FULL: Mipango Ya Nchi Za KIARABU Kuifuta ISRAEL Kwenye Uso Wa Dunia

  Рет қаралды 9,283

Ananias Edgar

Ananias Edgar

Күн бұрын

Grow your service/product's popularity and engagement by promoting your services on our KZbin videos (shared on 2 videos per day for 6 days).
Running a promotion helps attract new customers who can boost your revenue and other engagement. Click here to get started clients.fomaen...

Пікірлер: 22
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 6 ай бұрын
Henry Kissinger alikuwa Foreign Secretary, sio katibu mkuu wa UN
@aloybuaidi4640
@aloybuaidi4640 9 ай бұрын
Huyu ndo anaandika kuhusu ujajasusi na hajui Wanajeshi wa marekani wanahudumu kwemye jeshi la Israel kama kwao maana wengi wa Waisrael wanaurai pacha. Au njaa tu nae.
@emmanuel8076
@emmanuel8076 5 ай бұрын
Eti wanajeshi wa Marekani
@ramsrafiki1212
@ramsrafiki1212 9 ай бұрын
I trust you bro
@OchaAnanius-xz9xy
@OchaAnanius-xz9xy 3 ай бұрын
Edger on the top
@hassanmkufya2867
@hassanmkufya2867 9 ай бұрын
Tatizo hiyo story inazungumzia upande mmoja
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 9 ай бұрын
Andika yakwako negative tuisome😮😮😮
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 9 ай бұрын
Israel utaifuta endapo Mungu ataridhia tofauti na hapo nikichapo Kataifa kadogo Lakini kanauwezo wa kupiga waarabu wote hata sasahivi we jiulize waarabu wote mwenye Nyuklia ni Israel pekee Iran Yuko kwenye 18 haruhusiwi kumili nyuklia
@ramadhanmkombelwa3065
@ramadhanmkombelwa3065 9 ай бұрын
hivi unajua iyo Israel imeanza lini , na sehemu pale panapo itwa Israel palikuwa panaitwaje?
@emmanuel8076
@emmanuel8076 5 ай бұрын
​@@ramadhanmkombelwa3065 KUANZA lini sio tatizo uwepo wake unajulikana a vizazi na vizazi pambaneni kufuta kama mnaweza
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 9 ай бұрын
Wanaweza ilaa mh
@ianmureta5044
@ianmureta5044 9 ай бұрын
Good job
@theheraldbroadcastingnetwo4836
@theheraldbroadcastingnetwo4836 9 ай бұрын
Unabii wa vitabu,lakini ni ngumu kumeza
@aloybuaidi4640
@aloybuaidi4640 9 ай бұрын
Unabii wa vitabu walivoandika wao wenyewe ndo maana ina version mpya na ya Zamani. Yani wanaadjust kulingana na mipango yao nao unaita unabii. Africa kila kitu tuna hukumu kidini wakati watu wako kazini kupora kama unavuoporwa kila leo in the name of Democracy 😂😂😂😂
@crispine2412
@crispine2412 9 ай бұрын
Kazi safi kiongozi
@mohamedyahya6268
@mohamedyahya6268 9 ай бұрын
Katika siku nimechezea mb ni Leo kumbe hunaga unachojua
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 9 ай бұрын
Andika yakwako vizazi vijavyo visome maana baada kishindwa vitu wamisri Walimua Raisi wao ndiyo maana baada ya hii vita ya Palestine Misri walifunga mipaka Kwanini wasiwapokee waislamu wenzao Wanajua moto wake😂😂😂😂
@KassimuTitu-nu6jn
@KassimuTitu-nu6jn 9 ай бұрын
Israel sio taifa la mungu kwani ni mashoga, je taifa la mungu linakuwaje la mashoga..
@momylaviel
@momylaviel 6 ай бұрын
Hahaah limekuuma eh pole shushia maji baridiii utulieeee
@SilasChambi
@SilasChambi 9 ай бұрын
Safi sana
@bartolomeuhenrique1574
@bartolomeuhenrique1574 9 ай бұрын
Israel ni mchi ya Jesus Christ amuwezi kuaribu,mipango ivyo wamepanga muda mrufu lakini washindwa waarabu.kkkk
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 3 ай бұрын
umemeza uongo mwing sana, jifunze utapike kidogo, waisrael sio hata wakristo, na wanawafukuza wakristo na waislam
SEPTEMBER 11 - MKASA WA ULIPUZI WA WORLD TRADE CENTER
2:16
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 1,6 М.
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,5 МЛН
FULL : CHIMBUKO La Vita Na MACHAFUKO Ya SUDAN
52:01
Ananias Edgar TV
Рет қаралды 18 М.
FULL : Simulizi Ya Binti Jasusi Wa MIAKA 25 Aliyetikisa AFRIKA MASHARIKI
43:31