The prince found love in the village girl...our own movie coming to reality
@christine40729 ай бұрын
Alisema haiwezekani juu she is not his type but he has good heart ♥️
@maggieluvuno46669 ай бұрын
Nigeria movie wait for it 😂😂😂
@rhodalashu91789 ай бұрын
😅😅
@elizabethcatherine-jm8fr9 ай бұрын
@@maggieluvuno4666😂😂😂😂me to
@damariskinanu82399 ай бұрын
@@christine4072 it starts with you are not my type and it ends the type of wife one should go for😂😂😂
@janicebeib73049 ай бұрын
Wale ma addicted wa obinna na dem wa facebook tusalimiane leo
@corine50539 ай бұрын
Vile nime kuwa addicted na hii channel unaeza dhani kuna exam. Like za dem wa fb na obina plz tukisonga
@CeciliaWangari-sg8zh9 ай бұрын
Ndio kufika here for dem wa fb na kipenzi cha moyo wake
@paulinanduku27489 ай бұрын
We all need a Obinna in our lives,a very kindhearted person may God bless him
@magimm74039 ай бұрын
True that
@KenyaTownsVibe9 ай бұрын
This gal made me see obina in a different way . Kumbe obina Hana maringo enyewe never judge. Gal keep winning n God open many door's for the both of you ❤
@monicahmuthoni3129 ай бұрын
Amen
@ruthamwayi47959 ай бұрын
Akii cjui kaa utaeza soma comment yangu, obinnah ckuwai jua wee hua mzuri hivi, roho safy,sababu yangu nii juu uko na baby mama 3 I knew you're a bad person,halaf hii side ingine naona ukiwa na roho ya utu sana, mbona Hawa wakaenda wakaacha mali safy hivi, mwenye anasoma kindly nipee likes za obinnah
@doreeningutia58319 ай бұрын
Aki hao baby mamas waliachilia Mali Safi sana
@dinakemunto32439 ай бұрын
Ata mm sikua nafuatilia obina vile round hii nawafuatilia kuliko maisha yangu wakiwa na Dem wa fb
@christine40729 ай бұрын
They are the problem on my point of view if wa kwanza angevumilia angekua vizuri sana lkn aliona kijana broke forgetting that no situation is permanent, baby mama wa tatu weuh kisirani roho chafu sijui obina aliona nini surely kwake
@elizabethcatherine-jm8fr9 ай бұрын
@@christine4072kwel obinna hakupata mke yeyote mzuri kat ya hao wote walikua visran tupu
@lenahmuthoni48869 ай бұрын
Alikuwa amenunulia baby mama hata gari
@magdalinembogo49069 ай бұрын
Hawa wawili wameturoga heri tukose sapa na tusikose bundles
@beatricekirigo80999 ай бұрын
So I'm not alone? Weeh!
@joycenyaigoti28719 ай бұрын
Walai kama mm
@lilianbrown57449 ай бұрын
😂😂
@Moh-v6b9 ай бұрын
Wameturoga walai aki cezi miss kuwatch🤣🤣🤣
@marysheilla43579 ай бұрын
Walai😂
@VickerMunez9 ай бұрын
Huyu dem wa fb amefanya hadi tukapenda obinna 😂OGA KEEP SUPPORTING KIPENZI 😂sahii kila mtu akiombea dem wa fb a make it pia obinna anakumbukwa💯💯
@galaxyqwer74389 ай бұрын
Ngai nguvu yakukosa kupenda obinna ulikwa umeitwa wapi
@Moh-v6b9 ай бұрын
@@galaxyqwer7438nilipenda toka kitabo
@AnnShantel-tw2fz9 ай бұрын
@galaxyqwer7438.si nguvu za kumchikia zilikua.me personally sikua nafuatilia obinna ata skua namjua hivo.sai nkizunguka hii social media npatane na hizi sura mbili lazima ni smile 😂😂. Nawapenda
@VickerMunez9 ай бұрын
@@AnnShantel-tw2fz mwambie Tena🤣
@joylinewendy33558 ай бұрын
Aki
@beb8299 ай бұрын
Obinna get your flowers right now, you are very kind and caring with a giving heart and what you are doing foe dem wa facebook is great, you are blessed kabisa and may you continue being blessed
@annesilpherpermy24449 ай бұрын
Haki Obina, you are a blessing to that girl and she has your star.
@CCMNEWS209 ай бұрын
Dem wa FB na kipenzi chake...Niko hapa kama chawa because of you two
@jessicakwilliyam17449 ай бұрын
😂😂😂bado chawa zinakuwanga
@Skysky7196-i6x9 ай бұрын
Never used to watch obinna. Till dem wa. Facebook aliingia Kwa mix. Now can't miss an episode. Something unique Abt her. May God bless you obinna.
@DaKeSa2549 ай бұрын
Imagine I must check new episodes daily I love them😂😂
@javierantony56879 ай бұрын
Obinna is a destiny helper...... Just watch this lady in the next few yrs ..
@sharonnyanchama48389 ай бұрын
May this duo stick together forever 💓 nothing should put them apart...Amen
@christine40729 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@IreneAroko8 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@philipgatuma45669 ай бұрын
I like you duo, obina you are planting a seed which you don't know the harvest, hope we'll all enjoy,gud job guy's
@Immahlove_10409 ай бұрын
We all need someone like obinna kwa life. Keep winning 🎉🎉🎉🎉
@sallyadhiambo2739 ай бұрын
The way i wait for this shows,i keep refreshing seeing if they have uploaded a new video.Obinna May God keep blessing you.
@cerestineosiemo46729 ай бұрын
The song behind the scenes got me 😂😂😢😢 Uhuru come once more useme "My fellow Kenyans"😢😢😢
@carolineghege81157 ай бұрын
Always following from USA After a hectic Tuesday, I get a good lovely dose from this show My mad love for the duo❤
@sumeiyaaswani95593 ай бұрын
My day is not over till I watch these two. Love my people ❤❤❤❤
@alicenyambura35009 ай бұрын
Mrs Oga walking kimurio murio😅😅😅
@Teenah409 ай бұрын
Niko ndanii kwa mpigoo,,masaa ni ya kufinish kudonjooi kumaloo style ni deadri deadry,,siku hizzi ukinikosaa nitafutee kwa obinna huku ndioo kunnabambaa😊😊😊❤❤❤❤
@nurukiwia939 ай бұрын
Yaani wacha tuu nawapenda na love yao. 😂
@elizabethcatherine-jm8fr9 ай бұрын
Pia mm akih na wa love ❤️❤️
@Hellen9859 ай бұрын
Obina mungu aendelee kukubariki for being a blessing to others
@JoyceWangari-zv4qf9 ай бұрын
Ningekua Mungu ningebariki Obina Hadi ashangae but u are blessed bro 🙏keep helping her
@lilianlihavi72567 ай бұрын
Walaii I do pray for them. Daily aki🎉🎉🙏
@chemtaiwilter68699 ай бұрын
Waau you deserve one another mnapenda yaani kila Dem ni safi wako jioshee na obinna umefanya hivyo❤❤❤
@wilkisterheyi63219 ай бұрын
First lady ametulia....Obina recieve your flowers ukiwa hai and keep it up....
@galaxyqwer74389 ай бұрын
Obinna God bless you kwakushika huyu mtoto wetu mkono
@charitytheuri44249 ай бұрын
How am addicted to these two. Anyway endelea kunjioshea Obinna.
@shylascarlet48879 ай бұрын
Our kipenzi Obinna na dem wake ❤❤❤
@jacintajanice6159 ай бұрын
Yaaaani mlisema there's nothing else I will ever do with my WiFi apart from watching you..... love you guys
@alexsaidi39409 ай бұрын
Golden heart, sence of humanity ❤❤
@shiebahati60769 ай бұрын
Khai my goodness ati manager gari eeeh God ❤
@millymachimbo71889 ай бұрын
When I am watching Mr Obinna and Mrs Dem wa Facebook my prayer is Ooh Lord please bless me, huyo mrembo akai vizuri ana vile amekaa😁much more love for you ❤
@DobisterKhasitsa9 ай бұрын
Yeani nakaa siku mzima nikiwatch hawa watu wawili nikifutwa kazi aki utanipea kazi I love you so much❤❤❤❤
@leahmbone82929 ай бұрын
Much love Obinna for standing with dem wa fb Mungu akubariki
@annahsimiyu14019 ай бұрын
Much blessings obbi as you continue supporting this girl, Mungu atukumbuke pia all of us your funs 🎉🎉🎉❤❤
@CeciliaWangari-sg8zh9 ай бұрын
The song has it all .. obinna yabarikiwe malango yako milele ulidwe na mungu your such an amazing person
@sheilahnziwa77877 ай бұрын
It's literally one, sijalala nawatch you two, wachawi❤
@FunnyDalmatianPuppies-qd9mj9 ай бұрын
Obinna ata watu wakikuongelea usimwashilie huyo mrembo, endelea kumsaidia tunapenda show yenu mkiwa pamoja
@agneshuy23829 ай бұрын
An obina siuoe dem wa facebook.maybe hapo ndio mungu alikupangia.munamatch,content iko top
@Kasweetie_2549 ай бұрын
Wow, mtu na Boss wake kaende kaende ❤
@linetkhavugwi2099 ай бұрын
Sikumoja tu ..inakuja 🎶 🎵 tuimbe wote ...nakila mtu atauchukua muzigo wake wenyewe 😅😅😅❤❤❤❤❤❤
@LitherMuthama9 ай бұрын
Mbona watu wau hate obinna navle n mtu wa watu jameni😊😊😊😊😊live long oga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SaumuNasenya9 ай бұрын
Bro God bless you and your family ❤️❤️❤️
@paulkwanusu35869 ай бұрын
Can't miss watching you two
@SokinaChapia9 ай бұрын
Good job obbinna for your kindness heart Mungu akubariki sana so Bado one thing na hyo ukifanya ,walai ntakuja kukutembelea Kwa hyo show yako😂😂😂😂
@FannysTuray9 ай бұрын
Nowardays i dont care about my problems😂😂nimezama huku
@maphismutindi63829 ай бұрын
Dem fb ametulia mbele kweli kama bibi ya tajiri
@mercylenecherotich27234 ай бұрын
Watching this after car surprise ❤❤ enyewe ni mungu
@annbabiealvin69029 ай бұрын
Karibu nichelewe❤
@rosalinemurugi13529 ай бұрын
Io roho yako obinna inafanana na ya Diana b aki God bless you
@dinakemunto32439 ай бұрын
Abina and stano pasta show sijui nitawapata wapi niwasalimie kwa kazi nzuuuri mnafanya .watu wa gulf tunawafuatilia kuliko maisha yetu. anyway good job obina and Dem wa fb
@rehemanekesa10079 ай бұрын
Waambie
@rosemarymuriithi-gr9fl9 ай бұрын
nilipenda obina tangu ya easy fm ❤❤❤
@brendakananu38089 ай бұрын
The new princess passenger ❤😊
@fatmamammy36419 ай бұрын
Nawapendaaaa hawaaa jmniii❤❤❤
@fatihammboga19949 ай бұрын
Obinna ukioa huyu tuko sawa
@joshuamatatwa7 ай бұрын
You doing an amazing job ❤
@NancyDarmiun9 ай бұрын
Gari zangu sote😂😂😂😂uko na ngapi😅
@marysusanowuor74429 ай бұрын
Yani big brother kweli
@faitlundo21659 ай бұрын
The Oga the boss❤❤ kind heart man
@MonicahPeter9 ай бұрын
Niko ndani love you guys stress za mwarabu nikiwaona zaisha❤❤❤😊
@elizabethcatherine-jm8fr9 ай бұрын
Hii ndo kila kitu
@MaureenMongina9 ай бұрын
OBINNAH GOD BLESS YOU 🙌 ❤
@alphamaginyo74619 ай бұрын
When God gives you a heart ❤of giving,then know that your blessings are abundant and no man can take or hider them from you, you're a wonderful mentor to many continue with such huge heart and deeds 🙏🏽👑👑👑👑OBy
@rosemaryMutuko-wl3ey9 ай бұрын
This is what I demand
@jacklinemwandiki71799 ай бұрын
Obina you are amazing
@ibrahimsuprise17759 ай бұрын
Nice job brother we respect
@VirginiaGichero-x5l9 ай бұрын
Always tuned nawapenda sana
@mercymwanzia27619 ай бұрын
This girl 😂😂😂😂eti boss atasimamia
@margretagunda45639 ай бұрын
Ndani ya show kwa mpigo❤❤❤❤
@karendikitchen84399 ай бұрын
Ubarikiwe.. Soon itakuwa ya Dem wa facebook kipenzi cha Obinna 😂😂😂😂😂
@Jassmin-media-official9 ай бұрын
Nawewe demu wa fb huwe inavaa vizuri kinyasa kizuri tisheti nzuri nywele nzuri saaa unafanana chizi big no obina please mfundishe kuvaa
@elizabethnzilani33729 ай бұрын
Walikuwa kasarani akifudishwa kudrive boda
@felistamathei54209 ай бұрын
I like the duo, keep soaring
@obuyacharles88399 ай бұрын
Chairman wa ma chawa wa obina and Dem wa fb checking in ...mambo ni tick
@sierranjoki61839 ай бұрын
Mnakaa poa ❤
@joychemelychunge74199 ай бұрын
Obinna come for me too..Jakom😂😂😂
@najmqhamisi56376 ай бұрын
Simuhowane jamani aki nawapenda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EmmahResian9 ай бұрын
Mm Nikona Hawa wawili naaza kusmile tu
@franceen25499 ай бұрын
Obinna don’t listen to us , jioshee tu ,iyo ndio form 🤣
@marblenana4629 ай бұрын
Obina wee leta Tu ng'ombe but coz umamlea tutapunguza being kidogo😂😂
@Wonderlust.019 ай бұрын
Si ata m mnifollow niwafollow piaa Nice content obina always tuned
@munalook44779 ай бұрын
One day ,mungu atakuamsha na yako
@ronolizz43949 ай бұрын
Hapa nayo heri nikope bundles 😂😂😂😂 Msalimie Omosh my all time crashi ❤❤
@naseriankimoyo92919 ай бұрын
Well done 👍✅
@hemedihawa27485 ай бұрын
Ata Ay alijoeshea kienjeji wake
@sarahnaliaka65369 ай бұрын
Telle how am going to subscribe 1000 Times aki i love love this show
@mercy90179 ай бұрын
Obina dem wa fb yaani mmefanya nmeacha kuangalia Nigerian movies show yenu inabamba kweli
@naseriannamelok71469 ай бұрын
Hawa washakulana 😂😂😂😂😂baby mama number 4 loading
@ImmaculateNdanyi9 ай бұрын
Ulikuwa ukiwapiga picha😂😂😂😂
@RAFIKI20299 ай бұрын
The rubberband is my everything.
@GoEunbeol_0499 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe umeona.
@THEMBAJASFAMILY2549 ай бұрын
😂😂😂same here
@nettyad9 ай бұрын
I knowww😂😂😂😂
@NyamboriOnsabwa-wf2gv9 ай бұрын
She's real😂😂
@rehemanekesa10079 ай бұрын
Yaani within a week nimefuatilia life ya obina yote sai sipitwi so far nimesubscrine chanel zote za obina
@NancyHoney9 ай бұрын
Ndo kudonjo kudunda kumadadeki❤❤❤😅
@djshekez2549 ай бұрын
You guys are amazing ♥️
@nancykainda27459 ай бұрын
Imagine you are talking of gari zako obinna...na Kuna mm hapa ata njaa nalala....aki God of obinna relocate mh 🙏🙏🙏
@Nims6439 ай бұрын
😅😅😅amiiin
@ClareNekesa-ym5mn9 ай бұрын
Next ni Dem wa fb apewe gari Sasa,we are happy for u guys❤
@Janice-sd7hl4 ай бұрын
Clare aki kumbe ulikuea na vision poa hivi,didn't saw it coming.it has come to pass Sasa bby Yuko na gari.
@DaKeSa2549 ай бұрын
The true movie of a prince marrying a village girl
@rose-ou1di9 ай бұрын
Obinna na d wa Facebook nyinyi ni wachawi,nimeshindwa kupikia watoto nikiwafuata
@Sherry-c4b9 ай бұрын
Ile msemo ya kila dem NI Mali hapo kwa safi unajioshea ulichukulia serious,,,,,gud job