(Getting Canadian Visa after September)Ukweli kuhusu kupata visa ya Canada baada ya Mwezi September

  Рет қаралды 2,019

Dennis Magessa

Dennis Magessa

Күн бұрын

Пікірлер: 89
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 6 ай бұрын
Hee kaka shikamoo nimekuwa wa kwanza wa kucomment na kutazama pia na nilikuwa nakusumbua kaka vip video Whatsapp nakusumbua 😂kaka mm nakupenda sana yaan Leo umenipa fulaha jmn kitendo Cha kuletewa ujumbe umepost video nimeacha kila kitu kaka Asante sana walai umenifulaisha sana kaka mm shabiki Yako namba Moja kaka Asante sana Leo nimefulah
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 6 ай бұрын
Share, like and comments. Let's support this platform. Huyu brother anatoa information na ramani za uhakika, huamini nenda ofisini kwake utapata maelekezo yote. Maana siku hizi huku kwenye mtandao kuna matapeli na majizi yenyewe information kidogo unalipa mamilioni.God bless you brother.
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@brunonestory9881
@brunonestory9881 6 ай бұрын
Hongera sana kaka mimi nakuelewa mno na tulikumiss sana tunao kufuatilia
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@DramaDiveApp
@DramaDiveApp 6 ай бұрын
Shukrani kwa hii
@annojanji4538
@annojanji4538 6 ай бұрын
Karibu sana nimekua nikikuangalia kwa mtandao kufatilia ukurasa wako sikupati karibu sana.
@ShedrackMatimbwi
@ShedrackMatimbwi 3 ай бұрын
Kazi nzurii kaka
@EmmanuelMtega
@EmmanuelMtega 6 ай бұрын
Good
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@sayuni123-kl6xk
@sayuni123-kl6xk 6 ай бұрын
Umetutia moyo sana Mungu akubariki.
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@husseinmwalimu6232
@husseinmwalimu6232 6 ай бұрын
Karibu kaka Dennis
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@muhidinsiwa1523
@muhidinsiwa1523 6 ай бұрын
Upo mzee baba
@ANGELBYAMUNGU
@ANGELBYAMUNGU 2 ай бұрын
Kaka pole namajukumu umekuwa kimya
@SurprisedCobra-lz9ee
@SurprisedCobra-lz9ee 21 күн бұрын
Ok mimi Hamad kutoka bagamoyo je ofisiyako ipo wapi wewe msaidizi wa wanyonge?
@ZamdaAli
@ZamdaAli 6 ай бұрын
Kweli kabisa kaka
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
👍
@Yana_queen1
@Yana_queen1 Ай бұрын
Tupostie fursa Dennis bhana…Upo kimya sn
@Mtalemwag5
@Mtalemwag5 6 ай бұрын
Karibu Kazi yako ni njema
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@FridaRobert
@FridaRobert 6 ай бұрын
Asante sana bro Kwa maarifa!ila usitusahau sana humu,uje hata kusalimia tuu
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
👍
@ManirambonaClaudine-g8k
@ManirambonaClaudine-g8k 5 ай бұрын
Naitaji sana musada wako bro
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@harunanassoro1797
@harunanassoro1797 6 ай бұрын
Tupo pamoja brother Nakufatilia KWA ukaribu xana
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@NtawebasaZainabu
@NtawebasaZainabu 6 ай бұрын
Karibu tena Kaka Dennis Magessa tumekuw tumek miss sana yan 🥰
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@maxwelmwadondo6458
@maxwelmwadondo6458 6 ай бұрын
Eee Dannis ulipotea wapi. Karibu tena ground. Maxwel here from mombasa Kenya
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@ZamdaAli
@ZamdaAli 6 ай бұрын
Tulikumiss sana
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@MariaPaul-qy4du
@MariaPaul-qy4du 6 ай бұрын
Tuko pamoja
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 5 ай бұрын
Brother mm ndoto yangu kwenda Singapore mm drive truck driver
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 5 ай бұрын
@@DennisMagessa saw kaka nita kuchek mm nipo congo
@JohnFocus-l8g
@JohnFocus-l8g 5 ай бұрын
Sasa uko siunaenda bila visa mzee
@MudyBoy-bl3eb
@MudyBoy-bl3eb 6 ай бұрын
Kwani akuna nchi nyingine kikazi kaka mpaka Canada mimi kaka nikija officeni kwako nitupe nchi yoyote ile ulaya unaiyona kitachangika
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
👍
@HakizimanaJumapili-k3e
@HakizimanaJumapili-k3e 6 ай бұрын
Hujambo
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Sijambo
@FauziatyJumanne
@FauziatyJumanne 6 ай бұрын
Certificate of employment naipataje kaka maana nimetuma maombi wakasema natakiwa niwe nayo.
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@PendoMluge
@PendoMluge 5 ай бұрын
Kaka ninakuombea uishi maisha marefu wakufanyiao fitina hawana mbingu yakukupeleka tupa kule Mungu atashugulika nao nimefurahi kukuona tena mtandaoni kazi iendeleeee!
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Bboybou
@Bboybou 6 ай бұрын
krb sana
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@ChukuMrido
@ChukuMrido 5 ай бұрын
Funguka broo tuko nawe
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
🙏
@AlimohammedAli-i2x
@AlimohammedAli-i2x 6 ай бұрын
Jee Kuna kigezo cha miaka ili upate vi sa ya canada kufanya kazi
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Hakuna, Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@LucianMwamunyi
@LucianMwamunyi 6 ай бұрын
Yaaani leo na mim nimekuona mapema, Mi nipate tu Kaz yaaani stak kuhamia
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@georgegabriel888
@georgegabriel888 6 ай бұрын
Tuko pamoja kiongozi
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@vyamunguDisire
@vyamunguDisire 6 ай бұрын
Naombanamba yasimu
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 6 ай бұрын
Kaka Mimi naomba kuhusu kz je baada ya iyo December sijui je kuhusu kaz zetu za kule Canada au US au UK je kunaingilika kaka kwanza nashukul kwa kuja Asante sana
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Zinaingilika
@MudyBoy-bl3eb
@MudyBoy-bl3eb 6 ай бұрын
Mzee magessa umeludi kaka kikazi na kichanga mzee January nakucheki
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@HakizimanaJumapili-k3e
@HakizimanaJumapili-k3e 6 ай бұрын
Ulizo unapomaliza kupanda Maombi yamtu huwaukimfahamisha kama ume kwisha kumtumiya ao?
@teklandungile3135
@teklandungile3135 6 ай бұрын
Yani umeuliza nachotamani kujua,yani mkishamalizana wasap yeye hana kbs kuwa naendelea kuomba au laa,au sijui ndio utaratibu wake,na anaemuombea anajuaje kama maombi yanaendelea au laa,wateja wako tunatamani hata mara moja kwa mwezi kujua chochote kutoka kwako,sio khs kuchaguliwa kazi,ila khs kama maombi Bado yanaendelea,asante kama utalifanyia kazi
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
🙏
@mbarikiaally2814
@mbarikiaally2814 6 ай бұрын
Ivi izo Kazi ukipata unafanyiwa internet view na kama lugha ujui inakuwaje
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@TeacherAbuu-q5x
@TeacherAbuu-q5x 6 ай бұрын
Unahitaji Kiwango Gani cha pesa ili Kupata Visa Ya kanada?
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@rachelmtemange5206
@rachelmtemange5206 6 ай бұрын
Kaka naweza ombea visa ya canada ya kutembea(tourist)kupitia nchi ya Arabuni niliko Sasa bila kurudi TZ??
@DennisMagessa
@DennisMagessa 6 ай бұрын
Unaweza Ila inategemea, Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048787
@rachelmtemange5206
@rachelmtemange5206 6 ай бұрын
​@@DennisMagessaAsante
@mahirweMerci
@mahirweMerci 5 ай бұрын
Jambo naomba wastapp yako mku
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@ReginaMussa
@ReginaMussa 6 ай бұрын
Jamani kaka Dennis,mie nililipa kutengenezewa vc toka mwez February, lakini mpaka nimekata tamaa
@amirydube9708
@amirydube9708 6 ай бұрын
CV sio vc
@ReginaMussa
@ReginaMussa 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 remember is the smart phone typing ​@@amirydube9708
@ReginaMussa
@ReginaMussa 6 ай бұрын
Usipoangalia inakupeleka itakavyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@amirydube9708
@amirydube9708 6 ай бұрын
@@ReginaMussa hahhahahaah sema yote na yote ni kwenda Mbele tutafute pesa kabla ya ivyo vyote
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 ай бұрын
​@@amirydube9708😂😂😂😂😂
@marthamuthoni8348
@marthamuthoni8348 3 ай бұрын
Umbalikiwe kwa KAZI zuli unayo ifanya
@DennisMagessa
@DennisMagessa 2 ай бұрын
🙏
@EmanuelMusa-m6w
@EmanuelMusa-m6w 5 ай бұрын
Oy kaka ofis yako ikowap
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@MohdShaib-q8b
@MohdShaib-q8b 5 ай бұрын
Kk vp vza ta kwenda kutembea wanatowa
@DennisMagessa
@DennisMagessa 5 ай бұрын
Yes Boss wangu, Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
Canada Biometrics Requirements: Immigration Lawyer
6:00
GOOSELAW Immigration with Lawyer Donovan H Francis
Рет қаралды 45 М.
Huu Ndio Ukweli Kuhusu Kazi Za Vibarua Canada
21:30
Dennis Magessa
Рет қаралды 6 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Visa Conspiracy: Visa fraud at the US Embassy in Nairobi
34:15
KTN News Kenya
Рет қаралды 350 М.
Usiamini kila unaemuona Mtandaoni True Story
7:59
Dennis Magessa
Рет қаралды 138
Jinsi ya kupata kazi za kulipiwa Nauli na Visa, CANADA na UK
18:44
Dennis Magessa
Рет қаралды 4,4 М.
Umri gani sahihi kwenda Ulaya, Canada, USA? Je, nimechelewa?
8:42
Thousands of Christians Convert to Islam After Humiliating Muslim Boy
17:20
Fursa nyingi zipo Canada, ila angalia MATAPELI kuwa makini
8:32
EBM SWAHILI
Рет қаралды 19 М.