Hakika tulikuwa wapumbavu sana kuweka pesa benk now benki si kitu sasa crypto is everything
@nickyn2869 ай бұрын
Benki inaumuhimu wake mkubwa sana. Inabidi serikali iangalie mbinu za ku adopt teknolojia. maana hizi stablecons pia nazo ni saw tu umeweka hela benki
@edwinmoshi651210 ай бұрын
Bado elimu ya crypto inahitajika .... cryptocurrency for life
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
cryptocurrency ni DeFi( decentralized finance) hakuna central bank yoyote inayoweza kuregulate cryptocurrencies duniani, so kama wewe unasubir Hadi B O.T ndo ije iregulate cryptocurrency utasubir sana kiufupi Kuna vita kati ya Fiat currencies na cryptocurrencies dunia nzima #crypto4rever
@ynwxr Жыл бұрын
Hakuna anachokiellewa masikini
@Abukhalila-xo7yz7 ай бұрын
Hii nchi ni ya kishamba sana yan na kukurupuka kwingi..kwenye mfumo wa crypto sijawahi kuibiwa mim watu wamepigwa na kalinda wanasingizia cryto Kiufupi Gavana akasome miwani na suti haisaidii bila ya elimu
@HarunaHamisi-n2x12 күн бұрын
Sio kwamba hajui anaficha ukweli wanataka kodi na kwenye crypto hawawezi kuipata kirahisi hivyo wanasingizia watu wataibiwa
@rashidjuma1969Күн бұрын
Hawa wameona Kuna watu Wana kuja kutajirika kwa njia ya pi na Bitcoin ila haturudi nyuma
@ismailmbegu756710 ай бұрын
The more risk, more rewards🎉🎉🎉.
@Pips_Lab-v2f7 ай бұрын
Usilolijua ni sawa sawa na uck wa Giza tafuten elimu msiongelee vitu msivyovijua
@geofreysadok4823 Жыл бұрын
Naona anavuka mipaka huyu mzee,qtuache tafadhali ndio maisha yetu ye adili na maisha yake,huku atuache kabisa hatuachi sasa
@hansperson1012 Жыл бұрын
Wanajua kabisa benki hazitokuwa na kazi zake tena kama zamani😂😂😂 kiufupi kwa sasa crypto ni kila kitu kwa vijana kiajira ma si benk tena ikiwa crypto ikitawala basi benk zitakuwa azifanyikazi yani(zitafutwa) hii inawapa shata sana benk na kutoa maneno haya juu ya technologia hii
@Elliotistandrewkadeghe Жыл бұрын
Viongozi wetu Hawa wanahitaji wepewe elimu sahihi kuhusu cryptocurrency, they no nothing about crypto
@Haley-qz4ro10 ай бұрын
Trust me they know right. Ni kwamba ni vita hivyoo
@joshualazaro16418 ай бұрын
Yaani wewe umpe elimu ya fedha gavana, au mimi ndio sijaelewa!!??
@mkanyafamily8 ай бұрын
@@joshualazaro1641 kama iyo nafasi alipewa tu kwani kuwa gavana ndo nini
@legacytrainingservices5 ай бұрын
@@joshualazaro1641Kwani elimu ina limit kwamba kuna mtu anajua kila kitu? Acha woga na negative mindset, elimu ni endless na kuwa gavana hakumzuii yeye kupewa new thing,info or knowledge. Hiyo vita ya crypto na fiat ni vita ya kimaslahi ambapo banks wanadiscourage matumizi ya crypto wakijua fika interest zao zipo hatarini, wasichokijua ni kwamba hii haizuiliki na haitokuja kurudi nyuma wanapaswa tu waikubali na kuona namna ya kusurvive
@thomasphilipo2009 Жыл бұрын
Gavana Hana uelewa wa kutosha kuhusiana na teknolojia nzima ya Blockchain, aelezee kitaalamu zaidi juu ya hatari anayoisemea Ili tuamini ,
@elibarikkiakyoo8 ай бұрын
Tupo hvyo
@ottiefx2553 ай бұрын
Muulize price ya btc ni shingap 😅
@georgekabaka377 Жыл бұрын
Sis hatuwez subir mifumo ndio tufanye biashara kama tunaona kunanafasi ya kupata kipato ngoja tuendeleeee
@raymondkanyama1660 Жыл бұрын
Huwezi kukwepa matumizi ya cryptocurrency. Ndiko dunia inakoelekea
@light-techchannel59468 күн бұрын
cryptocurrency for life
@vibetz9991 Жыл бұрын
Nchi ngumu hii😢😢😢
@willygraphics36010 ай бұрын
😂😂😂😂
@JohnstarBweichumu5 сағат бұрын
Ndo Gavana huyu "sijui serikali zetu zinawezaje kuwapa nafasi haya mavilazaa"
@hansperson1012 Жыл бұрын
Hii vita kati ya crypto na benk ni kubwa sana na haitoisha leo wala kesho maana benk wanapinga sana technologia hii inayokuja kwa kasi sana kwa kuzifunika benk nyingi miaka 10 mbele crypto ndo itakuwa kila kitu.,...
@clesematv65718 ай бұрын
Upo sahihi
@Johnyusuph-o1k6 ай бұрын
Kabisa
@legacytrainingservices5 ай бұрын
Real thing, always technology inarahisisha maisha na kupunguza complications nyingi. Crypto imethibitisha hili na Banks nyingi wanaipiga vita coz their interests are at risk day to day
@focuskavishe9 ай бұрын
Crypto is big deal
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Desi, Mr Kuku, JATU, Calinder, n.k wamepiga watu pesa mbele yenu, ila hadi leo watu hawajarudishiwa pesa zao. Regulations zenu zinasaidia kwa namna gani?
@reubenwild4211 ай бұрын
We just >hodl< all is well tukutane 2025 mwezi wa 11
@willygraphics36010 ай бұрын
Let's go!!
@1bSaleh6 ай бұрын
Hell yeah 🎉
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Inasikitisha Saaana Ila ndio hivyo, crypto Ni risk ukiuza , kama hujauza hasara inatoka wapi ? Na usiamini Saaana Nchi zilizoendelea wakuelezee kuhusu crpto, wao watapata faida kwenye hizo crypto alafu wawape loan na tuendelee kuwa watumwa, Kwa kila mwenye akili timamu huu ndio wakati sahihi wa kuwekeza kwenye ISSO coin kama XRP, XLM , QNT, HENDERA N.K muda sio mrefu zitatumika kwenye international money transfer, nunua hata kama XRP 100 TU inatosha , fanya wanachokifanya sio wanachosema
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Hizi nazo ni coin zilizo ndani ya crypto ama,hebu nieleweshe
@willygraphics36010 ай бұрын
@@philipocharles9239 yes zipo kwenye CMC
@selemankahabiemmanuel88079 ай бұрын
DYR
@AbdullahRamadhani-k2p8 ай бұрын
mabenk yaoo hatarini kwa sasa
@SARAFU-ZA-KIMTANDAO Жыл бұрын
Anapingana na fourth industrial revolution. Kwan kuna blockchain na ndani ya blockchain kuna cryptocurrency
@yussf97956 ай бұрын
Gavana mwizi
@dechardavid25552 ай бұрын
Kachelewa..nae anasema.vitu alivosikia sio anavojua...ngoja Pi ije
@MfizoCrypto Жыл бұрын
Mama alisema mfanyie kazi ninyi BOT mpaka leo mnakula Salary tu hamjafanya kitu.
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Zipo Genuine na zipo fake. Deal na hizo Genuine, achana na fake.
@egnokapinga16 Жыл бұрын
😂😂umeongea point sana😂😂
@willygraphics36010 ай бұрын
DYOR always
@abhorzooclassic52435 ай бұрын
How will you know that this is genuine and this is fake .....help me pliz so as I can understand.
@musa-v3f11 күн бұрын
@@abhorzooclassic5243 there are a lot of the genuine companies out there make sure you check against SEC
@Cryptocurrency_Tanzania Жыл бұрын
Mheshimiwa Gavana Mkuu tusifike huko... Mfumo wetu wa fedha usiwe source ya umasikini kwa watu wake... Tunaomba midahalo tueleweshane au kama Kuna agenda nyingine hapo sawa. CBDC ndio inaenda kufanya Transactions na hata nyie wenyewe Mpo kwenye Maandalizi hayo na CBDC iakuwa undercontrol na Central Bank. Kwaivyo please Tueleweshane na tujue what we should do muda ikiwa bado mapema..
@consorathajames26939 ай бұрын
Wamenufaika sana napesa zetu sasa chamoto watakiona pesa mtandaoni ndio kila kitu
@hanschid941 Жыл бұрын
Huyu gavana aende akanye huko
@gracenbarnes52542 күн бұрын
Tushaweka pesa crypto na tushatajirika kupitia crypto acheni watz watajirike bana
@lameck128 күн бұрын
kumbe tunacheza hatu trade, this country.... kwani kuna biashara haina hasara
@MichaelFrancis-ze5py5 ай бұрын
Mfumo ni blockchain tu,banks na fiat money vizazi vijavyo vitakwenda kuangalia kwenye majumba ya makumbusho.
@JipendeImaniАй бұрын
Asilimia kubwa ya wananchi elimu ni ndogo ya mitandao....asilimia fulani wana uelewa, kazi bado ipo.
@TeddyTz-r9m8 ай бұрын
Uyo ameongea ukweli ila sisi tunaofanya crypto tumeridhika kabisa na utendaji kazi wa crypto kwasababu atuitaji kufatiliwa na serekali kwanza inawezekanaji serekali ijue pesa za account yako iyo kwanza nifaida ya kwanza kwenye crypto nilikua na mengi yakuongea ila kifup binafsi ata bank siwekagi hela Habari zakufatiliwa sitaki izo😂
@juicesodascienceКүн бұрын
aliongaliaa 2025 na amepunguza sauti kwa kuona aibu kwa niaba ya muheshimiwa
@fbtrades_0012 күн бұрын
Nimerudi tena kusikiliza leo😂😂 Tanzania wasomi are going Dump nowadays imagine huyu kasomea fedha na ndio kashikiria BENKI KUU YA NCHI (BOT)😂Narudia tena kama huyu kasomea fedha vp ambae hajasomea fedha😂😂
@allyhassan1147 Жыл бұрын
GAVANA APEWE ELIMU..
@officialsniperboytz6712 Жыл бұрын
Apewe kweli elimi uyu mtu kati A.k.a Dalali..
@NelsonAmos-v5y3 күн бұрын
Hii ni plat form gan nahitaj kuijua nami niwekeze
@jizzotheking9238Ай бұрын
tatizo Mnasoma elimu za kukaririshwa ndomaana hamuwez kutafuta elimu nje ya vitabu mlivyokaririshwa, ok uliyasema mwaka jana ,leo mtu mweny BItcoin 1 anakununua ww na ukooo wako, pamekaaje hapo??
@musa-v3f11 күн бұрын
yeah kwa sasa imeongezeka thamani mara mbili kwahiyo Gov is Wrong 100%
@nelsonkunambi532 Жыл бұрын
Eee kazi ipo 😢
@selemankahabiemmanuel88079 ай бұрын
siwezi kuacha cryptocurrency mpka mniuwe
@MNEGENAJAPHET8 ай бұрын
Nipe nambayako
@SaidFupi7 ай бұрын
Kaka nakuomba inbox
@godfreypaulo835523 күн бұрын
Naomba tuwasiliane
@PascalWanyancha22 күн бұрын
Unafanya zipi ww nipe mchongo huo
@gemytrading8 ай бұрын
Ana elimu kuhusu anacho sema kwanza akasome ndio aje na iyo TARIFA zake Sasa kama Bitcoin imetoaa dollar 15000 adi now dollar 60000 kweli unacho ongeaa atuwezi kuelew kabisa sisi
@EvalinaKeya27 күн бұрын
Huyu mkuu nani amemwelewa karibuni cryptocurrency kumenoga , tusicherewe kuamua
@ironk995 ай бұрын
Investing in cryptos is more better than depositing in bank by understanding blockchain technology you will understand how to invest and take profit time after time like halving time before its peak but also you will not be scammed easy
@Abukhalila-xo7yz7 ай бұрын
Tutazihold na kuziweka naona washashtuka na mahela yetu hawa hawapati kupiga matozo yao
@tiffanyakramJr814 Жыл бұрын
Mmmmmh🤔 Asa ntafanyaje mie 🙆♀️
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Miaka mi3 fanya kinyume chao, miaka 3 mingine fanya wanavyotaka. Kisha access wapi umepata faida. Endelea na njia ya faida.
@SaidFupi7 ай бұрын
kaka plz inbox@@RuzoOwzy
@RickshabyVlogs20 күн бұрын
As soon as u got born it became risky 😂😂😂 pole kiongozi
@devisshirima67808 ай бұрын
Mabenki ndio yapo hatarini, kuwapoteza wateja wengi, issue ya mtu wa katikati anayenipangia nichukue pesa muda gani, mara makato, mara mbona una pesa nyingi utafika mwisho hapo mbeleni, itakuwa ni mambo ya P2P, yani pesa yangu itakuwa ni Mtu kwa mtu na sio Mtu-benki-mtu !! Anachotakiwa kukiwaza ni hapo baadae watengeneze mfumo na pengine hata TZS iwe katika sarafu za kidigitali watoke kwenye paper money, pesa za mfumo wa karatasi zinakwenda kufa huko tunakoelekea !!
@PatsonGeoffrey6 ай бұрын
Oy bro upo sahh
@PascalWanyancha22 күн бұрын
Anapigia kampeni mabenki ya ndani😅
@festojohn360511 күн бұрын
nna cryptomania ballance yake ni $85k af hata sielew matumiz yake hat nafanyaj kutumia
@Tam_media25485 ай бұрын
2024 Pi Network inakuja kuwapiga kofia 😅
@lilianmollel29906 ай бұрын
Benki siku hizi zenyewr ni hatari woi mtuache
@workmantiktok9 ай бұрын
yani chakufanay ni waifanye PayPal ifanye kazi kama matifa mengine sio tulipie tu kupitia PayPal ila hatuwezi kulipwa kwa kupitia PayPal
@EvalinaKeya27 күн бұрын
Mbona tunapiga hera na zmetukomboa
@Davida-vi7ef11 күн бұрын
Huyu mzee n wa wapi huyu
@aldegundaurio4285 ай бұрын
Crypocurrence siachi ng'oooo mwaka wa 4 wap naeza ingiza dollar 120 kwa siku Hata hivyo Gavana karibu ujiunge
@SamElis-fl5ri4 ай бұрын
Boss kwema?
@SamElis-fl5ri4 ай бұрын
hayo unayosema ni kweli?
@godfreypaulo835523 күн бұрын
Tuelekezane ndugu
@mndambokilavo25024 ай бұрын
Ili kitu kisiendelee mwajiri profesa kiafrika asichokijua yeye ni kibaya
@Tradingpsychology010110 ай бұрын
Decentralisation ndiy inayowasumbua
@YudaMaongezi-kx2on11 ай бұрын
Wanajaribu kuficha Maiti kwa majani😂 harufu itasambaa tu😅
@skysuleshfootballnews27417 ай бұрын
Wasenge sana awa wajinga kwani mnachokitaka ni nn pesa zetu wenyetu nyie kwani lazima mbwaa nyinyi tufe njaaa niko na hela katika account ya bitcoin wamezuia miamala Tanzania nisipo hama nife mimi kum* nyinyi
@ayubumwile18 ай бұрын
Miaka mingapi mnakaa toka mwaka 2021 mlisema mnakaa
@DoreenSwai-s5n Жыл бұрын
Wewe baba una dhambi rais kasema Nape kasema mbona mnatuchanganya
@BarbaraDMcRae8 ай бұрын
video nzuri. Sielewi biashara hii, niambie jinsi ya kukutana na mtu sahihi ambaye atanipatia faida nzuri
@gracenbarnes52542 күн бұрын
Wivu tu
@fanuellingson7 ай бұрын
Hahaha haha Tanzania kila kitu tunataka kuwa wa mwisho
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Mheshimiwa samahani kama mi ndo navuka mipaka na kupingana na kauli yako, Kwa cryptocurrency napata zaidi ya $570 kila siku na naijua vyema crypto mwaka wa tano sasa,najua zipi mbivu na zipi mbichi. Sahaman kuiacha crypto mpka mnitoe kichwa changu hiki mlichokibebesha uelewa ninyi wenyewe,elimu milinipatia ajira mkaninyima,unadhani ningefanya nini zaidi ya kujiongeza?,,Asante🙏
@willysampa2995 Жыл бұрын
Mkuu habari tufundishane fulsa
@agustinomhagama915211 ай бұрын
KAKA UNAPATIKANA WAPI ?
@YasinDominic10 ай бұрын
Philipo Charles nimekwelewa nipe elimu umefikaje fikaje hapo?
@SaidFupi7 ай бұрын
tufundishe kk umaskin mbay
@bigboys0163 күн бұрын
More education needed
@ayubumwile18 ай бұрын
Hawa ni wasomi kweli au?
@KhalifaIbrahim-x8w3 ай бұрын
Ivi anaijua crypto currency au kazi kuropoka tuu na hajui chochote 😂😂😂
@kabogonorasco74987 ай бұрын
You always want people to be poor ,cryptocurrency is the good investment
@SaidFupi7 ай бұрын
How to invest and get More money through this?
@felisteronesmo3091 Жыл бұрын
B.O.T vs Crypto = ??😂😂😂😂 .. A. Siasa B. Unemployment C. Centralized vs Decentralized .. Tumezungukwa na Nchi ngapi nikumbushe Mtanzania mwenzangu 😂😂😂,
@ezekielmwadomba467510 ай бұрын
WEWE NI MBONGO, PRINCE WILLIAM WA UK KATIA SIGN MATUMIZI YA HII SARAFU, INCH 155 ZIMEUNGW MKONO,NI HASARA GANI WAKATI WATU WANAJIUNGA BURE?? HAPO UMENOWA, NYINYI SUBIRINI KODI ZENU WANANCHI WATAKAPO KUJA KUGOMBOWA MOZIGO HAPO BANDARINI BASI!
@workmantiktok9 ай бұрын
benki ni rahisi ila cryp ni ngumu ina makato mengi kama walet nyingi hazifanyi kazi mpaka uhamishe kwenye walet nyingine na makato ni makubwa mafano ukiwa una dola tisa crpto mpaka ikufikie ni dola tatu
@KelvinKameta8 ай бұрын
Wew nawew hujuwi chochote njo ufundishwe
@workmantiktok8 ай бұрын
@@KelvinKameta matako yako
@clesematv65718 ай бұрын
😂😂😂 kajifunze tena
@GENIUS-rt5mp7 ай бұрын
Anarukaruka kama maharage, haeleweki 😂🙌@@clesematv6571
@silasmeshilieki29754 ай бұрын
Duuuh nimecheka kwa sauti walai @@workmantiktok
@Kidunu1030 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🥵🥵🥵 Sio mazuri Ila tucheke Tanzania tupendane tuache tamaa za ajabu walizike na mishahara yao 🤣🤣👩⚕️👩⚕️👩⚕️👩⚕️👩⚕️👩⚕️🤣🤣🤣🤣
@reubenwild4211 ай бұрын
We just >hodl< all is well tukutane 2025 mwezi wa 11
@willygraphics36010 ай бұрын
Let's go!
@NelsonAmos-v5y3 күн бұрын
Kaka habar
@consorathajames26939 ай бұрын
Wamenufaika sana napesa zetu sasa chamoto watakiona pesa mtandaoni ndio kila kitu