend
@emaanursery6183
@emaanursery6183 9 ай бұрын
Poleni jamani mungu wambinguni awe mfariji weni
@ustawiwetu
@ustawiwetu 9 ай бұрын
Fredy kafanana na Baba ww Taifa nyerere
@kassydadly5225
@kassydadly5225 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂bongo nyoso aiseee
@frenckWillison
@frenckWillison 9 ай бұрын
Jamn pole sana kaka Fred
@frenckWillison
@frenckWillison 9 ай бұрын
Lala Salam eduwadi
@AbdillahabubakarSalimu
@AbdillahabubakarSalimu 9 ай бұрын
Nimesikia Kuusu swala la kifo hajawai kufikiria kweli kumbe Kuna watu wanaishi mpaka wanasahau kufa
@shadluckjoshua3167
@shadluckjoshua3167 9 ай бұрын
Hiyo ni tafsiri yako kwa ufinyu wako wa kuelewa . Siyo kila kitu kinachosemwa kinatafsiri ya moja kwa moja usitake kuingiza tafsiri potofu hapa!
@claratemba44
@claratemba44 9 ай бұрын
Good
@evawilliamchatila8211
@evawilliamchatila8211 9 ай бұрын
Nimejifunza mengi
@KananaKadogholo
@KananaKadogholo 9 ай бұрын
Mila za wakazi wa kaskazini !
@NashivayElibariki
@NashivayElibariki 9 ай бұрын
Poleni sana familia ya lowasa
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 9 ай бұрын
Jaman alıkuwa mzee wa famılıa kwel kwel.
@RizickKaaya
@RizickKaaya 9 ай бұрын
Mungu ukuweke maali pema peponi
@denismabubu291
@denismabubu291 9 ай бұрын
POLE SANA MH PAMOJA NA FAMILIA NZIMA
@lakiabalozi5633
@lakiabalozi5633 9 ай бұрын
Kimasai anayerithi nyumba ni kitinda mimba wa kiume
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 9 ай бұрын
Mama yupo jamani
@WalterLockManagement
@WalterLockManagement 9 ай бұрын
POLE SAANA RAFIKI YANGU FRED. BABA ALIKUWA RAFIKI YETU SANA WANA DIASPORA-WALTER-SINGAPORE
@huldamichael4445
@huldamichael4445 9 ай бұрын
Daah,kopi yake hii...safi
@BGHaule
@BGHaule 9 ай бұрын
Yaani jamaa ana hekima sana,ametembea mule mule
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 9 ай бұрын
polen Fred
@MwanaRamathani
@MwanaRamathani 9 ай бұрын
Mung awazidishie😅
@BerthamalakiMalaki
@BerthamalakiMalaki 9 ай бұрын
Lala kwa amani baba
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 9 ай бұрын
Hii familia wamefanana na baba wa taifa nyerere embu waangalieni jamani.
@vediowkiritasi3163
@vediowkiritasi3163 9 ай бұрын
User wewe, Dah jicho kali 😂😂😂
@beatricesamwel8161
@beatricesamwel8161 9 ай бұрын
😂😅😂😂😂
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 9 ай бұрын
Umeliona hilo eee jmn!!!
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 9 ай бұрын
Mulize kuhusu mwombolezaji aliyepigwa
@BGHaule
@BGHaule 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@scholasticaelias2049
@scholasticaelias2049 9 ай бұрын
Pumzika Kwa amani baba yetu lowassa
@Happines-m1g
@Happines-m1g 9 ай бұрын
Pole sana kaka ferd
@nicebatare2737
@nicebatare2737 9 ай бұрын
Mbona hajasafisha meno sasa
@ronamonge1410
@ronamonge1410 9 ай бұрын
9
@rashidsuleiman1531
@rashidsuleiman1531 9 ай бұрын
Huyu mtu mzima au kijana
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 9 ай бұрын
Hahaha
@ustawiwetu
@ustawiwetu 9 ай бұрын
Mvi za ukoi, hata Lowassa alikuwa nazo akiwa kijana
@abubakariathumani-t7f
@abubakariathumani-t7f 9 ай бұрын
Pumzika kwa aman munguakulaze ormaa pepon
@BerthamalakiMalaki
@BerthamalakiMalaki 9 ай бұрын
Lala kwa amani baba
@Happines-m1g
@Happines-m1g 9 ай бұрын
Poleni sana
@marthageorge5043
@marthageorge5043 9 ай бұрын
Poleni sana
@BerthamalakiMalaki
@BerthamalakiMalaki 9 ай бұрын
Lala kwa amani baba
@BerthamalakiMalaki
@BerthamalakiMalaki 9 ай бұрын
Lala kwa amani baba
Haunted House 😰😨 LeoNata family #shorts
00:37
LeoNata Family
Рет қаралды 16 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 64 МЛН
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,1 МЛН
CLOUDE E | Msiba wa King kiki | Ay na Steve nyerere wamlilia
19:36
LIVE:
1:49:04
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,7 М.
LIVE: Majonzi Waliofariki Kariakoo Wakiagwa | Mnazi Mmoja
1:21:03
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2 М.
LIVE: KUAGWA KING KIKII | LEADERS CLUB
1:29:05
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 1,2 М.
LIVE: Clouds 360 Tupo Kariakoo I Moyo wa Mawingu I Poleni Watanzania
2:51:50
Haunted House 😰😨 LeoNata family #shorts
00:37
LeoNata Family
Рет қаралды 16 МЛН