Kosa kubwa ulilofanya ni kuendelea kuwa naye wakati tayari umegundua ni mume wa mtu. Ukishagundua uliyenaye ni mume wa mtu kimbia speed 1000 bila kugeuka nyuma
@morogorodoll3972 жыл бұрын
Kweri kabisa yaani mm hata uwe unaonga nini mume wa mtu hapana
@aysherkitoi55072 жыл бұрын
Sure asilimia 100 %
@neemaloy8892 жыл бұрын
Dada tumia Akili na umtazame Mungu tu!!! Yaaani Dada una mambo mengi Sana usipomtanguliza Mungu utaumizwa sana
@abdallahhuseinkabale75342 жыл бұрын
Pole mama .sasa dadangu mpka hapo hukuwahi hata kidogo japo kupata ushauri.japo uishi nae kwa tafadhali nikweli kabisa unaonekana ulimpenda sana ila hukua vizuri kwenye mapambano..
@didamanyanya48932 жыл бұрын
Hizi roho zetu nzuri ndo zinatuponza namapenzi hayana ubausa
@heyumi23402 жыл бұрын
watalia sana
@mwanahalimamwachili96792 жыл бұрын
Pole Sana Ziwe Funzo Kwa Wengine.Muendelezo Daa Geah.
@kisalaTV2 жыл бұрын
Sikuizi wanaume nao wanadanga walijue hilo
@fatumaayubu87212 жыл бұрын
Dada heb nitumie now zahuyu Dada plz nahitaji kutoa ushauri
@safikapufi8992 Жыл бұрын
yani mungu ametupa roho yahuruma sana tena niwatu ambao tunawaamini wanaume mapema sana yani tunaimani sana mungu tupe mwisho mwema
@lilybarongo81192 жыл бұрын
Mume wako Tena,yaan wanawake sisi niwadhaifu Sana yaan kumuita mtu mume simple hivyo......tujifunze wanawake
@masalakulwa76012 жыл бұрын
Numeshangaa anamuita mume wangu...chefui
@mohamedsalum89332 жыл бұрын
Tatizo letu wanaume wakiafrica c wakweli. Kikubwa wanawake muwe na akili ya kuandika mikataba kbla hamjatoa fedha nyingi namna Hii. Be bigger than it.
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Hakika🤝🤝baba angu umemaliza kbs 👏👏
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
I truest no body with money I said nobody in short mtu km mm nimeacha kutumia hisia kufukiria kitambo I am using my mind 24hours
@oyay28212 жыл бұрын
@@yama_virginhairthequeen1065 no body will trust you with his love
@khadoojomary.5622 жыл бұрын
Jamani wanaume mungu anawaona nyie mpk wanatufanya tunakuea naroho ngumu dada pole sana.
@YsnTv2 жыл бұрын
Acha makasirikoo 🤣🤣🤣
@asiaa65732 жыл бұрын
Mmh pole sana mami, da gea muendelezo tafadhali
@chunanachu25292 жыл бұрын
Mume wa mtu ukampe pesa tena unawatoto ambao sio wake hata kama mapenzi ndugu yangu umekosea sana
@ruthmichael54172 жыл бұрын
Ila wanawake tunaviranga waaah wadada wanapenda kuwa comfortable na wanaume za watu mnasahau maombi ya waliokwenye ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu atusimamie!!
@LoveStory-ne2ee2 жыл бұрын
Tatizo ujaelewa stor ndio mana una lopoka kuolewa mkemwena nisunna kwa wayislam
@saidashabani94822 жыл бұрын
dini inaruhusu kwa hyo wala hamna shida
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana
@hanifaomar74382 жыл бұрын
Pole Sana my nakuelewa vizur Sana
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani pole dada mungu atakulipiya
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Subhanaallah yaarabi tujalie sisi wanawake tukipenda tupendane na akili sio na moyo pekeyake. Wanawake wengi wananyanyasika kwa ajili ya mapenzi yasio na akili yaarabi ameen
@aisharamadhan52572 жыл бұрын
Pole sana dada na iwe funzo kwetu ila huyo dada yaa Allahu ya allamu mungu amsimamie isijirudie tena
Yaaan nimetaman kumzibuaa uyi dada kwa sm😄😄😄😄😄😄😄yan bae wangu hata anipe lak hapa afu aje atake vocha ya jero simpi yaan sijalibu
@lilianmalya23402 жыл бұрын
Hujapenda bado
@irenewilla56792 жыл бұрын
@@lilianmalya2340 nishag penda 😄😄😄😄nusu niwe chiz ila kwenye suala la hela apan
@Ray-vk7bp2 жыл бұрын
@@irenewilla5679 auna bana🤣🤣🤣
@rahmashannel64002 жыл бұрын
Aiseee chakwnza usiamini mwanaume ambaye tayr ameoa niwaongo wachezeaji 100%
@ynyynyyny2 жыл бұрын
Wanawake mfaham hili, Dunia ya Leo mapenzi yakweli hakuna, uliona mwanaume anakuomba ela stuka haraka
@hadiadaoman19812 жыл бұрын
Kweli mamyi maana I remember x boy friend wangu pia alinidanganya kama kaoa sasa nilikuwa namshangaa niliwah kumnunulia zawad saa na viatu na pafyumu sasa alinishangaza anaomba ninunulie wallet og ninunulie hiki 😅😅😅nilimshangaa sana wanaume baadhi wanapenda sana mseleleko na pianni matapel nilipojua ana mke nilimwacha tuwe making sana na mahusiano
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Kweli. Mwaya mmmmmmm Tujifunxe hasaaaa
@aminakawawa58002 жыл бұрын
True
@Legends_Interviews2 жыл бұрын
Very true
@mozasaid38692 жыл бұрын
Mapenzi ni upofu!
@ceciliaminja59622 жыл бұрын
Pole Ila utakua umejifunza
@saidashabani94822 жыл бұрын
Pole kipenz yaan atakukumbuka saana haji kupata mwanamke kama ww huyo baba ni jini mnyonya damu Acha aendelee kunyonya majin wenzie
@hidayamakuka78762 жыл бұрын
Wanaume fanyeni kazi kuna watu wanaroho ya visasi mtachomwa moto sanaa wanaume tena sanaa .
@YsnTv2 жыл бұрын
Mapenzi matamu 🤣🤣🤣🤣🤣
@Bintimrembo-y1v2 жыл бұрын
Mbinguni wanaume watafika wachache sana
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Hili ni funzo kubwa sana na lakuzingatia, nikipata Mume ambae hana kitu si vibaya Kuolewa nae ila kumuwezesha ni kosa kubwa mno.
@khadijamohamedy44922 жыл бұрын
Usithubutu yamenikuta hayo alivyopata kanitimua km mbwa
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@khadijamohamedy4492 😁😁pole
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
@@khadijamohamedy4492 mtihani. Kilaneno neno. Wanaume mtihani nibola uwe na vyako
@winnieminyalla94302 жыл бұрын
@@khadijamohamedy4492 😂😂😂
@annakadamanja21962 жыл бұрын
Mimi kama alinisaidia kiukweli nawez msaidia
@lilianhermenegild71752 жыл бұрын
Mwendelezo da geah, maana hadi naogopa Mimi
@elizajaden23712 жыл бұрын
Daaah pole dada wanaume way msiwe wakweli
@tatukhalid70742 жыл бұрын
We dada mil 5😳😳mie elfu tano tuu ndan ya wiki namdai😅😅😅
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
, 😂😂
@hidayamakuka78762 жыл бұрын
Wanaume mna dhambi zenu peke yenu.huyu dada hatakam alijua mume wa mtu anayetembea nae lkn hakupaswa kuumizwa hv .wanaume mungu anawaona
@alimwangabula50602 жыл бұрын
Naona kuna watu wamemlaumu sana huyuu dada ilaa kwa upande wanguu wewe nishujaa tuu na munguu atakupaa zaidi chamsingi usiangalie ulikotokaa angalia unakoendaa usiogope
@sleeprelaxation84312 жыл бұрын
ushujaa gani ?
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Mmm unatia ujinga tena
@faridaandrea26662 жыл бұрын
jamani a mm simulaumu ila kuna watu wanatumia dawa
@alimwangabula50602 жыл бұрын
Alimpendaa tuu nakupenda sio zambii ilaa sasa hakujua kama anaempenda nikinyonga
@estermahenge59722 жыл бұрын
Nampenda mke mkubwa popote alipo anatuwakilisha vyema we michepuko ina alibu Sana ndoa
Lakini muelewe alikuja kujua baadae na akawa mapenzi nae
@ratnambega56152 жыл бұрын
Pesa bora nikupe uchi wangu bure kuliko kukupa pesa
@masalakulwa76012 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gracemadondola73312 жыл бұрын
Shikamo
@Awatee2 жыл бұрын
@@gracemadondola7331 🤣🤣🤣
@edithaeugeni96952 жыл бұрын
Dada geah mimi na subrii part 02 kwa sasa no comment
@elizabethmanala61172 жыл бұрын
Nilitoaga elf 20 kwa mwanaume inaniuma mpk leo 🤣🤣
@matridamwalyoyo17352 жыл бұрын
Mecheka kifalaaa
@shamsahaji62022 жыл бұрын
Hahahaha
@adamtawete58652 жыл бұрын
Yani wewe,ila kupewa nyinyi mnaona sawa
@julianamasato56552 жыл бұрын
Jamani wanaume au kiumbe mwanaume si wakumuamini .wapo wengi wa dizain hiyo kina mmoja Alitalia kunipiga tukio mungu mkubwa niliwahi kumgundua Alitaka hadi kuniroga kwa mgaga yani akashidwa. Niliwahi kumuepuka .watoto wa mama mkwe hawa wanapenda kulelewa sana .
@magrethmathayo280011 ай бұрын
gea tuletee pat 2
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Tobaa, pole sana mwanamke mwenzangu.😰
@heyumi23402 жыл бұрын
sana sana
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Yaaan ndo naona watu wako wehu matokeo take ndo ayah
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Kbs my hata mm nampa poleeeee mwanamke mwenzangu 😥😥
@aysherkitoi55072 жыл бұрын
Nashukuru mungu kumjuwa idd makengo mapema cwezi kufanya ujinga huu wewe umejuwa mme wa mtu na wewe bado ukaendelea kumhonga bwanako huku hajakuoa hata akikuoa ulikuwa una tumia pesa kumteka mwanaume umejuwa mapema achana na mume wa mtu
@Mariam-nm9nj2 жыл бұрын
Omba yasikukute jaman
@ellynethmwaseba61992 жыл бұрын
Jmn mwanngu amina
@bhokemkami49012 жыл бұрын
Hapo penye kumpa pesa mwanaume ndo ulipokosea ndo unajiita kabisaa eti mke mwenzangu🤣🤣 mume wako tena uliolewa lini dada🤣🤣🤣
@sikudhanimoshi69672 жыл бұрын
Pole sana dd mm yamenitokea kama ayo
@tayanabrown36072 жыл бұрын
Duh! Pole sana... Kumbe ndo maana uliondoka pale Job akawa ameletwa Manager wakiume......
@ladyr.hamsini23112 жыл бұрын
Subhannah Allah 😭😭,jamani wanawake tunapitiya mtihani mzito 😭 kisa mapenzi
@tatutatu15702 жыл бұрын
pole sana dada
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Twasubir kwa hamu muendelezo 🙇♀️👂
@womanofsteel14022 жыл бұрын
Ulijua Ni mume wa mtu halafu ukaendelea nae jipige pige kifua sema Wewe umekosea ,,Mume wa mtu Ni sumu ikiwe mke wake akisha kujua kuwa Wewe Ni hawala wa mumewe anaweza kufanya chochote bila kujali chochote
@ziadaissa75502 жыл бұрын
Pole yataisha na utalkaa sawa
@evalenad62562 жыл бұрын
Ungeuwawa dada achana nahuyo mwanaume wamtu
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Hii mapenzi shikamo siyataki nayaongopa
@IreneMacha-g8o7 ай бұрын
Mmmmh pesa yangu ni yangu aise
@maylmngoya54812 жыл бұрын
Sijui wanawake wanajifunza lini, mimi awe mume wangu, awe boyfriend , awe mchumba , awe sijui nani mapenzi ya kumpa mwanaume hela sina yeye ndo anipe sio mimi . Katika swala hilo hua nafuata sana maandiko ya vitabu vya Mungu vinasema mwanaume akatafute kwa jasho alete nyumbani … Sasa we bishana na vitabu ujigeuze we ndo mwanaume lazima yakukute
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@heyumi23402 жыл бұрын
wajinga wamejaa ingia maximum tv waty wanavyofanyiwa na wanaume
@mamajaphety16242 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@irenengatia42892 жыл бұрын
Aisee kwa kweli, Yani nimpe mbwa hela. wanaume ni mbwaaaaaaaaa
@zainabally98282 жыл бұрын
@@irenengatia4289 kwakweli
@ilhamjulioo96552 жыл бұрын
Usimseme mwanamke vibaya malizana na mwanaume wako pole sana
@nusrathmanyawa45012 жыл бұрын
Sikulaumu maana majanga tumeumbiwa binadamu pole sana mpendwa
@KesheMedia2 жыл бұрын
Huyu dada haya matatizo yoote kayataka..watu wanakua na mume wa mtu labda kama anakupa mihelaa, yani wewe unakua na mume na mtu tena kwa kificho na hela unampa? Ila polee
@apoloniaalex28252 жыл бұрын
😁😁😁
@annakadamanja21962 жыл бұрын
hahaha umeonaaas eeeeh yaani unahonga mwanaume kweliii ???,mmmh hapana
@KesheMedia2 жыл бұрын
@@annakadamanja2196 Halaf sio mwanaume tu, unahonga mwanaume wa mtu jamaniii
@hosianamatemu91102 жыл бұрын
Wanaume fanyeni kazi jamani
@mamajaphety16242 жыл бұрын
unampaje pesa mwanaume aliyeoa pumbavuu huo ndo ulimbukeni wa mapenzi weee pesa ilivyotamu naitoaje kisenge hivyo ulitaka upendwe sana eeeh hawanaga jema hao we maliza hamu zako tulia zako mwache apeleke mboo yake kwa mkewe sio achukue pesa zako
@irenengatia42892 жыл бұрын
😂😂😂😂
@irenegeofrey61582 жыл бұрын
Umeongea kwa hasira sana dada😃😃
@irenegeofrey61582 жыл бұрын
Umeongea kwa hasira sana dada😃😃
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
😂😂😂😂👌Ukweri ndiyo huwo ulimbukeni tuu umlikuaunamsombua ss yamemtokea puani
@esthernzyungu86652 жыл бұрын
Kuna mwingine huku,anampa pesa mume wangu na anajua anafamilia na mke na watoto,mi nikipewa nakula tuu watamalizana wenyewe
@Mtazamompyablog2 жыл бұрын
Mpenzi anakopeshwa?? Tangu lini?
@esterhans8242 жыл бұрын
Pole kipenz
@wandedalushi29842 жыл бұрын
Siku hizi wanaume wanawekeza mpaka akuingize box, ukiingia kichwakichwa tu anajilipa vyote ulivyospend nae na faida juu
@YsnTv2 жыл бұрын
Wako amewekeza ama unatiadomo hapa
@wandedalushi29842 жыл бұрын
@@YsnTv samahani kwa kutia mdomo ni kiherehere changu tu samahani
@angelageofrey97562 жыл бұрын
Pole umetenda wema nenda my sijui kama utapewa kitu hapo😲
@floramlowe70782 жыл бұрын
Du masikini hakuna viumbe wasio na huruma kama wanaume pole sana mamii
@zabiyafahmikhamis48732 жыл бұрын
Mm ata simuelewi huyu dada anachokisema zaidi ya neno vitu vingi 😀😀😀😀 make apo kwanza ncheke
@mimahmimah15952 жыл бұрын
Mm mapenz ya kumpa mwanamme pesa sina jamani loo! Yashindwe bora aniumize moyo kuliko kuliumiza pochi
@zamzamhassan86432 жыл бұрын
Haaahaaa Mimi nishujaaa Huyu mkurya wng nipo nae kwasababu ananisaidia,nimume wamtu ila siku akifulia ajue siwezi msaidia chochote Popote mkurya ulipo uje usome hii msg yng ujue mimi nipo nawewe kwasababu wewe unanisaidia Mbwa hawa sio wakuwaonea huruma
@masamibwire60842 жыл бұрын
😆😆😆😆
@theresaelizabethelijah1172 жыл бұрын
Kudadeki hongera yako 👌🤣🤣🤣🤣🤣
@IreneMacha-g8o7 ай бұрын
Mnafanya majukumu ambayo hamtakiwii ndo maana mkija kuachwa mnaumia mnashindwa hadi ku move on
@lgdnce83092 жыл бұрын
Dada gia kweli nianze kusema pole
@zayumar29552 жыл бұрын
Aweeee pesaa Hii Hii nayoitafuta Kwa uchungu 😂😂😂🤣🤣🤣 hapana kwakwel siwez kumpa mwanaume Wala kumkopesha Kila mtu afe na chake kwakwel hapanaaaaa tutashare Kila kitu ila pesa zangu nooooooooop
@YsnTv2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zayumar29552 жыл бұрын
@@YsnTv 😂😂😂
@rehemamgeni2032 жыл бұрын
Pole sana dada ila ushauli wangu nenda kweny mistikit Katie sadako tu nuai kwaungu unataka Mungu ampe pigo gani
@saidashabani94822 жыл бұрын
kabisaaa
@charliewilliams97272 жыл бұрын
Very intelligent woman lakini ndo mapenzi haya
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
That's why wanatuambia tusifikirie kwa hisia tutumie akili but mostly time but it's hard
@bintiothmani53692 жыл бұрын
Aaaaaah hawa viumbe hawa mungu cjui kawap moyo wa aina gn kwly acha wanaume wakirogwa warogwe tu looooh
@hamisimsimbe31082 жыл бұрын
Huyu dada na yeye akili yake ni ndogo, sioni hii kama ni 'sensitive story' . Toka alipogundua tu ni mume wa mtu angejipanga. Mtu amebandika tangazo la kukudhalilisha hakuna Sheria???
@Ray-vk7bp2 жыл бұрын
Mzee dda ztu ndo walivyo
@edinakisusi31822 жыл бұрын
Pole mpnz..Ila kwenye kutoa hela unaanzaje mwee..,wanawake tujifunzage
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Kabra ya yote ungechukua arabii
@doricegaudence72322 жыл бұрын
Yeye na mkewe wamepanga kukudhulumu tu
@bintimrope2 жыл бұрын
Duuh pole sana dada
@Officialtinaa2 жыл бұрын
Mume wa Mtu ni Sumu Ndoa na Iheshimiwe na Watu Woteeee
@YsnTv2 жыл бұрын
Makasirikoo🤣🤣🤣🤣
@kulwarahmu50312 жыл бұрын
Ety mume wangu anamatatizo ya macho khee mume Tena
@salmakasmakasma30052 жыл бұрын
Sisi wanawake tukipenda mmh 😭😭😭
@magrethmathayo280011 ай бұрын
aweeeeee Mimi nimpe mwanaume pesa yangu ni ngumu hatakama ananikoleza kiasi simpii jamani simpi 😊😊😊
@mwanaishamkindi77632 жыл бұрын
Uchi atake pesa atake na Ana Mke na Wazimuuu akaaa mie kujitwisha majukumu stak na gar aendesheeee aliyatakaaaa mwenzanguu
@maryamuiddi27956 ай бұрын
Huyu kaniongelea mm kbs
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Mimi nime zurumiwa, kiwanja, pesa, na mume kabisa na nimezaanaye, nakuja kujua alitaka kuzurumu nyumba yangu pia, mpaka Sasa wanaume nawatizama kwa macho tu.
Uwiiiii pole my ulimtumia ela akununulie kiwanja na napesa za ujenzi?😥😥😥
@joyanambuya44862 жыл бұрын
NYIE HUYU DADA ANA MAKOSA MAKOSA ANAYO HUYO MKOSA KUUBWA MWANAIZAYA HUYO SURA HIMEMPARAM KAMA JIWE LA KIHAMA MWANAUM MZIMA TAPELI SANA MM NAKUPA POLE DAD
@laurentwambua1842 жыл бұрын
inesikitisha sana ila ndio tabia za wanaume wengi wa kitanzania, wanapenda kulelewa kama vile vilema na tamaa zao za mwili, matumbili weusi kabisa wakwende huko, wadada muwe macho na muwe mnawakimbia kuliko jehonamu tuliyoahidiwa!
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Ni vilema kabsaa wanapenda mteremko sana na tatizo kubwa linakuja kwa mwanamke unapenda mjinga😃
@musasabuu28082 жыл бұрын
Kama ilivyokwa wanawake wa kitanzania walivyo ombaomba
@irenewilla56792 жыл бұрын
Etii nitoe hela yangu nimpe mwanaume🤨🤨🤨🤨🤨nakua nimelogwaa au 🤣🤣🤣yaan hata kwa bahat mbaya
@angelageofrey97562 жыл бұрын
We dada we umetuangusha super woman 😲🤦ulitekwa
@omanruwi64002 жыл бұрын
Kwakweli kichaa cha mapezi
@lovebee47252 жыл бұрын
Chezea pu,,mpu
@estermahenge59722 жыл бұрын
Yaniii uyu dd fala sanaaa😏
@salomekadendula28782 жыл бұрын
Yaniii natamani nimchapee,,, hana akili hata chembe.
@vivianavivy36562 жыл бұрын
Mumewangu.?
@stelabrent60562 жыл бұрын
mume wa mtu nikampe gari na hela juu mh mengine tunajitakia wenyewe jmn
@YsnTv2 жыл бұрын
Unae huyo MUME WA mtu🤣🤣🤣🤣🤣
@allandavid7522 жыл бұрын
Hakumpa bhna aache uongo nayeye
@zaikondrad78512 жыл бұрын
Hayo ndoyaliyonikuta Mimi ila mie hakuwa namke nahana mke nabarua alinitolea natunamtoto mmoja ila amuhudumii chochote amemkatia bima tu
@lgdnce83092 жыл бұрын
Yani mukasa huo kama WA kwangu Hila mm mwanaume huo alikuw hajaowa
@Monaish___mooon2 жыл бұрын
😭😭😭😭Naumia sana hiiii kitu kuna pakq mmoja alitaka kunifanyia ivi daaaa😪😪😪😪😪
@mariammwanzalila90102 жыл бұрын
Kupenda kubaya
@alitunu30862 жыл бұрын
I naitwa wosh wosh iyooo kina mama tuwe makini sana
@magiekinda96852 жыл бұрын
Muendelezo plz
@kamaurehema67632 жыл бұрын
Jamani wanawake wazuri bado wapoo
@happnessmsolwa42222 жыл бұрын
Mm Nina stori dada yeah na itakuwa fundisho kwa watu
@beritainjete60272 жыл бұрын
Watu wanaroho tofauti Mimi kama Mimi siwezi hayo yote narudiavtena siwezi
@fatmahamad61772 жыл бұрын
Km ni mmakonde umeumia dd maana wanaume wahiyo kabila walio wengi pasuakichwa sana