Wale tunao rudiarudia huu wimbo bila kuchoka tupoo?? Wimbo unanibariki Sana'a. Mungu awabariki Sana Jesus kwaya.
@freshchoir50822 жыл бұрын
Amina
@gonsalvamswaga6471 Жыл бұрын
mmm tupo wengi hadi nime download maaaana umenigusa balaaa
@JacklineKaleby9 ай бұрын
Mungu a wa line watoto wazuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kweli mungu ni mkuuuu
@mwanaidihamisi5394 Жыл бұрын
Huu mwimbo naupenda mpaka nachanganyikiwa ngomeni Kuna vioawa wapo vizuri
@wahdarajabu70153 жыл бұрын
Huu wimbo ni mzuri safi sana watoto wazuri
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Thx sn
@mwanaidihamisi5394 Жыл бұрын
Hatukuzwe sana mungu wa madhabahu ya kuhani musa
@grantmwaikenda81272 жыл бұрын
Daaaaaah yaaan huu wimbo umenibarili sana tena sana MUNGU awasimamie Hawa watoto wakue kama jinsi wanavyokuzwa hapo ngomeni Nimeshindwa tu ku download CD Yao napata wap
@freshchoir50822 жыл бұрын
Amina sio mda itakuwa hewan
@gonsalvamswaga6471 Жыл бұрын
tuko wengi
@nehemiajohni72072 жыл бұрын
❤Kama duniani kunalaha kiasi hiki je? mbinguni itakuwaje niacheni nienda.Naluka juu nipenye zaiiidi Atukuzwa BWANA.
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amina
@vivianedward41272 жыл бұрын
Yesu wetu aweze kuaenua zaidi na zaidi kwa Utukufu wake
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amen
@francismoshy32862 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana... Mbarikiwe
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amina
@nehemiajohni72072 жыл бұрын
❤Hakika ni yu❤lleyule Atukuzwe MUNGU.
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amina sn
@evelynemkane94083 жыл бұрын
Watoto wazur mnaimba vizur Mungu awainue zaidi na zaid
@freshchoir50822 жыл бұрын
Amina tunapokea
@abdurymatitu41802 ай бұрын
Ameni mungu awabaliki Jesus kwaya
@sakemamedia54262 ай бұрын
Utukufu kwa Yesu
@johannesdonatus61502 жыл бұрын
Amena munagu awalinde
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amina sn tunapokea kwa Damu ya Yesu Kristo alie hai
@joycewafula9352 жыл бұрын
Amen 🙏
@freshchoir50822 жыл бұрын
Barikiwa sn
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Barikiwa
@bakiriyoyota44282 жыл бұрын
Ngomeni kunatisha
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Mtesi hana nafasi
@deusemmanuel79792 жыл бұрын
Amina
@freshchoir50822 жыл бұрын
Barikiwa
@suzanaLussiana-vq6im Жыл бұрын
mungu bless
@sakemamedia5426 Жыл бұрын
Amen
@magrethbelege22313 жыл бұрын
Amen ,Mungu awainue katika viwango vingine
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amen
@alphoncehume9495 Жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki Sana.❤
@sakemamedia5426 Жыл бұрын
Àmina Yesu akuinue
@neemametta73643 жыл бұрын
Ameeeen
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amina sn ucsahau subscribu na share
@lizzyngoi50543 жыл бұрын
Amina Mwenyezi Mungu azidi kuwatumia
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amina
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amina
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amina
@philipmatemu62063 жыл бұрын
Amen
@carolzclozet87633 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watoto wapo vizuri je wana tunataka kununua cd yao tunaipataje
@ay-kabartany2 жыл бұрын
Danilod
@sakemamedia54262 жыл бұрын
Amen
@jacobjames80943 жыл бұрын
Ameeeeeen,, Bwana awainue zaidi wimbo umenibariki Neema ya Bwana iwe juu yenu mashujaaa
@sakemamedia54263 жыл бұрын
Amen
@persiajosephat20212 жыл бұрын
Mimi ndo yule yule waliosema siolewi sasa nimerudi na mwenzi ili nikushukuru barikiwa sana napenda hii madhabahu ndo imenipa ushindi