Рет қаралды 871
GAVANA wa BENKI KUU TANZANIA AZUNGUMZIA MIKOPO KAUSHA DAMU
Ni mkutano wa uzinduzi wa mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha uliowakutanisha wajumbe wa baraza la huduma jumuishi za kifedha na wadau wengine katika sekta ya fedha.
Akizungumza katika uzinduzi huo Gavana wa Benki kuu nchini BOT Emmanuel Tutuba amesema kiwango cha watu kushindwa mikopo kipo juu kutokana na kutokuwa na elimu sahihi ya fedha hivyo mtaala huo utakwenda kuondoa changamoto zilizopo sasa.
Katika uzinduzi huo Gavana wa BOT Emmanuel Tutuba ameagiza mtaala huo wa elimu ya wakufunzi wa elimu ya fedha utafsiliwe kwa lugha ya kiswahili na utengenezwe kwa njia ya sauti na video ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi zaidi.============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx