Kwenye "title" naona tafsiri ya ekerango majigambo (kwenye mabano). Kwa haraka haraka tafsiri hii inaonekana sahihi. Ukweli ni kuwa hii ni fani ya muziki ambayo ina mambo mengi ndani yake Ekerango ni sawa 'okwibhaka". Hii iko kwenye fani ya lugha hasa kwenye ushairi "poems/prose". Lengo ni kuburudisha na kutoa elimu ya maisha kwa njia hii. Majigambo ni "Okwihema" au kujidai. Nakubali kusahihishwa kwa sababu ujuzi wangu wa Kikurya ni 90%.
@davidiranda43533 жыл бұрын
I love this song umugancha,,, dedication to bro Vincent Iranda... Mbooorrrhh
@hojamathias99893 жыл бұрын
Susaana koghoro nkologhale saachi ghukulwa london nawapata vizuri
@maswi_magige3 жыл бұрын
Asante endelea kutusapoti Pia karibu whatsapp group WAKURYA wote kenya na Tanzania
@maswi_magige3 жыл бұрын
*Karibuni nyote, abhakurya isimisi* ```Vigezo na masharti 1-Wageni wote ni lazima wajitambulishe kwa majina matatu(3), na picha, kwao ni wapi, na kwa sasa yuko wapi. (MUHIMU) 2-Mijandala hasa ya mpira wa miguu hairuhusiwi!! 3 -Ni marufuku kutukana, kukejeli mtu, ama kundi la watu``` *LENGO LA GROUP* ➡️Kuwakutanisha Wazalendo, wapenda mila ➡️Tujuane ➡️Tusaidiane ➡️Tuheshimiane ➡️Tusupport kazi za wenzetu bila wivu wala kinyongo chat.whatsapp.com/BF9vAttEeMv7u2QQjGlUVs
@josephatnyambeya876 Жыл бұрын
Huyu dogo Ghati Umumuncha ni kipaji
@gatimwita47393 жыл бұрын
Safi sana jamaa W
@josiahmogesi50203 жыл бұрын
Love the song more
@maswi_magige3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NeemaMsongo-l1r Жыл бұрын
Ako vizuri san nimekumisi mimi mtoto wa msubTi nyamohanga mke wà chahca daniel naomb siku nikuja tan,anzania u itolee