🛑FRIJI BOVU AMPA MAUA YAKE KOCHA FADLU, ANAJUA SANA BOLI AMELETA PIRA LA RAJA CASABLANCA BONGO

  Рет қаралды 14,878

MFALME WA SOKA

MFALME WA SOKA

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@sekionekitojo
@sekionekitojo 10 сағат бұрын
Friji bovu timu ya Simba ni mpya na kocha ni mpya, Fadlu anahitaji miezi 6 kuweza kuiweka sawa timu. Hawezi kuiweka sawa timu kwa kutumia wacjezaji wote. Alihitaji kwanza kuwajua wachezaji na kisha kupata kikosi kipana.
@NitGeneralsupplyDom
@NitGeneralsupplyDom 14 сағат бұрын
Nakubal Mzee wa frij bovu pira Casablanca ata me nimeona kak
@mwalockjeremiah4802
@mwalockjeremiah4802 2 сағат бұрын
Huyo mshika maiki nifara hajuw mpila anamaswali yakifara sanav
@buberwamujungu6987
@buberwamujungu6987 11 сағат бұрын
Hii Simba kuna watu watakula kumi siku sinyingi Simba nguvu moja💪💪💪
@issaomari5297
@issaomari5297 12 сағат бұрын
Tumeangalia kipenga Cha mwisho mechi ya DABI makosa yalikuwa mengi sana yakimaamuzi..ila uchumbazi mpo good
@PeterMuhina
@PeterMuhina 5 сағат бұрын
Nakukubali sana friji bovu
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 9 сағат бұрын
Friji bovu kwemye ukweli huwa unasimama kwemye ubovu pia huwa huumi maneno safi sana wachambuzi wengine wao nikuisemwa yanga fu ila hawajui kuchambua mchezeji mmoja mmoja bigp
@hamadbakar7091
@hamadbakar7091 13 сағат бұрын
Niukweli kabisa friji bovu Simba inatishaa
@KhayratAlly-i5l
@KhayratAlly-i5l 13 сағат бұрын
Hii kweli bab
@PeterMuhina
@PeterMuhina 4 сағат бұрын
Uyo anaeuliza maswali asioneshe mapenz na utopolo yake ajue iyo nikaz
@SaidKasembe-s8l
@SaidKasembe-s8l 13 сағат бұрын
Friji bovu unapenda kuongea huku unakuna kichwa 😅😅😅
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 12 сағат бұрын
Alafu uyo muandishi ni bonge la choko yaani niliutopolo lichovu
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 12 сағат бұрын
Uyo apo pemben ni yanga ndio maana apend unavyoisifia simba
@AbasiAlmasi
@AbasiAlmasi 4 сағат бұрын
Unajua kaka
@MashakaSabato
@MashakaSabato 14 сағат бұрын
Binafsi mimi nimemkubali sana chasambi kamkela kocha babu siyo ubishi
@omanbarka1588
@omanbarka1588 24 минут бұрын
Costa ya zamani sio ya sasa hivi ya GSM sasa Leo shamba la bwana Ally mbuzi wa bwana Ally hamna kesi hapo mpila hauna mvuto nnje ya uwanja tunajua ni wachawi vizuri Sana
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 3 сағат бұрын
bado ata kama dara ayupo cost kwa sasa ni gulio la gsm kaka 😂😂😂😂cost awezi kuizuwia yanga kiraisi
@abtway66
@abtway66 13 сағат бұрын
Mwandishi anazingua ,hajatulia halafu anaonekana haipendi Simba
@HARUNSIMON-hj6up
@HARUNSIMON-hj6up Сағат бұрын
Kuna Timu inaitwa SBS, Ya singida yafundshwa na kocha wa Simba wa zaman mhm haiongelewi ila mpka Leo haijapoteza tusubir
@buberwamujungu6987
@buberwamujungu6987 11 сағат бұрын
Huyo jamaa anaemhoji freeg bovu ana tumaswali twakichokozi chokozi apewe vidonnge ahache maswali yakijoki kijoki!!
@omanbarka1588
@omanbarka1588 37 минут бұрын
Huyo bendy ni mjinga anadukuduku anaongelea nyuma ya kamela
@dismasmusoma9478
@dismasmusoma9478 4 сағат бұрын
Hua nakukubali sana nakumbuka ulisema kabla wa mech kuchezwa kwamba simba anataka ikifika dakika 15 awe ameshakufunga unazidi kuniaminisha maneno yako.
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 9 сағат бұрын
Aaah! Fridge bovu basi ata energy pia tusielewe!!!😂
@godfreysimbeye5767
@godfreysimbeye5767 Сағат бұрын
Friji unakosea sana umetaja wachezaji wanne muhimu ambao hawakuanza mechi ya jana. Nakushangaa hukumtaja Kibu kama mchezaji muhimu ambaye hakuanza. Sasa nikuambie subiri mechi na JKT ndio utajua kama Kibu ni muhimu au sio muhimu.
@michaelnsingija
@michaelnsingija 4 сағат бұрын
huyo jamaa anae kuhoji ni mkundu tu masiharaa sijui katumwa
@rashidgoza3157
@rashidgoza3157 40 минут бұрын
Hapo umesema maneno ya kweli na kipa anaewaelekeza wachezaji wenzie kuwa nendeni mkamuumize furani na furani wakishindwa anaumiza yeye kumbuka alimfanyia hivyo kibu D alivyotoka nje yeye anaonyesha kichwa yake kuwa ametumia hakiri hivyo huyo jamaa sio mtu mzuri
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 12 сағат бұрын
Friji Bovu, unashindwa kuona quality ya Mnyama ukizingatia muda wa miezi miwili tu ya kuzoena, ukilinganisha na Yanga walio na misimu mitatatu ya kuzoeana
@MoshiRamadhani-z6z
@MoshiRamadhani-z6z 12 сағат бұрын
Uyo mtoto Fala anazingua uyo mwandish anaipenda yanga kuliko kaziyake
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 Сағат бұрын
Hivi huyu mwandishi wa habari au .maana sielewi hata ana interview yake imesimamia wapi
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 13 сағат бұрын
Waandishi wengine uchonganishi akupe vyeti huyo anayekuhoji
@VeryMnyakiwele-j1p
@VeryMnyakiwele-j1p 8 сағат бұрын
Huyo mwandishi wa habari aache kuisema Simba vibaya kama hawezi aache kuichambua mbuzi huyo
@KassimShmeil-pi6up
@KassimShmeil-pi6up 3 сағат бұрын
FRIJI BOVU KAMA MWANDISHI WAKO ATAENDELEA IVI KUSEMA SIMBA VIBAYA, BC TUTAKUHAMA WANASIMBA TUNAPOTEZA MDA WETU ILI TUPATE FURAHA SIO JENGINE ASANTE.
@NahodhaSeleman-ez3qu
@NahodhaSeleman-ez3qu 7 сағат бұрын
Kipigo kizito Gani? Acha kupenda !
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 8 сағат бұрын
Halafu friji bovu unajishushia umaarufu wako kwaku washirikisha wachambuzi wa mchongo kama huyo! Dogo anaonyesha kabisa nishabiki wa yanga huyo hawezi kuwa mchambuzi kabisa kwanza mpira haujui
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 14 сағат бұрын
Kipigo kizito goli moja? Unajua kiswahili?
@raphaelbendera
@raphaelbendera 4 сағат бұрын
Acha kutoa siri ww wanatakiwa waje wastuke wamechezea nyingi
@ChanuoWakala
@ChanuoWakala 12 сағат бұрын
me naona simb inachez pira angaik pira teseka dk kumi na tano
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 2 сағат бұрын
😁😁
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c Сағат бұрын
Yan hii tv kama cyokuwa na dev ungekinga inzi coz wewe unayemuhoj ka dev ni shabik wa timu
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
GB 64 ACHAFUA KIJIJI BALAA LA SIMBA LEO DHIDI YA NAMUNGO
10:39
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 38 М.
CHEICKNE DIAKITE
8:02
Naremady Kouyate
Рет қаралды 17 М.
Israel yaishambulia Iran Katika Hatua ya kulipiza Kisasi
6:24
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 7 М.