FULL: PAMBANO LA MWAKINYO NA BONDIA KUTOKA GHANA LAFANYIKA USK WA MANANE

  Рет қаралды 140,802

CHAMPION TV

CHAMPION TV

Күн бұрын

FULL: PAMBANO LA MWAKINYO NA BONDIA KUTOKA GHANA LAFANYIKA USK WA MANANE
#modewji #diamondplatnumz #ccm #tundulissu #simbasc #yanga #modewji #mwijaku #feisalsalum #ahmedally #zuchu #wasafi #harmonize #wcb #mbosso #modewji #fistonmayele #yangabingwa #simbasc #ahmedally #alikamwe #ahmedally #modewji #fistonmayele #yangasc #manara #simba #diamondplatnumz #harmonize #yanga #harmonize #mwakinyo #diamondplatnumz #modewji #simba #ahmedally #simba #fistonmayele #yanga #ahmedally #kibudenis #modewji #simba #diamondplatnumz #harmonize simba #fistonmayele #modewji #modewji #yanga #ahmedally #raissamiasuluhuhassan #mafuriko #kimbungahidaya #modewji #wifewadunia #harmonize #simba #fistonmayele #yanga #modewji #ahmedally #raissamiasuluhuhassan #simba #fistonmayele #diamondplatnumz #simba #yanga #ihefu #ahmedally #alikamwe #manara #modewji #hd
#harmonize #diamondplatnumz #alikiba #kingkiba #wifewadunia #kondeboy #YangaSC #simba #fistonmayele #azamtv #bahatibukuku #paulmakonda #raissamiasuluhuhassan

Пікірлер: 257
@edsonipaulo
@edsonipaulo 3 ай бұрын
Tunachukia kwa mihemko yetu tunakukubali Mwakinyo Mungu ajalie mambo yakuendee tunakuelewa hoja zako Zina mashiko Pambania Ndoto Yako Mungu akubariki unajuhudi nakukubali hujali kulaumiwa utafika mbali zaidi🎉🎉
@JumaSelemani-q1d
@JumaSelemani-q1d 3 ай бұрын
Unatia aibu tu bora ungeacha tu kupigana unazingua sana mwamba
@Madanstars
@Madanstars 3 ай бұрын
Akufirahishe wewe wakat Hela zake hajapata sema chombo Cha ngumi kiwe makini na ma present
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 3 ай бұрын
Mashabiki wanatia hamasa hadi raha, bonge moja la support
@johnmarco8252
@johnmarco8252 3 ай бұрын
Bongo wakikuona unamsimamo nia yao wakupoteze ila kaka pambana mungu yuko nawe champez wanataka kutuangusha hawataweza time mwakinyoo❤❤
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x 3 ай бұрын
Abongo wengi wanafanya vitu kwa sifa,mwisho wa siku wanakuja kulaumu na kuwa omba omba,huyo mwakinyo yupo kuangalia madirahi ya habadae ukipigwa ufe aki yako utahioata wapi?
@hidayajuma7946
@hidayajuma7946 3 ай бұрын
Mungu akubaliki mwakingo championi watanzania
@FaniaHassani
@FaniaHassani 3 ай бұрын
Weunaesema huelewi kipi ukielewi au ndio nyie mnaotaka kumpongeza mwakinyo? Kwa hilo mmeshafeli na mkanda keshachukua,hongera sana hassan mwakinyo
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 ай бұрын
Mwakinyo ni bondia anayejuelewa sana. Mabondia wote waliobaki ni wapuuzi tu na njaa zinaweza kuwapoteza kabisa
@yusufsong7993
@yusufsong7993 3 ай бұрын
Leteni bondia yoyote ata mlete figisu zenu atapigwa tu safi Mwakinyo bondia mwenye msimamo
@AthumanMuggarahjr
@AthumanMuggarahjr 2 ай бұрын
Team mwakinyo tuna mtaka msouth Africa aliwatia aibu mabondia wa tz
@AthumanMuggarahjr
@AthumanMuggarahjr 2 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿🇹🇿 champion 1 tu Hassan mwakinyo Champez
@EmmanuelKishiwa
@EmmanuelKishiwa 3 ай бұрын
Hiii Nini hiiiiiiiiiiiiiiiii Sasa hivi ni VITU VIPYA katika ubovu wake ulio wa VIWANGO VYA juu katika mazingira mabovu kabisa hiiii ni so sad and great shampoo if not shameful
@AbdullyCharles
@AbdullyCharles 3 ай бұрын
Mwakinyooo fighter
@PeterBaton
@PeterBaton 3 ай бұрын
Sasa hapo Ndio Mwakinyo kashinda Au 🤣🤣Yani kama Picha la kihindi🤣🤣
@mbatiakessy2420
@mbatiakessy2420 3 ай бұрын
Kiukweli picha la kihindi
@kutokakutoka8730
@kutokakutoka8730 3 ай бұрын
Jamani nimechelewa ila ijayo iwe ya konde boy na mwakinyo ju ameiomba sana harmonaze nitakata basi kutoka kwetu Kenya Hadi bongo
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 ай бұрын
Hongera sana broo mafanikio ayaji tu lazima upitie mapito utafika mbali broo
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 3 ай бұрын
❤❤❤tu no pamoja champez
@NestoryJoseph-e8s
@NestoryJoseph-e8s 3 ай бұрын
Mwakinyo ndo bodia anayejielewa yeye haangalii watu watasemaje ila anaangalia masirahi yake yazigatiwe safi mwakinyo
@denishaule6314
@denishaule6314 3 ай бұрын
Ndio masirahi mko vizur na mwakinyo
@SalimuHassani-xt3og
@SalimuHassani-xt3og 3 ай бұрын
Sawa ila tunachokua tunaomba kwenye huu ujinga wake anaotufanyia ni kuturudishia viingilio vyetu tu bas mengne ayatuusu
@DigaBoyTz
@DigaBoyTz 3 ай бұрын
Nakubali Sana kiba me naimba natumia jina diga boy TZ Song RAHA KZbin please please naombo surpot KZbin
@HusseinOmbeni
@HusseinOmbeni 3 ай бұрын
Mnacho shindwa kujua kwamba mwakinyo hana kosa ira kuna viongozi ndio wanataka kumwalibia Aliomba rathi uringon na kupiiga simu lkn bado watu mnamlaumu mwakinyo yupo nasi jamani tumuombe min kam Mike nakupenda nakueshimu pia shabiki yako sana
@KelvinCharles-p9t
@KelvinCharles-p9t 3 ай бұрын
Braza wangu weni brucelee wakubali wakataeee dua nyingi nili kupigia
@gracemgeta1044
@gracemgeta1044 Ай бұрын
Inamaanisha nini kumpiga Isha mtu washabiki zake wakiwa wameshaondika chuki nyengine hizi hazina maana kabisa dar
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 3 ай бұрын
Hongera sana Brother Mwakinyo
@FestusJchunya-hc3hv
@FestusJchunya-hc3hv 3 ай бұрын
mapambano ya mwakinyo ni maigizo TU hamna cha maana sasa hapo kashinda nini? au ni uchawi anatumia maama namuona mwepesi ngumi zake hazina power yaani ni michezo ya shule za msingi!!
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 3 ай бұрын
Vituko TU hapa hakuna kitu huyo mwakinyo watu wa kupigana nao anawachagua yeye mwenyewe
@DenisRamadhani-mg1gu
@DenisRamadhani-mg1gu 3 ай бұрын
shabik unalipa kiingilio alafu mabondia wanatokea wote hawana matatizo yakiafya yaani wakofiti " et unaambiwa kunamtu mkubwa haonekani na ana ishu zote za mkanda ndiotunamtafuta kwenye cm lakn hatujafanikiwa kumpata " sasa unajiuliza maandalizi ya pambano kipindi chote hicho yako wapi? Kama sio uhuni? alaf unaenda kulala unapata taarifa pambano lilichezwa na wazamin wa matangazo ni tofaut na MC naye ni mwingine😂 " sasa unajiuliza tena inamaana huyo anasubiriwa aliona pesa zetu hazina maana ? anakuja mda anao utaka na uongozi wa ngumi unataka et kuwepo na mashabiki wa ngumi " nani atapenda ujinga huo
@BakariMussa-to2me
@BakariMussa-to2me 3 ай бұрын
Mungu akusimamie Kaka ufike malengo Kama unavojikubali endelea kujikubali
@RashidiMsangi
@RashidiMsangi 3 ай бұрын
Mbana mwakinyo usisikilize Hao simamia hakiyako bro
@steveprosper4084
@steveprosper4084 3 ай бұрын
Lingeuza michungwa pale chalinze lisipotezee mda humu
@hidayajuma7946
@hidayajuma7946 3 ай бұрын
Matako mwenyewe matako unasema mashabiki tunaona wanamferisha mwakinyo viongoziwangumi halafu unasema mashabiki kiufupi ukimponda mwakinyo ww tako
@selemanisozi936
@selemanisozi936 3 ай бұрын
🎉 dua sana mwakinyo kwa mkanda kubaki ata kama wapinzani hawataki
@hassanmuhamad6311
@hassanmuhamad6311 3 ай бұрын
Pamoja kaka mwakinyo
@StanleyGongo
@StanleyGongo 3 ай бұрын
Si mashabiki wa mwakinyo tunaamin uwezo wako
@MudiChella
@MudiChella 3 ай бұрын
Namkubali sana Mwakinyo Misimamo yake Itampa mafanikio sana
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj 3 ай бұрын
Mwakinyo ni pro sana, anaangalia stats zake kidunia sio ushabik wa kibongobongo tu kama bongo movie
@FikiriMgonanze
@FikiriMgonanze 3 ай бұрын
Kwakweli huyu jamaa mapambano yake nachelewaga kuyaelewa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 ай бұрын
😂😂😂
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 3 ай бұрын
T.K.O iko wapi hapo???!!! Acheni ujinga basi! Mwakinyo ahamie kwenye uigizaji wa filamu za vichekesho maana pambano hapo hakuna, ni vitimbi vitupu!!!!
@minahismail9515
@minahismail9515 3 ай бұрын
Jamani walihama ukumbi wakawaita marefa wao na mc wao na waandishi wa habari za mtandaoni. Ndo maana hujaona azam tv'wala mc wasiwasi mwablambo. Yaani huyu mwakinyo mungu anamuona katuchezea mashabiki wa ngumi cheus na chekundu.
@MchJacobKassim
@MchJacobKassim 3 ай бұрын
Mimi naelewa hili halikuwa pambano lilikuwa movie ya kichina
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Karibu wewe
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 ай бұрын
Nae anashangilia eti daah
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 3 ай бұрын
Huu wizi Tu mwisho wa siku ngumi zitapoteza mvuto kuweni makini na mwakinyo lakini kama ni maslahi wapate inavyostahiki alafu ngumi za hivi mtu hajapigwa ngumi yeyote ya maana mnamaliza pambano sio vizuri mnaharibu mchezi wa ngumi
@hassankindamba6633
@hassankindamba6633 3 ай бұрын
Huyu wajina wangu kuna kamchezo hucheza ili kupiga pesa. Bondia Gani yeye ndo anachagua wakupigana nae na anamoanga kabisa mpaka malipo achukue kiasi Gani. Na kama bondia akikataa lazima litokee jambo aidha agome au atafute kisingizio ili tu kuharibu cv za watu
@HamisSaidi-h3u
@HamisSaidi-h3u 3 ай бұрын
Makamera Wa Bongo Bana! Et Video imechukuliwa kwa Mbaaali😅😅😅
@AggreySimwinga-x1p
@AggreySimwinga-x1p 3 ай бұрын
Safi mwokinyo nimefulai
@RahimHassan-bh3mm
@RahimHassan-bh3mm 3 ай бұрын
Mwakinyo ana kosa gani Sasa apo walaumu mapromota ambao wanania ya kumpoteza mwakinyo lakin naamin mwakinyo hawezi kupotea na mungu yupo ataendelea kusonga mbele
@kilemilekilemile
@kilemilekilemile 3 ай бұрын
Kwahiyo hiyo pesa tayar kapewa? Mwakinyo aache ujanja sasa hizo ningumu au bonanza niwizi mtupu
@DavisMmole-yk8lo
@DavisMmole-yk8lo 3 ай бұрын
Ktk maisha ukiwa na msimamo na kupgania maisha Yako wapo watu watajifanya wanajua sana kuliko wew mwenyewe unavyoyajua maisha Yako bro upo sahihi hata mm pia kwangu kazi kama Haina maslai sifanyi
@maxmia100
@maxmia100 3 ай бұрын
Mwakinyo makalio tu huyo anajiona mjanja kumbe fala tu kwanza anaogopa mabondia
@StevenMwaweza
@StevenMwaweza 3 ай бұрын
😮😮
@EdwinNgimba
@EdwinNgimba 3 ай бұрын
Chochote unachokifanya kwaajili ya future yako kifanye kwa usahihi haijalishi unazomewa na wangap, hata kama una mashabiki wawili haohao wanakutosha mtu huna hata uhakika wa kula unatukana watu mitandaoni sometimes tujifunze kuzuia hasira zetu za kipumbavu mwana ana watu watu wachache ila maisha mazuri kuna mabondia viwanja vinajaa ila wana njaa kali tujifunze kusimama kuwatetea wanamichezo wetu kwenye stahiki zao
@nekashash2190
@nekashash2190 3 ай бұрын
Koo hii gem ilichezwa siku ileike au lini..na kwanini
@AniaJaffari
@AniaJaffari 3 ай бұрын
Safi ndugu yangu
@LucasEvodi-xj1of
@LucasEvodi-xj1of 3 ай бұрын
Promo kibao kika chaneli matangazo ya mwakinyi mwishoe ngumi kma wanacheza rede
@NuhuMabena-gh1wo
@NuhuMabena-gh1wo 3 ай бұрын
Kabla haujalaumu tafuta chanzo kwanza
@minahismail9515
@minahismail9515 3 ай бұрын
Mashabiki wa mwaninyo nao ni matako bondia kawazalilisha kutocheza kwa wakati anakuja kuhonga na kununua marefa wachezeshe uchochoroni. Ili apewe mkanda. Wao wanafrahia. Haya. Kama sio uchochoroni mzamini azam tv'yupo wapi??
@gman3245
@gman3245 3 ай бұрын
South African boxer by the name 'Wellem" ndie dawa ya mwankiyo 😊😊
@SalumMiraji-i6n
@SalumMiraji-i6n 3 ай бұрын
Hapigani kwa mihemko ya watu anaangalia sheria ina semaje sio boya kama mabondia wenu mbuzi nyie
@JumaIsmail-dt4il
@JumaIsmail-dt4il 3 ай бұрын
Tz 1
@HusseinChai
@HusseinChai 3 ай бұрын
Mwambaaaa nakukubalii😂😂
@RahimHassan-bh3mm
@RahimHassan-bh3mm 3 ай бұрын
Mwakinyo anajielewa sana to me naamin yupo sahihi maisha sio lazima uyaendeshe ukiwa na kaka au dada simama ww kama ww acha kulialia ww
@francismussa5690
@francismussa5690 3 ай бұрын
Waandaji wa kulaumiwa, hakika kuna shida katika mapambano ya mwakinyo, nadhani atetee huyo mkanda na bondia bora ili tujue uwezo wake mwakinyo
@MushiProsper
@MushiProsper 2 ай бұрын
Mwankinyo kaonewa huruma tu
@bukavusongs6012
@bukavusongs6012 3 ай бұрын
Harmoniz vipi
@MohammedSafari-o1i
@MohammedSafari-o1i 3 ай бұрын
Pambano LA mchongo mashoga toka lini wakawa na msimamo zaidi ya maneno mengi
@HusseinHassain-ry9qb
@HusseinHassain-ry9qb 3 ай бұрын
Ngumi unajua ilaa mabondia wako bdo cjawaelewa baba hassain Soo kwel weee champion of the national Tz half mapmbn yko ayakosi vikwazo vp kaka
@hidayajuma7946
@hidayajuma7946 3 ай бұрын
Kwani umelazimishwa kumuangalia tukufungie ww kuangalia tuone utafulai pimbiww
@HajiJumaHaji-to3ld
@HajiJumaHaji-to3ld 3 ай бұрын
Hamonaizi kama umechoka kuimba basi kama unavipesa vyako nenda kwenu kanunuwe heka ya mikorosho ulime usije kumtefutiya kesi hasani mwakinyo kwa wazazi wako nenda kalime korosho
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 3 ай бұрын
Mwakinyo hataki janja janja kama wale wengine wakipewa ata lack 3 wanapigana😅
@MbarakAhmedAbdalla
@MbarakAhmedAbdalla 3 ай бұрын
Jama ako sawa lkn shoulder imembwaga ame tupa ngumi akashituka bega
@barnabassassiyo4741
@barnabassassiyo4741 3 ай бұрын
Mwakinyo kuna siri kubwa anaijua TPBRC Maisha na Mafanikio ya mtu ni Siri yake!
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 3 ай бұрын
Huyo nikiazi tu hana lolote maneno mengi ngumi ajue atahamonazi akimkazia anamfua huyo kuzi
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 3 ай бұрын
😂😂😂😂Matak yak
@3sflyingcars
@3sflyingcars 3 ай бұрын
Nenda ww mbon una taj mwenzio et hoo hamoz nenda ww kenge ww
@rahjah5882
@rahjah5882 3 ай бұрын
All the way from Tanzania 😂 pambano limefanyika Tanzania sio ?
@JumaMkose
@JumaMkose 3 ай бұрын
Dah kwa hili kuna cha kujiuliza kwakweli kwann ligailishwe aya apo apo licheZwe bila nembo ya mzamin hata mmoja dah bongo ni hatari
@AthmanKhalfan
@AthmanKhalfan 3 ай бұрын
Tatizo jeuli za mwakinyo.amuombe lazi kaka ake.asisingizie bosi zayumba,azam nao?
@wegazicomputing2872
@wegazicomputing2872 3 ай бұрын
Hakika , Hassan kuna watu ana wakosea mahala fulani aombe radhi kwa siri siri au hadharani, pia apunguze mdomo, ni bondia mzuri lakini dharau nyingi, sasa jana ana omba radhi watu kwa kuwa lazimisha ndio nini? Ukisema naomba radhi kwa kuchelewa pambano halafu, msiondoke jamani mi nime jiandaa kwa ajili yenu, kwani watu walikuja hapo ukumbini bure?
@MwanaNgurumo
@MwanaNgurumo 3 ай бұрын
Mtan wangu mwakinyo ninakuamini songa mbele kamanda wenye vijicho wakajinyonge
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw 3 ай бұрын
Mkanda lazima tuubebe hao wanao mrudisha nyuma nangoja wageuke😅
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 3 ай бұрын
Ivi hili pambano limefanyika lini?
@adilhabib8988
@adilhabib8988 3 ай бұрын
Hiii ni regesha watu hapana ngumi hapa mwakinyo kaachia mpunga ili jamaa achie pambano
@dismaspascal6198
@dismaspascal6198 3 ай бұрын
Daah,pambano la mchongo
@abdultandala6576
@abdultandala6576 3 ай бұрын
Hakuna pambano hapo wizi mtupu ngumi zenyewe sasa mmhhhhhh! .
@AthanasiMichael
@AthanasiMichael 3 ай бұрын
Champenz 🏆
@MICHAELLEONTH
@MICHAELLEONTH 3 ай бұрын
Mwakinyo naye hiyo style yake jaman Sio usanii
@mgosiadvocate6160
@mgosiadvocate6160 3 ай бұрын
Alhaqu yaaluu
@EMMANUELR.MASSAWE
@EMMANUELR.MASSAWE 3 ай бұрын
Mapambano ya jamaa yanaishaga kimaajab ajabu. Unashangaa tu refa ananyoosha mikono pambano limekwisha.
@AldoNziku-mk2nd
@AldoNziku-mk2nd 3 ай бұрын
Pambano LA mchongo
@babanaso6743
@babanaso6743 3 ай бұрын
Kinacho chaguliwa na mungu hata uweke chuki vipi kitaendelea kusimama ila ndugu zangu wa tz tuache roho mbaya
@HamisSaidi-h3u
@HamisSaidi-h3u 3 ай бұрын
ila Hormonize!😅😅😅
@issahpronto1945
@issahpronto1945 3 ай бұрын
Yaasn kama ni ivooo atafika anakotaka ila iyooo siyooo boxing ninayoijua mimi
@KhamisHaj-y4d
@KhamisHaj-y4d 3 ай бұрын
Hiz ni sawa na ugomvi wa mtu na mkewe kitandani. Hatimae hiishia kupeana tu
@fintanifelix1680
@fintanifelix1680 3 ай бұрын
Mwakinyo alivaa sket au macho yangu jamani
@JumaIddi-o6f
@JumaIddi-o6f 3 ай бұрын
Pambano la mchongo msituwekee Sasa ndio ngum gani iliyochezwa nawauliza nyie timu mwakinyo
@chiddybwax7749
@chiddybwax7749 3 ай бұрын
Watu inabidi waelewe mwakinyo hana makosa bali mabosi zetu wa hovyo
@AbushiryAlly-rj7zv
@AbushiryAlly-rj7zv 3 ай бұрын
😂 mbona ngumi za kitapeli kabisa
@salumchuma7762
@salumchuma7762 3 ай бұрын
Mipango mipangoni
@yusufsong7993
@yusufsong7993 3 ай бұрын
Pumbavu nani afungiwe Ulizani Mwakinyo kama mabondia wenu labda wafungiwe chama cha ngumi
@HassanSaid-pw8us
@HassanSaid-pw8us 3 ай бұрын
Hkn uhun champez ameshakua🏆🦾
@minahismail9515
@minahismail9515 3 ай бұрын
Jamani mwakinyo ni ki hekesho bora nilienda kulala
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 3 ай бұрын
Yani mwakinyo anapambana vibaya nyie ngoz nyeusi mnamrudisha nyuma daah tz watu Wana chuki sana
@festopaul7549
@festopaul7549 3 ай бұрын
Watu wachache kama kuna birthday ya mwakinyo
@KhamisiMohamed
@KhamisiMohamed 3 ай бұрын
Uyu mwakinyo asicheze na akili zet amna pambano apo
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 3 ай бұрын
Umeona eee
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 3 ай бұрын
Leo mm nime shika number one
@KassimSaid-vp4zz
@KassimSaid-vp4zz 3 ай бұрын
Number one ya nyoko upumbavu nao unataka 2upongeze
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 3 ай бұрын
@@KassimSaid-vp4zzunamtafuta mtu wa kukufila basi Pele lime pata kucha
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 3 ай бұрын
Huu ni usengerema, waache maigizo
@CatherineMartin-tp9ly
@CatherineMartin-tp9ly 3 ай бұрын
upumbafu wake nn?
@bongo39
@bongo39 3 ай бұрын
Very poor watu wamesimama hamna nidhamu ninaibu kwa kweli hawa waandaji bado kabisa yani hapo ni ujanja ni mwingi kuliko upangaji na hashi ya hilo shindano
@AbrahammosesAbraham
@AbrahammosesAbraham 3 ай бұрын
Wemechagua sikuyao sio
@DaviVicent-eh6ev
@DaviVicent-eh6ev 3 ай бұрын
Usiishi kwa kufurahisha watu kaka
@AllyMswahili
@AllyMswahili 3 ай бұрын
Ndio inavy takiwa bondia uweh naa msimam
@JumaHamisi-z4s
@JumaHamisi-z4s 3 ай бұрын
mwakinyoo watu ka hawa ndo wakuchapa chap unaondoka kujifanya ka jogoo inaleta madharau bongoo
@joycekaishozi1177
@joycekaishozi1177 3 ай бұрын
ukisimamia hhaki yako ni bora sana
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 259 М.
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,7 МЛН