Kiba anaimba live utadhani playback! Hii ya mwisho na Bella ndo iliua kabisa hakka 👑👑Kiba fundi
@herybahati58418 жыл бұрын
akuna zaidi ya king kiba
@priskilamajengo58508 жыл бұрын
watu mnapenda kuwapambanisha Kiba na Diamond Kiba ni kibaa atabaki kuwa Kibaaaa
@ibrahimayoubdhahabu9848 жыл бұрын
Waandaaji wa Fiesta Mwaka huu wamejipanga sanaa,.. Big Up sana kwaooo#IMOOOOOOOOOOOOOO
@yusufjuma2648 жыл бұрын
Hawa ma dancer wa Nisamehe wa Baraka de Prince wame dance poa sana Big up to them 💖💖💖👌👌👌
@hassankayla40768 жыл бұрын
Uwezo unajionyesha ahsante sana kwa show kali your the best King yaan ww ni zaidi ya msanii respect kwako brother. Ahsante sana brother @Millard kwa kutusogezea show ya kijanja penda sana ww uishi miaka mingi kaka ake Imooooooooo
@ibrahimayoubdhahabu9848 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!! yani hata sijui niseme nini, we jamaaa hakuna tena mwingine katika show za live anayekusogelea japo kidogo, ni balaaa, you are an international artist, unastahili tuzo za best african act zote, wengine huwa wanapiga kelele tu lakini wewe unapiga show ya kweli na classic.. KingKiba Hataree..
@justinejulius35448 жыл бұрын
i am a big fun of Diamond but i always appreciate Kiba well done. Mtv Mama u did Good and now Dar fiesta again... i love my Tanzania artists keep it up guys
@adiliabdallah83848 жыл бұрын
Bonge moja la show la dunia .King Kiba umedhihirisha wewe ni Mfalme .
@laineedianawebb10508 жыл бұрын
👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🙏🏽with much appreciation for your music here Luanda, Angola....🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴💯💯💯💯👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
@josephmary46288 жыл бұрын
proud of you king Kiba,,you killed it!!!!
@salumally538 жыл бұрын
kiba we n moja kati ya wasanii wachache hapa tz ambao naweza nkalpa ili nione shoo yako coz hunibii jukwaani unafanya kile kinachostahili sio wale ambao wanarukaruka na kunilazimisha kupiga kelele mpaka shoo inaisha you're real king of bongo flava
@bilolove238 жыл бұрын
love alikiba voice so much and be she never give up for what he doing all the best keep up 👑👑👑👑👑👑👑👑👑
@salimrajum36168 жыл бұрын
King kiba hiyo group ya dancers usiiache coz is the best in Tanzania and Eat Africa as well
Aisha Thazaneya Huyu Kiba ni Hatariiiiiii anajua saaanaaaa
@millik65447 жыл бұрын
Jamary Ahmady waaaaaa
@musasondo58197 жыл бұрын
😅😅😅😅
@lizmass68665 жыл бұрын
Hahaha daah?
@shamsaaa89278 жыл бұрын
,shikamoo kiba ww ndio mkaliwaooo ilove you
@mwanaishaseiph93168 жыл бұрын
we call it show live performance, ur performer king Kiva for life...
@rosemarysempombe85598 жыл бұрын
Ndo maana nakupendaga, hufanyi show bla bla unapiga show ya kibabe aisee. Kifupi ww cyo mtu wa sport sport, much lv 4 u.
@yussuf74108 жыл бұрын
Kiba Juu sana. What a great show with all lovely brothers joining on the stage!!! Always keep high!!!
@belindammbone39008 жыл бұрын
alikiba oyoo ume Tisha sana hii show kweli niya kibabe ..ime enda kwa mpangilio kabisa
@abbasszico74108 жыл бұрын
ali kiba I luv u hadi naumwa
@faudhiabilal91548 жыл бұрын
Show ilibidi iitwe Fiesta for Kiba.....
@shabanchuma78328 жыл бұрын
Mjomba nakubali vile mambo unafanyaga.....uko makin... unajua kutupa kile mashabiki tunapendaga.. Big up
@phelisgrace31078 жыл бұрын
king kiba I really love your show ....more love
@jossdangote84658 жыл бұрын
that's what we call show 👍👍👍👍👍big up king
@ahmedswaleh91818 жыл бұрын
joss dangote umefika huku sasa
@mazolamohamed61388 жыл бұрын
Ali kiba ure de best of Tanzania melody's
@najmaadam93318 жыл бұрын
what a show team kiba all day everrrrryday don't mess wiv him
@azeezyally34788 жыл бұрын
dah! nmemuelewaa king kibah
@boundialakantara56798 жыл бұрын
le vrai des vrais depuis Montréal
@oswardfrank88778 жыл бұрын
Safi sana nakukubali Ile mbaya 💃💃💃
@blackspear14088 жыл бұрын
Powerful show i like support from local artists too
@zaituna94thanks638 жыл бұрын
nakukubali sanaa king kibaaa safii sana mungu akubariki katika kazi xako uko vizuri mwaaaaaah
@ramanyange2248 жыл бұрын
ALI KIBA hii ndo show sasa nalipe nije nione wewe msanini unavyo imba uniimbie siyo nije tusikilize ulivyokuwa unaimba studio NO MORE PLAY BACK we rock......
@crxtsyliver27458 жыл бұрын
hvi ndivyo inafanyagwa na king kiba. SHIKAMOOO!
@kingungeii65208 жыл бұрын
All we know ali kiba is a God of bongo flava hakuna ubishi hutaki basiiiii
@esthernyokabikimiti85848 жыл бұрын
ALLY HAMISI God?????😩😩😩😩
@tariqmsalm14988 жыл бұрын
ALLY HAMISI God??????
@Hasheemtz8 жыл бұрын
Bella next level
@josephinabenedictor62378 жыл бұрын
kwa hiyo show kweli alikiba hapendagi ujinga! big up sana...
@hhbigdady8 жыл бұрын
wow, what a concert!! Never done like this so nice! &✌✌
@estellahakizamungu95678 жыл бұрын
tisha sana king
@doctorsuley87048 жыл бұрын
am proud of you king
@ramasimba56658 жыл бұрын
amazing King of bongo fleva kiba
@kidotijafari23788 жыл бұрын
no one like kiba,,wow wow wow
@abeidsalehe2678 жыл бұрын
king ni noumaaaaaaaa sana
@zenamilanzi14718 жыл бұрын
na kuamini kiba oyeeeeeeee
@jovinapaschal13158 жыл бұрын
Asnte Kiba nakukubali kila kukichaaa
@mgenisana76108 жыл бұрын
Tz tunaweza live kuliko studio
@drmtangi36498 жыл бұрын
nimeipenda nice show king
@emanuelyndamo8608 жыл бұрын
yaani hii ndoo show sasa Bonge la show na nyingine show ya kibabe ya Roma na sitamina duh wametisha kiujumla mzee
@alexmwambegu68268 жыл бұрын
safi sana bro king kiba.
@ramadhansaid54688 жыл бұрын
we run east afrc, big up king k
@gazaomar22703 жыл бұрын
King kiba mfalme wa wafalme
@joelsegasindi72998 жыл бұрын
wishes yah Long life Kingkiba, with full of amazing funny, and Kaaaaaaaziiii
@basagabernad42537 жыл бұрын
HII NI SHOO KUBWA SAANA JAMAA KAIFANYA... TUSEME TUUU UKWELI tatizo wa BONGO TUNASHINDWA KUWA BAYANA NA HATUJUI KUTOFAUTISHA KATI YA USHABIKI NA UPENZI
@beatricesiriwa91118 жыл бұрын
unatisha king kiba lv u
@julianajames80978 жыл бұрын
Solute kwa king
@lapazsonii98848 жыл бұрын
umetisha sana kakangu....
@abdulmjeda20988 жыл бұрын
sina maneno..king wa watu
@neemabavu8698 жыл бұрын
umtisha king kiiiiiba
@johnsonartabou28558 жыл бұрын
much love king kiba❤👌
@fafi90928 жыл бұрын
Kiba uyo baba wa music sio wengne kaz kukop tu nakupest kipaji utakiwi kuunga unga bn
@mussamussamussa84448 жыл бұрын
King king king hataree
@sponsor78828 жыл бұрын
he's the king of bongo
@sirnyoniinspirationstv53278 жыл бұрын
Ninachompendea Alikiba ni kuimba LIVE hatuibii
@joycemlawa39918 жыл бұрын
King Kiba huko juu
@yussraloveyussralove29418 жыл бұрын
love kingi forever
@rashidimkwango16008 жыл бұрын
Baaaaaadoooooo hii kawaidaa saanaa hata Lord Eyez tu amemfunika jipangeee
@adamkenedy14448 жыл бұрын
good things that done by man
@gwamakahumphrey72128 жыл бұрын
we mtu umebarikiwa sana c kwa sauti hiyo
@hawamzuri68398 жыл бұрын
luv uuuu so much king kiiiiba,
@mwanaidymwita78348 жыл бұрын
hongera sana kwa show nzur
@daudybukuku16588 жыл бұрын
kiba unajua bigap
@santrackmnyamsadickabdalla51058 жыл бұрын
tisha sana mkl.waooo kiba
@muhibuissa11638 жыл бұрын
Pamoja Sana kingkiba
@sulejiTv8 жыл бұрын
kwa sasa nime ishiwa kabisa.
@paulinenicholous91477 жыл бұрын
Jamary ahmad Anza practice ya yoooooooo
@DeejayDhifa128 жыл бұрын
#KingKiba
@bakarimwinyi2508 жыл бұрын
Kibaaaaaaaaaaa
@bensonfrank95788 жыл бұрын
Bro, m sio shabiki ako lakn nyimbo ya MY EVERYTHING bonge la nyimbo
@laineedianawebb10508 жыл бұрын
Omg Ali Kiba In the house
@justinkibonge84265 жыл бұрын
Kingkiba
@jossdangote84658 жыл бұрын
wewe ndio mgeni @ahmed swaleh
@ariarenalda58128 жыл бұрын
Hii ni live????, jamani muogopeni Mungu!!!, Kama ni live basi alikiba ni moto
@nancywanjiru1788 жыл бұрын
Kibaaa juu!👍
@73chengosaro48 жыл бұрын
juu wapi nancy?
@nuhugmail34528 жыл бұрын
fire
@irinirintt67908 жыл бұрын
more fire🔥🔥🔥🔥👍👍👍
@nancywanjiru1788 жыл бұрын
yaani u don't recognize the good music? whatswrong with u?
@sassyliciousbootypriscilla65408 жыл бұрын
Lovely
@aminamkuzi29658 жыл бұрын
king katisha jamani pig up Ally kiba.
@revocatuskasangala99028 жыл бұрын
Much respect king kiba
@lameckmichael23885 жыл бұрын
2019 kiba🔥🔥🔥🔥🔥
@mlimilachannel30478 жыл бұрын
Hii ni hatarii
@evodiesebi498 жыл бұрын
King him self ! Love him a lot
@fistonbahati10498 жыл бұрын
Wow
@filibertndenza83608 жыл бұрын
poa
@abdulfrance15485 жыл бұрын
Ukweli utabaki pale pale mchele huwa mwingi ila jiwe uwa moja tu king kiba
@florencekabene32538 жыл бұрын
love love kiba
@mwanaahally18507 жыл бұрын
kiba I lop u
@babuunyamahalatv56438 жыл бұрын
vizuri sema dances kawaacha muda sana mpaka inaboa
@joelntile90788 жыл бұрын
Duuh! hatari sana
@basilMoussaNsengiyumva8 жыл бұрын
wewe< hata wa congo hawafai.wewe number moja tu basi
@respiusmundandu20585 жыл бұрын
king amsamehe 2 baraka the prince
@abdulkarim56458 жыл бұрын
king kiba hakunaga kama ww
@iamdavimoo51798 жыл бұрын
sanaaaaa washaaaaaa
@yarankaxafada8 жыл бұрын
king ♔ Ali Kiba
@rehmadamian80208 жыл бұрын
King kibaaaaaaaaaaa uko juu baba laooooo
@artemisneoy95968 жыл бұрын
ali Kiba ni hatari sana jamani
@africanqueen48558 жыл бұрын
live inafaa Akina Bella napenda wakiimba back stage huwa ina sound Original ma Band huwa I find ina kelele mob