GHAFLA RAIS SAMIA AINGIA KARIAKOO NA GARI LENYE NAMBA ZA KIRAIA

  Рет қаралды 204,878

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 280
@bushparty9588
@bushparty9588 3 жыл бұрын
Mama Rais Samia,kwa siku zote nimekuwa nikikufatilia tangu Baba atuache mayatima.Leo ndio siku ya kwanza nimeona umeanza kazi rasmi.Kiuhalisia nilikuwa nimekata tamaa maana naona ni panga pangua na ziara tu kila kukicha.Mimi niko nje ya nchi ila naifatilia sana nchi yangu maana ndio roho yangu.Tunahitaji kazi na maendeleo zaidi kama alivyotuachia Baba JPM na sio power recognition among the people.Tushakukubali na tunakuona kama JPM,chapa kazi mama.Nitaangalia next episode nione ni nini ulifanya kwenye hii ziara ila kwa hakika umefufua matumaini yangu tangu uapishwe.Otherwise,may time be the measure of your diligence for future terms.......Thanks Millad Ayo.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Tusimfanye hayati JPM kuwa ni benchmark ya kumpimia Mama Samia. Hii ni unfair kwa mama Samia. Binadamu tupo tofauti. Kila 1 ana mazuri na mapungufu yake. Tuelekeze macho kwenye mazuri. Naamini mama alikuwa anapanga safu kwanza. Sasa team imetimia, ligi kuu imeanza rasmi. Kazi iendelee.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Rais kafanya kazi ya Mkuu wa Mkoa, badala ya kuyashughulikia mambo mazito 🤔🤔🤔 Mungu ibariki Tz...
@bushparty9588
@bushparty9588 3 жыл бұрын
@@Ali-nl2du hilo nalitambua ndugu,ninachosisitiza ni upambanaji zaidi maana nchi yetu ilipo ni kukaza buti zaidi maana second world country inamaanisha ni mapambano zaidi kupitia viongozi wenye weledi.Kwa suala la kumuweka JPM as the benchmark reference ni lazima kwa sababu ukitaka kuijua giza lazima uijue nuru kwanza.Anyway,ni mtazamo wangu kama tu ulivyodokeza kuwa kila bunadamu yupo tofauti na mwingine;likewise,JPM's era is currently my weakness hence needs no less than that for upgrade.
@bushparty9588
@bushparty9588 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 kabla umchape mtoto kuwa mtoto kwanza,anafanya basics.Tuwe na imani nae tu,yuko sawa
@priscadaudi7578
@priscadaudi7578 3 жыл бұрын
Kabisa
@loxlox3414
@loxlox3414 3 жыл бұрын
Kura si zake zamwamba jpm aiweke roho yake sehem salama mwamba yule
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Na yy pia
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 3 жыл бұрын
Unamaanisha nini sasa? Mfufue jpm basi.
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 жыл бұрын
Mmmh
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 3 жыл бұрын
Samia watumikie wanyonge, wasikilize na watatulie changamoto zao watakupenda
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Mhmhmhmh... Tz Nchi ya wanyonge tu ?! No comment... Napita tu... 🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
@franceally7615
@franceally7615 3 жыл бұрын
Proud of you Mama 🙏
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 жыл бұрын
Mibarakoa
@franceally7615
@franceally7615 3 жыл бұрын
@@mathewungani9724 imefanyaje
@godfreyfrank5354
@godfreyfrank5354 3 жыл бұрын
huyo camera man kanichekesha sana 😂😂😁
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Kidogo aanguke....
@eastafrica6858
@eastafrica6858 3 жыл бұрын
Kariakooo kuchafuu jamani mitaro ya chemba kila coner
@jumakapola419
@jumakapola419 3 жыл бұрын
Mama wasaidie sana wamachinga uyo mkuu wa mkoa dar ameanza ubaguzi wa kipumbavu sana wamachinga ndio waliyo wapigia sana kula mama muwakumbuke sana ata hayati baba yetu kipenzi cha watanzania jonh joseph pombe makufuri aliwatetea sana wamachinga mama usisahau usia wa baba
@youngfoxjr.59
@youngfoxjr.59 3 жыл бұрын
Haha noma ww nakamela yako waenda wapi utaopigwa ufe bule 😂😂😂😂
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 yaani mm nimecheka kwerii uyo nakikamele chake jamni
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
😁😁😁
@godfreyfrank5354
@godfreyfrank5354 3 жыл бұрын
😁😂😂
@MahmoudMohamed-ct8no
@MahmoudMohamed-ct8no 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 yaaani wewe jamaa ulieandika hii comment umenivunja mbavu kwa kucheka
@paulalphonce7966
@paulalphonce7966 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@kasimmarko5513
@kasimmarko5513 3 жыл бұрын
Mama na mkubari sana hii awamu atuesabu miaka 4 kama ofa tu.mwaka 2025 mama miaka 10 halisi hkuna rais ambae kaongoza miaka 4 kwenye katiba ya jamhuri ya muungano mama miaka 10 jumla miaka 14.
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
hana lolote uyo mama mpuuzi tu fyuu zake
@aishajuma260
@aishajuma260 3 жыл бұрын
Mama🙏🙏🙏🤣🤣🙏
@nakimteti7249
@nakimteti7249 3 жыл бұрын
ujui katiba.... ataongoza miaka 10... mwisho 2030
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Sasa kariakoo kafuata nini??
@staralive9260
@staralive9260 3 жыл бұрын
@@nakimteti7249 Atakuongoza wewe subilia USIFANYE Imagination utaona tutakavyowanyoosha.
@immasaid667
@immasaid667 3 жыл бұрын
Gafra wapi wakati barabara yeupe hiyo
@omarymtegwa2299
@omarymtegwa2299 3 жыл бұрын
Ghafla huku na ulinzi kuweni seriously Ayotv
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
Wajnaa yaaan na njia ni nyeupe kabisaa 😂😂😂😂
@omarymtegwa2299
@omarymtegwa2299 3 жыл бұрын
@@ommymehmed8880 kabsaaa wajna
@sebastianmcharo3468
@sebastianmcharo3468 3 жыл бұрын
Barakoa tena za kazi gani
@lamekchazy5802
@lamekchazy5802 3 жыл бұрын
Ya ni vizuri mama kutembelea machinga na kujua kelo zao Ila jitahid mama kutembelea maeneo tofauti tofauti isiwe dar tu mikoa IPO mingi tu Tanzania na kelo za wananchi wako ni nyingi ukifanya ivo wananchi wanyonge na masikini watakupnda
@michaelpeter7527
@michaelpeter7527 3 жыл бұрын
Kariakoo leo pasafi machinga wametolewa kwa muda
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HADI RAHA
@hizamp1827
@hizamp1827 3 жыл бұрын
Asante kwa taarifa kwa wakati
@jtheophil5499
@jtheophil5499 3 жыл бұрын
Im speechless🌹
@thinker1094
@thinker1094 3 жыл бұрын
Kwa elimu, tiba,burudan,michezo na matukio nifollow instagram kwa jina la; Talented Man in Africa
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 3 жыл бұрын
rest in peace magufuli watu wako wamekusahau mapema sana 😢😢
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 3 жыл бұрын
🤣🤣
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 жыл бұрын
Hakuna namna ndugu ndomana ya kifo
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Hatuwezi kufanya kila alilofanya yy, mengine aliharibu
@eliabuedward8755
@eliabuedward8755 3 жыл бұрын
Huu utawala wa mwendo wa barakoa mpaka basi
@petermwimanzi4717
@petermwimanzi4717 3 жыл бұрын
Jaman ya mungu mengi hakika hatuijui kesho yetu et hapo ndo pameungua dah poleni Sana ndugu zangu mungu Awatie nguvu
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Kwahiyo WaTz wote ambao hawajavaa mask hawana akili, si ndio maana yake?
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 3 жыл бұрын
unabisha vitu vya kijinga sana kwani umekatazwa kuvaa au kutovaa mask niaje wewe.
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
@@sleymohamed3825 Nimeuliza tu
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
@@mybrevisai2508 wajinga ndio
@ismailsalumu6398
@ismailsalumu6398 3 жыл бұрын
Mama urais umeshaamuiva tayar, nakupenda sna samia
@harunaomary660
@harunaomary660 3 жыл бұрын
Sasa apo gari ni Ile ile wametoa nmb Ile wameeka iyo alafu na walinzi sio gafla
@selemanjuma1595
@selemanjuma1595 3 жыл бұрын
Madaraka ya kuingili mlango wanyuma hongera kwako mama
@saifaljahwai1880
@saifaljahwai1880 3 жыл бұрын
Maskini imenitowa machozi kusikia neno maama, maama, maama, hii inakuja wakati mama mzazi akija kutoka safari akifika kwa watoto wake huwa sauti hizi ndio mapokezi yake
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Nani kama Mama...! 💕🌹🇹🇿
@tatumohamed5088
@tatumohamed5088 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Unatembelea kariakoo unaacha bank wanaiba mabilioni ya pesa kweli u9ngozi unq mambo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
🙄
@azizikibwana4802
@azizikibwana4802 3 жыл бұрын
sasa we ulitaka afanyaje ebu achen ushamba wenu Kwan kusikiliza Kero za wanach dhambi
@djdisboy255tz
@djdisboy255tz 3 жыл бұрын
Nani kaona ako ka maandishi was habari kamevutwa
@hafidhuayubu6256
@hafidhuayubu6256 3 жыл бұрын
Hyo jamaa ,mwenye camera
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 3 жыл бұрын
What a happy day for them
@mobellamobenimpenda7055
@mobellamobenimpenda7055 3 жыл бұрын
MashaAllah mama kama mama tunakupenda
@boniphaceabbas8238
@boniphaceabbas8238 3 жыл бұрын
Mara eti ooh mbona huyu hana makomandoo na mabunduki mengi Kama ilivyokuwa kwa anko jpm sasa hao ni kina joti au? Pili kushitukiza kakosea style wale askari wangekausha wangeingia kimya kimya tu.
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Unadhani huyo ni raia aingie bila askari. Ni amiri jeshi mkuu. Lini magu kashtukiza peke yake? Kakojoe ukalale
@saidtembele3070
@saidtembele3070 3 жыл бұрын
Dah ka Camera man ka watu kamevutwa huko
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
😃😄🤣😆😂😀
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 жыл бұрын
Mama anapendwa jaman maashaallah
@mrishomrisho5349
@mrishomrisho5349 3 жыл бұрын
njoo na magomeni kuna tatizo kubwa sanaaa soko jipya
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 жыл бұрын
Gari lenye namba za kiraia?
@yohanadeusi5660
@yohanadeusi5660 3 жыл бұрын
JPM alitengeneza njia itumieni vzr sisi wanyonge tupo msitusahau
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Hizi kazi za masokoni, madarajani siku za nyuma alikuwa akizimaliza Makonda, Rais alikuwa anashughulika na mambo mazito. Hizi ni kazi za wakuu wa Wilaya au Mkoa sio kupoteza muda wa Rais hii sio sawa
@isayakoroso2499
@isayakoroso2499 3 жыл бұрын
Acha umbea na chuki wewe kilaza yule dikiteta wenu yeye ndo alikuwa Raisi mzululaji kuliko wote, pia yule wenu mwenda zake ndo alikuwa Raisi wa kwanza kula mahindi barabarani, lazima mkubali nyie sukuma Gang kuwa yule haludi tena na yupo uko anakula adhabu balaaaaaaha
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
@@isayakoroso2499 we utabakia maisha
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
@@isayakoroso2499 Nadhani wewe ni kilaza namba moja acha kuangalia mambo kwa jazba na mhemuko mimi nauunga mkono mama Samia ila ninachosema Wakuu wa Wilaya na Mikoa kazi zao ni nini mpaka sokoni mpaka aende Rais. Rais ana mambo mengi ndio maana ana wasidizi wake ila kama wasaidizi hawtekelezi majukumu yao ipasavyo ndio Raisi anakuwa hana budi.
@hobokelajackson1947
@hobokelajackson1947 3 жыл бұрын
Na Rais pia yuko chini ya vyooooooooooote
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
@@isayakoroso2499 Wewe utabakia milele???
@moneytrainingmaker5522
@moneytrainingmaker5522 3 жыл бұрын
Kwel katisha
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Hao mabaunsa mbona kama wa WCB ? 😂😂
@husnasaidihasani7172
@husnasaidihasani7172 3 жыл бұрын
Shauri yako mi simo😂😂😂
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
Kasogee unye
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
Hili ndio gar lake ila plate imebadilishwa
@justinashayo3743
@justinashayo3743 3 жыл бұрын
Kifo cha magu ni mipango ya Mungu. Mama ongoza usijali maneno yetuuuuh. Uko vzr
@azizikibwana4802
@azizikibwana4802 3 жыл бұрын
kabisaaa mung ndo kila kitu
@starboy7146
@starboy7146 3 жыл бұрын
Wahuni tukajua rayvanny kaka kutoa mahela🤣🤣🤣
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 жыл бұрын
Sasa mabodgad wanawake kibao kwann watu waache kujua anaepita Ni Samia tu hata Kama akiwa ndan ya katapila watajua tu🤣
@kennedymtweve3187
@kennedymtweve3187 3 жыл бұрын
Raisi wa wakina mama
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 жыл бұрын
@@kennedymtweve3187 na nyie kina baba tafuteni Rais wenu
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 жыл бұрын
Shida barakoa tu
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 3 жыл бұрын
Haya mabarakoa siyapendi kabisaa na hapo ndiyo naona hafai
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Masks zinafaa kwenye umati kama huu...
@sayman158
@sayman158 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 wapiii wewe juzi tumeangalia fainal ya uefa hat hao wazungu hawavaiii.....siku hizi..
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Watanzania mnambwembwe dah
@hamzamnyawami6894
@hamzamnyawami6894 3 жыл бұрын
Kiki zimejaa huku km diamond tu 🤣🤣🤣🤣
@masalupeter3561
@masalupeter3561 3 жыл бұрын
Duu hili ndio soko linalo ungua!!! Poleni mliopoteza Mali zenu
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 3 ай бұрын
😂😂watu nakamela zetu hatuchelewi
@nalyismail9915
@nalyismail9915 3 жыл бұрын
Kumbe alifika kabla saa inginee ndio maana wamebutuaa motoo
@faustermathiasfaustet5362
@faustermathiasfaustet5362 3 жыл бұрын
Hahahaaaaa! Nmeixhia kucheka na uyo kamera man
@mohammedhussein6748
@mohammedhussein6748 3 жыл бұрын
Mashallah
@eddyjosephmagenge9658
@eddyjosephmagenge9658 3 жыл бұрын
Ila mbona hajaongea na wananchi ili weweze kutoa kero zao hadharani? Rais bado JPM Ni namba 1. Anyway nimpongeze Sana mama Samia ,bila shaka kidogo kidogo mambo yatakuwa sawa.🙏🙏🙏
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
WaSenGe ni WenGi tu WeWe nDio mmojAwaPo
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
True
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Huyu ndiye rais kama inakuuma sana nenda chato huko makaburini.
@piusjuma7384
@piusjuma7384 3 жыл бұрын
Yaani hivi ndivyo watu wanavyotaka watakukubali tu
@emmanuel_mihambo3
@emmanuel_mihambo3 3 жыл бұрын
Hawezi tumikia wanyonge ngoja tusubili tena ziara afu tupigwe tena azina
@azizikibwana4802
@azizikibwana4802 3 жыл бұрын
we ndo unaweza ebu mumuache mama afanye kazi kila kipind na dhama zake
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 3 жыл бұрын
Barakoa za nn sasa
@elialukombo6171
@elialukombo6171 3 жыл бұрын
Hio si ile gar yake ila tu wameweka plate number ya kiraia😁
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Kiraia wakati wanajeshi wako wengi hovyo
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 3 жыл бұрын
Mmmmm
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
😷😷🙄
@mchambawimakilasiku1349
@mchambawimakilasiku1349 3 жыл бұрын
Wabongo wacheni visa nyie, sasa mama kasahau kununua kitunguu au ni kitu gani, yaani tangu iingie hii mitandao viongozi wote hovyooo hawajui chakufanya ili mradi tu waingie kwenye mitandao na watu wawaone wanacho kifanya hakijulikani.
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Mama kama Mama
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 жыл бұрын
Basi wasiokosaga la kukosoa watakwambia matumizi mabaya ya plate number
@hamzamnyawami6894
@hamzamnyawami6894 3 жыл бұрын
Yy na mibarakoa tu ,,,
@barakamwamkinga4624
@barakamwamkinga4624 3 жыл бұрын
Mama tatizo hatukuzoea balakoa kwa mfano mi binafs
@dennismwambenja6399
@dennismwambenja6399 3 жыл бұрын
huku unazuga tu ili usiulizwe upigaji mkubwa unaoendelea na kweli unawapata
@gebborecords
@gebborecords 3 жыл бұрын
Barakoa za Nini Mama ????
@simondangote3245
@simondangote3245 3 жыл бұрын
Hilo ndio swli la kujiuliza
@gebborecords
@gebborecords 3 жыл бұрын
@@simondangote3245 Anatuuza huyu Mama , yaany hatutendei Haki Kabisaa , naanza kuamini maneno ya Watu sasa ,
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
Nimeangalia nikajikuta nakasirika
@gebborecords
@gebborecords 3 жыл бұрын
@@tumainsawe6960 Daah yaaany ...noma saaana
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Acha upumbavu wewe huyo ndio rais wa nchi heshimu mamlaka,
@safaristanley7215
@safaristanley7215 3 жыл бұрын
Usafi sasa utazingatiwa shimoni
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Huko shimoni nakumbuka niliingia mara moja tu nikasema sitarudia nihatari
@kabalajunior5441
@kabalajunior5441 3 жыл бұрын
Camera man🤣🤣🤣
@gt.mkushimakoba531
@gt.mkushimakoba531 3 жыл бұрын
Tunaimani kubwa sana na Mama Yetu...
@paulosamusonnigo745
@paulosamusonnigo745 3 жыл бұрын
Gomaiko pow
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
Mama kaishafika dodoma muda tu
@ishoboebaazazi4790
@ishoboebaazazi4790 3 жыл бұрын
so mama na yy kashaanza kutembea tembea
@Aysha-ms3ln
@Aysha-ms3ln 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣watu wanamsema sana kua anakaa tu ikulu
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 3 жыл бұрын
Safi lakini mabarakoa ya nini
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Kuna msongamano wa watu huko Kariakoo,,,
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Me nilijua kaenda kusikiliza kero za wananch kumbe alienda kutembea ok sawaa.
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
😪😪
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 3 жыл бұрын
Nonsense
@amrimzee7492
@amrimzee7492 3 жыл бұрын
Asante Sana Mama kwa upendowako dhidi ya tanzania yetu
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
Upendo hahahahaha
@msalikemedia
@msalikemedia 3 жыл бұрын
Hahaha
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Mambo niiiiiih 💥💥💥💥💥
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 жыл бұрын
Mama kuwa na JPM tutakupenda, tulimpenda JPM kwa uongozi wake kwa kupenda nchi yake kuilinda kutoka kwa wanyonyaji. Tulimueshimu kikwete kama Rais wa nchi lakini hatukuwa na mapenzi nae kwasababu sababu alikuwa Rais wa matajiri. Matajiri walikuwa hawaeshimu sheria za nchi wakanunua mpaka Coco Beach japo sheria za nchi haziruhusu. Wapo waliodiliki kuwaambia viongozi wa chini hawaongei na mbwa wanaongea na mwenye mbwa. Tunakuomba tusirudi huko tutakupenda kama kiongozi wetu.ukiacha sera za JPM hatuta kuelewa kwasababu Watanzania walio wengi walizikubali. Sera za kikwete hazina mvuto kwa Watanzania walio wengi. Kama humfuati JPM 2025 itakuwa ngumu. Mitaani kuna Majonzi na machungu. Mungu akusaidie Mama YETU. RIP JPM!
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 жыл бұрын
Mama kazi inaendelea...
@phabiancharles9345
@phabiancharles9345 3 жыл бұрын
0000000000 (4) 000000 sikuzote mtanzania anajuwa kushangiriatu angalikwa tangia angie mdarakani amefanya nini ndiouwanze kupongeza shida tu mambo ariyo kuwa anafanya magufuri ndiyo yanaenderezwa kwashida tu napo ## mufikirikwanza sio kupongezatu## kwamagu awezi kufikia kwenye ziara zakushutukiza .
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 3 жыл бұрын
Usitake m2awe km yule,kila m2 na karama zake hat magu alikua na mapungufu yake,miezi miwili unataka uone jipya gan?unadhan kukabidhiwa nchi ni sawa na meza ya nyanya?
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
POLE MJANE.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@hassankhalid2465 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
KESHA KUFA ATAWEZA VP.
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@deejeydaev
@deejeydaev 3 жыл бұрын
Dahh yani simple tu ... Hakuna complications za ulinzi.. Mama mwenye Tanzania yake uyo!!!
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 3 жыл бұрын
Mama kama mama Appreciate you
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 3 жыл бұрын
Powerful ...👍❤️🇹🇿🌴
@ammsuya9400
@ammsuya9400 3 жыл бұрын
Kwahyo dodoma ndo umetuhama kabisa mama😭😭😭😭😂😂😂
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@omarmwabege
@omarmwabege 3 жыл бұрын
Hizo ni nyayo za Magufuli .
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
Magufuli yupi sikumwona anavaa barakoa mimi
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Amka bwege wewe hii ni awamu ya sita na rais wa 6. Toka humo makaburini ulimo lala. Chapa kazi mama watanzania tuko nyuma yako.
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 3 жыл бұрын
Showoff
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 3 жыл бұрын
j
@jimsonsanga4913
@jimsonsanga4913 3 жыл бұрын
Please mama show that you deserved to save the office. Tunaimani nawe.
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@arbaab9337
@arbaab9337 3 жыл бұрын
MUNGU AKUHIFADHI KIONGOZI WETU***AKUSIMAMIE VYEMA MUNGU KWENYE UONGOZI WAKO...✍
@kennedymtweve3187
@kennedymtweve3187 3 жыл бұрын
Naona viongozi wanawake wanachaguliwa kwawingi sana kigezo kikubwa jinsia yakike hongera sana.😂😂😂😂
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Unaongea point! Wamama mpo?!!! 😂😂😂😂
@MaaneML
@MaaneML 3 жыл бұрын
Hadi nasisimka kwa FURAHA. Rais wetu wa watanzania wote. Huyu si Rais wa Wanyonge peke yake bali ni Rais wa makundi yote Tanzania. Heshima kwako mama yetu na Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
@hassanmtitu1687
@hassanmtitu1687 3 жыл бұрын
Piga kazi
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 жыл бұрын
Bravo mama
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
❣️ mom
@MICHAKATONOAH
@MICHAKATONOAH 3 жыл бұрын
ameenda kusababisha usumbufu tu
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Wajaribu kumsimamisha 2025 waone kibokoyako
@hassanally511
@hassanally511 3 жыл бұрын
Usishindane na mweny mamlaka kazi bure mama akiamuwa kuongoza tna 2025 hyo ni rahis Sana kwake lbda akatae
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@geraldeliah7287
@geraldeliah7287 3 жыл бұрын
Mbn hatuoni akihutubia wanaanchi au kutatua kero zao au alikuwa anapita tu Kutoa hi,,Raisi wetu?
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Ameenda sokon,kutembea au maana hata me subr aongee na wananch
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 3 жыл бұрын
Mama mama mama mama oyeeeeeee
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 3 жыл бұрын
Rais Tanzania alikua MAGUFULI tu hawa wavaa matambara kwa domo 0
@jafetgitts6352
@jafetgitts6352 3 жыл бұрын
Waliokuwa wanauliza walinzi wenye mabunduki nafikiri mumewaona muache kuingilia mambo ya protocal na mjue rais ni taasisi na kama kiongoz wa nchi akiwa anatumia msafara wa magari lazima security iwe hivyo mlihoji na kukebei misafara na walinzi wenye nguo za kijeshi na bunduki kwa JPM nafkiri mmeona wapo kenge nyie
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Unataka kumlinganisha mama rais mwenye ujuzi na uongozi na yule wako aliyekuwa hajui lolote, unaukichaa wewe si bule.
@ndetaalbert5302
@ndetaalbert5302 3 жыл бұрын
Ujinga
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,3 МЛН
What Killed Mercy Mawia , The husband explaining
10:59
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 9 М.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 27 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН