Karibuni sana ndugu zangu mashabiki zangu wa Muziki wangu nawapenda sana na nafurahi kuwa Nanyi siku zote na kunipa sapot kubwa Mungu awabariki sana ❤🫶🏿
@E.J_VIHIGAN_LION5 ай бұрын
Good music G tunakutambua sana 👊👊
@Ramfour-hx6iz5 ай бұрын
Tunaisubirii Ngoma Kali ije maana ni ya moto🔥🔥🔥
@KimdoerMimindiokim5 ай бұрын
Yeah brother hii kitu eeeh kahika niyenyewe 🔥🇨🇦
@ommyleeofficial5 ай бұрын
My Brother ❤
@diani_berry5 ай бұрын
Kazi amazing sana...Bless Up
@mustapha1234511 сағат бұрын
Naamini ipo siku moja Afrika Mashariki itaungana haswa kupitia muziki wetu na kuwa kitu kimoja bila mipaka yoyote. Aminia 🇰🇪
@aollywood5 ай бұрын
Afro Konpa❤ Konpa Swahili 🇹🇿🇭🇹🔥Swahili Konpa hit differently A Banger 🇺🇸🔥🔥🔥🔥❤
@cvzdez4 ай бұрын
Oka0y with th0e kompa beat dezodddd Yes yes,
@aollywood4 ай бұрын
@@cvzdez Afro Swahili Konpa the sweetest
@weblylaguerre75583 ай бұрын
To me this is pure konpas
@aollywood3 ай бұрын
@@weblylaguerre7558 It is pure Konpa in Swahili 🔥 Afro Kompa Swahili
@taxiinzanzibar5 ай бұрын
U Nigeria flani ivi kutoka kwa Ginius x66. Ngoma kali sana yani.
@StanzaMata5 ай бұрын
Listening from Rwanda with much luuv ❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@linahdbarnabas40292 ай бұрын
Kama juu wimbo unausikiliza zaidi ya mara moja nipe like yako basiiii
@johderrickmkenda45864 ай бұрын
From Fiji islands, sending my sincere gratitude! This is anti viral music, upigwe hospitalin kuwapunguzia wagonjwa maumivu
@lucymongare54895 ай бұрын
Aaaww🥰🥰🔥🔥 Hiyo mix ya katikati ndio inaweza ❤❤❤much love from kenya 🇰🇪
@KelvinRichard-i9f5 ай бұрын
Hottest song ... Arusha Wako Wapi
@qualiamaxwell63054 ай бұрын
Og og
@mugishasarahignacia62994 ай бұрын
Mzuki ni supuuuu wallah,ivi sifatiliyi zingine Wimbo non non jey umeniteka kweli kitu mapenzi unajua ❤️from Burundi 🇧🇮
@Lolo-qx9hv5 ай бұрын
Wale tuna rudia hii ngoma pitia na like Sema ilivyo Tamu jaymelod hajawai tuangusha❤
@MwakaKatama5 ай бұрын
Wallah l is this song ❤❤😊😊
@FREDNGOTA5 ай бұрын
MIMI HII IMENI NICE MBAYA NGOMA IKO FITI SANA
@mwajabually53215 ай бұрын
tamu mno
@zachaamaster53784 ай бұрын
Yani goma kali san majonzi san
@DorcasChimanuka-eo8lz2 ай бұрын
Naisikiya hata mara 50kwa siku toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@edwinrobert35075 ай бұрын
Aliyekuja kutizama hii nyimbo baada ya Gigy money kucheza pale stajini Gonga Like😂😂😂
@marthacharles31345 ай бұрын
Jay melody tue ndo kilichobaki ...wasilkuloge sasasa uuuuh❤❤❤❤ Makofi kwake jaman
@miss.lulonde5 ай бұрын
I can't wait for this to blow up...Love from Kenya 🇰🇪
@Zezeta-yr3hy5 ай бұрын
Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂
@JosaphatMysterio5 ай бұрын
🔥🔥🔥
@BarakaKenyatta5 ай бұрын
😂😂😂 Hawa jamaa hua wanaua kinoma🎉🎉🎉
@bamburikiembeni78245 ай бұрын
@@BarakaKenyattames
@AkotAnnie5 ай бұрын
🎉🎉🔥🔥
@callestarnyaboga32644 ай бұрын
Uko sawa kakaa mungu akuzidishie kakaa
@Kinglin-ke4 ай бұрын
Love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪 wapi likes zangu
@KINGSHALA5 ай бұрын
Unyama sana mume tisha sana wanangu hii ni moto likes zaa Tiktokers uku sasa🌹🔥🔥🔥🔥🔥more love from kenya🇰🇪🔥
@MaryamRashid-sm2de3 ай бұрын
Hjmb
@yusuphcali79015 ай бұрын
imeweza kaka,, wimbo hisia zake nzuri sana,, yaani laivu ile kinyama mzee,,.genius jini..imeweza kinyama, BiG uP from GEN Z Kenya Tunakutambua kaka,, iyo video naonelea muipigie huku mkali
@evelynejanekazira90875 ай бұрын
Nimengojea hii ngoma bwana 🇰🇪🇰🇪
@NazifaSalimuАй бұрын
Jaman naipenda sana hii nyimb mungu awbark mzd kufnya vzur nawapenda sanaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@E.J_VIHIGAN_LION5 ай бұрын
Katikati ya mambo kibao hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunahitaji vitu vitamu tutulize akili so keep the good vibes coming 🔥🔥🔥
@mussajuma63775 ай бұрын
❤❤❤😊
@AkotAnnie5 ай бұрын
Sana🔥🔥
@skylight37754 ай бұрын
showing weakness to the enemy
@JOYNDANU-f9p4 ай бұрын
agree🤩
@BethKamau-zv8jw3 ай бұрын
Stress mob
@MwavitaMmasa5 ай бұрын
Nimeupenda huu wimbo kwli daaah mungu akulinde san uzit kutufalaisha❤❤
@osmanasif40075 ай бұрын
Likes za wa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇬
@AkotAnnie5 ай бұрын
🔥🔥🔥
@lynohGara95 ай бұрын
July 24 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
@Meriankid-px5oz5 ай бұрын
This is Genius for real..sikiza part yake Aise❤..bro naomba colambo kutoka kenya
❤❤❤jamani ngom kali so pow yang 🌹🌹🌹 song kali congratulations genius msalimie jay alafu kam moko genius sio mtanzani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Jay melody hujawahi kutuangusha na jini umetisha sana❤❤❤🎉🎉🎉
@ModestaJosephati4 ай бұрын
❤❤❤
@cynthiaelli5 ай бұрын
Nani anataka turisky mapenzi... falling Inlove 🥺..jay makes love look easy Eeeish ❤💯🙌
@rodgersmwagu2393 ай бұрын
Kwaiy j melody kaamua kuwa kabisa kama nyimbo ya kwake mzee💯💯💯💯💯💯💯💯
@BeatriceNyamasyo5 ай бұрын
hongera sna jay melody asikwambie mtu unajua kuimba
@RuthNafula-wp2js5 ай бұрын
Anyone from tiktok 😂😂😂
@kingrabi51185 ай бұрын
😂😂😂😂
@BigBoyColloh5 ай бұрын
😂😂niko hapa
@ryanbraganza93125 ай бұрын
Me 😂😂😂
@YvetteMukeshimana-mz9nu5 ай бұрын
@@BigBoyColloh the same 😅
@mwariwakamau56895 ай бұрын
I'm here
@Davidomondi-j3c2 ай бұрын
Walai king kiba anaweza mm nmeiwawatch cjui Mara ngapi tamu xna
@Zippie-m8t5 ай бұрын
Kama umetoka kwa tiktok ya obinna songa na like 🔥💯
@HadijaAmri-wy1ky2 сағат бұрын
Una imba kama so mtz nilijua ni mnigeria kumbe ni wa kwetu bahn 😂❤🎉🎉
@MuhinaJohn5 ай бұрын
Wabongo tunachokijua ni burudani tu mwanzo mwisho
@AllySule-t9g3 ай бұрын
Wewe kwani umekayazwa kuvumbua ndege mpya or something unamiale yakikoloni😂😂😂
@Tiktoks862545 ай бұрын
Aaaaww what a song.... ❤❤❤❤❤ i jus subscribed and oh my God .. i cant enough of this...
@Dennis_Okelo5 ай бұрын
This blend of Genius and Jay is the perfect Bongo blend. As their numero Uno fan from 🇰🇪, I declare them inseparable like a pair of legs
@AkotAnnie5 ай бұрын
Kabisa 👌
@sacohg54584 ай бұрын
Jay is a legend am telling you🔥🔥🔥motoo kama pasi...skia utamu wa mziki i say🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Scottfuraha5 ай бұрын
First one from Kenya Im Inluv The Beats!!!!!!!
@saltama23755 ай бұрын
What a blast! The chemistry between these 2 talented stars is amazing!!! Much love from Kenya
@MomoAlphaJallow3 ай бұрын
All the way from Gambia 🇬🇲 always love Tanzania music I did not understand the language, but I love it. The sound of drums instrumental is beautiful. Keep it up.Bros specially My Guy Jay Melody keeps it cool like ice 🧊
@YaseyJawАй бұрын
Who's here November 2024❤❤❤
@emilynyoike198624 күн бұрын
Me here❤❤
@IsmailiJuma-l6r17 күн бұрын
🐭🐭
@sheilamwende820716 күн бұрын
Me over here❤❤❤
@elishibawambui6 сағат бұрын
Me❤
@YaseyJaw4 сағат бұрын
@elishibawambui hi
@disrkmedia26945 ай бұрын
Ndo hili Dude linalosumbua TikTok au.....I hope its a banger
@JamesWamalwa-y9h3 ай бұрын
song tamu kweli toto katoka jikoni na kitu kimeiva aiiiseee🥳🥳😘😘😘❤❤❤⭐⭐🌟💥💥
@samjayke5 ай бұрын
East African Joe bwoy much love Geniusjini x66 from 🇰🇪🇰🇪
@ElenaChamptyi-pu5of3 ай бұрын
Wow thank you for a nice song much love from Uganda keep going
@CarolineMutiso-td6of5 ай бұрын
The song so lit! Congratulations 🎊 jay melody
@wanyamageorgemalonenzuka13 күн бұрын
Huu ni utamu gani mwenzenu umenishika.Cant stop repeating this song❤
@BarakaKenyatta5 ай бұрын
Hawa jamaa hua wanaua kinoma noma🎉🎉🎉🎉
@AbdilatifAbdi-s4y5 ай бұрын
Aise. Umemfunika hiyo mkenya melody
@moajessy4 ай бұрын
Ni mtanzania gini
@sharonatabachi96565 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ChristaKiconco-tk6yo5 ай бұрын
Much love from Uganda 🇺🇬 for Jay Melody ❤❤❤
@laxmajor5 ай бұрын
Uñyma mwingi Gini6 nomaaa sanaa
@MARIANGELESKING3 ай бұрын
Apoyando desde República Dominicana muy buena ❤❤❤ muy contagiosa
@ChingaKenboy-fz8yr5 ай бұрын
Msanii namba moja mwenye yuaimba kizungu kinaeleweka vizuri🎉🎉🎉I'm in kenya
@AFRICANTRUETALES-vn6dj5 ай бұрын
beautiful song my guyz, asante
@So-nk-oh5 ай бұрын
all the way from tiktok lets gather here 😂😅
@AkotAnnie5 ай бұрын
🔥🔥🔥
@maniacosir25554 ай бұрын
😂❤😂😅
@selinasimba63044 ай бұрын
TikTok kupewe naukwa yake🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@Nathifohalake-u4d4 ай бұрын
💯💯💯💯
@catherinemutindi6104 ай бұрын
😂😂😂
@SHINES-h7j4 ай бұрын
Who searched sambaratisha moyo wangu😂
@margaretosilli5619Ай бұрын
Can’t stop re-playing…can’t get enough of this❤
@salomecharo14155 ай бұрын
Sambaratisha moyo wangu kwakila kitu my baby 😅 much love from 🇰🇪🇸🇦
@MariaBruno-s1o5 ай бұрын
Jaman naipenda nisiposkiliza ntakuw kichaaaa
@ChãrītYĒscøbāR-d5b12 күн бұрын
My kenyan bebo ❤❤❤❤🇰🇪
@cavernacaverna38125 ай бұрын
Hi nyimbo kiboko sana pila like kabla y kuhanza❤
@martiz28585 ай бұрын
kompa lovers lets gather here❤
@OnePeopleDifferentColors5 ай бұрын
i freaking love kompa beats♥️. Finally I found someone else who does😁😁
@martiz28585 ай бұрын
Kompa is life😊
@Soundprobeats5 ай бұрын
Sio rahis uwe mtu WA kawaida 😅 tz wengi hawaijui genre za music 😅
@OnePeopleDifferentColors5 ай бұрын
@@Soundprobeats kweli kabisaa 😂 Wengi wanjua bongo tu pekee 😅
@symorenimimi91655 ай бұрын
100
@OfficialOlatinotz4 ай бұрын
Genius Jini MTU WA KUTAZAMWA SANA BIG TALENTED
@tashie_steve4 ай бұрын
Kaliiii🔥🔥🔥🔥producer j nana nailed it on this one .....tunakimbia na nani hewane 🏃🏃🏃
@Sincerelykentrell0385 ай бұрын
Kwishaaa mushatoa Goma kali la 2024 ❤❤❤
@kevinmizero72053 ай бұрын
Much love from Rwanda
@dizzosukariyaoSukariyao5 ай бұрын
Kumbe nimtanzania hyu jamaaa❤ nikajuaga ni mnigeria
@BarakaKenyatta5 ай бұрын
😂😂😂 Hata Tz 🇹🇿 tunajua kimombo mbona 😅😅
@dj_poizone4 ай бұрын
Ati Sambaratishaa moyo wanguuu 😍
@cvzdez4 ай бұрын
The internet has our african brothers making african kompa vibes heyyy Nou branshee We branching out I love us connecting.ñ
@haitianboymАй бұрын
I was looking for this comment 🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹
@saidshaban95834 ай бұрын
Simba acha izo swaga unatuua ndugu asee much love Simba forever all time Simba since beginning bigup ujawai niangusha twend Simba wetu huu upendo nilonao sjawai kunikwaza
@HappyMtondi5 ай бұрын
ukinip mmmh mmh ❤❤ baby ugali na papa 😂😂😂😂
@kingkasa10583 ай бұрын
Tena sana!
@Naomisimiyu-tb2fm5 ай бұрын
❤❤❤Napenda sana hii wimbo
@MaryNjeri-z6g2 ай бұрын
❤ wow this song is 🔥 from my favorite artist love you very much
@louisbusingye7433 ай бұрын
Sambaratisha moyo wangu, we kila kitu my bebi. Si unaujua moyo wangu, ngumu kupenda watu wengi! 💥❣️
@filamupictures93493 ай бұрын
ukinigusa i like it, ukinitomasa i like it, ukinipa mmm i like it, yani ugali na papa, i like it oo my love, let me call sweet honey, wa kwangu wa uhakika, utamu mpaka ndani, muda wote vurumai, beb let's go far away, far, ooh far away,
@ShaibokSaShisien5 ай бұрын
I'm here for Jay once again lots of love from khasi hills meghalaya ❤️
@dismasnsabiyaremye56993 ай бұрын
Nimechelewa shule sababu ya huyu wimbo nawaomba like zangu
@kilalaconstantine16294 ай бұрын
Kompa in swahili❤❤❤ Kenya
@RamadanPaul2 ай бұрын
This is not kompa but Bongo fleva,
@FrankKashamakula-xb1pc9 күн бұрын
Bongo fravor
@kissflavour4 ай бұрын
nendeni kucheza wimbo wa msanii mmoja anaitwa kiss flavour jina la wimbo famous wimbo mzuri sana
@lovegoddess293 ай бұрын
Sounds like my Haitian Kompa!🇭🇹🙌🏼🔥😍
@Zalkamkwizu4 ай бұрын
Wa TZ🇹🇿🇹🇿 mkujee huku tusapoti mziki mzuri.. kama wa KENYA wanavyofaga kwetu 😘😘😘
@ChuxDaniel5 ай бұрын
jay melody ❤❤❤❤ kwni ulizaliwa studio na kukuta Michael Jackson anaimba
@AshaAlly-gy4ko5 ай бұрын
Jamaa fundi
@BEKAGRAPHICS3 ай бұрын
Anaimba na kuproduce sana
@margaretnthenya155Ай бұрын
Sauti yake yatoa nyoka pangoni❤
@phenaomollo54735 ай бұрын
I'm here from tik tok. Jay melody never dissapoints
@remypapi__b5783 ай бұрын
Kite Kompa mache from Haiti 🇭🇹🇭🇹🇭🇹
@abdillahhassani11215 ай бұрын
Hii nyimbo nakumbuka niliskia for The first time ilikua 2014 siku fanikiwa kujua ni Nan kqimba na jina la wimbo mpaka 2023 ndo nikaja kuupata! Aisee nilifurahi sana maana nakumbuka mbali sana nikiusiliza huu wimbo
@carloswekesa2545 ай бұрын
I came here to represent my fellow Kenyans ❤❤❤. Press that like button.
@VivianVugutsa-x1hАй бұрын
🇰🇪✌️💞💞💞💞💞💞💞
@ChereSpairs4 ай бұрын
Good song my man put God in everything but huu wimbo niwakutia MTU nguvu katika maisha naipenda nimerudia huu wimbo mara kumi from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤜🤛🤞🤞