Yaan bint huyu yupo tofauti sana kisura na mabint wengne km umekubali nipe like yang
@lm63734 жыл бұрын
Yes sana mzuri
@husseinaliyesau39954 жыл бұрын
Sanaaaa
@emanuelylaitayo24833 жыл бұрын
Show love
@Pascal082 жыл бұрын
Pole sana. Inaumiza
@cabylake2320 Жыл бұрын
Nc
@fabianndimanya20554 жыл бұрын
Najua km ni mtanzania Ila pia siamini km ni mtanzania maana ni muwazi sana km wakenya.Nakupenda sana momyyyy
@WORDOFMYCREATOR4 жыл бұрын
She is so cute and Down to earth God give her a new better life
@georgebushmissg28304 жыл бұрын
Love you so much
@danielmwakamisa19854 жыл бұрын
Nakushauri mdogo wangu achana na mabishoo wa kibongo,omba Mungu akupe mume bora,fanya vitu vingine tofauti na mziki fanya kazi,biashara nk.wanamume wacha Mungu wapo na usirudie tena hiyo kazi ya madawa ya kulevya
@lauraabass10774 жыл бұрын
Unaumia mdogo wangu kwa kilichokutokea but usiumie shukuru maana kama usingekamatwa usingejifunza na kujuta hivyo bali ungeinjoy mapeni. So shukuru kwa kilichokutokea mamy. Simamia msimamo uo plz na Mungu azidi kukupigania. Ameen
@zakayomutundilo36143 жыл бұрын
Pore sana Dada kwa matatizo yalokukuta
@mok97034 жыл бұрын
She is so honest. Glad she learnt her lesson. Wishing you all the best!
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Dada yupo vinzur sana
@tinyaanosiatha11184 жыл бұрын
Binti kiziwi so beautiful
@chany99504 жыл бұрын
Binti kiziwi mungu nimwema tena anakupenda saaana
@ladymashaallahilikeuaadvis9974 жыл бұрын
Mimi bi Sandra nakuombeya kwa Allah akujaaliye mume mwema,na uzidi kupambambania maisha ya mwanayo
@rehemasultani75244 жыл бұрын
Hila huyu dada namuelewa anajiamini katika interview zote
@amishawatif82224 жыл бұрын
Mungu akutangulie binti mrembo
@didahnidhar37804 жыл бұрын
😭😭😭😭😭pole Sana Allah akufanyie wepes
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Nikipata contacts zake namleta 254 apate raha duniani, she's so beautiful and humble unlike others
@nsrnsr58384 жыл бұрын
Nakupenda mno dada mungu akupiganie kipenzi changu ila binti kiziwi mzur mno mumy
@fatmaally8594 жыл бұрын
Nakupenda sn bint kiziwi
@celinamgundoi56014 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi mdada mzuri
@halimabakari41744 жыл бұрын
Allah akuongoze inshaallah pia pole kwa mitihani yote iliyokupata
@veevictorius51164 жыл бұрын
May your life be better. Umelipia
@baruanijafari41104 жыл бұрын
Mwambie bint kiziwi mi binafs namkubali saaaaan
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 жыл бұрын
HATA MIMI NILIJUA NI KIZIWI KIMBE DAH NI NYIMBO ANYWAY UKO SMART SANA 🇰🇪🇨🇿
@domedeus34884 жыл бұрын
Binafsi namuomba wakiweza warudiane na Z Anto! Ingawa sjui kilichowatenganisha lkn kwa mbaaaali nahc nafsi zao znavutana/wanaelekeana.
@hamisihassan26204 жыл бұрын
Nakupenda na hizo yah yah yah yah yah yah yah za ki hongkong
@rosemaryladiges41994 жыл бұрын
Happy 4 u binti kiziwi.
@maomaomarchmaomaomarch44714 жыл бұрын
Hata mm nilkuwa na jua nikiziwi ?
@bahatiundule51904 жыл бұрын
Yaani wewe Dada ni mzuri sana kwanza mshukuru mungu kwa ilo ,alafu muabudu sana mungu wenzio akina masogange wamekufa
@mwanazuberishabani54044 жыл бұрын
Pole saana,Dada ila mungu yupa nawe mshukuru saana mungu
@mwanazuberishabani54044 жыл бұрын
Nakupenda saana
@abdulkaole20114 жыл бұрын
her future looks bright, basi muwe mwampromo sio ma interview kibao tu
@hadijahmwajombe95884 жыл бұрын
pole kwa yote binti kiziwi daaar nibola ufanye kazi mpaka jacho likutoke kuliko njia za mkato mbaya sana
@veevictorius51164 жыл бұрын
New better life.
@bensonnahkdgks21193 жыл бұрын
Vizuri kwa kulijua kosa lako
@dullahjuma61374 жыл бұрын
Mm mwenyewe nlkujua kzw
@muhsiniissa81514 жыл бұрын
Uyu mdada mzuri Sana mashallah!!
@lusajochanya81844 жыл бұрын
Nakupenda bule dada
@kirimigodfrey92424 жыл бұрын
Najipata nalia
@liverpoolvsrangers22734 жыл бұрын
Gangana upo vzuri Sana kwenye one to one interview keep it up nakuona mbali sana
@healthchoicewithluciebern87414 жыл бұрын
Alijifunza ki honkong ao kajifunza tu yeah yeah..
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Duuu kumbe ulikamatwa na madawa ya kulevya! Acha hizo biashara za kishetani zinazoharibu afya za watu .Mungu akupe biashara nzuri inayompendeza Mungu.Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta..
@fabianndimanya20554 жыл бұрын
Heeeee ndo umejua leo au unafiki😒😒😒
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
@@fabianndimanya2055 mfyuuu mnafiki wewe mwenyewe wewe kama unajua usitake na wewe wawe wanajua mfyuuuu!
@fabianndimanya20554 жыл бұрын
@@elizabethmwandu6937 Uko period nn😂😂😂😂
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
@@fabianndimanya2055 siwezi kukulaumu maana ndipo akili zako fupi za kufikiri zilipoishia.
@fabianndimanya20554 жыл бұрын
@@elizabethmwandu6937 Nipe k yako ndo utjua ni fupi au vp🤣🤣
@lm63734 жыл бұрын
Jamani msimkumbushe antiya imani hakuna mtua aso koseya
@aminanoor56374 жыл бұрын
daaa dada usiwe unalia ayo ni mapito tuu ndugu yng
@aneymaalim7044 жыл бұрын
Yeah yeah
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Kua muislam kamili ahana na ushetani mziki ni maneno ya kipuzi na hayamridhishi Allah
Mm nakuomba staghafiru Rudi kwenye dini yako ya kiislam
@agnespeter83834 жыл бұрын
我爱你Binti kiziwi
@aminasalum19544 жыл бұрын
Mbona leo yaa Yaa Yaa nyingi jmn mmmh
@fabianndimanya20554 жыл бұрын
😂😂😂Acheni wivu jaman
@vanyahmed89374 жыл бұрын
Bintikiziwi mrembo Sana Tanzanie nzima
@lm63734 жыл бұрын
Mzuri sana ni mix sio mu Africa kachanganya sio ndo wana uzuri yes
@ipyanagodius28394 жыл бұрын
Tafuta Mungu mrembo Mungu anakupenda sana
@jamilajamila45724 жыл бұрын
Pole mpendwa
@samuelmwewa70634 жыл бұрын
Dada we Ni mrembo achana na yote yaliyo kukuta piga kazi Dada angu
@silyadamian57084 жыл бұрын
0%
@josephmagadula69374 жыл бұрын
NANI AMESIKIA YAH!!!
@aishalukas58144 жыл бұрын
Yaani kila mda yaaah yaah yaah
@halimabakari41744 жыл бұрын
Haha
@alexmurithi13274 жыл бұрын
She's very cute
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya tanzania imejengeka nasikia
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya viziwi lazima wafurah
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya aliiigiza vizur kama kiziwi kwel tulimpenda Sana. Kwel alivyoondoka z akapotea
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Wenyewe wanajuwa kama wanaendana kwenye kazi
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Mtangazaji anaoji vizur
@wangash61444 жыл бұрын
Kabisa binti matatizo mengine yanakupa mwili
@winifridajohn96354 жыл бұрын
Apo kweli kurudi na z anto naye kafufuka
@chesterbrand67234 жыл бұрын
Open girl secret girl desplin girl
@seifmassoud26864 жыл бұрын
Yani unakuta mtangazaji anakuliza mambo ya maisha yalokupitia 8yrs ago shit mjifunze kumhoji mtu kama huna suali bora usiitishe interview tu, mtu unamkumbusha life ambayo ameshaachana nayo Shiiiit
@ganganainfochannel4 жыл бұрын
😀😀😀 hii ndiyo bongo wakosoaji wasio na hoja. Haya ndugu mtaalamu comment yako imeonekana.
@ashaali71544 жыл бұрын
Yeye kaachana nayo vipi wale walioathirika na hayo madawa alipokuwa anauza si wameharibikiwa pamoja na familia zao? Acha aeleze tangu mwanzo tumuelewe.
@sadahgullam82284 жыл бұрын
@@ashaali7154mlango wa toba hauko ivo kasome dini
@ashuhunamohamed79974 жыл бұрын
Yeah
@ashaali71544 жыл бұрын
Unaostshili kuwaomba msamaha ni wale wazazi waliopoteza watoto na familia zao Kwa hayo madawa ya kulevya. Tamaa mbele mauti nyuma. Wewe umesharudi uraiani lakini mateja wako vile vile hivyo hasara ni ya familia zao.
@aminaluttu6494 жыл бұрын
Kaongo
@yunaisamir20994 жыл бұрын
Nataman nijue huo wimbo unao imbwa bt sisikia
@latenitepiano4 жыл бұрын
“Halafu mbona huwa hamu waulizi miaka minane au yote hiyo wanayo fungwa” (Mapenzi huwa wana fanyaje 😋 ? Au huwa wana jichua ? Au maofisa wa jela wana waliwaza ? Au huwa wana ruhusiwa ku tembelewa na kufanya mapenzi na mpenzi wao ? Huwa wana jimaliza vipi na hamu au ashiki ya tendo la ndoa ? Tujuze tafadhali 😬!
@newmuscat16984 жыл бұрын
Hahahahahaa hatar sana
@luturinakivaria65654 жыл бұрын
Swali la kijing a hiloo. H aujaon a Chakuuliza?? Kuwa mustarabu
@tumatuma64784 жыл бұрын
mh kwa kweli wakiuliza swala hilo tutawashusha hadhi kwa uwandishi wao sababu si jambo la msingi
@latenitepiano4 жыл бұрын
@@tumatuma6478 Hakuna ku shusha hadhi au heshima ya mtu yeyote! Wana nanihiliwa na maaskari wa Jeshi la jela au maofisa wakuu wa gereza! Wana wasugua vizuri sana! Watu hupata ridhiki pale wanapo fanya kazi au biashara! Na ridhiki zenyewe ndiyo hizo! We una fikiri wata waachia watoto wazuri kama hao 🤔? Walisha suguliwa vizuri sana tu! Na ndiyo wakome 🙄😡!
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Duuu kumbe ulikamatwa na madawa ya kulevya! Acha hizo biashara za kishetani zinazoharibu afya za watu .Mungu akupe biashara nzuri inayompendeza Mungu.Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta..