Freestyle Rap Battle | Cado Kitengo Vs Jaco Geezy | Season 3 Ep.9 | City Rap Battles (CRB)

  Рет қаралды 12,104

ExtramileTv

ExtramileTv

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@jumaamsaga8651
@jumaamsaga8651 5 жыл бұрын
hzo t shrt za city rap battler zinapatikanajeeee wazaz
@yefterngabo341
@yefterngabo341 5 жыл бұрын
Ayeeeeeee ayeaaaah wosaaaa,,
@deenicetz
@deenicetz 5 жыл бұрын
💯✔🔥🔥🔥🔥🔥🔥Haijawahi tokea battle kama hii duniani,nawakubali wotee kwangu hao kila mmoja ni mshindi
@ezeckielsyantata1295
@ezeckielsyantata1295 4 жыл бұрын
Noma sana
@gbrowngbatz7867
@gbrowngbatz7867 5 жыл бұрын
Kado kula yangu
@nicholauserick7179
@nicholauserick7179 5 жыл бұрын
ayeeeeee, wozaaaaaa
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 4 жыл бұрын
Rap battles za cado na jaco ni kali sana....japo jaco anajua kucheza na jukwaa vizuri...vibe kama lote plus mistari hajitafuti....cado ana punch flan kali sana. watoto wa uswaz ngum nyeusi ....inatakiwa apewe ubingwa wa heshima...season moja
@makorabohbchannel2807
@makorabohbchannel2807 3 жыл бұрын
Kama ulizan majoda pande zangu we umedema ...kado unanimalizia bando🔥
@innocentsilivester9783
@innocentsilivester9783 2 жыл бұрын
Hi kitu itakua poa ikirudi 👊👊👊
@zeroconscious1916
@zeroconscious1916 Жыл бұрын
Hakika
@donprince9752
@donprince9752 5 жыл бұрын
Ofcoz kado kashinda as usually bt sio kwa gap ilo mn battle ili kaza xana#CRB 4 lyf luv hip-hop
@yefterngabo341
@yefterngabo341 5 жыл бұрын
Jaman Stan yupo wap kadoo anaonea ukuu
@mospeciol
@mospeciol 5 жыл бұрын
Ila cado amekuaje season ya tatu🔥🔥🔥 dah!!!😂😂😂
@shebymwakasege9253
@shebymwakasege9253 5 жыл бұрын
Kado nondo noma
@youngdady6149
@youngdady6149 5 жыл бұрын
Kado nondo utabaki kuwa juu kileleni
@patrickmathias3516
@patrickmathias3516 5 жыл бұрын
Apo kuna round cado kapewa tu huo ni ukwel Kbxa
@waukaemalege5425
@waukaemalege5425 5 жыл бұрын
hapo mwisho walivyopanda wote watatu wamemalizia na flow kali sana
@kinakituone4359
@kinakituone4359 4 жыл бұрын
Mtu anaeweza kushindana na cado ni jaco geezy, cado yuko vema ma mc wa kawaida hawawezi shinda batle
@mozexgedda3109
@mozexgedda3109 5 жыл бұрын
nawakubali sana judges wangu but today you let me down.
@mcmifukotz7267
@mcmifukotz7267 5 жыл бұрын
Kado kitengo
@jifaqmoonwalker6032
@jifaqmoonwalker6032 5 жыл бұрын
Geezyyy
@nawihadj6674
@nawihadj6674 4 жыл бұрын
Ayeeeeeeyaaaaaa
@man-kereborbocrew8528
@man-kereborbocrew8528 5 жыл бұрын
Jaco unarudia maneno Yale Yale ya verse ya kwanza jitahidi kuwa mbunifu
@arafatmisano3383
@arafatmisano3383 5 жыл бұрын
Hii ilikuwa noma asee
@peterlutusyo3589
@peterlutusyo3589 5 жыл бұрын
Kweli wazee mnakichafuaa duu!! Hadi utamu yani
@mohamedali-ou8ye
@mohamedali-ou8ye 5 жыл бұрын
Wow rappers is hit 🔥🎤🎧🇹🇿🇸🇴👑 FLASH BOY A.K.A WARIIRI BOY🌚💀
@patrickgodfrey4327
@patrickgodfrey4327 5 жыл бұрын
Cado nondo ayeeeeeee ni hatariiii
@abasmwika3432
@abasmwika3432 5 жыл бұрын
Kwangu mimi Kado Nondo kachukua round 2 za mwanzo zilizobaki sare
@alfanboblice8399
@alfanboblice8399 5 жыл бұрын
Kado katisha
@youngdady6149
@youngdady6149 5 жыл бұрын
Pasaka bdo kavaa viatu vya Chrismas😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we kado ww
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 5 жыл бұрын
Nomaa sana jamaa
@petervasco6245
@petervasco6245 5 жыл бұрын
Cado kitengooo ayeeeeeeeeeeee!
@man-kereborbocrew8528
@man-kereborbocrew8528 5 жыл бұрын
Mi sio basha ako usijifanye kudekadeka
@man-kereborbocrew8528
@man-kereborbocrew8528 5 жыл бұрын
Yani mimu,jacojeez,na CADO kitengo WaPo vizuri mno
@gilbertjackson55
@gilbertjackson55 5 жыл бұрын
Pasaka bdo unavaa viatu vya chrismass
@peternyange1894
@peternyange1894 5 жыл бұрын
Nampenda sana kado nondo ila kuna mda wanampa point ambazo hastahili kama round ya nne iangalieni vzur...
@velaalberto7766
@velaalberto7766 5 жыл бұрын
Nimeona
@junbertgymfitness.6976
@junbertgymfitness.6976 5 жыл бұрын
Peter Nyange Umetumia kigezo gn unaangalia kurap haraka angalia skills mbona unakua mshabiki maandazi..jaco anajiweza ila cado so
@paulopau-ln4tt
@paulopau-ln4tt 5 жыл бұрын
Ila nimegungua hapa kupendelea ipo
@dominicmzena852
@dominicmzena852 4 жыл бұрын
Iringa tooooooooooooown
@phabiansama2314
@phabiansama2314 5 жыл бұрын
Majaji mnazingua mnapendelea upande mmoja
@mamuyatz9600
@mamuyatz9600 5 жыл бұрын
Dah hii freestyle ya watatu mamaeeee hawa wasengee ni kweree dah
@fredrickbehabeha6911
@fredrickbehabeha6911 5 жыл бұрын
Cado
@sixtuspeter5637
@sixtuspeter5637 5 жыл бұрын
ujue mda mwingine hawa ma judge nashindwa kuelewa wanatumia vigezo gani kutoa point. hapa ndo tunaanza kupata majibu kuwa hawa sio wasanii wazuri wa hip hop.. wat the fuck is that.. huyu jamaa kuna round kamzid kabisa huyo kado but wanampa point kado how come jaman wanavunja moyo sana nimeudhika sana.. fuck this
@youngdady6149
@youngdady6149 5 жыл бұрын
chiz ww usivamie kaz za watu
@sixtuspeter5637
@sixtuspeter5637 5 жыл бұрын
chiz mamako na babako k wewe unataka muhogo nn uliwe kiboga
@paulopau-ln4tt
@paulopau-ln4tt 5 жыл бұрын
Umetisha mwamba
@huzmj7251
@huzmj7251 5 жыл бұрын
Haendi na vina
Dakika 10 Za Maangamizi  : Chid Benz | Planet Bongo
11:24
EastAfricaRadio
Рет қаралды 574 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 38 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Christian Hutson - i did it ft. angel ochoa (Official Music Video)
2:43
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - KEVBADAZZ
12:23
EastAfricaRadio
Рет қаралды 11 М.
Juma Nature -  Komaa (Official HD Video)
3:39
HomePage
Рет қаралды 260 М.
#3 THE HUSTLE
29:38
REBUILD Podcast
Рет қаралды 991