Hongera sana Dr Mechanic kwa kuendelea kutuelimisha kuhusu magari, Big up sana bro kazi nzuri keep it up.
@davisnganga6266 Жыл бұрын
Gari safi sana. Naipenda sana.
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Dr Kenny tunashukuru kwa Elimu ya Bure
@richardsaikong11383 ай бұрын
Next suzuki grand vitara au escudo pliiz kamanda
@georgenjoroge21105 ай бұрын
Uko na advert nyingi sana
@eliasmbowe2967 Жыл бұрын
Io ni station wagon au hatchback?
@smartphonez Жыл бұрын
background sound kubwa sana maneno hayasikiki sometimes
@KenaniIlomo10 ай бұрын
Kwanini hizo gari zinasumbua upande wa giabox unatembea inajiweka frii
@mosesmgengeli5458 Жыл бұрын
Natamani sana kujua kama siti za nyuma zinaweza kulala kwa nyuma kumpa abiria pumziko mwanana
@ahmadisheki1599 Жыл бұрын
Naomba namba zako
@thehunter5920 Жыл бұрын
Sound track kali
@emmanuelntale1494 Жыл бұрын
Tupe review ya fortuner
@nyavas41Ай бұрын
Jamani huyu jamaa hana lolote zaidi ya porojo na utapeli anaongeya maneno mazuri ila ukweli hafai kabisa anajifanya ni DR mechanic nimemfuata nina tatizo kwenye gari langu nimeishiya kufanyiwa ulakhai tuu hana lolote.
@salomemwambete4603 Жыл бұрын
Hellow.. napenda vdeo zako. Ila camera man wako anakuangusha sanaa... ame stick na wwe tuu ukiwa una ongea na sio kuonyesha kile unacho kiongeleaa... kuna udhaifu kwa camera man wakooo.....
@crershawmafia1009 Жыл бұрын
Donut nimetoka nayo Mbeya na nimechapa 100-130 hadi Dar
@thehunter5920 Жыл бұрын
Ni hatari
@edwinismail9401 Жыл бұрын
Ni aibu ulichofanya
@herielmao39007 ай бұрын
Niko nayo hii chombo ni ya 2008, iko vzuri sana barabarani lakin pia ni stress free, yan haisumbui chochote.....and engine safi sana with zero problems