Kweli friji bovu leo umeongea point, mashabiki wachange. Kwa watu milioni 11 tu kwa shilingi 500 ni milioni 550 nadhani inawezekana. Na Mo Dewji akiongezea hapo, mbona hiyo bilioni moja ni chap tu. Simba ina mashabiki zaidi ya milioni 11.
@JjaJackvarious15 күн бұрын
Acha madomo wew unatafuta ela
@MdidiLai16 күн бұрын
Wewe unazingua kila siku Feisal Anaenda simba lakini hakuna dili lolote la Fei