My country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love Kenya, sisi kama Gen z
@gladnessfinda753412 күн бұрын
Ndugu zetu wakenya daah.Hatari. But navyoona Kenya democracy ipo open sana compared na nchi zote za Africa. I like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Jingajinga6410 күн бұрын
Uko sawa kaka. Tunawapenda sana
@miaduana12 күн бұрын
They are enjoying the show 😂
@twaahbrown104211 күн бұрын
Sio police wa Kenya Wana uvumilivu ni katiba yao huwezi kumpiga mtu public mbele ya camera harafu zaidi mwanmke anaenda jela hii sharia ipo Hadi South Africa police haruhusiwi kumpigaa raia hata afanye kosa gani.
@marymutai144011 күн бұрын
Poor parenting in my country Kenya . So sad, nothing to be proud as a parent
@artisthusnatalal30994 күн бұрын
Exactly
@erickanyugo32537 сағат бұрын
Malaya wewe?!ll Tombwa
@simonkylian1211 күн бұрын
Angekuwa mwanaume angekuwa kwa land cruiser
@bavonichristopha169312 күн бұрын
Daaah Sema huyu mdada ni pisi kali sana
@paschalsafari974712 күн бұрын
Sanaaaaa
@user-qq6mv6vh3e11 күн бұрын
Kabisaaa
@salama111312 күн бұрын
Uvumilivu au wamesoma wanajuwa hake yake😂😂😂😂
@marymutai144011 күн бұрын
I’m a Kenyan but, this is totally disrespect. Tz keep it up, you guys mko na nidhamu
@jullostephen909010 күн бұрын
You must be sick upstairs
@carolinekasiemeka984810 күн бұрын
Your name betrays you. I am not amused.
@marymutai144010 күн бұрын
@@carolinekasiemeka9848 continued being Amused. Asante
@marymutai144010 күн бұрын
@@jullostephen9090 I understand you Kenyans mko na malezi mabaya. Asante
@jullostephen90909 күн бұрын
@@marymutai1440 malezi mazuri pelekea watu wa kwenu alaaa
@landmadvdmbeyacity956112 күн бұрын
Hui ndo utofaut wa Tanzania na Kenya ucheze na bongo hivi
@kiatu12 күн бұрын
Kiwango chao cha civil knowledge kiko juu sana - wengi ni graduates (mapolisi wa Kenya). Wanajua mipaka ya kazi zao.
@vanessalaizer436312 күн бұрын
@@kiatu mmmh
@alphablondponera236712 күн бұрын
Kiwango ch civil kikubwa polisi uko na silaha unaruhisu kushikwa shikwa ..hata marekani kwenyew hii sijaona
@Jingajinga6410 күн бұрын
@@vanessalaizer4363Hey yo!! What's up?
@Jingajinga6410 күн бұрын
@@alphablondponera2367 tuko juu sisi huku kenya usitufananishe na wengine haswa hao marekani wanodhalilisha ndugu zetu huko na kuwabagua. Tukimalizana na huyu mkuu huku tunakwenda huko lakini kwanza tutapitia hapo😅😂
@Jingajinga6410 күн бұрын
@@vanessalaizer4363 Hey sis!! What's up?
@jumanyanzi8709Сағат бұрын
Kenya democracy iko juu sana
@paulinewangila-cs6ys12 күн бұрын
Huyu msichana aliomba ruhusa ili afanye hivi nilikuweko hapoooo😂
@Realme-xm3sh11 күн бұрын
Kweli atami nilikuwepo😂😅
@Jingajinga6410 күн бұрын
Mimi pia 😂😅
@jeremiahcharles602712 күн бұрын
Ila majamaa Kenya Wanamasifa sana
@Jingajinga6410 күн бұрын
Hehe😅😂 asante kaka ndivyo tulivyo ila tunawapenda sana
@jeremiahcharles602710 күн бұрын
@@Jingajinga64 😁😁😁
@festohaule971612 күн бұрын
Polisi wa Kenya ni wasomi.. kacheza tu hana kosa lolote... Kenya wanajua vyema haki zao sio kama Sisi Ng'ombe wa Tanganyika!!!!
@Jingajinga6410 күн бұрын
Wamemuhukumu kijana wenu bila ya hatia yoyote mpaka raia wakamchangia na kumlipia fine. Waache waendelee kuwahamasisha raia kwa matendo yao yadhulma. Wakati utafika hata huko niamini
@festohaule971610 күн бұрын
@@Jingajinga64 Amini kabisa Tanganyika itarudi ni swala la mda tu....Leo tunatawaliwa na Ndugu wa kambo anaamua chochote anauza malango ya Nchi bila woga...Kuna mazezeta kazi Yao ni kushangilia tu!!!!
@smartmuk81392 күн бұрын
Kenya Democracy is 100 miles away from Tanzania. Kenya is king
@shery-bf8xh12 күн бұрын
Hamjui polisi wakenya ni washerati😂😂😂
@vanessalaizer436312 күн бұрын
@@shery-bf8xh aaah vinapenda ngono ee?
@IsaacParuz12 күн бұрын
Hii haijakaa sawa maana hii ni dharau... Ndugu zetu wakenya mnaharibu u serious wa kile mnachokipambania
@p.be.s12 күн бұрын
Kaa kwa mamako na ujinga wako huo. Kenya ina sheria. Polisi si Mungu. Freedom or death.
@Mariam-fm8vq12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakae kwa kutulia kwan polisi hawataniwi
@user-yj5on8cz3e11 күн бұрын
Yani mtu yupo uchii hana habar na khofu kwa mungu sijui hii dunia munaichukuliaje ninyi kina dada wa hivi yani makwapa matiti nje arafu anacheza mbele ya watu ambao so waume wake
@artisthusnatalal30994 күн бұрын
Hawajali hawa😢
@princejamaalvevotv252511 күн бұрын
KENYA NCHI TAMU SANA ILA RUTO ANATUARIBIA NCHI THOUGH TUKO NGANGARI NA TAYARI KUMTOA KWA KITI 2027
@user-qb4cv7hs1o12 күн бұрын
Wezi hao na mapepe wapigwe wote
@michaeljuma776412 күн бұрын
Tunavuta mpaka tear gas. Huku Hawa Gen Z ni balaa tupu😂
@exaverysimon106412 күн бұрын
😂😂😂 DONT DO THIS TO TANZANIA SOLDIER 😂😂
@KS-iw7qv12 күн бұрын
Thubutu... hata utaweza hata kufikiria... 😂😂😂
@vanessalaizer436312 күн бұрын
@@exaverysimon1064 hawa wa Tz ni askari haswa sio askari jina tu.
@MashaMbwana12 күн бұрын
@@vanessalaizer4363 😀😅😅😅😅
@erickanyugo32537 сағат бұрын
Maumbwa...hata hawajasoma
@RamadhaniMohamedi-de2vc11 күн бұрын
Malaya tu ivi kunamausiano gani kati ya mandamano nakukata viuno uwo ujinga wapambane na kitu chao uyo kaenda kutafuta kiki nakashaipata.
@PeterAmollo-pk2lo5 күн бұрын
Kumbavu mkubwa wewe....🤬🤬🤬🤬
@graceamadi10962 күн бұрын
Ramadhan alikuuzia ndio umuite malaya, stop judging maana ata wewe haujui kama utaingia mbinguni. She is creating her content
@RamadhaniMohamedi-de2vcКүн бұрын
@@graceamadi1096 tatizo sio kwenda mbinguni ishu ya hapo watu wanapambana na haki zao yeye anakata viuno ivi alifuata mandamano au kukata viuno usitete ujinga watu wanakufa wengine wanaumia yy anacheza mziki siwezi kukubaliana nailo sawa kila mtu na akilizake l'm so sorry for that.
@RamadhaniMohamedi-de2vcКүн бұрын
@@graceamadi1096 kwa mfano mbele kuna watu wanakufa alafu muda uwouwo unakwenda kucheza mziki ivi watu waliokua hapo watakuchukuliaje et?.
@abdulmohd688012 күн бұрын
Mamae km n askari wa Tz angelikwisha kula mtungo😀
@merkiller12 күн бұрын
Askari wa Tanzania ni kama mawatchmen huku kwetu banaaaaa,,,,,,, Tanzania Tanzania kitu gani
@edithmushy101011 күн бұрын
@@merkillernjoo ujaribu Kama utarudi kwenu salama
@MashaMbwana12 күн бұрын
Jaman Gez Z manaake nini msinicheke lakini😊
@Mariam-fm8vq12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂maana yake ni kizazi kipya mwanya hawa watoto wa 2000 sasa
@DjsmokyUrban12 күн бұрын
born 1997 mpaka 2012
@Proffyumz12 күн бұрын
generation Z
@rumdeesonsoa181112 күн бұрын
Ni hawa ambao kwa Tanzania tunawaita watoto wa 2000. Kwa Kiingereza wana jina lao, wanafahamika kama generation z
@MashaMbwana12 күн бұрын
Asanteni kwa majibu
@nativeson1559Күн бұрын
Kenya my country. When people say Kenya sihami, they really mean it. Gen Z, you people are a little high.
@Blackboy_Africa2 күн бұрын
Niowe Tanzania natafuta nini My child needs to be brave and strong, I must cry, here in Tanzania there is no difference between men and women😂😂
@WinfridaNdege12 күн бұрын
Naona kama hana nidhamu😢
@erickanyugo32537 сағат бұрын
Babako ana nidhamu akilala na watoto wa shule?
@bakariomari24omar2111 күн бұрын
Polisi wakenya c eti niwavumilivu wamechoka kutumiwa vibaya wakati wakubwa wanakula hela wao wakiambulia mishahara duni
@irenematari621811 күн бұрын
😂😂😂vitoto vya raila😂😂😂kuna Africa af kuna Kenya nchi yangu ❤
@stonetown57812 күн бұрын
Polisi wa Kenya wana ustaarabu sana.
@elbaricktv163211 күн бұрын
Spati picha wangekua police wa Tanzania walivyo na masifa wangeondoka nae kimya kimya😂😂
@rosemaryogambe449811 күн бұрын
👊💯
@zainabwage465811 күн бұрын
Umalaya tu ajielew
@zuwenasalim279412 күн бұрын
Tz angevunjwa na hiko kiuno .saiz angekuwa anaongea na POP
@albertshao483412 күн бұрын
Huyu anataka mashine ya police 😂
@user-qq6mv6vh3e11 күн бұрын
😂😂😂
@bwwm79144 күн бұрын
Ati polisi aliomba namba za simu kwa mazungumzo zaidi😢
@MajutoElliasi12 күн бұрын
Waoooo ❤❤❤❤ wape dada
@user-jo3cs3yu3o9 күн бұрын
Police wajanja na Akili nyingi. Wanajua Umbwa akipanda kwenye nyumba yani MTU amempandisha tuko chini.
@ankalmzito25412 күн бұрын
😂😂na umesahau wengine waliibia polisi 👮 tear gass
@rosemaryogambe449811 күн бұрын
😂😂
@softymoha54845 күн бұрын
ujinga mtupu....wasichana hawana nidhamu...shenzi sana
@thamani584211 күн бұрын
ASKARI wa Tz popote mlipo msikubali huu ujinga mkiwa kazini
@rosemaryogambe449811 күн бұрын
Hehe wachamakasiri bhana 😁
@Jingajinga6410 күн бұрын
Hehe😂😅 wakati wenu utafika. Tulikuwepo hapo mulipo. Mukikua mutayajua
@user-qq6mv6vh3e11 күн бұрын
😂😂😂GNz noma kabisa
@eben_ezer885312 күн бұрын
Katiba inawalinda hawezi fanyiwa chochote ila ingekuwa. Huko kwenu kesho katekwa😂😂😂😂😂😂
@sabihasalim94212 күн бұрын
😂😂😂
@dogodogo59512 күн бұрын
Huku TZ wafanyie hivyo wale wanaoitwa ffu uone 😂
@beingjoan366012 күн бұрын
Maandamano ya amani,got tht?
@Jibambeshow254k12 күн бұрын
Hao mapolice wenu Watanzania 🇹🇿 wanajua nyii ni waoga ndio maana mnaavurugwa tu wanavyotaka hapa kenya hio ukoloni tulikataa hatuko uzunguni kilamtu anauhuru 😂 bora tu usikeuke sheria
@eldios83112 күн бұрын
Don't confuse katiba njema tuliopigania na yenu inayo wafanya chawa wa rais
@nancywanjiku155412 күн бұрын
They are enjoying the show..😂😂😂😂
@user-xs3ko8pg2g9 күн бұрын
Wakenya nawakubali wanajua kudai haki zao, sio machawa wetu mwinjaku na sepetu na steve mangiri wa ccm
Sisi wakenya niwasomi kwani wamuona aliomba ruhusa mwanzo
@lisawilliam249112 күн бұрын
I like it so much 🤣🤣🤣🤣
@simondickson641212 күн бұрын
Hao waje tz tuone nn kitatokea😂😂😂
@hashimuuhehwa425212 күн бұрын
Police wa Tanzania wanakimbia wote na hata kaa watake upolice tena, Gen Z ni noma eti usifanye utani kabisa
@Jibambeshow254k12 күн бұрын
Nyi niwaoga 😂 siku mtaweka uogakando watawaheshimu n mtakua huru
@eldios83111 күн бұрын
Huko tutatuma Ian njoroge peke yake 😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni967612 күн бұрын
Ni hatari😂
@hamadsheni899711 күн бұрын
Huyu ingekuwa tz angepgwa rungu na ffu.mpka angemkumbuka bibi yke.
@pacomezouzoua917511 күн бұрын
Ila harmonize
@MjMohammed-nt6fq11 күн бұрын
Nyie wakenya wapumbuvu njoeni tz unye mavi hadharani
@IrankundaAnit12 күн бұрын
Mwanamke haokopi jeshi ataogopa mumwe wake😅😅😅😅
@joycekisamo489611 күн бұрын
Hatakiwi kumwogopa mume wake; ni wote kuheshimiana tu
@shaviercharvinho1812 күн бұрын
😂😂😂😂😂askari wa bongo tena
@salimbilali517411 күн бұрын
Hahaah sio kuwa polisi wako soft kaka blaza ata polisi ni binadamu si wanaenjoy vitu vibichi
@agwalubifaridah707911 күн бұрын
😂😂😂😂ilove my country
@MohdAli-cx7bc12 күн бұрын
Uyu ndio alicia kanini
@CHIM0N1T12 күн бұрын
Kaka marekani tu hamna kosa alilofanya
@abhaijar407811 күн бұрын
Njoo Tanzanian kadada uone
@hafidhhafidh144112 күн бұрын
Police wa kenya uzuri wao tunakula nao tunakaa nao mtaani ndio mna wengi huwa wanafanya kazi tu lkn hawana shida na watu wao
@alibinali_11 күн бұрын
Hiyo siku police walikuwa waki wapa watu nyakula na pia kulikuwa na sherehe pale Uhuru Park Mambo kama hayo ni kitu chakawaida kwa sababu wako na uhuru na freedom of speech
@minabw730111 күн бұрын
Ni Gen Z generation Z sio gez ndio maana huwa wakenya wanaonaga hatujui kingereza sababu ya watu kama nyie
@bettynjoki-kk9sm12 күн бұрын
Wachana Na wakenya American ndogo
@thelonewolf442912 күн бұрын
Wanauchokozi na wakipigwa utaskiya ooh wametuuaa. (Ruto tu nikibaraka aende)
@billjames121612 күн бұрын
Ww shinda hapo Tanzania uhuru wenu unategemea rais ss wakenya tunategemea katiba Ruto ni nani??sasa unataka wa uue mtu kwa sababu ya densi ndio maana africa hamuendelei na fikra za kijambazi
@africanmandetraveler284711 күн бұрын
@@billjames1216kabisaa
@Gody36012 күн бұрын
Kenya kichwa ngumu
@allymtunge553012 күн бұрын
Usogei apo kabis tz
@LiziWawuda11 күн бұрын
Tanzania hakuna democracy
@khurlainashly568612 күн бұрын
Mamawee 🤣🤣😆😆😆😆
@ilynpayne749112 күн бұрын
Mdada hana a habar
@ZubeirJuma-up7kb12 күн бұрын
Polix wa tz wanajiona kama watowa roho mashahara unamfanya amuuwe ata nduguye
@filmsx648411 күн бұрын
SKy young killer katoa nyimbo kakudiss 😂😂😂😂😂😂😂😂 sema tusimfananishe na kizazi cha gen z yuko mbele ya muda kama kendrick lamar