FREE MASON - MAWAIDHA

  Рет қаралды 1,197,396

ideal muslim

ideal muslim

Күн бұрын

Пікірлер: 476
@kunuzebwofy4921
@kunuzebwofy4921 2 жыл бұрын
Coronavirus and it's 9years ago. Beauty of my religion. May God bestow us all His Blessings.
@innocentulomi3260
@innocentulomi3260 2 жыл бұрын
this is really
@lorahjhoo3690
@lorahjhoo3690 2 жыл бұрын
Very true
@qwizzmena9237
@qwizzmena9237 2 жыл бұрын
Am afraid
@fathimaishmail2768
@fathimaishmail2768 Жыл бұрын
Ooo Ma Sha Allah THABAARAKA pongezi kwenu mungu azidi kuwapa imani ya kuzidi kutuelimisha Inshaallah 🙏
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Mwenyeezi Mungu ndiye anaehukumu tumuachie kazi yake sisi tafuateni yale mema aliyotuamuru na kutoa mawaidha yanayosaidia vizazi vyetu.
@hellenjelimokiplagat5615
@hellenjelimokiplagat5615 2 жыл бұрын
Ni vyema kabisa kwao kutuelimisha ambapo tutakua makini kujiepusha na mambo zingine,maanake ata jatika biblia ukisoma ufunuo 13:18 tumeonywa pia.kwangu Mimi naona tu ni Bora waendelee na dawaa
@mangalamlala3516
@mangalamlala3516 6 жыл бұрын
Mimi ni mkristo ila maneno yako nimeyakubali sana
@emmyngowi1681
@emmyngowi1681 7 жыл бұрын
Asante sana mwalimu kwa ukweli huu mkubwa ulioufichua, kwa kweli waafrika inabidi tuamke toka kwenye huu usingizi na tuache kukimbilia mambo ya wageni , ikiwa mwanzo hawakutupenda leo itawezekanaje inabidi tuwe macho sana asante sana mwalimu kwa mara nyingine
@husnakabaya4546
@husnakabaya4546 6 жыл бұрын
Allah awajaze kheir ma sheikh wetu,mume fanya kazi nzuri Sana kutufahamisha haya.........jazakallah kheir!
@khadijakombo4207
@khadijakombo4207 8 жыл бұрын
Mashaallah.... Kwa aliyetaja caliphates kuwa ni Freemasons Allah akusamee... Na nyie wakristo mtaacha chuki nendeni msikize mapadri wenu uko kitu ka ni uongo si lazima mcomment...
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 4 жыл бұрын
Mashaallah maustdh mungu awape kheri 🙏 kwa kutufafanulia mungu atufanyie wepes kwa sote insha'Allah
@umfahad2609
@umfahad2609 3 жыл бұрын
Ma sha allah.. Namuomba ALLAH akulinde na maadui. Na akupe uzima, afya na umri mrefu in Sha Allah.🤲
@issackdiso2250
@issackdiso2250 Жыл бұрын
Aamin
@zahraomar6172
@zahraomar6172 3 жыл бұрын
Allah.sw akulinde sheikh akujaalie uongoze ummah na vijana wetu na ma binti zetu...kwa kweli ummah unaangamia karibu daresalam kuwafanyia daawa vijana wetu...inaskitisha sana
@somopilotina203
@somopilotina203 Ай бұрын
Watching this 2024 May Allah bless you sheikh. 😊
@chrispinramadhani3662
@chrispinramadhani3662 7 жыл бұрын
Jesus is the way the truth and life no one can go to his heavenly except by him
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
chrispin ramadhani wewe nawe huna ujualo mungu wako ni Paulo ndo kawaandikia nyie bible af mwadanganyana eti ni nitabu ya issa peace be upon him
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
chrispin ramadhani utaenda pepo ya nani paulo hana pepo hko
@rahimbanda4954
@rahimbanda4954 7 жыл бұрын
sasa quran nani akayandika
@saidadan8018
@saidadan8018 7 жыл бұрын
kkkkkkkk let chrispin tell us...tuone ataenda wapi Ati pepo...do think Paul ana pepo
@jjody1980
@jjody1980 3 жыл бұрын
Jesus de only truth
@dullymsomaly3782
@dullymsomaly3782 3 жыл бұрын
Ulishaaaongea zaman kumbe...daah mashallah...kila mwenye macho aone
@mohdsalum5428
@mohdsalum5428 3 жыл бұрын
Haswaaaa.ni.zaman sn
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Toka nina miaka 13 mpka sasa nina 21 bdo watu haweelew
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
Yalisemwa miaka nane iliyopita, hatimaye leo kuhusu suala la chanjo limetimia!! Allah Akbar
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Nilikuwa natafuta hii coment na bado tutaona mengii🙌🙌🙌
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
@@zalhathasaid2060 Allah Akbar!! Japo n hiyari, binafsi nakushauri usikubali kuchanjwa, n hatari sana
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
@@dullywamashairi121 mm labda waniue
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 3 жыл бұрын
@@zalhathasaid2060 Maashaallaah!! Allah atatuvusha salama kwa rahma zake. Ingawaje hii vita n kubwa lkn kwa Allah n jepesi mno. Pia kuwa makini sana na Shekh yeote anaye hamasisha kuchanjwa, ukiona mawaidha ya namna hiyo n bora ukatia vidole masikioni (usiwasikilize). Watakuja mashkhe wa namna hiyo, wataunga mkono jambo hilo, waepuke. Wametumwa, wanatumika kuhamasisha waumini wasiojitambua
@lorahjhoo3690
@lorahjhoo3690 2 жыл бұрын
Iwas looking for this comment
@kennethsondoyi7785
@kennethsondoyi7785 3 жыл бұрын
Thanks for giving me the word of God Jesus is my chief shepherd.
@benardyengo1241
@benardyengo1241 3 жыл бұрын
Everyone is 4r himself bt God is 4r us all.
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows 2 жыл бұрын
Hawa jamaa wakweli kabsa japo waislamu siwaelewagi kabisa ila ukweli mtupu duh yesu mungu wangu tuokoe
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl 2 жыл бұрын
Kweli kweli kabisa
@zipporahbiyaki2463
@zipporahbiyaki2463 8 жыл бұрын
Tell them my brother,Mimi c Islamic but I support maneno yako .
@williammariach3441
@williammariach3441 7 жыл бұрын
Zipporah biyaki I support
@MrMarcomoravia37
@MrMarcomoravia37 7 жыл бұрын
Zipporah biyaki
@ximaleeumaabowy4767
@ximaleeumaabowy4767 6 жыл бұрын
Facilitator bowy jazakallah
@mankaboy5143
@mankaboy5143 6 жыл бұрын
Zipporah biyaki what are you waiting?
@ibukaharuna8360
@ibukaharuna8360 2 жыл бұрын
Zippy ukoje n unaeza kubali kua Muslim please 🙏🙏🙏
@mbwanamohamedy5488
@mbwanamohamedy5488 7 жыл бұрын
Safi sana shehe kwa kutuelimisha kwa ss ambao hatuelewi
@meekdee3819
@meekdee3819 2 жыл бұрын
Sheikh leo tunapiga chanjo Allah knows the best
@bakarbaraza2565
@bakarbaraza2565 Ай бұрын
May Allah grants him Jannatul firdwas ya Sheikh
@bahatiboicomedian6067
@bahatiboicomedian6067 3 жыл бұрын
Ak uongo yenye mko nayo na Ni jina ya mungu mnachezea ..
@thuweinthabit6313
@thuweinthabit6313 3 жыл бұрын
Hapo inapozungumziwa chanjo, sijui kuna mtu katika wakati huu anasikiliza kwa umakini hii video
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Tupo mbona tutaona mengi tu
@idamammy6081
@idamammy6081 Жыл бұрын
Sasa mbna madaktari wanatulazimisha watoto wetu wadungwe sindano
@husseinabdulahi1036
@husseinabdulahi1036 Жыл бұрын
Marsha Allah may Allah help us inshaalah amen may Allah grant us to jannah
@amineznymlessniccur175
@amineznymlessniccur175 5 жыл бұрын
Sheikh mungu akupeleke mpaka janah
@n.w.l1091
@n.w.l1091 2 жыл бұрын
Muongooo bob hajawai sema mungu ana makosa ...shenz
@Fazuunafac
@Fazuunafac 3 жыл бұрын
May Allah grant us the highest rank in jannah Ameen thuma Ameen
@Haramacad12
@Haramacad12 3 жыл бұрын
ameeen
@rashidmaina2166
@rashidmaina2166 3 жыл бұрын
Kweli xx watu waliona kuwa nlikua waongo bt hii Corona imesadikisha yote nlikua mkisema kweli
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 8 жыл бұрын
Ismail Gitau Ndutaa,Allah akulinde na azidi kukuongoza katka kheri.
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 3 жыл бұрын
Aamiin yaa Rabbi
@sizzladennh5334
@sizzladennh5334 3 жыл бұрын
But kuna mahali umeogea uogo,natural mystic ya bob hakuna mahali amesema mungu ako na dhambii...zingne uko right but hio ya bob ziii
@abdillahhussein3020
@abdillahhussein3020 2 жыл бұрын
Wallah Nina mashaka na chanjo ya korona huenda ndo tayari wameshapigwa hizo sign
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Subhana Allah 😭😭 lnna lillah wainna illaih Rajiun...
@saduninassoro849
@saduninassoro849 10 жыл бұрын
Allah akulipe kila la kheri katika elimu yako
@lianabram4088
@lianabram4088 3 жыл бұрын
dunno if anyone gives a damn but if you're stoned like me during the covid times then you can stream pretty much all the new movies and series on InstaFlixxer. Been streaming with my brother during the lockdown =)
@winstonhuxley5064
@winstonhuxley5064 3 жыл бұрын
@Lian Abram Yea, been watching on InstaFlixxer for since december myself :)
@saidiramazani1550
@saidiramazani1550 11 жыл бұрын
mengi njo ivo ita tutafautisha mpaka itakapo tufika ajali hata sisi...sasa kila umoja wetu ameisha sikia angalao kuona ata kidogo katika maisha yake basi twende!
@samsonadhiambo1391
@samsonadhiambo1391 3 жыл бұрын
I love your research my brothers, I truly believe.
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 3 жыл бұрын
Nonsense
@reubenayiendanyakundi9604
@reubenayiendanyakundi9604 3 жыл бұрын
don"t judge ,let God do his job
@shaffitsuma1250
@shaffitsuma1250 7 жыл бұрын
Assalaam waleikum, MashaAllah Mola awazidishie kwa ilmu mnayotupa in shaa Allah
@sharmakeahmed6768
@sharmakeahmed6768 8 жыл бұрын
masha Allah good information my brother thanks
@kabibikhamis6897
@kabibikhamis6897 2 жыл бұрын
Allah atuepushe n atuongoz n atupe mwisho mwema n Pepo inshallah
@mugishayves81
@mugishayves81 7 ай бұрын
Asww sheik mtupe habari za dunita❤❤
@topclipentertainment7173
@topclipentertainment7173 3 жыл бұрын
Daah n hatar kwenye swala la kuwekewa cheap ndo mambo ya corona na chanjo
@mohamedhamduni9334
@mohamedhamduni9334 10 жыл бұрын
Wote wanao wapinqa mashehe wetu wasitoe dawa nasema munqu awarani hao ndo wanawapa nquvu makafiri
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 жыл бұрын
Ni.kweli wanaona dunia ni tamu sana....ukweli wanaukwepa hata waislamu kwwli majanga hii dunia nitambara bovu.jamani
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
Wangapi mnaangalia hawa masheihk mpa leo
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 3 жыл бұрын
Covid19 imetuleta tena hapa
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
@@yahyashariff5693 acha tu ndugu yangu😭😭
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 3 жыл бұрын
@@tumainsawe6960 Tufanye maombi sana na tumumuaini Mungu tu
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
Tupo
@felosopha445
@felosopha445 3 жыл бұрын
Covid 19 Astra Zeneca Vaccine.
@maryamkokani4683
@maryamkokani4683 8 жыл бұрын
Hahahaaaa wah wazimuuu c wale wako mathare...weeeeh huku ni kutafuta Hela au nikuchizi....Mungu Akusamehe ndugu...
@faudhiaamiry2785
@faudhiaamiry2785 7 жыл бұрын
Hun akili wew ukwer unaongea ukwer
@faudhiaamiry2785
@faudhiaamiry2785 7 жыл бұрын
Yanayo semwa ukwer nyamaz kam hun chakusema
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Ww mpumbavu ulishawahi sikia shekhe kafufua m2 zaid ya mapadri wenu sasa nani anatafuta hela?! mungu akusamehee...
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Da FAUDHIA achana nao hao wameshazoea kudanganwa shekhe yupi alishawahi kuskia ni maconic zaid ya mapadri?! ajue hicho ni chama cha biashara wala si dini, unahubir mwaka unatembelea hummer huombewi mpk ulipie HAAAAAAA..
@atuyanyangeri3748
@atuyanyangeri3748 2 жыл бұрын
Uyu sheikh ni mwongo😂😂😂😂
@metalcombat4470
@metalcombat4470 7 жыл бұрын
Hiyo logo ya Vodafone/Vodacom maana yake ni tone la damu itokayo kwenye moyo ulio chomwa kisu! Maana yake ni huzuni tupu kwa binaadamu duniani.
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Metal Combat shikilia hpo hpo patakuokoa sawa eeh
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 4 жыл бұрын
Hawa jamaa ni waongo sana,hiyo nyimbo ya bob marley ni uongo anauelezea sana,waislamu jamani jifunzeni kuutafuta ukweli nyinyi wenyewe kwa wenyewe,kwa yeyote aangalie wimbo huo halafu uje kwa hawa
@majaliwajumamathias2006
@majaliwajumamathias2006 3 жыл бұрын
Kaka ucha ubaya
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Shekh umeongea ukweli mtupu juu ya chanjo 4yrs ago bt ssa tunadungwa vaccines
@trikxstar
@trikxstar 12 жыл бұрын
mimi pia ni muislam lakini sheikh ,nyinyi mumezidisha, kuna kati ya vitu vichache mumepatia lakini vingi nahisi sio kweli 100%(kama eti jackie chan started mitsubishi na mengi mengine mliyo taja)... it is this kind of talk that is the foundation of terrorism that portrays a bad image on us muslims
@ayomaamediaa9011
@ayomaamediaa9011 2 жыл бұрын
Dah wataanzisha ugonjwa ili udungwe🙏kweli ndo kinachotokea
@somicotv3000
@somicotv3000 3 жыл бұрын
Until the day ignorance gets out of you then you will come to real understanding. Do not ashame Muslims brother, ati wasema Bob amesemaje, ustaadhi maandazi wewe, wimbo unaitwa NATURAL MYSTIC not mistake, wimbo huo unatukuza kazi za Mungu na si kumkosoa. Kwa nini wapenda dhambi ya uongo?
@jm650m
@jm650m 2 жыл бұрын
Let's tearch our faithfuls the core values of religion instead of sowing fear and adding confusion to them.
@saidabdallah684
@saidabdallah684 11 жыл бұрын
ALLAH atulinde na hao mashaitwan
@jojoskitchen1210
@jojoskitchen1210 2 жыл бұрын
Allah atunusuru, kama chanjo nimeshachanja😢😢
@priscarkandonga7701
@priscarkandonga7701 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Andre-jr7vq
@Andre-jr7vq 2 жыл бұрын
Wewe ni utumbo kweli
@ke.4612
@ke.4612 2 жыл бұрын
Ndo maana Africa ipo nyuma. Upusi tu! Wacha watu wasonge Mbele. Kwani ni kesho.
@amranismail6979
@amranismail6979 3 жыл бұрын
Shekh alitabiri ndo chanjo hiyo sasa watu wanachanjwa
@yahyashariff5693
@yahyashariff5693 3 жыл бұрын
Kabisa
@mombasagossipclub9587
@mombasagossipclub9587 3 жыл бұрын
Uwongo mwingi hivi sasa nafanya kutengeneza cartoon. Lkn ata hakuna kutumia binadamu. Hivi sasa tuko digital
@stephenemuya8575
@stephenemuya8575 5 жыл бұрын
watu wanaitaji elimu sana kutolishwa ujinga hivi wanachulia ujinga wa watu for manufaa yao waliuza cd lakini
@faridaismail2903
@faridaismail2903 2 жыл бұрын
Nmependa mafunz mem
@ramiahassani5603
@ramiahassani5603 2 жыл бұрын
nilikuwepo ulipo kua ukiichambua mada hii ni Msiki wa Dar es salaam Buguruni Rozana unaitwa Masjid Haqqa, yaani kweli imepita miaka 10
@kanyamagaraabdallah8300
@kanyamagaraabdallah8300 2 жыл бұрын
Iyo nikweri munzunga anakuwuwa kidogo kidogo kwamafikiriyo ye anajuwa ati hatapata binguni lazima apereke wengi sana. Sasa hapo wazazi warudishe makii wafanye sana vita kwa wazazi wawo ata mimi yiko yivo lazime niambiye watoto wangu kukuwa makini sana na wawace kabisa kujidanganya na ma cartoon izo akuna tunda ndani esipokuwa upotevu tu
@jjody1980
@jjody1980 2 жыл бұрын
Ule mda wenye unakaa ukiwachunguza mafreemason huo mda c ushughulike kumcha Mungu na kuwaombea ama ufagie kwako toa boriti kwenye jicho lako ndio uanze kuangalia vibanzi kwenye macho ya wengine unauhakika gani wewe utaenda peponi ama pia wewe juhanum inakungoja tuu hukumu muachie Mungu
@godwinakengo3060
@godwinakengo3060 3 жыл бұрын
Kila mtu ashike sana imani yake maana siku zimefika
@simonshedrack6019
@simonshedrack6019 2 жыл бұрын
Nakubari shehe kwamafudisho manzuri
@youngblvck3019
@youngblvck3019 2 жыл бұрын
😂😂😂hapo kwa cartoon amedanganya 😂😂likes za 2021
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 жыл бұрын
Unaijua historia ya cartoon?
@ramadhankijana9442
@ramadhankijana9442 3 жыл бұрын
Dah pole sana kwa wazazi
@consultantbayport5285
@consultantbayport5285 2 жыл бұрын
Hii ni miaka 9 iliyopita na sasa imekuwa kweli
@orpharmogaka3736
@orpharmogaka3736 8 жыл бұрын
Thanks to sijui nimuite muubili Kwa uchumbe ila kila mtu anaelewa kifiake
@musamadegeda-kf2qb
@musamadegeda-kf2qb Жыл бұрын
Hawa jamaa ivii wazima mpk Leo bado wapo
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
حقا يافضيلة الشيخ.
@erickjuma7643
@erickjuma7643 2 жыл бұрын
These are some enlightened individuals.
@khaliddawa6821
@khaliddawa6821 2 жыл бұрын
Amazing genius...
@bakarbaraza2565
@bakarbaraza2565 Ай бұрын
Very true
@mariomimi4769
@mariomimi4769 7 жыл бұрын
MashaAllah
@belito1270
@belito1270 3 жыл бұрын
Sasa chanjo tumeipata, yawezekana kuwa unabii umetimia??
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 2 жыл бұрын
Mungu atukomboe
@khadijacassim151
@khadijacassim151 2 жыл бұрын
Asalaam alaikum warahmatullah wabarakatuh Hawa masheikh wako wapi Iyo ni covid 19
@kamalolatofficialpage
@kamalolatofficialpage 5 жыл бұрын
Mashaallah continue with daawa.
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh Uyu kijana iko wapi?
@pabloqevoh
@pabloqevoh 11 жыл бұрын
Kule Nairobi mlienda pahali panaitwa Kisumu? Na I guess umeskiza Natural mystic pia ama unajuaje? I cant stand ignorance
@lokeredavid9754
@lokeredavid9754 2 жыл бұрын
Na unatumia microphone na KZbin ambayo safaricom ama Vodafone wanaprovide
@lelahassanali7373
@lelahassanali7373 6 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah aliekua na akili amekuelewa
@mikedizzo6127
@mikedizzo6127 2 жыл бұрын
Believe in jesus because is the only way of truth no one can see heven without jeasus
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Laahaulaa walaakuwwata illaa billah!!!
@mohamedaboubakar1865
@mohamedaboubakar1865 6 жыл бұрын
Haha! Hii ya Mitsubishi kali sana, Maskini jackie Chan Mchina wa Hong Kong.. Mitsubishi Kampuni ya Japan Ila tumeelewa suala la Freemason ijapokua si jambo jema kuwabandika watu wasiohusika katika ibada za kishetani
@saidabdallah9700
@saidabdallah9700 4 жыл бұрын
usiwe mnixhi ushaangara picha ya jack chaine mmasai hiyangalie vizuri
@sallygoldwawatu4372
@sallygoldwawatu4372 5 жыл бұрын
Mm nimekataa hayo maneno yako..nyinyi ndio ma agent wao..mlijuaje mambo yakina Ali kiba?Inaitwa fitina..mm huwa sipendi haya mahubiri yenu ya maurongo...How cms ww unajua list ya madevil?Huezi muita mwenzako mwizi kaa ww mwenyewe hamjaiba na yy..😥😫🤔😝😜😏😏😏🙄🙄🙄
@issahamisi4066
@issahamisi4066 3 жыл бұрын
Ustadh mbona kam corona Hyo ulii predict aisee
@4hunnidnigga600
@4hunnidnigga600 6 жыл бұрын
Manshaalah long life to u my fellow brother?
@mightybobbyofficial
@mightybobbyofficial 3 жыл бұрын
Was this a prophecy?
@iam-penolive
@iam-penolive 4 жыл бұрын
Nairobi?? Kisumu??? Cjamwelewa huyuuuu.....Nairobi na kisumu Ni wapi na wapi Sasa....mmmh hayaaa banah
@254nicelovecomedy3
@254nicelovecomedy3 2 жыл бұрын
Ulisema kweli leo hii watu wamepewa chajo
@maswanyakhaji6633
@maswanyakhaji6633 8 жыл бұрын
natural mystic, bob alikua akionya watu juu ya dajjal, ama anticrist,
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
maswanya khaji umuongo hiyo kitu iko wazi kabisa kwa taarifa yako aloambia watu waponye dunia ni mickol Jackson na kibao chake (hill the world)
@cypriansinkala4693
@cypriansinkala4693 3 жыл бұрын
Mbona kama kweli
@isackbaton3686
@isackbaton3686 2 жыл бұрын
Mmenifumbua macho
@jamlickwaweru9025
@jamlickwaweru9025 3 жыл бұрын
Ai kisumu iko Nairobi Tena 🙄 alaa
@mashiabdul4997
@mashiabdul4997 11 жыл бұрын
asante sheikh
@NicholasOuta
@NicholasOuta 11 жыл бұрын
Mimi si mwislamu na siwezi tofautiana na huyu jamaa juu sijui lakini...if kila kitu ni ya devil worshiping...tutafanyaje?...hata Vodafon, digital TV, Mitsubishi...MUNGU ATUSAIDIE
@chiefmjukuutm6666
@chiefmjukuutm6666 3 жыл бұрын
Ilshallaa Shee mungu mwema
@abdallakithi6394
@abdallakithi6394 3 жыл бұрын
Nimerudi kuangalia bada ya coronavaccine
Kanisa La Ibilisi Part 2
34:19
ideal muslim
Рет қаралды 689 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 16 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
SULEIMAN MAZINGE & OMAR FATEA | DEBATE YA MAZERAS DAY 3
45:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 77 М.
ulimi kishki part 2
1:12:34
ideal muslim
Рет қаралды 123 М.
SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ #akashatv #mawaidha
1:35:51
Kanisa La Ibilisi Part 3
23:53
ideal muslim
Рет қаралды 332 М.
020 3 OTHMAN MAALIM - MISUKOSUKO YA KABURINI
1:05:59
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 38 М.
Hilal Kipozeo Kujiepusha na Maovu
54:56
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 285 М.
Kanisa La Ibilisi Part 1
34:37
ideal muslim
Рет қаралды 653 М.
Jahanam
37:51
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 368 М.
IJUE DHAMBI NZITO KABISA KULIKO HATA RIBA.SHEIKH KISHK
38:02
Kishki Online TV
Рет қаралды 258 М.
Aina 7 Za Wanawake Wabaya Part 2
44:43
ideal muslim
Рет қаралды 431 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН