Kuna wanawake wengi....wanao omba Kwa M/mungu..wapate waunme wa kuwajali na kuwapenda... lakini ni shida kuwapata....sasa yeye mwanamke mwenzetu ameshapata bahati kama hio ya mume wake.. kumpenda na kumjali.. lakini yeye kila kukicha ..penzi analichezea .inauma sana dah !.. .wonders shall never end.
@belinafinias96115 жыл бұрын
Hakka huyo mwanaume ana mapenz ya dhati Kwa mkewe, hakika we dada mpe heshima mmeo anakupenda sana
@mwanakherymohamedy38185 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazuri jamani ndoa Zina Siri nzito jamani huyo mume Ana sababu zake za kuendelea na mkewe wala sio libwata
@happymrema67284 жыл бұрын
Mb kamuwekea dawa utajuaje
@salummwanjali32075 жыл бұрын
Hapo Da Gear tutakosa kazi kupitia Dada zetu walioolewa na maboss kuogopa kumpa kazi mme mwenza
@aminasalum19545 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa hahahaha kabila gani hao duu balaa km alikata kisimi kikapelekwa kwamganga ndio chimbuko lamali hizo unafikir kunakuachika hapo weee acheni bana muacheni
@babyggg15095 жыл бұрын
Huyo mwanamke ana Siri nzito Sana ya mwanaume wake... Au ndio kivuta pesa chake ngekewa hiyo
@justinjoshua10595 жыл бұрын
vizuri Sana,ata sisi wanawake tunakuwa tukivumilia mengi.acha mwanaume amejipendea mkewe kwarahazake.ikifika wakati amechoka atamuacha.anajuwa kwanini amengangania mke wake
@freeugandans5 жыл бұрын
dah! Mze Munyarwanda amekasilika. Shukurani sana, napenda kusikiliza story za TZ!!
@aminanoor56375 жыл бұрын
nope sio myarwanda uyo ni kabila lingine la tz
@kassimmanaramalika85925 жыл бұрын
Jamani huyo ni mwanaume wa peponi Maishaallah. Lakini alikuwa anastaili makofi ili azinduke ,
@salehalbasam414 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mamymamiza29245 жыл бұрын
Nilichukundua mimi mume sio mjinga kuna kitu hapo mume hawezi muache anatembelea nyota ya mke huyo muacheni na mkewe
@hechihechie55585 жыл бұрын
hao wanandoa lazima watarudiana!!huyo mwanamke atakuwa ameteswa sana na huyo mwanaume ni vile hatujasikia upande wa pili wa mke!!!wanaume ni watu wa ajabu,sana hasa wenye pesa !!!na wanasiri yao!!!!
@abedichande24975 жыл бұрын
Uchawi upo majilani zangu nasema hv uchawi upo na utakuwepo sanaaaaa.....
@separatebetres53153 жыл бұрын
Upo sanaaaaaaa
@aisharamadhan52575 жыл бұрын
Dahh, mpk nimepandwa na hasira huyo kijana kapewa limbwata sijui la nchi gani jamanii wangemuombea dua ili ngumvu za giza zitoke vinginevyo hatawaelewa dahhh maskiniii😭😭😭
@jessyjacob24335 жыл бұрын
Uyo mke ata kuwa ana tumia libatwa..uyo mume a move on akatafute mke mwigine aoe maisha yaendelee
@gabrielmurro71345 жыл бұрын
Natamani ingekuwa video jaman 😁😁😁😁😁😁tumuone huyo mwanaume
@naomiedward21965 жыл бұрын
MASIKINI!! huo ni ushirikina kafanyiwa na huyo mwanamme ndiyo maana hana maamuzi, kawa kama zezeta, kitendo alichokifanya hao ndugu ni kama wamemuokoa, wanawake siye ni wabaya sana
Huyo mwanamke anasiri nzito ya mumewe ndiyo mana mwanamme hawenzi kumuacha mkewe hanajua mambo yake yatakuwa hazarani
@mwanakherymohamedy38185 жыл бұрын
Kweli kabisa Kuna namna au pengine karogwa
@aminajuma94125 жыл бұрын
Uuuwi washambaa weangu muhii wasambaa wenzangu tunakwama wapi embu wazazi wa huyo Kaka mshughulikien mwanenu jaman anapotea 😥😥😥
@fatmaone11525 жыл бұрын
Amina Juma tiahaaa maa bwiamgu
@rehemaaithumani30765 жыл бұрын
Kweli kabisa wamhangaikie mbwanga wetu auye kaya haihai maa umbuje
@mwanaidibigo62675 жыл бұрын
Wamuighae kaya kabisa wakatabane
@fadhilaramadan51435 жыл бұрын
HII STORY INANITIA HASIRA DAH AISE APANA SIWEZI KUICKIA MPKA MWISHO MH POLE SNA KAKA
@aishandayishimiye51275 жыл бұрын
Limbwata limekolea ❤🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marynamrosso75845 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa nyie ndugu siri ya kata aijue mwosha! Wala simlaumu huyu kaka ni upendo tu jamani sema huyu mwanamke ana shida kubwa na atakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
@fettside72895 жыл бұрын
Nampongeza uyo dada ukipata nafasi ya kimnyanyasa mwanaume nyanyasa aswa ad wazazi wake matumbo ya uzazi yawaume viumbe awa sio watu kabisa
@udamvuudamvuonlinetv2515 жыл бұрын
😂😂😂
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Si bure Eti,Kaekewa Sumu,Apigwa,Aibiwa But Bado King'ang'anizi,Anacho Kitafuta atakipata.
@radhiyaoman25435 жыл бұрын
😁😁😁😁
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
@@radhiyaoman2543 Kweli kabsaaaa.
@yusufally68535 жыл бұрын
MWANAHALIMA MWACHILI ...SUBHANNA ALLAH
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
@@yusufally6853 Allah amsaidie Maana hatareeee sasa alipofikia.
@oscaroscaroscar79745 жыл бұрын
Huyo Mama wa huyo Dada Lao Moja Mashetani Ayoo....Ila Huyo Dada Asaidiwe jamani Adi huruma 😟 MWANAUME Mwezetu nini kilicho mkuta jamani
@asmahomary78335 жыл бұрын
Mmmhhh Da geah natamani nimuone uyo kaka man si kwa kupenda uko
@gesyogongi56595 жыл бұрын
He may have" brain injury, " since they have indicated that he was physically abused , baada ya kupigwa kichwani na kifaa kuzito. Nimefanya kazi na watu wengi a mvao wame psywa ba hanga la kupata a jalili au kupigwa sehemu ya kichwa na kudhuriwa ubongo . What wazungu huku tuliko wabaita (TBI,) Traumatic Brain Inury. Na wengi w Hawa watu hawana ujasiri was kudadisimazuri Wala nabaya. A sikaumiwe, Wala apelekee jwa Wana Psychologist ili wamsaifie hata kwa my sdawa ya akili.
@Quilant7495 жыл бұрын
Musa unamdomo sana, ingekua ww ndio unafanyiwa hivyo na hilo lidomo lako sijui ingekuaje
@naomiwasira32085 жыл бұрын
Kitakachomkuta huyo mke siku za mbeleni, atarudi kwa mumewe anatambaa. Haki nawaambia, ipo siku huyo mke atalia na kusaga meno akiomba msamaha kwa mumewe na siku hiyo ikifika, mume atakuwa hamtaki tena huyo mwanamke.
Jmn ww mwanaume mbona wanawake tupo wengi achana na huyo
@bermudatriangle83595 жыл бұрын
Kuja hpa ule bata Kenya my
@zayhimid5 жыл бұрын
@@bermudatriangle8359 sawa nakuja
@bermudatriangle83595 жыл бұрын
Eka number acha uzwazwa
@zayhimid5 жыл бұрын
@@bermudatriangle8359 uzwa zwa tena asa nitawekaje number kila mtu aone number nitakuwa mke bora au mke kama huyo kiswaswadu karibu Tanzania
@marynamrosso75845 жыл бұрын
@@zayhimid Daa wew Dada umenifanya nicheke kwa sauti eti kiswaswadu daa wee kiboko
@hildermtenga36045 жыл бұрын
Wapo wengi wanaofanyiwa hivyo.. sijui wanapenda nini 😥😥
@singlemom69155 жыл бұрын
Geha unafaid mwenzetu😁😁😁😂😂😂
@veronicakipingu6825 жыл бұрын
😂😂😂😂
@nassirmasoud60975 жыл бұрын
Kama ipo sbbu za mke kudai talaka basi pia zipo sbbu mzazi adai talaka kwa mwanawe kumpa mkewe.na ndo km hzi.ana haki kisheria kumlazimisha mwanae aandike talaka.
@najma32685 жыл бұрын
😂😂huyo baba hayuko vzr atakuwa kafanywa zezeta
@aquarianknight4 жыл бұрын
LIMBWATA HILO, HAMNA MAPENZI HAPO, NA HUYO MUSA ANAUDHI SANA NA HOJA ZAKE ZA KITOTO NA UBISHI, AONDOLEWE HUYO ANAUDHI SANA
Koo zingine sio zakuoa kabisa dah manake anata uyu mama mkwe wake anaonekana Ndimu
@ziadasalim88075 жыл бұрын
Alex Dizonga mmmh hajakutana na familia huyo hahahaaa angenyooka kama fimbo
@fatumahramadhani26365 жыл бұрын
Yaani hayo sio mapenzi wala ndoa hat kupenda huku sio kabc mm kwa mtazamo wangu hapo kila mtu achukue hamsin zake na hyu wanaume atakuwa sio bure kuna kitu kafanyiwa na wazazi wasimlaum hyo sio akil yake
@fadhilimahonya45755 жыл бұрын
Gea kuna limbwata na limbwanga huyo shemej yetu kakutana na limbwanga dawa yake mbaka apigwe kofi ndio akili zitarudi
Natamani niingie kwenye simu mimtandike huyo kaka,huyo baba hana bakora amtandike moja tu ya begani
@scholasticamethod44005 жыл бұрын
Mmh... Hapo mie naona kama kuna siri nzito sanaa kati ya mume na mke... Jmn ya wawili ni wawili tu sk hawa wazazi watajiona wajiga.. Wakae na mtoto wao aseme ukwel... Watarudiana tu hao
@anjelamassawe89975 жыл бұрын
Naongea na polisi namuweka ndani miezi miwili mpaka libwata liishe
@saidkambi67925 жыл бұрын
Jaman uchawi upo
@juliethhouseofdesigns1473 жыл бұрын
Au mume atakuwa hafanyikazi ya mume? Au mume kamuweka mke rehani ili biashara iende? Maana huwezi jua mume anajua akiondoka atarudi kwenye umasikini. Mama mzazi au dada wakae naye chini bila vikao, wamuulize au, waombe Mungu atawaonyesha nini kimejificha nyuma ya pazia
@qwervcvh2025 жыл бұрын
Duuh kwenye mti hakuna wjenzi hyo dada sijui anampa nn jmn
@shaikhamct37445 жыл бұрын
Maskini hy baba kweli mahaba niuwe 😭😭😭😭
@nguzofamily28963 жыл бұрын
Huo ni uwongo swa mngejaribu mkutafuta mke.mkajuwa ukwli wa mambo swa syo mnakurupouka tuu hao walokuteninanyie wote niwaongo sana ukwl mje kuajuwa swa
@mamymamiza29245 жыл бұрын
Talaka ya lazima atamrudia tu mkewe wataona aibu baadae mapenzi hayaingiliwi bwana
@nguzofamily28963 жыл бұрын
Tatzo hawajui ukwl wao wamepanga yote hayo matokeo ndugu ndomn mume hakua na mauz ukwl wa hayo mume.anaujua
@mozasaid38695 жыл бұрын
Mh! Geah hii kali!! Huyo mwanamke jini au!
@nurafedrick3785 жыл бұрын
Jini mahaba huyo mana mume naye kamavile kavivyaa
@nurafedrick3785 жыл бұрын
Jini mahaba huyo mana mume naye kamavile kavivyaa
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
Msambaa gani aliezidiwa na mwanamke duuu amezidiwa
@agreyrecho92855 жыл бұрын
Hapo hakuna limbwata lkn huwez kujua Siri walizobebeana mke na mume so mwanaume anaogopa kumwacha Kwan Siri inaweza ikavuja
@maimunafundi35443 жыл бұрын
Gear hayo siyo mapenzi kazidiwa huyo kaka tena familia ya huyo mwanamke wanajua walichofanya. Kama kugekuwa na replacement ningekuja kukaa naye
@zahrahashim46833 жыл бұрын
Yaan hao ndgu zake wataongea mpaka watachoka lakin ukweli Ni kwmba huyo bwana amerogwa Tena amerogwa bila ubishi
@khadijaamour76545 жыл бұрын
Uwo mtihani si wa peke ake familia nyingi umetufika wazee kupenda sn kuoa oa mwisho wanaoa majambazi
@najmasalimsalim27415 жыл бұрын
Kabisa
@khadijagundumu62104 жыл бұрын
Kwer kabisa 🤣🤣
@amerphone95274 жыл бұрын
Wasambaa wenzangu mbona mwaniangusha washindwa ku mpiga kiatu uyo mwanamke😰😰
@elizabethzimbo86735 жыл бұрын
Geah umenifanya nicheke ulipo sema mama kampiga mikofi
Wanaume mlishaambiwa muishi na wanawake kwa Akili,Amuache ndiyo maana tuliambiwa muowane kwa wema muachane kwa wema .azinguliwe Hugo bwana karogwa,msaidieni,Kahaba huyo kesha mmaliza Tanga iyo,njoo kwa wasukuma tukulogowe umelishwa masikini
@najmerry29775 жыл бұрын
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia
@rukiamohammed50315 жыл бұрын
😂😂Nimecheka baba ashibae et hadithii kitabuu au kweli😂Hao wanajuana wenyewe mke na mume Hao Labda utajiri huo mke pia anajua chanzo chake
@mwanahamisially52345 жыл бұрын
Kwei kabisa sir nzito
@mwamvuasuleiman51565 жыл бұрын
Hilo limbwata si bure kabisaaa jmn duuuh!!!!!!!
@mimaakenirram14055 жыл бұрын
mm nimechunguza huyu mwanamke atakuwa kamfanyia mwezie vibaya siyo akili yake hii pia ata mama wa huyo mwanamke atakuwa anajua mwanae alicho mfanyia mwezie maana ana ata adabu kwa family ya mwanaume
@hellenmwayole87155 жыл бұрын
Siyo kashamaliza kila kitu bado kumuua tu hapo ndio atakuwa kamaliza
@nguzofamily28963 жыл бұрын
Hv mnajua ukwl uk wap mume mkisajsema hao ndugu wa mume wote walpanga toka huko mn ma mdogo wamume hwakua wanaelewna na mke toka.zamn juen ukwl nd mlaumu
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
huyu mama wa mwanake naye sio mstarabu chenga kam mwanae mbona kupokea posa mlisikiliza na vigeregere kha leo matatizo amtaki kusikiliza dah
@hadijahmwajombe95885 жыл бұрын
duuuu mtihani kweli kaaa
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Hilo limbwata limefanya kazi kweli,sio kwa mahaba haya ,haramu
@birdofpry38975 жыл бұрын
Looh hlo limbwata c la nchi hii.. hattareee sana
@tttgghj22805 жыл бұрын
Duh iyo dawa jmn amna cha mahaba apo 😏uyo dada kamroga jmn
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Msaidieni huyo kaka hiyo siyo akili yake atakuwa amelishwa libwata cha kufanya mpelekeni kwenye maombi akaombewe ili autapike huo uchawi aliolishwa na huyo mkewe. Msimlaumu bure si akili yake.
@bintimohammed32335 жыл бұрын
Nimecheka japo sio ya kuchekwa daa gea alivyosema wacha atandikwe mangumi na mamake na ni mtu mzima
@rachaeldonald82535 жыл бұрын
😂😂
@zainamohamedy65155 жыл бұрын
Watu wengi wenye pesa hawanaga raha kwenye mahusiano yao jaman sjui shida nn
@naomiedward21965 жыл бұрын
wanawake wanaroga sana mamii kwenye mahusiano
@neemahezron4863 жыл бұрын
Uchawiii upo
@selecolman68813 жыл бұрын
Jamani picha onyesheni video mnatunyuma urodaaaaaa
@umiy19715 жыл бұрын
asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu pumzi zinahadaa sana ..................mh
@singlemom69155 жыл бұрын
Au anapewa chemba huyo😂😂kweli chawi limempata logo
@praisesteven77745 жыл бұрын
Watu huwa wanabisha hamna mapnz ya dawa ayaaa huku ndo kulogwaaaaaa
@ndayisengafrorence84615 жыл бұрын
Mapenzi gani ayo yakumutilia mme dawa afe ?? Angekufa je?? kumupiga mme kitu kichani mpaka anapoteza fahamu ati mapenzi bora jisi wazazi wameingilia kati mpaka ameandika talaka apo saw uyu kaka karogwa si mapenzi ayo
@restutamjuni47395 жыл бұрын
Tungeonyeshwa picha jamani
@esteramiri34295 жыл бұрын
Hapana iseeee huyu ana siri nzito na huyo mwanamke, hebu geah mtafute huyo dada tutajua tuu.
@allyduwa99145 жыл бұрын
Duuuh huyu cyo mke bali ni jambazi acye tumia silaha
@happymrema67284 жыл бұрын
Izo libwata izo zinafanya kazi
@ibrahimaziz71585 жыл бұрын
Ukichunguza sana utakuta uyo jamaaa ana asili ya kenya wao ndio wanakuaga wazembe wazembe kidg
@@gabrielmurro7134 😂😂😂 asiwez mfanya kaka angu tahira mie nifurahi, yan angeachik kinguvu. Tena tarak angedai yy 😂😂
@zamdakinyunyu5325 жыл бұрын
Tausi Ngomeni
@omarysaid91855 жыл бұрын
Daa! huyo mwanamke kama sio limbwata basi kuna jambo la siri analijua kuhusu mume wake
@shuhudiamtasiwa66465 жыл бұрын
kujua siri sio sababu ya kumnyanyasa hayo ni makubaliano
@oliviaseth46525 жыл бұрын
Mwana kukitafuta mwana kukipata.
@lailatyabdallah17235 жыл бұрын
Mmmh haya mapenzi khaaaaa! Geah ebu tupe picha jamn ya huyo mwanaume jamn😥😥😥 sio kwa kupenda uko🙌 hata me siwez kuona ndugu yangu anakuwa na mke wa hvyo jamn! Nachokiona familia ya mwanamke nayo Ina matatizo duuuuu Kaka kapenda Sana jamn
@emadasmar57145 жыл бұрын
Pana siry apo aiwezekni amfanye ivyo
@immaculatakadyanji59275 жыл бұрын
Hili ni limbwata la kufa mtu, ila wanaume mabwege kama hawa wako wengi mno, kupenda gani huko??? Huu ni uzwazwa.
@sadiaabed66875 жыл бұрын
Ningepata mume kama huo mbona ningedeka
@thaaneyamohamed61434 жыл бұрын
Sadia Abed ningeenda nae kila sehm,,,,,,,,penye miti hapana wajenzi
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Mmmmhu ndoa za siku hizi zimekuwa ndoano mwanaume akiwa mpole mwanamke ni mwehu na mwanamke akiwa mpole mwanaume ni mwehu. Huyu mwanamke alikuwa amempa libwata huyo mume haiwezekani kwa matukio yote hayo aliyoyafanya huyo mke halafu mwanaume bado anamtaka mke wake mmmmhu huyu mwanamke ni mwanga.
@aminanoor56375 жыл бұрын
jamani ningekua na mme kama uyo jamn daaa watu wanapoteza bahaati
@thaaneyamohamed61434 жыл бұрын
Amina Noor sanaa
@bermudatriangle83595 жыл бұрын
Mahaba talbahura hakika hayo amrudishe tu ndani mwandani wake mkewe nyongo mkalia ini aisee
@benjaminfataki68985 жыл бұрын
sikio la kufa halisikii dawa
@fatumahengo68495 жыл бұрын
Lakini licha ya kutoa talaka bado atamsumbua huyo mwanamke .
@bhokemugereja4555 жыл бұрын
Kumuacha awezi maana utajili ni wa kishilikina na walipewa wakiwa wote tena kwa kiapo cha kutokuachana wakiachana tu mali kishi nei