Hakika Kuku platinum umeniacha hoi nimekusikiliza kwa makini saana,nasema keep up ,panahitaji commitment na elimu tosha nitakufuatilia kwa makini saana Mimi napenda saana ufugaji.
@upendohaonga43693 жыл бұрын
Hongera Kaka kazi nzuri
@khalfanmwarab99423 жыл бұрын
Salam
@wangwemseti75924 жыл бұрын
Nimevutiwa na miradi yako mwezi wa nne nitakuja kukununua kuku kwako