Naweka ukikomo wote wa mizwi, kutoolewa mangonjwa ya kuridhi, kufanya miradi ghfla yanakwama, kuoa, Mauti, ulikuwa katika ukoo wangu katika jina la Yesu wa Nazareth aliye Hai. AMEN
@mgalilayamweusi60373 жыл бұрын
Nikiwa kwenye Maombi haya kwa Mara ya kwanza nimepatwa na hali kwenye mwili wangu ambayo sikuwahi kuipata, Kwenye Mungu wa kweli madhabahu lazima iseme na kila mwenye changamoto, Mungu awaongeze tena na tena Reality of Christ...🙏🙏
@ladyjackline4293 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa Sana na maombi haya na seminar hii kwq ujumla ,nimetema mate mazito Sana wakati was maombi na hali ya kutaka kutapika
@paulinecharo54084 жыл бұрын
Amen Amen am delivered in the mighty name of Jesus
@joycesanga6951 Жыл бұрын
Amina Baba
@elvinstephen95565 жыл бұрын
Amen. Ninaweka ukikomo kwenye laana zote na magonjwa yote handy on if I at ilia. Ninatoka na familia yangu. Ninaweka full stop kwa jina la Yesu
@naeemmuneer85465 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN
@revinphilemon33515 жыл бұрын
mungu akubaliki Mtumishi akika Leo nimefunguliwa kutoka ktk vifungo vya Laaana yafamily