Natamani sana kufanya kazi na nyie.... Millard si hata unione huku na mimi❤
@LEGENDSBROTHERHOOD Жыл бұрын
Ila mimi nalipa $1500 kwa mweli ila huku kazi ni nyingi saaana kuliko bongo acheni kuwakatisha tamaa vijana , kwa sasa naweza kujenga nyumba nyingi hapo Tanzania, huku unafanya kazi unalipwa kila saa inayoenda kwa Mungu, fanyeni connection na watu wanaoishi huku hutoumia
@kdloon2030 Жыл бұрын
Malimbukeni utawajua tuu.Acha ushamba
@EvanRand Жыл бұрын
Vp kaka
@LEGENDSBROTHERHOOD Жыл бұрын
@@EvanRand poa ndugu yangu
@LEGENDSBROTHERHOOD Жыл бұрын
@@kdloon2030 huna chakula nyie ndo wale mnaotukana watu mtandaoni wakati huwafikii hata theluthi ya maisha Yao , kuwa mpole siku zote mtu hufanikiwa palipo watu , acha makasiriko ishi vizuri na watu utaona matunda yake, ndio niliondoka hapo airport kama mshamba ila kila nikirudi napokelewa kama mfalme majumba ninayo na magari pia 🙏🙏🙏
@LEGENDSBROTHERHOOD Жыл бұрын
@@kdloon2030 ukiacha makasiriko, na wivu utakuwa mtu wa maendeleo maana hivyo ni vyanzo vya mtu kuwa mchawi pia , fanya kazi, ishi vizuri na watu, maana mafanikio ya mtu yanatoka kwa watu , naamini utakuwa umenielewa sitaki matusi ila kama nimesema vibaya nisamehe pia 🙏🙏🙏
@timothnakiz-zb4rz Жыл бұрын
Woooooooow beautiful frida
@marawatv5871 Жыл бұрын
Ilaaa Frida your so beautiful mommy
@murtanseif3539 Жыл бұрын
Bora mumelisema hili watu wengi hawajui wanadhani ukiishi nchi za nje ni rahisi sana kodi ya nyumba ya mwezi mmoja tu tena nyumba ya kawaida ni sawa na kodi ya nyumba ya tz ya mwaka ama miezi 6
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
I like hiyo background ya migos bad bouch
@HappinessSimon-n4i2 ай бұрын
jamaniiii kaka millard naomba kazi ya usafi naweza kaka
@alikhamis4550 Жыл бұрын
Kwa mwanya wa Frida Amani Mimi naweza kuipia mahari hata kama milioni10. Nakupenda sana Frida
@husseinhussein9971 Жыл бұрын
Sema Frida mzuri sana.
@energeticmbn4596 Жыл бұрын
Akiwa hama make up hivo anakuwaga powa sana
@mustafajaku9772 Жыл бұрын
Hey Milard umeongelea kitu khs NMB kuwa huna haja ya kuchange pesa ukiwa nje mm nipo nje napata tabu Sana kwenye makato
@funnyboy369 Жыл бұрын
Jaman nataman pia frida awe mmoja wa watangazaji wenu yuko pw Haboi kiukwel na anavocal baraaa...
@deusntobi6682 Жыл бұрын
Kenya wanashida hiyo upigaji kwenye kubadilisha pesa. Ila kuna maduka ya wasomali hayo uhakika