moyo umeusambaratisha donda sugu kweli linatisha haya mapenzi siyataki tena nilimdhamini kwa upendo kwa raha na dhiki vyote oh cha ajabu mwishoe nikamfumania ilinikata roho,kwenye misuli oh hata nguvu mi sina mi sina ilinikata roho,kwenye misuli oh hata nguvu mi sina mi sina MAUMIVU,MAUMIVU,MAUMIVU KWELI NAHISI MAUMIVU