Watching from kisii Kenya. Best song.Hongera Waimbaji
@PatrickPiusАй бұрын
Thanks you so much. Ni furaha sana kupata comment toka kwa majirani.
@ondiekigeorge42593 ай бұрын
A very beautiful patriotic song. Well done. Wimbo wenye mafunzo na himizo bora. Hongera majirani zetu. 🙏
@jm-jeffmomanyi83422 ай бұрын
wimbo mtamu sana majirani wetu
@PatrickPiusАй бұрын
Amina jirani Mwema
@Safi-f3q5f2 ай бұрын
Courageux messieurs amis
@ElizabethJumanne-go8mp Жыл бұрын
Jaman mnanifanya nibarikiwe na huuu wimbo jmn watoto wa geita wowwwww🎉
@PatrickPius Жыл бұрын
Dada Eliza, tunashukuru na kufurai kuwa unabarikiwa. Mungu awe nawe. Waweza share wimbo huu kwa magroup yako pendwa ili wengi tubarikiwe zaidi.
@PatrickPius Жыл бұрын
Dada Eliza, tunashukuru na kufurai kuwa unabarikiwa. Mungu awe nawe. Waweza share wimbo huu kwa magroup yako pendwa ili wengi tubarikiwe zaidi.
@jamlicktosh9286 Жыл бұрын
Great and wonderful song.congrats students of Geita Adventist
@Joanithavalelian5 ай бұрын
Mungu awajalie uzima na afya njema watoto
@prossynajjuma3834 Жыл бұрын
Amen 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 Mungu awabalikiye watoto wa Tz i really appreciate you 🙏🏻 ❤ Najjuma Prosper Uganda 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 Kampala City, from sda church Kamwookya ❤❤❤❤ PN
@PatrickPius Жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu yetu @prossy najju a karibu sana Tanzania. Karibu Tusali Geita Central. Kumbuka ku share kwa marafiki zako wamaana.
@Majogoro-m7hАй бұрын
Hongeraa sanaaaa
@AnnaYuda-z2b Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wana geita
@merenzowa53002 жыл бұрын
Nimewapenda ,mko vizuri ,karibuni Sana kusini
@PatrickPius2 жыл бұрын
Tunashulkuru sana rafiki. Endelea kufuatilia nyimbo zetu nyingine hapa.
@YasintaPaul-pz6gw Жыл бұрын
Mubarikiwe watumish wa mung.
@PatrickPius Жыл бұрын
Amina barikiwa sana sana. Usisahau kutuna wimbo huu kwa magroup yako mazuri ili mbaraka huu uwafikie wengi.
@JennetteNwenyeh Жыл бұрын
So great❤ please more songs in English. I'm in heaven🎉🎉❤❤
@metiselachitalu95752 ай бұрын
Very nice song
@PatrickPiusАй бұрын
Thanks
@adelejean5178 ай бұрын
Amen Amen HALLELUJAH 🙏
@CAPROSADE-dz9tp Жыл бұрын
Tunabapenda sana mubarikiwe
@samweljoel50232 жыл бұрын
❤mungu aipe Shula Hilo division one tu milele amina🎉form six one milele form four a form two’s daima one amen by lady joy I love my school ❤❤❤❤😊🎉🎉🎉🎉😂🎉❤
@PatrickPius2 жыл бұрын
Aminaaaa😁 Mungu atajibu tumaini lako. Nimependa sana maoni yako. Kumbuka kushare video hii kwa marafiki zako wa karibu.
@JoabTisah3 ай бұрын
Wimbo bora sana.
@itacygomesbarros361 Жыл бұрын
Lindos! Sou brasileira e não entendo nada dessa língua mas acho lindo o ritmo e a afinação das vozes. São Paulo, 15 /09/2023.
@lukiasaidi44222 жыл бұрын
Mbarikiwe vijana
@PatrickPius2 жыл бұрын
Aminaaaaa. Shukran sana kwa maoni yako mazuri. Waweza share winbo huo kwa magroup yako
@AzorJackson7 ай бұрын
Happy Sabbath . Haiti
@maybinlufupa10148 ай бұрын
Thank you for these songs
@sibiahnyanchoka3440 Жыл бұрын
Very sweet song, l love it .
@PatrickPius Жыл бұрын
Amen. You may share it
@louissaintsorrina23956 ай бұрын
IL thank God ❤❤❤❤.
@ChachaMakire8 ай бұрын
❤❤ mbarikiwe
@roseamos2812 Жыл бұрын
Amina
@louissaintsorrina23956 ай бұрын
IL thank God❤❤❤❤
@tumpaleakim8252 жыл бұрын
Mungu awabariki
@PatrickPius2 жыл бұрын
Amina, Barikiwa pia. Habari za huko,. Waweza share wimbo huo kwa marafiki zako. Karibu ujiunge kwenye Group hili la Nyimbo za kiswahili za kisabato. Bonyeza hapa kujiunga t.me/swahilisdasongs Barikiwa sana.
@ritah686 Жыл бұрын
Amen ♡
@PatrickPius Жыл бұрын
Be blessed.
@elenadanielacojocaru702811 ай бұрын
Pacea Domnului frații mei!Sunt adventista din Romania Europa .De ce la dumneavoastră și în toată Africa se dansează ( și în același mod aceleași mișcări și același stil de muzica și dans) dar in toată lumea adventista nu se dansează? Peste tot in lumea adventista dansul este considerat senzual ce conduce cel puțin la gânduri imorale, daca nu la mai mult.
@JeanBaptisteChanise-rg8yn Жыл бұрын
Amen amen amen
@raymondsammy61612 жыл бұрын
stay blessed
@PatrickPius2 жыл бұрын
Amen. ♫•♬ 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗗𝗔 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗦 ˢᵂᴬᴴᴵᴸᴵ ˢᴰᴬ ˢᴼᴺᴳˢ Is a place to have and listen to all ♫•♬ 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗗𝗔 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗦 from all around the world. t.me/swahilisdasongs
@PatrickPius2 жыл бұрын
Amen. ♫•♬ 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗗𝗔 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗦 ˢᵂᴬᴴᴵᴸᴵ ˢᴰᴬ ˢᴼᴺᴳˢ Is a place to have and listen to all ♫•♬ 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗗𝗔 𝗦𝗢𝗡𝗚𝗦 from all around the world. t.me/swahilisdasongs
@henrynzella95312 жыл бұрын
Safii,nice song
@PatrickPius2 жыл бұрын
Stay blessed here is another beautiful song. kzbin.info/www/bejne/h2KagKOjmMqcg9k
@colletadavid Жыл бұрын
Amen
@PatrickPius Жыл бұрын
Barikiwa dada Colleta
@MartiniDawita-zt8vo Жыл бұрын
Jamaniii me napenda mdogo wangu angeenda kusoma hiyo shule
@joycegration42852 жыл бұрын
Be bleesed
@PatrickPius2 жыл бұрын
Amen. t.me/swahilisdasongs Welcome to this wonderfull group of Swahili sda songs. Join and share the link and this video to your great friends. God bless you.
@flaramatabala17122 жыл бұрын
Amein
@PatrickPius2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maoni yako. Endelea kubarikiwa na nyimbo katika channel hii. Kumbuka kushare wimbo huu na marafiki. Bwana akubariki