GB 64 KWA UCHUNGU SARE IMETUUMIZA, TAREHE 19 POINT ZETU TUNAZICHUKUA

  Рет қаралды 9,082

Ngwale Sports HD

Ngwale Sports HD

Күн бұрын

Simba

Пікірлер: 39
@anordallen8587
@anordallen8587 Сағат бұрын
Mtafungwa sana kaeni kusema gsm
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 4 сағат бұрын
Amesahau Mashujaa fc , na Dodoma Jiji
@georgegregory8414
@georgegregory8414 6 сағат бұрын
Wewe kweli unajuwa mpira
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 2 сағат бұрын
Kweli huyu jamaa kavurugwa hawezi kuwa na msaada wowote kwenye timu kimawazo sio mtu wa mpira anaamini mpira matokeo yanapangwa mbona wewe umezifunga timu kwa janjanja lakini ukashangilia mpira ni vita wewe usiende na matokeo uwanjani
@NsubiRaphael
@NsubiRaphael 5 сағат бұрын
Sio kufungwa kizembe akifungwa kizembe anazomewa yeye mwenyewe hazitaki pesa yeye mwenyewe awe makini huko kwao West nguvu za juju zinetawala,pesa zake anatoa kdg anafanya kafara asile mwenyewe
@OstianMwafulilo
@OstianMwafulilo 5 сағат бұрын
Simba ni simba ata akonde uwez kumuita paka mim naitwa osi Kay kutoka mbeya
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 6 сағат бұрын
Kwani kuna timu itamaliza ligi bila kupoteza Mechi, hao Yanga wenyewe wanaongea lkn bado hajacheza mechi ya Tano na Bado hajakutana na Simba wala na Coastal Union,, sasa kwa nn kuanza kusikiliza maneno ya Mzazi mtarajiwa wakati ww tayari una mtoto?
@kelvinpaul7062
@kelvinpaul7062 5 сағат бұрын
Well said champ
@jamesmramba2651
@jamesmramba2651 5 сағат бұрын
Acha kuongea usenge ww mwakajana Costal tulimfunga kigoli kimoja chamazi tena baada ya beki wao kumshika Azizi ki ikapelekewa apewe kadi nyekundu walipokuwa pungufu ndo yanga anapata goli jioni kbsa ww tengeneza timu acha makelele
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 3 сағат бұрын
Yaani yule manula mchawi yaani simpendi kabisa sijui kwanini viongozi wamemuacha manula
@petro8010
@petro8010 5 сағат бұрын
Eti yanga anaenda kulipa zile point.....kwa team ipi????????Ninyi hesabuni tu point 5 mmepoteza
@robertmalaba5028
@robertmalaba5028 4 сағат бұрын
Azam wamethaminiwa na gsm tena duh kweli umevurugwa
@JofreyErias
@JofreyErias 3 сағат бұрын
Kweli kaka❤
@maxmia100
@maxmia100 Сағат бұрын
Ha huyo mbona gb 64 kichaa huyoo mbwa kwanza ropo ropo huyoo jamaa anawadanganya sana wenzake wa simba
@SalumMwankemwa
@SalumMwankemwa 2 сағат бұрын
Hapo umesema kamati ya ufundi iangalie sana mumezidiwa sana na yanga
@JoshuaMmali
@JoshuaMmali 3 сағат бұрын
Kasolo yanga mbwa ww
@AbdiAbdimasudi-xg1wu
@AbdiAbdimasudi-xg1wu 3 сағат бұрын
Kwisha kazi nyinyi!
@salamadadi7746
@salamadadi7746 5 сағат бұрын
❤❤
@IsayaMlakiZ
@IsayaMlakiZ 4 сағат бұрын
Ukienda NBC premier league yanga hajapoteza
@JoshuaMmali
@JoshuaMmali 3 сағат бұрын
Hiv cost umshindwe yanga anaemilik chapa yenyewe ya gsm umuweze 6 zileeeeeee
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 3 сағат бұрын
Yaani simba haitochukua ubingwa milele kwa mwendo huu ubingwa tusahau
@Johnbida7559
@Johnbida7559 2 сағат бұрын
Akili yako ata km ingekuwa matakoni usingeweza kuongea hv
@Tee-King
@Tee-King 6 сағат бұрын
Sasa hz mnamuangushia lawama Manura maskini jaman ametaka kuondoka mmekataa sa hz mnasema anaroga makipaaaa😂😂😂😂 ngoja si tukae pembem tuwe na 🍿 tusubiri tuone.
@maxmia100
@maxmia100 Сағат бұрын
Leo hajalewa fala huyoo
@InnocentMwakyange
@InnocentMwakyange 6 сағат бұрын
Tatizo nyinyi mnaotuwakilisha kwenye media mnatuaminisha vikubwa mwisho wa siku mnaishiwa vya kusema,plz ongeeni kwa decimal.
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 5 сағат бұрын
Mmh"! Baba mkwe kapoaaa
@mohamedmsoma4710
@mohamedmsoma4710 5 сағат бұрын
Gb 64 wewe ni mwanamichezo wa kweli huwa nakuelewa sana safi sana
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 2 сағат бұрын
Mbaoo ilikuwa didhasta
@shiaeddy4519
@shiaeddy4519 5 сағат бұрын
Unaubongo wa mende
@JoshuaMmali
@JoshuaMmali 3 сағат бұрын
Ukienda yanga umesahau
@OswardMwambete-en5uk
@OswardMwambete-en5uk 4 сағат бұрын
Huyu Nae ropo sana!! Hee
@GidionSarehe
@GidionSarehe 5 сағат бұрын
😁😁😁
@Tee-King
@Tee-King 6 сағат бұрын
Wanarud kwenye takwimu 😂😂😂😂😂
@Friday-nx8pm
@Friday-nx8pm 3 сағат бұрын
Uongo.
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 4 сағат бұрын
aya ni yale ambayo mimi ninalia na fer compatsion iko wapi bendera ya bord ya ligi ina pepea upande mmoja tuu kitendo ambacho sio raisi bendera inayo pepea kwa kutegemea upepo unako kwenda sasa ihii bendera ya bord ya ligi bado makando kando mengi sana
@mfaumeibu7896
@mfaumeibu7896 4 сағат бұрын
Daaaah huyu Fala ni kabila gani? mbona hajui soccer na wewe kubali ndoa na GSM ili upate mafanikio
@MaendeleoMohammed
@MaendeleoMohammed 2 сағат бұрын
😂😂😂sasa coastal union wamekaza na nyie mumeshindwa kukaza eti mtaifunga yanga kweri una akili timamu kabisa
@Munyama675
@Munyama675 52 минут бұрын
Hivi huyu yuko timamu kweli?
@Tee-King
@Tee-King 6 сағат бұрын
Wameanza kurud kwa GSM 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa zile goal za na GSM wap na wap 😂😂😂😂😂
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 50 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 36 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
MZEE WA UTOPOLO AWALIPUA WATOTO WA MUDI ETI SPIDER MAN WAO YUKO WAPI?
11:19
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 50 МЛН