fumanizi la cake yenye screenshot party 2

  Рет қаралды 18,949

AMBIMBO INC

AMBIMBO INC

Күн бұрын

Пікірлер: 131
@JanethObwa
@JanethObwa 3 ай бұрын
Yaan kirediooo unajifany kam umeumia kumbe ndio umependa Hahahahhaa kazi nzuriiii❤
@BimkubwaThabit
@BimkubwaThabit 3 ай бұрын
Nipo single 🙌🤭😂 Yan naogopa ivyo vitu 😂stki mie HHhH 😅
@justojuma2881
@justojuma2881 4 ай бұрын
Hii kazi usiache kiredio mpka wakuuwe kaka😂😂😂
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EverinaChonya
@EverinaChonya 4 ай бұрын
Are u crazy or something sina mbavu yaan asiiche mpk wamuue 😅😂😂😅😂
@alphoncealexander8536
@alphoncealexander8536 4 ай бұрын
Ila kiredio mnafiki sana😁😁😁
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 4 ай бұрын
Ila huyu dada khaaa alshndwa kujtetea kuchukua ata jambia pumbavu saana mtu unipge km babang ata umenilipia mahali ujingaaaa na marasta yke km fagio la choon 😅😅😅😅😅
@IsackMwinuka-i1m
@IsackMwinuka-i1m 4 ай бұрын
Daah! Ilawananyie hatareee sana daah!! Sema maiko kaferisha story tam😊😊
@ErfEff-k6w
@ErfEff-k6w 2 ай бұрын
Kiledio we msenge kweli mpaka umeonyesha vitendo
@frankthadeo1679
@frankthadeo1679 Ай бұрын
Hahaaa hahaha 😂😂eti nina mpenzi mmoja
@Waridi-k8u
@Waridi-k8u 4 ай бұрын
Eti mmeniharibia... Wamekuharibia vip umalaya wako😅😅
@GraceShirima-cl4yx
@GraceShirima-cl4yx 4 ай бұрын
Uyo kaka ameumia sanaa jaman njoo kwangu sitakuchearty😊
@EzekielMazige-n9m
@EzekielMazige-n9m 4 ай бұрын
Hongera bwana kiredio wenye tabia ya kupretend mahusiano waaibishwe tuh wajifunze kuwa waaaminifu ila mimi usinifate😆😆😆🤣🤣
@ArafaAbdalla-y2h
@ArafaAbdalla-y2h 4 ай бұрын
Me naon lahaaa😂😂😂mtu unapew kila unachotk jmn aisee sisi wanawake tuna tamaa san jmn😢
@hawamaulidi787
@hawamaulidi787 4 ай бұрын
Huyu maiko mwenyewe anakimbia kama vile mshale ila kiredio nimshezi ila mwanamke alivyoinama 😂😂😂😂
@FurahiniMlay
@FurahiniMlay 4 ай бұрын
😂
@BernadetaSanga
@BernadetaSanga 4 ай бұрын
Nmecheka kwa nguvu 🤣🤣🤣✋
@SusanMardo-nl8sq
@SusanMardo-nl8sq Ай бұрын
Aki kirendiyooo😂😂😂wewe❤❤
@GraceShirima-cl4yx
@GraceShirima-cl4yx 4 ай бұрын
Mr uky hapo anasema chapa kabisa
@amirially750
@amirially750 2 ай бұрын
😅😅😅
@ZinabZinab-b4c
@ZinabZinab-b4c 4 ай бұрын
Duuuuu wallah nimecheka Kiredio unafurahisha😂😂😂😂
@dianerditto
@dianerditto 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂daah, ila fresh tuendelee mwanangu mpk tuwe waaminifu safr hii
@ZenabAli95
@ZenabAli95 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AmosMussa-df8fk
@AmosMussa-df8fk 2 ай бұрын
Kazi nzr kiledio
@jeedymasoud4269
@jeedymasoud4269 4 ай бұрын
Nimeipendaaa
@SarahJohn-e7b
@SarahJohn-e7b 4 ай бұрын
Hahahaha kiredio umenichekesh et mtu kapgw alaf unamuliza kama kaumia unatak akujib nn
@witnessshauri1713
@witnessshauri1713 4 ай бұрын
Kiredio tuletee part 3 yake,mambo yameshachangamka
@rosegodlove1956
@rosegodlove1956 4 ай бұрын
Hata ningekuwa mm ningecheka 😂
@FrankTZ97
@FrankTZ97 4 ай бұрын
😂😂😂 kiredio msenge et kainama
@DlvPrinters
@DlvPrinters 4 ай бұрын
Kiredioo mtu mbadyy😅😅
@anilindagodwin7033
@anilindagodwin7033 4 ай бұрын
Yan nipigwe na mtu hajanitolea mali 😂😂😂😂😂 aisee atalala segerea akashike ukuta
@georgecosmas4971
@georgecosmas4971 4 ай бұрын
Mbona alikubali kuhudumiwa wakati ajatolewa mahali😅
@CatherineAnderson-e6p
@CatherineAnderson-e6p 4 ай бұрын
Yan mm akinipiga amekunya
@AdamDaud-d4e
@AdamDaud-d4e 4 ай бұрын
We kiredio weee watakuroga 😅😅
@DlvPrinters
@DlvPrinters 4 ай бұрын
Ww dada achana naee Kwan mwanaumee mmojaa
@SashaMnyanga
@SashaMnyanga 4 ай бұрын
Me bwana wangu angeniua
@RamadhaniHamissluvubu
@RamadhaniHamissluvubu Ай бұрын
Hahahahahahhaha dawa yao hawo😂😂😂
@HezronGeorge-rx3lb
@HezronGeorge-rx3lb 4 ай бұрын
jamaaa kwann ampigeee kiredioo mtafungwa nyieeeee😅😅😅😅😅😅
@PendoLeonardi
@PendoLeonardi 4 ай бұрын
Wambea Hawa jamani 😀😀
@jumbeselemani2314
@jumbeselemani2314 2 ай бұрын
jaman tuwen uaminifu kweny mapenz yen mwish wasik ndokuzalilishan😂😂😂
@JoyceJoseph-d7z
@JoyceJoseph-d7z 4 ай бұрын
Nataman hii crip aione mkeo 😂😂😂
@glorymrosso9088
@glorymrosso9088 4 ай бұрын
Aiseee ee jamn😢njo na Arusha vicee 😂😂
@calvinkapinga8341
@calvinkapinga8341 4 ай бұрын
Sasa unataka ujue hali yake na unaona tena keshapigwa ila sio vizuri huyo dem alikua anampenda sana huyo msela sema n makosa kidogo tu ya kibinadamu ambayo yanarekebishika huwez kumuhudumia mwanamke anayekupenda na huwa hapendi kukupa mzigo matokeo yake huwa ni hayo
@EmilyAdrian-g2c
@EmilyAdrian-g2c 3 ай бұрын
Kiredioo usiachee hii kazii 😅😅😅 inakufaa sanaaah ety kaina ukaonaa kiunoo dahaa😅😅❤
@agathahasote9894
@agathahasote9894 4 ай бұрын
Mbona nacheka jaman hata huruma sina😂😂😂
@ZakiaKilongoji
@ZakiaKilongoji 4 ай бұрын
😂😂😂😂mbn yule jamaa mwingine aje💔
@DM_15
@DM_15 4 ай бұрын
Endelea tuu mbaka waache kuchepuka wapuuz hawa, maisha magumu una mtunzamtu yukobize nakuku cheat
@EmmaculathaDldm
@EmmaculathaDldm 4 ай бұрын
Kiredio mpuuzi wew😂😂
@chibudenga8977
@chibudenga8977 Ай бұрын
hawa mademu bhana m ndio mana niliamua kutafuta pesa hawa unaweza kuwapa kila kitu lkn mwisho wake ndio uwo kumamake
@GloryNnko-br7lb
@GloryNnko-br7lb 4 ай бұрын
Mr uk alivokaa kibarazan kasmama km nguv hana akat wameyataka wenyew
@novatimushi-s2r
@novatimushi-s2r Ай бұрын
Ila ata huyo mamy loo anaonekana bonge la malaya
@Fredricknyarobongo-g8p
@Fredricknyarobongo-g8p 2 ай бұрын
nimetega masikio nisikie yale matusi nimesikia2 nisamee 😀😀 kumbe jeuri ya kwenye simu
@olenraphael1038
@olenraphael1038 4 ай бұрын
Kiredio chizi kweli wewe😂😂😂eti mtoto mzuri lakini jaman😂😂😂
@happybakari643
@happybakari643 4 ай бұрын
Kiredio hii kazi walau utafikia pepon Mana inaumbua vibaya
@MariaMkumbwa-b7g
@MariaMkumbwa-b7g 4 ай бұрын
Maiko kachachamaa nywele hadi mbio😊
@OkuliMassawe
@OkuliMassawe 4 ай бұрын
Mungu anakuona ww😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 4 ай бұрын
Nani Sasa 😂😂😂
@JamesIgiraneza-x7s
@JamesIgiraneza-x7s 4 ай бұрын
kirediy museng demu kainama umesahawu kiricokureta😂😂😂😂😂
@AlicePeter-f5b
@AlicePeter-f5b 2 ай бұрын
Wanavozunguka sasa😅
@FaithaKibiki
@FaithaKibiki 4 ай бұрын
Ila kiredio na mwenzakoo ni wanafikii mbn wanachka
@bugesimataso6478
@bugesimataso6478 4 ай бұрын
Unatakiwa kuwa na mabaunsa , huwezi kuruhusu mtu anapigwa akiuliwa hapo na una rekodi.
@godfreychilumba6976
@godfreychilumba6976 4 ай бұрын
Nimeipenda hii
@HadijaShija-dd4sz
@HadijaShija-dd4sz 13 күн бұрын
Me nasema t ipo siku watu watauwana kwajili ya ujinga wenu haf ote mtafia jela
@ChurchJamba
@ChurchJamba 5 күн бұрын
Nivitu vizuli kwa wenzio ila kwenu
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Mchukueni mumpel eke hospital nyie wa mbea sana mngepig wa nyie
@teedullah5708
@teedullah5708 4 ай бұрын
Mama samiya msitishe hi kazi huyu kirediyo Haina mna kazi anayo fanya
@jennymali4368
@jennymali4368 4 ай бұрын
Kiredio wewe jamanii eti alivoinama dah
@Flora-nl8kq
@Flora-nl8kq 4 ай бұрын
Funguen basii paziaa tuon vizr
@Stella-oh3my
@Stella-oh3my 4 ай бұрын
Kiredio akili zako kwahiyo umemtamani ishinao umeshamuaribia
@samiemacroded-kb1er
@samiemacroded-kb1er 4 ай бұрын
Umalaya muache wasenge nyinyi muwe mnaridhika Mara kwa hamisi Mara dullah muwe mnaridhika mashetani nyinyi angekutoa macho tu kakugusq tu hpo angekutia na harama
@DlvPrinters
@DlvPrinters 4 ай бұрын
Ilaa kiredioo mtu mbadiiii
@ReganMunishi
@ReganMunishi Ай бұрын
Wakimuuwa mi nitauwa mtu
@MamkweBamkwe
@MamkweBamkwe 4 ай бұрын
Dah ila tinted imemtesa sana kiredio😅😅😅
@teedullah5708
@teedullah5708 4 ай бұрын
We kirediyo hi kazi iwache
@Muhammed-sj5yx
@Muhammed-sj5yx 4 ай бұрын
Nawapenda sana kiredio
@dicksonthomas2622
@dicksonthomas2622 4 ай бұрын
😂😂😂eti majitu yanamlaumu kiredio mchonganish, fikiria mtu unampa pesa zaid hata ya nduguzo nahujamuoa halaf anacheat kwamakusud ukioa je!!?
@JoyMollel
@JoyMollel 4 ай бұрын
😂😂😂😂 yaaan nyie
@ramadhanirajabu8851
@ramadhanirajabu8851 4 ай бұрын
Me Sina umaalufu ila wakija kujichanganya nakula ninyi
@ChombaQueen
@ChombaQueen 3 ай бұрын
😂😂😂
@SakinaBilal-xf1ne
@SakinaBilal-xf1ne 4 ай бұрын
Jmn kiredio mtasabbsha tuje kuwawa😂😂
@MahreenhassaniMwinjo
@MahreenhassaniMwinjo 4 ай бұрын
😂😂😂🤣Afu mnaangalian mnacheka
@frededward7678
@frededward7678 2 ай бұрын
Mapenzii bn
@abdulkalimbenz7011
@abdulkalimbenz7011 3 ай бұрын
Usiache kazi hii mpaka ufe Yuko pamoja
@abdulkalimbenz7011
@abdulkalimbenz7011 3 ай бұрын
Umalaya tu umewajaa tele piga mpka akome
@angellaizer
@angellaizer 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Bora angewapiga nyie kiredio na mwe nzako hamna akili kabisa na hao Wana okubali kuhojiwa na nyie ni waongo hovyoooooo
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
Ukijiamin unammoja uwez ogopa kuhojiwa ukiogopa jua unawengi
@precs_jones
@precs_jones 4 ай бұрын
That’s Violence.kiredio acha kudeal na wajinga kama huyo fidodido michael.watakuponza
@EstherEsamaMagero
@EstherEsamaMagero 3 ай бұрын
Kiredio ni chizi😅
@mariamhelen7808
@mariamhelen7808 4 ай бұрын
Mmh we kirendo acha hizo 😂
@naahmuro1710
@naahmuro1710 4 ай бұрын
Ila kiredio ww mshenz kwel😂😂😂😂😂ety alivyoinama
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 4 ай бұрын
Ana bahati sura haijaonekana
@SuzyGodwin
@SuzyGodwin 4 ай бұрын
Jmn jiran poleee😂😂😂😂
@saraphinermassare3330
@saraphinermassare3330 4 ай бұрын
Me nadhani ungeweka recommendation kwa wateja wako anapovuka mipaka basi hatua kali itachukuliwa dhidi yake, kwa sababu mtu qkishapanic anaweza kufanya jambo baya sana ona kama kaka alivompiga huyu dada na amefunga mlango maana yake huwezi toa msaada wowote je angefanya tukio kubwa zaidi huoni kama ungekua matatani kaka Kiredio? Plz fanya marekebisho kwa 7bu kazi yako ni nzuri inasaidia watu wengi lkn shida inakuja kwenye watu wakisha PANIC
@NasmaMfinanga
@NasmaMfinanga 4 ай бұрын
😂😂😂😂hii ni burudani embu wapatanishe bhn
@winfridawilliam5045
@winfridawilliam5045 4 ай бұрын
😂😂😂😂🎉❤
@xhampoza_25
@xhampoza_25 4 ай бұрын
Jamani tumeuliza challenge bei gani
@NaiSambweth
@NaiSambweth 4 ай бұрын
😂😂ety kainama
@GodwinonesmoNkollo
@GodwinonesmoNkollo 4 ай бұрын
Maiko piga kabsa🎉
@VanessaBaby-do5jl
@VanessaBaby-do5jl 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂dah
@saudatoto3010
@saudatoto3010 4 ай бұрын
Umalaya aahh😂😂😂
@happybakari643
@happybakari643 4 ай бұрын
Ila leo umewezekanika
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Mmeyasababisha nyie wakina kiredio hayo hovyooo mtav unja mahusiano ya watu
@MzulwaLewis
@MzulwaLewis 4 ай бұрын
Hajapigwa vizuri huyo analia kwa procedure...... MIMI NINGEMTAWANYA
@irenetarimo827
@irenetarimo827 4 ай бұрын
Duuh jaman
@jitonjakayingi4759
@jitonjakayingi4759 4 ай бұрын
😂😂😂😂 ety kainama
@Justinaombay
@Justinaombay 4 ай бұрын
Nyie wenyewe wachonganishi. Nakuchukia sana kiredio. Kati ya nyie na maiko nan kazingua. Mambwa wakubwa
@tinasimon9706
@tinasimon9706 4 ай бұрын
Nalaan mara elf kumi😢
@DenataDeo
@DenataDeo 2 ай бұрын
kiredio weweumemtama ila
Fumanizi Tabata Pt3 Mfumaniaji Afumaniwa
14:31
KIREDIO
Рет қаралды 221 М.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 76 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 153 МЛН
FUMANIZI BAR .. AKOSA MILLIONI 5 KISA KUSHINDWA KUMTAJA..
12:27
Jaydanny watatubu
Рет қаралды 36 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 171 М.
Mume avunja kioo cha bajaj fumanizi la mkewe
3:52
Balatozi President
Рет қаралды 15 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 232 М.
AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE
7:40
FUMANIZI KWA ALIYEFUMANIA| PART TWO 2
25:07
Ivan17_tz
Рет қаралды 27 М.
CAKE YENYE SCREENSHOT ZA MCHEPUKO YAPELEKWA TABATA PART 1
19:23
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 436 М.
KILICHOTOKEA BAADA YA MREMBO KUKOSA GARI KISA KIREDIO
2:43
Wasafi Media
Рет қаралды 17 М.
FUMANIZI BEACH | JAMAA KAGONGEWA DEMU WAKE NAE KALIPIZA | part 2
16:46