Umaskini Mbaya sana aisee vijana wenzangu wa kiume tutafute sana hela....Mzee wangu Sali omba sana Mungu atakusaidia.
@marykessy70424 жыл бұрын
Kwa kwelii tafutaa pesaa sanaa
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Yani inauma sana naitakua aliwa fundisha watoto wajibu hivyo😪😪😪😭😭
@tiffanykamtawa14124 жыл бұрын
Kaka had huku
@miriammtashobya75884 жыл бұрын
Umeona eeeh??
@allynura60844 жыл бұрын
Hao sio familia yako baba achana nao sio watu wazuri katika maisha yako
@khadijamasaninga10924 жыл бұрын
duh. maskini anatia huruma. miaka yote hiyo bado anamtaka mkewe!! ana upendo wa kweli kwa mkewe!
@AishaAisha-rh1fc4 жыл бұрын
Uyu nina mashaka nae uyu mwanaume mkorofi sasa hapo ana wachafua tu ...wanawake wamechoka matukio
@rosekaiza27164 жыл бұрын
Ni lweli kabisa hata anavyoongea anaonekana ana aibu nyingi huyu muongo atakua alimtesa Sana mke wake na kaka akaamua kumchukua shemeji na watoto ili anusuru maisha ya huyu bwana Sasa ameamua kumchafua huyo kaka yake ili kumkomesha kwenye vyombo vya habari Kwanza anaonekana mkorofi Sana na nikatili huyu baba sihukumu lkn maelezo yake yanaonyesha sio kweli kabisa ya mtoto ndio anarudia rudia tu!
@zulfamohamed45494 жыл бұрын
@@rosekaiza2716 😂😂😂😂
@AishaAisha-rh1fc4 жыл бұрын
@@rosekaiza2716 mm nimesikiliza nikatazama na ongea yake na jinsi alivyo kaa nimeona kuna namna kiukweli geah kurusha hii habari kakosea sana alitakiwa adi apate upande wa 2 ndio angerusha na kuweka maendelezo matukio mengi ya ukatiri zidi ya wanawake Leo mwanamke aondoke tu kwa mwanaume alie mpenda na kumzaria watoto hapana ila ndio vyombo vyetu vya habari
@maisarahakizimana70744 жыл бұрын
Aisha Aisha@ kweli lazima kuna Sababu muongo huyu Baba
@meisme75404 жыл бұрын
Hii dunia ina mambo mengi sana, msiusemee moyo. Inawezekana mnaloona nyinyi sio kweli. Uchawi upo jamani na watu kila siku wanapewa masharti ya ajabu ajabu ili wawe na pesa. Yeye sio chizi hii ni media ya pili anaomba msaada wa kisheria kwa kuwa hana uwezo kama kuna mwanasheria atakayeweza kumsaidia. Hata wanawake pia huwa tunawapiga wanaume matukio.
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Duuu amempola watoto wote sanaaa😭😭😭😭uyo kk ake sio bure ni mchawi🙆
@diahemedsalumdia65944 жыл бұрын
Daaah ndugu kbs sio poa
@mrembowakisukuma14474 жыл бұрын
Umasikini tatizo ungekua na pesa wangekusikiliza
@mwanaidimuhindi66714 жыл бұрын
Wanini tena huyo mwanamke kashatembea na kaka ako mda mrefu huo achana nae atakuja kukuua
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Amuache
@missmoona44974 жыл бұрын
Kifo kinamuita huyu ukiachwa achika iwe mke au mume nihatar sana sikuhiz kumng'ang'ania mtu ambae hakutak na kaisha kupiga tukio
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@missmoona4497 amuache tuu
@tunuyaomar50174 жыл бұрын
Ni huumbaji wa Mungu haukosolewi ila huyu baba ni upole plus upumbavu hata kama mtu ni mpole lakini muda mwengine akili inabidi itumike kwani wanawake wameisha achana nae tafuta mke mwengine utakuja kufa kihoro...
@dalianakerefu4904 жыл бұрын
Hapa ukifuatilia Sana unaweza ukaambiwa huyu baba alimtelekeza mkewe maana nilimsikiliza mwanzo alihojiwa akasema anavua samaki huko kwa hio alihama kabisa akawa anakuja Mara moja moja Sasa huwezi jua kama nae alikua na mke huko akawatelekeza ila tunaomba tujue na upande wa pili
@gladysgeofrey26244 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@saidabdul55864 жыл бұрын
Hivi mumeo akikaa siku kumi na nane kazini siku kumi nyumban uone kakutelekeza tamaa tuu huyo mwanamke maana hata mm nimemsikiliza tena clip ndefu kuliko hii huyo mkewe inaonekana tamaa tuu ya pesa hakuna lingine wanawake sisi wengi wetu tumeweka pesa mbele
@ramlamburi97434 жыл бұрын
@@saidabdul5586 umesema kweli
@bettermajubu70374 жыл бұрын
Anajisogeza Sasa baada ya kuona watoto wamesoma atakosa wa kuja kumsaidia atavuna alichokipanda watoto wana hasira sana hasa wakisikia jinsi anavyowachafua Mahakamani alienda lkn akashindwa maana wanajua hali halisi
@dulaijumaa29034 жыл бұрын
Acha ujingaaa wewe mzeee umeshakataliwa sasa siujue maisha yako vitu vyengine niujinga sanaa
@judithkatabaro32944 жыл бұрын
Apana iyo familia wanajua wanacho kifanya labda mali zake zina mtaka Asante ivyo
@azzaalmaamry58174 жыл бұрын
Hii Dunia bado Kuna wanaume wanaojua kupenda hata mke akusaliti ni bora uoe mwingine nafsi yako iwe na Aman na Hao wtt watakujua tu Angalia maisha yako na mke mwingine
@fatumaramadhan93014 жыл бұрын
Pesa pesa pesa pesaaa 🙌hao watu laanakumllah pamoja na watoto unamkataa mzazi kisa pesa kweli.. Tena Sio watoto wadogo mitoto inajielewa 🙌Yaraby tuongeze na vizaz vyetu na utuepushe na hizi laana
@bettermajubu70374 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba huyu Mtani au Mang"ombe Chilemeji anajikosha hivi Unaweza kumtekeleza mke na watoto zaidi ya miaka mitano? Hujui mke anaishije na watoto tena huko visiwani alipokuwa huyu baba alioa na kumwacha mkewe Ni muongo huyu Mtani kakae kasomesha watoto wote leo ndo anasema ujinga namna hii namfahamu tumetoka kijiji kimoja Ni jirani yangu na ndo maana baba zake wadogo waliona Ni mpumbavu mkewe alikuwa akifanya kazi ya upishi hapo shuleni kwa shemejie
@fatumaramadhan93014 жыл бұрын
@@bettermajubu7037 Kumbee!??!!
@bettermajubu70374 жыл бұрын
Niliishiwa mb nimerudi nilikuwa naongea na huyu mkewe ambae Ni wifi yangu anasema toka andoke kwake 2014 tyr alikuwa katelekezwa miaka 8, huyu Mtani alikuwa Kwenye uvuvi wa samaki visiwani alioa wake 3 akawa nao huko hy kabaki na watoto akija anafikia kwao na hao wake zake je miaka 8 kuna ndoa? Mbaya kila akija Ni matusi ondoka sikutaki na watoto wako tena haya matoto Ni haramu ilifikia hatua akanyang'anywa mashamba ya kulima kijiji tunategemea mashamba je angeishije na watoto na kuna siku huyu baba alimfukuza na panga akitaka kumuua huyu ndo kukimbilia kwao sasa anapodai watoro hawasomi Ni uongo mkubwa mkubwa anamaliza chuo uganda anaesema kaolewa na babae mkubwa, wawili Wamenaliz a form six uganda wanasubiri kwenda chuo kikuu mmoja tunae hapa udom na mwingine yuko certificate dar leo ni zaidi ya miaka 19, hawako pamoja na watoto waliamua kwenda kwa baba yao mkubwa baada ya yy kusema Ni watoto haramu na Kweli walipoitwa polisi walimkana hata kama ni mimi
@bettermajubu70374 жыл бұрын
Kijiji kizima cha Nambaza wanajua fika kuwa alimtelekeza huyu mama na watoto na ni muda huyu mama yuko hapo kijijini kwao wote tunatoka kijiji kimoja na mtaa mmoja namjua sana huyu Mang'ombe au Mtani tatizo walioana wadogo sana mwanaume alikuwa na miaka 17 Na mke kati ya 16 au 17
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Pole sana baba mungu atakipa mwengine
@bupekeresha28174 жыл бұрын
Umasikini mbaya sana!!!! Pole Sana Babaang
@getruded44704 жыл бұрын
Doh mama mchafu uyo...na ukute watoto si wake😱🤢😰
@hadija8464 жыл бұрын
Mambo ya kafara mashariti ya waganga hayo ❌ pole sana baba tafuta mke mungine upate baraka hachana nao hao mafirauni wachafu
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Pole Sana Kwa Mitihani, ila Huyo Mke Achana Naye Kabsaaaa, Sheitan Huyo.Pigania Wanao.Wakupe Watoto Wako,Wazae Wao.
@pendoanzigar31724 жыл бұрын
Kwa jinsi wanaume wanavyotutesa wanawake katika mahusiano siwezi kumuhurumia mwanaume wa aina hii ni pambe tu
@ujudiabdull94424 жыл бұрын
Hahaaa sanna tuu
@mariamufungo96194 жыл бұрын
Hahahahaha
@ziadasalim14594 жыл бұрын
Mmh
@princessbatul74494 жыл бұрын
😀😀😀😀
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
kwa kweli mn naona km dogo tuu hajatendwa akitendwa ata nguvu za kuenda ktk media au kumuita Geah akaongea acngekua nayo anaigiza huyu
@ashanalinga87194 жыл бұрын
Dah kunawatu waonevu kwenye hii dunia 😢sasa uyo Kaka ake kama alikuwa anataka watoto akae nao siangemuomba tu kuliko kuwachukua kwanguvu Yaani awo watoto wamefundishwa amkatae baba yao
@mauvaisecompagnie9513 жыл бұрын
Kisu Cha shingo ..kaka msenge
@mamumiyaskitchenvlogs58584 жыл бұрын
duh! ya leo kali da Geah Mungu ampe uvumilivu huyu baba
@kweka14l354 жыл бұрын
Dunia hii jamani
@mamumiyaskitchenvlogs58584 жыл бұрын
@@kweka14l35 Ina mazito Mungu atueke mbali na mitihani ya kidunia
@kweka14l354 жыл бұрын
@@mamumiyaskitchenvlogs5858 ila anachekesha na kuhuzunisha 😭😂
@mamumiyaskitchenvlogs58584 жыл бұрын
@@kweka14l35 hhhh atekesha kidogo nae amelala mpaka mke ankwenda kwa kaka,watoto pia watwaliwa ye hatiifi fahamu hhh balaa Mungu atustiri
@kweka14l354 жыл бұрын
@@mamumiyaskitchenvlogs5858 namuonea huruma basi tu yaani watoto saba na mke 🙈🙈
@safiyatheonlything78484 жыл бұрын
Mmmh huyu baba nae achane na huyu mama muhimu apambane kujua kwaza hao watt wake maana mtihani mke amtaki watt awamtaki watt wanao warudi kijijini wakati maisha ya dar mazuri ndo hapo ss wanapo mkana baba yao
@happydaimon40604 жыл бұрын
Eti unampenda mke wako kweli unamoyo gani huo we baba c unfanye maisha yako
@MrTouch-rm4rh4 жыл бұрын
Aisee hii dunia inamambo sana mungu tufanyie wepesi
@happydaimon40604 жыл бұрын
Kweli wewe baba ndomana kaka yako kakuchukulia mke unaonekana hamnazo kabisa we fanya maisha yako
@spreadlove21194 жыл бұрын
Yaani hadi linakeraa
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Mungu Amlaan huyo jamaa 🤔
@mohamedkalumba53793 жыл бұрын
Aise huruma sana ushauri wangu yaani Kaka yake n'a huyu jamaa watoto wote pamoja na huyu jamaa wote wapimwe DNA hatua hiii ya kwanza itasaidia kumjua kwanza baba wawatoto ni yupi baada ya hapo mmbaya atajulikana ni yupi na sheria itafuata mkondo wake na atachukuliwa hatua
@agathashuma17494 жыл бұрын
Huyo kaka yako ni mnyama, inawezekana hata hao wengine anatembea nao na hao wa kiume anawalawiti, ukijitahidi kuvunja hiyo ndoa na kuchukua watoto inaweza kuwa ndo wanamsaidia shughuli zake ziendelee
@monicamwanjisi6934 жыл бұрын
Hao watoto sio wako mkeo amezaa na kaka yako hushituki tu,ameamua kukaa sasa na familia yake mkapime DNA
@marrypius576 Жыл бұрын
Achan na mke wew pamban na watoto tu
@zulfamohamed45494 жыл бұрын
Uyo mwanamke s wakuishi nae ten wew maan n shetan
@kweka14l354 жыл бұрын
Kwanini na yeye amtake tena asimuache
@ameenaameena12243 жыл бұрын
Kunaneno limenichekesha japo ni huzuni eti na mke wangu anasoma from one
@mwanamwendy92654 жыл бұрын
Huyo sio mwanamke baba yangu, pambana na hali yako, hiyo yote ni sababu ya umaskini, muombe Mungu Kama ni watoto wako ipo siku watakutafuta tuu, mbaya mkeo ndio aliekusaliti
@salhaissa26194 жыл бұрын
Achna nae uyo mwanamke na ao watot kaoe watot utapta wengne!km watot kwel wko watakuja2
@alexandrinadomaino98684 жыл бұрын
Tungepata maelezo kwa upande wa pili ingekuwa vizur pia.
@maisarahakizimana70744 жыл бұрын
Kabisa huyu Baba simuamini
@adelinabaitu32914 жыл бұрын
@@maisarahakizimana7074 anaboa sana anataka MTU ambae yuko na kk yake siachanenao waolewe wote aendelee na maisha yake
@rachealkitawa21534 жыл бұрын
mmmh makubwa ayo jamani kaka mtu kula kuku na vifaranga vyote mayai pia daah!!!weee umeweza kisa kusaidia kulea ata mungu awezi kubariki kumnyanyasa kaka yako mdongo
@cdeleo93364 жыл бұрын
Huyu baba vipi 😳 Yaani watoto saba unawaacha kwa kakayako awasomeshe? Na wewe ukiwa wapi? polesana Mungu atakusaidia
@roseuwambe80894 жыл бұрын
😭itakua wote sio wake niwa kaka akee
@fatoomefathima53074 жыл бұрын
Walitoloka alikuwa anawasomesha wenyewe mke ndio mpika sumu kwa watoto
@kweka14l354 жыл бұрын
😂😂😂 watoto wote alikua wapi
@aysherkitoi18454 жыл бұрын
Mhm hao siyo watt wake ni watt wa kakake au wafanye DNA
@Haikaa2554 жыл бұрын
Kabisaaa,hao co wanae inaonekana
@abdullahrashid62974 жыл бұрын
Inawezekana sio wa kwake watoto Au watoto wamepandikiziwa sumu na mama yao Yote yanawezekana daah noma sana
@saidabdul55864 жыл бұрын
Hao watoto wamepandikizwa chuki tuu wameona kwenye masirahi pesa mbaya sana
@aquarianknight4 жыл бұрын
HILO JANAJIKE KAKUSALITI NA KAKAKO, NA WEWE BADO UNA MNGANGANIA! HUYO NI TAKATAKA ACHANA NAYE !!
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Huenda hata haowatoto sio wake niwa kaka ake
@watakaniitaje12154 жыл бұрын
@@roseuwambe8089 aswaaa yaani na itakua wameanza zamani
@subiramichael38404 жыл бұрын
Geah uyo baba nikabira gani rabda mira yakwao
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Amuache
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
@@roseuwambe8089 huenda
@leahsilau69834 жыл бұрын
Mtihani Daaa hapo kumaliza utata ni kupima DNA tu.😎
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Watoto sio wake D N A haina haja maana hatawatoto wakitoka hapewi taalifa inamaana sio wake
@jasminegabriel42474 жыл бұрын
DNA hiyo si damu moja
@saidabdul55864 жыл бұрын
@@roseuwambe8089 mbona unaongea kwa uhakika wote kama wee ndio mkewe au walivokuwa wanakojoleana ulikwepo😄
@saidabdul55864 жыл бұрын
@@roseuwambe8089 wa kwake maana kitanda hakizai haramu watoto wamezaliwa ndani ya ndoa saba wee useme sio wake
@leahsilau69834 жыл бұрын
@@roseuwambe8089 kweli hiyo nayo Point usikute kakake alikuwa anakula siku 🥺
@kautharsalat64494 жыл бұрын
Kuna watu wanadhambi sana hii dunia
@junuferjinu14444 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂BABA APO KITANDA AKIZAI HARAMU MKE ALIKUWA ANA ZAA NA KAKA YAKO
@barakafidelisfidelis74514 жыл бұрын
Pole sana ndungu
@babyggg15094 жыл бұрын
Hata hao watoto ni wa kakako
@olivermunisi63964 жыл бұрын
Umaskini huu jmn mungu msaidie huyu baba daah
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Mm sitakubali eti unafundishie watoto wakae kwako hutaki wakaekwangu uwagundishee tembeza kiatu huyo jamaa naona ni freemason huyo
@wardamunguakuzidishew93992 жыл бұрын
Yani inasikitisha na hatakama sio watoto wako bado lipo tatizo anaingiliana na watoto wake
@khadijahussen4344 жыл бұрын
Huyo kakaako hana mke ? Pole sana lkn
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Huyo kaka ake anaonekan wtt ni wake, si ana hel kaka ake apimwe DNA bac,
@mamayahaya97394 жыл бұрын
Wewe ni mjiga sana hata Mimi nakukimbia
@kweka14l354 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣 namshangaa sana kwanini anamtaka tena
@cdeleo93364 жыл бұрын
Huyu baba kuna kitu anaficha story yake haijakaa sawa
@kweka14l354 жыл бұрын
@@cdeleo9336 sasa kwani kuna shida gani kusaidiwa kulea watoto badala afurahi yeye anachukia 😆
@naimaaliy6044 жыл бұрын
Inalilliha wainaillahi rajioun pole sana babangu
@kissmarry86494 жыл бұрын
0718898246 anipigie hio nirahisi sana nipe namba zangu au anitafute
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Huwezi kutembea na mama na mtoto wake km mtu mwenye akili timamu,itakuwa ndo wanaomuingizia pesa kwa njia ya magiza yake, pia ulisema alikuwa hawatunzi si kweli mbona kaoa mke mwingine na wanaoishi vizuri? Kakake ndo mgumba maana alioa na hakuzaa ,jamani km alihakukuta unaweza jibu unavyotaka
yn huyo mwanamke inaonekana kaanza mahusiano na kaka ake mda mlefu alafu kwann iyo familia wanakubalina nahilo swal
@elizaschinga57494 жыл бұрын
yn huyo mwanamke inaonekana kaanza mahusiano na kaka ake mda mlefu alafu kwann iyo familia wanakubalina nahilo swal
@du82844 жыл бұрын
@@elizaschinga5749 NIKWELI KABISA, MANA WANAOGOPA KUMWAMBIA KISA ANAHELA 😢😢😢
@anjelamassawe89974 жыл бұрын
Labda hao watoto mke wako Kazaa na kaka yako
@saidabdul55864 жыл бұрын
Sasa mbona mkewe alomuowa kwa ndoa hajawahi hata kuzaa nae na kasema hajwahi sikia kama kuna sehemu kuna mtoto kwahiyo mbegu zake kazalisha kwa shemeji yake tuu muongo huyo kaka ake mchawi tuu
@fauzafauza18734 жыл бұрын
NDUGU KUFAANA NA SIO KUFANANA NA HUYO MKE HAKUFAI TENA ALLAH ATAKUPA MWENYE KHERI NA WW , AMIIN YARABY
@du82844 жыл бұрын
USIKUTE HUYO KAKAAKE ANAPESA MDOGOMTU HANA PESA, NANDIOMANA WANAKUNYANYASA HIV, POLE SANA BABA, ILA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI, MUNGU ATAKUJIBIA TU, HAKI YAMTU HAIEND BURE😭😭😭
@saidabdul55864 жыл бұрын
Ndio pesa C anamiliki shule umaskin mmbaya
@du82844 жыл бұрын
@@saidabdul5586 Yani anadhambi sana
@saidabdul55864 жыл бұрын
@@du8284 mungu yupo atalipa huyu baba angekuwa na mtu wa kumshauri angekaa zake kimya na umaskin wake awache na pesa zao yeye afanye mambo yake maadam anae watot wawili bc ashukur alafu amwachie mungu nasema hakhi ya mtu inachelewa tuu lakin inapatikana mda wowote ule hao watot watamtafuta tuu baba yao laana hiyo unafikili bure hivi utamgeuza vipi baba ako mkubwa kuwa mumeo kweli
@du82844 жыл бұрын
@@saidabdul5586 KWAKWELI INASIKITISHA SANA, HII DUNIA SIJUWA TUNAELEKEA WAP JAMANI🤔🤔
@du82844 жыл бұрын
Hamuogop hata MUNGU
@rosemarymbungi94344 жыл бұрын
Dili tu na wanao huyo mwanamke hakufai tena
@directorndellu54364 жыл бұрын
Inakuwaje alee watoto wako saba uliona wapi wewe? Unavyoambiwa watoto sio wako pengine mimba zilikuwa zinapandwa wakati mke upo nae kwako, Mzee utakufa kufuatilia hizo mambo
@roseuwambe80894 жыл бұрын
😭😭
@jemimabakari4 жыл бұрын
Pesa! Ana shule, kwa hiyo amewaweka hapo, mmoja amemuoa na walimtoroka.
@mamahustru3 жыл бұрын
DNA ??????
@mecktildatushabe78984 жыл бұрын
Pole bana
@agnesmajura22674 жыл бұрын
Inauma
@msafiribakari59414 жыл бұрын
Mwanaume akichukua mke wamtu amfanye wake na mke ana waschana wakike wakubwa bila shaka atalala na mtoto mkubwa wa huyo mke hiyo si siri
@zuwenaabrahman99134 жыл бұрын
na hiyo siyo family hawana mana wote wako pamoja daa mtihani
@pendorobert3552 Жыл бұрын
ila wakulya ndo tabia zako kuna baba alilala na wanae wote wakiwa wadogo hata wakubwa na ndugu wanajua lkn wanafichaga mambo yao eti familia
@miriamlaurean22264 жыл бұрын
Dah,kaka mnyonge sana jmn
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
wa2 km hawa waogope best ndo viwembe siri ya mtungi na shilingi uciangalie upande 1
@keifatuke994 жыл бұрын
Huyu baba ana tatizo
@modesterjulius11864 жыл бұрын
Hujielewi wew bado unampenda
@halimahalid2524 жыл бұрын
Hao watoto nao watapigwa laaana na Mungu umri walionao wanafanya lusudi kumkana baba yao....hawakutakiwa kufanya hivo hata kama baba hana Mali...wamekosea sana
@asiakinia93444 жыл бұрын
Angepatikana na uyo mwanamke tumsikilizie nayeye duuh kama ni hivyo mbona bs utakua mtihani mkubwa wallah Tena ni msiba mzito
@abuibra4 жыл бұрын
Nyie dini gani!!?Kabila gani!!?Mila gani!!?binadamu au mumifanana na binadamu!!!,Mazingara gani!!?.kichefuchefu tu.
@roseuwambe80894 жыл бұрын
😂😂😂kweli yani kinyaaa sana
@tunuyaomar50174 жыл бұрын
Kweli inauma ila upole ukizidi sana haya ndio matokeo,inaonyesha fika huyo jamaa anatumia pesa yake kuhonga hadi polisi wakuthibitishie kua sio watoto wako na wala huna mke maana hata kama yeye alikua anakuja kwako na kutia mimba bado hawezi kujimwambafai kihivyo , jipange tafuta mke mwengine huyo hakufai atakuja kukuua hata kwa sumu usifosi mapenzi hapo tonge lishakuponyoka...
@wazazibusega93054 жыл бұрын
Mara hiyo mzee acha tafuta mke uoe.
@maryamm77654 жыл бұрын
Dah mtihan
@saraSara-hi8mo4 жыл бұрын
Inawezekana huyo mama aliwaambia wewe sio baba yao ukute anatembea namkeo muda mrefu sana pasipo wewe kujua
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Nikweli na watoto sio wake niwa kaka ake
@saraSara-hi8mo4 жыл бұрын
Ndio watoto sio wake niwakaka yake kwamaelezo anayo sema uyobaba kwamba yeye alikua anafanya kazi yauvuvi kujanyumbani nimarache kwahiyo hapo kaka alikua anafanya kazi yake kwamkeo
@wildatmsellem75314 жыл бұрын
Maskini namuonea huruma aiseee inauma
@leaherasto9294 жыл бұрын
Sana
@magdalenamasayanyika90834 жыл бұрын
Huyu bwana boya ndo maana kavaa blouse
@pendomlay35234 жыл бұрын
Ha ha ha haaaaa
@joynnko51864 жыл бұрын
Huyu baba jamaniiii Upendo gani huo
@kweka14l354 жыл бұрын
😂🤣🤣😂 sasa akirudi atampenda au atamuua
@citymwacheo44974 жыл бұрын
Babaangu mm naona uachane na mkeo na watt waache tu wapate elimu kama ni damu yako ipo cku watakuja tu wenyewe wewe sali ukiomba mungu
@hawaynatimam9824 жыл бұрын
Kuhusu mke mzee mkubwa achana nae, chukua watoto wapime DNA, kama sio wako nao achana nao, na uyo kakaako pia sio kaka sahihi kwako Fanya mambo yako achana nae, yawezekana pia uyo kaka anatumia ushirikina
@kweka14l354 жыл бұрын
Damu moja DNA majibu yatatoka ya kaka na mdogo wake
@fauzafauza18734 жыл бұрын
KITANDA HAKIZAI HARAMU WATTO WOTE WAKO KWA SHERIA UYO SIO MKE MWEMA USIMPENDE TENA HAKUFAI KABISA
@OmanOman-bh4yh4 жыл бұрын
Atakama unawezo anza maisha mapwa
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Subuhanallah astaghafirullah, doo dunia imeisha
@marydaffa82054 жыл бұрын
Wakwanza mie leo
@jacksonkadutu44444 жыл бұрын
Asilazishe huyo akafute mke mwingine na azae watoto wengine bado ananguvu huyo
@alexandrinadomaino98684 жыл бұрын
Duuh jamani binadamu hata
@subrynerysegerow13234 жыл бұрын
Mwanamke si wako tena mzee wangu yani hakufai atakuwekea hata sumu ufe ili waishi kwa kujianafas labda watoto wako ndo wakuwadai Na Kama washakuwa watu wazima akili zao zikisharud vizur bas watakutafuta tu sio kuwang'ang'ania
@spreadlove21194 жыл бұрын
"Eti nikamwambia baba" wakati yeye mwenyewe baba zima 😎 gangamala wee mzee punguza uzuzu kwanza, kiruuu! 😏😏
@thresherjordan68294 жыл бұрын
Mtot kwa baba akui jamn
@amosjuma45363 жыл бұрын
Unafeli wp kijana mutoto kwa baba hakui
@OmanOman-bh4yh4 жыл бұрын
We baba acha ujinga watu wanatombwa na kaka yako bado unawataka du sio kupanda uko
@rukiakhamsin92204 жыл бұрын
Mmmh,huu ni mtihani wewe kaka achana na huyo mwanamke tena hao uwenda kakako amekutilia
@mohdbest94884 жыл бұрын
Hili bushoke kweli yaani uko radhi kurudiana na mkeo kaka yako akimuacha si uboya huyo
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Duu masikini nimaonezi sana aniowe mimi
@queenandchill914 жыл бұрын
Kwanza unaonekana mkorofi sana.. Unaongea kama ugomvi......usije tu kumpiga Da Gea hapo
@asiaminja35564 жыл бұрын
Yaani kuna wanaume wa ajabu khaa yaani bado unamtaka huyo mwanamke huko ulikotoka hakuna wengine duuh sidhani kama una mtoto hapo kaka yako alishakuzunguka muda maskini daah pole tu...DNA ingekuwa rahisi mngepima lkn nakuonea huruma dah
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Ww kaka angu vp Mbona ilo jimke unalo linganganiya ata shepu alina endeleya kuishi na mke wako wa ssivi dai watoto tu ww
@nikitadiamorelivingstone28314 жыл бұрын
hapo cha kudai ni watoto wako tu, huyo mwanamke hakufai sio mke tena.
@kweka14l354 жыл бұрын
Yaani huyu baba anahuzunisha halafu anachekesha 🤣😂 eti bado anampenda mkewe pamoja na watoto yaani watoto 7 jamani wote ulelewe bila kustuka
@mwajabuhamisi70954 жыл бұрын
Mkeo nae malaya unawezaje kutembea na mtu na kaka ake achana nae mwanamke mwenye stallah mwenye kujiheshimu awezi kulala na mtu na kaka ake
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
mmmh yaskie tuu kwa mwenzako
@minaahussein50564 жыл бұрын
Inawezekana hata watoto baadhi ya watoto sio wake kaka alianza kumzalisha kabla hajamtorosha
@mamuliciosrajab66644 жыл бұрын
Kabisa kunauwezokano
@martalositotiktok65904 жыл бұрын
Jamani sheria itumike
@rosekaiza27164 жыл бұрын
Huyu baba ni muongo tu anamchafua tu kaka yake anaonekana aliiterekekeza familia yake kaka akaamua kuichukua familia ili aisaidie Sasa huyu kaka amefulia ndio maana anatamani mke arudi kwake anaona imeshindikana ndio maana ameamua kumchafua tu huyo kaka ili amdhalilishe huyo Kaka yake yaani huyu baba anaonekana ni noma na nusu!!!!
@kweka14l354 жыл бұрын
Inaonesha sio mzima huyu mzee
@emmysamwel85064 жыл бұрын
Ni kweli kabisa huyu ni muongo
@dinahdianah96534 жыл бұрын
Mambo ya ndoa inaitaji usikize pande zote , hawa wanaume wa siku hizi waongo alaf wanakua wakwanza kutafta msaada wakati wao wenyewe kichaa.. wanawake wamechoka na uvumilivu wa kunyanyasika kisa ndoa