GB 64 APAGAWA NA MICHANGO YA SIMBA, MILION 32 KWA MASAA 24 TU, TUNAWAJIBIKA PAMOJA

  Рет қаралды 25,949

Ngwale Sports HD

Ngwale Sports HD

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@maulidhussein2022
@maulidhussein2022 10 сағат бұрын
Mmefanya vzr kama mashabiki ilaniyangu kwenu kama mashabiki muwe walinzi wa kila shabiki atakaye kuwa kiwanjani maaana muda mwingine kuna watu wanakuja kama mamluki mkimuona yoyote yule anafanya uharibifu kwenye mechi ya simba au yoyote yule mkamateni mpelekeni sehem husika
@josephvenus3259
@josephvenus3259 8 сағат бұрын
TUNACHANGIA NA TUNALIMALIZA WENYEWE MASHABIKI. #SIMBANGUVUMOJA #UBAYAUBWELA 🦁🦁🦁
@LehemaAlly
@LehemaAlly 21 сағат бұрын
Iyo ndosimba sasa jmn afu tumejitolea sana aisei kama kuna mbwa anae weza mwenye jez yakijan wafanye ivo tuwaonewao maana wanapenda kuomba ela mtaani
@shumajrrespect
@shumajrrespect 2 сағат бұрын
Simba ni team kubwa si sawa na wale wanywa supu
@JescacasianChaho
@JescacasianChaho 10 сағат бұрын
Jamn mashabiki wenzangu wa simba tushalipa ila tusirudie tena kuvunja viti jmn
@jacksonjohn-s6v
@jacksonjohn-s6v 4 сағат бұрын
mbona jamaa anakondatuu 😅😅😅😅😅bado hamjasema nawachezaji washaagomaokoduuuh kweli hiitimu ya wasela
@shumajrrespect
@shumajrrespect 2 сағат бұрын
Hata ww utakonda tu! Watu wanatembea na magonjwa. Muombe mungu sana hyo kauli uliyoongea mungu akusamehe
@SetMohamed-i9y
@SetMohamed-i9y 21 сағат бұрын
Tunachangia wote simba nguvu moja .
@EnockJohn-fj7tk
@EnockJohn-fj7tk 4 сағат бұрын
Ubaya Ubwela.mana yake iga ufe.hawawezi hata kidogo Utopolo.
@RichardFrancis-e5t
@RichardFrancis-e5t 7 сағат бұрын
Tunalipa ilawalinzi wahizimali nicc wenyewe ili icjirudietena👏👏👏
@DanielChaula
@DanielChaula 14 сағат бұрын
God is good
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 35 минут бұрын
TUNACHANGIA MWENYEWE KAMA NEMBO YETU INAVYO SEMA👉 SIMBA NGUVU MOJA....🦾 ✍️ Mabetu &Co
@suleymandachi782
@suleymandachi782 7 сағат бұрын
Simba tupo pamoja Nguvu Mojaaa GB 64 kunasiku ulimuonyesha Binti yako ukasema ni UTOPOLO leo unasema watoto wako wote Simba hapo sijakuelewa
@AllyMboma-r6o
@AllyMboma-r6o 7 сағат бұрын
ww unae simba omba omba kambali
@Lytaboy-d6w
@Lytaboy-d6w 20 сағат бұрын
Simb❤ yet tunaichangia
@AllyMohamed-w5x
@AllyMohamed-w5x 15 сағат бұрын
Tutimize lengo mnyamaaa
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q Сағат бұрын
Tunaomba namba tuwekee hela
@NsulwaTagili
@NsulwaTagili 9 сағат бұрын
Naomba namba tuweke
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 4 сағат бұрын
Namimi nokotiari nichange Kwa fei toto gamashida pesa
@MarySaduu
@MarySaduu 3 сағат бұрын
Wanaosema simba omba omba ni wivu tuu tumeamua wenyewe kuchanga tungenyamaza moo angelipa lazima
@HusnaKibwana-t2e
@HusnaKibwana-t2e 6 сағат бұрын
Kaka nipe namba
@ConfusedAzaleaFlower-pi5wu
@ConfusedAzaleaFlower-pi5wu 22 сағат бұрын
🎉🎉🎉❤❤🦁🦁🦁💪
@josephvenus3259
@josephvenus3259 8 сағат бұрын
Namba ya kuweka pesa itumwe humu
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 11 сағат бұрын
Thank you
@eddiemwangaraba9289
@eddiemwangaraba9289 10 сағат бұрын
nitumie namba za M. pesa niweze kutoka hata kidogo
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 10 сағат бұрын
😅😅Daah huyu jamaa mpuuz kwel yaan unyingwe kisa timu
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 3 сағат бұрын
Mahaaba na timu yake😂😂😂😂
@theodorasimbae7308
@theodorasimbae7308 11 сағат бұрын
Bnamba Iko wapi
@kassidpandu866
@kassidpandu866 11 сағат бұрын
utoporo hii hawawezi kuchangia ni simba peke yake ndio inaweza kufanya hivyo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 8 сағат бұрын
Utopolo watu wa supu za bure
@Hamy1109
@Hamy1109 17 сағат бұрын
Akili za maskini hizo pesa yenyewe ya ngama si mumwambie Mudi atoe kama anajifanya yupo njema 😂
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 15 сағат бұрын
Ilo sio la boss tumeamua mashabiki 😂😂😂😂😂😂
@abdalahmnalu7059
@abdalahmnalu7059 12 сағат бұрын
Alipe mudi kwani ye ndo karusha viti
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 11 сағат бұрын
Mbwa wee kwani mo ndo alivunja vipi
@MostiJoseph
@MostiJoseph 21 сағат бұрын
Namba iko wapi?
@melissa_garden
@melissa_garden 21 сағат бұрын
Group la Simba au fc Simba SC utaziona
@SalimHassan-d4s
@SalimHassan-d4s 12 сағат бұрын
Nenda kwenye simba appu namba ya kutuma pesa utaiona .
@MajidJuma-pg6ug
@MajidJuma-pg6ug 13 сағат бұрын
Bw. GB Aisha ni yanga bwanaaa au ameshahama?
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 20 сағат бұрын
Main point,64GB u 'r talking is very important to know, " mshabiki uliyekaa naye pembeni ni mwana Simba mnyama 👹,au "kujuana ni muhimu 😅😆🤣👍🇴🇲🇹🇿
@papaaNdama
@papaaNdama 11 сағат бұрын
Acha kuwaongopea madunduka kiufupi mmekwama omba omba FC
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 9 сағат бұрын
Kwani inakuuma
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 8 сағат бұрын
Yaani jamaa wa Uto akili hawanaga watu wanachangia team yao wee kuku unasema omba omba kwani hapa kaombwa baba ako au mama ako!?Kuma kweli wee
@MustafaNamkaka
@MustafaNamkaka 8 сағат бұрын
Haha😅😅😅 humo humo waache xhobo
@lenziangowoko9325
@lenziangowoko9325 7 сағат бұрын
Mambumbumbu ndio kama wew,huelew kitu alafu unaropoka tu
@LovelyBakedBuns-ue7un
@LovelyBakedBuns-ue7un 7 сағат бұрын
Hiloooo li utopolo linaona wivu mashabik tuna pesa Mob Dew anapesa nyie ndio masikin hata wachezaji wenu utopolo heana mshahara mnadaiwa na tff.🤣🤣🤣 Ubaya ubwela
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
ALLY KAMWE AKITAMBA GUSA ACHIA SASA IMEANZA KUFANYA KAZI
10:08
KAYUNGILO MEDIA
Рет қаралды 5 М.
GB 64 AWAWASHIA MOTO BRAVOS FC UBAYA UBWELA UTATEMBEA ANGOLA
16:13
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 23 М.
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 126 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН