Asante sana Mkuu hakikisha unabomolea wote wanaovamia aridhi za watu.
@RehemaMustafa-x6o8 ай бұрын
Duuu! Huyu mwenye gorofa angekaa tu aelewane na mwenye kiwanja
@divaidachboy23398 ай бұрын
Jmn hap sawa nimeewaelea viongozi kaz nzuri
@GetrudarCelestineAmede9 ай бұрын
Huyu si mtu bali ni malaika mlinzi katumwa dunian na MUNGU ❤🙏
@mshanibeatrice74498 ай бұрын
Daa nilivyoona linabomolewa moyo wangu uliumia sana kumbe huyu mtu ni mzulumaji ? Hongera wazir ww ndie Rais ujae big up
@annamussa1859 ай бұрын
Nimempenda mbomoaji yuko vzr anabomoa palepale panapouma😅jamani Jerry ungeniuliza nikakuchagulia pakubomoa yani umebomoa panapouma😅❤❤❤❤
@ndongojrjr18089 ай бұрын
Nimekupenda bure
@dianajoseph66739 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@kudratkadawi68818 ай бұрын
❤❤😂
@SmilingBirdBath-uj3cg8 ай бұрын
Hahaaaa lazima tu abomoe pale pale panapouma
@nsiamasawe45789 ай бұрын
Kwa hasara hii, tukiona kiwanja kina mgogoro tusitishe ujenzi.
@Zuu6739 ай бұрын
Kwakweli
@adkajisi45369 ай бұрын
Point mkuu
@Maryc2G9 ай бұрын
Kweli kabisa, tusijenge mpaka mahajana au serikali iamue hiyo kesi
@alibachirofficial39398 ай бұрын
Wakati inajengwa walikuwap?
@RehemaJustine-co2kp6 ай бұрын
@@alibachirofficial3939ushaambiwa Mama alikuwa anafatilia haki yake,kwa kipindi cha miaka 20 hadi kupata haki yake! Hivyo inawezekana kesi iko mahakamani,yeye bado anaendelea na ujenzi
@AminaAminjay-dv8tr9 ай бұрын
Safi sana ,nataman hata mimi nifikiwe kwenyehili maana nimezibiwa hadi mlango sijui nipae ama ila naimani mungu atatenda kwa wakati
@LindaMbilinyi-n3n6 ай бұрын
Mmmmh😢😢😢unaweza ukafa,Kwa Jin's ninavyofahamu gharama za ujenz
@lucynyalagu37999 ай бұрын
Mh.Waziri Jerry Slaa Barikiwa sana kwa kutenda haki ,karibu Kata ya Kwembe mtaa wa Kwembe kati kuna madudu Wilaya ya Ubungo ninakusubiri kwa hamu asante Mkuu
@ashurajengela39269 ай бұрын
Mungu akubariki waziri wenye hela wana dhulumu sana watu uku kisa pesa zao na ukipeleka kesi mahakamani hakuna ufuatiliaji wowote kisa kupewa rushwa 😢😢😢
@jacksonmichael7999 ай бұрын
Safi sana!! Waziri ,I see the return of JPM💪💪 ,Piga kazi Baba maombi yetu yako na wewe.
@jacklinemolleli52388 ай бұрын
Jpm alivunja nyumba ngap
@MwanaishaShattry4 ай бұрын
Wenye pesa wengi wanakiburi safi sana.
@RichardmwisalileghambiRichardm3 ай бұрын
Komesha mm viela vyao vinawapa viburi ndio ujenge kiwanja cha mtu
@Azizally-k6l9 ай бұрын
Safi sana fantastic 👏
@fundikilafundi69859 ай бұрын
SAFI SANA Wazir jer kila la kher kwako Bado Dodoma Jiji.
@happykimaya66319 ай бұрын
Asante. Iwe fundisho Kwa matajiri wengine
@MasatuElly-kr4hj6 ай бұрын
Shida Nini tena🎉😊
@aminitu37669 ай бұрын
Duh ningependa maridhiano kati ya aliyejenga na mwenye eneo Sijui Kama Mlitoa tangazo Kama serikal kwamba tofauti Kati ya mwenye eneo na mjengaji kwamba jengo lake litabomolewa asipokubalikuridhiana na mwenye eneo ndipo ichukuliwe hatua ya kubomoa (serikali iwe ni hakimu kwa pande mbili maana hawa wte ni WA Tanzania Kama amekataa kuridhiana na mwenye eneo ndiposa hatua ka hizo zichikuliwe wazir nashauri Sana kwa waziri pande mbili zenye mgogoro wa ardhi ni vyema kuwakutanisha hao watu na mwenye Haki akibainika bac asiyehaki aombwe kuridhiana na mwenye Haki akikataaa bac zichikuliwe hatua hizo making tukiona majengo yanabomolewa hatusikii vizur tunapenda maridhiano kuliko hatua hizo maridhiano yakishndikana bac serial ifanye yake
@hamisaally9689 ай бұрын
Inaonekana watakuwa walimpa taarifa alavyo inavyoonekana ndo tabia yake sehemu zote tatu
@jovanafidelis28029 ай бұрын
Hawawezi kuvunja nyumba bila kukaa meza Moja:huenda majeuri
@Maryc2G9 ай бұрын
Mimi nafikiri Kingę fantoma kitu kingine zaidi ya kubomoa nyumba hiyo, for economical reasons kuna mambo mengi yangefanwa, hiyo haikuwa right decision kabisa, solution ziko nyingi sana, kubomoa nyumba ya Ghana I kama hiyo ingekuwa last result. Ni ushauri tu
@GeorgeMushi-ft4xm9 ай бұрын
Kwanini ukajenge kwamtu alafu utake Suluhu
@mgonasipapune13839 ай бұрын
Na huyo mtu inaonekana ni kawaida yake.
@faithV-S9 ай бұрын
Wanaosema kua bora wangeongea kuliko kubomoa, HAPANA hii ndio haki. Maana mwenye nyumba kama ni kweli aliingilia kiwanja cha mwenzake kiubavu sio sahihi kabisaa. Katumia ubavu na yeye pia kapata wabavu, Safi sana
@juliuskato51009 ай бұрын
Huyu aliuziwa sio mporaji ameuziwa
@faithV-S9 ай бұрын
@@juliuskato5100 Hata kama ameuziwa Julius bado sio sahihi kujua kua umeuziwa eneo ambalo ni la mtu alafu ukaenda kujenga ulikua kabisa mtu kadhulumiwa. Kwanini usipbane na alie kuuzia. Ukadhulumiwa nawe ukadhulumu. Hapana
@aneth5208 ай бұрын
Mungu mkali sana, hasiye haki hataishi eneo hilo, maana litakuwa mateso na laana, Maana Mungu ndiye anayemjua mwenye haki
@RichardmwisalileghambiRichardm3 ай бұрын
Sheria ni msumeno haki yake ifatwe mm ng,ang,ania
@abujafarshaban68308 ай бұрын
The Next president of Tanzania ❤SILAA
@bhmeela8 ай бұрын
Jerry Sheria ya duniani sio ya mungu, ulichokifanya ni sawa.... Ni sawa na Ile Sheria inatosema aliyua anyongwe... Yule anayenyonga ndio anabeba dhambi haijalishi ni Sheria umeruhusu kunyonga Bali na wewe ni mnyongaji
@SangaKajuna9 ай бұрын
Ahsante sana mkuu 🤝🤝
@harmoflavour2549 ай бұрын
Natamani Kenya iwe hivyo Ila Kenya kila MTU ale ndani ya serekali yupo kwa madilai yake Yani hakuna haki kabisa hakini ni kwa walio na pesa kekee Ila IPO SIKU Mungu atatuma mtetezi imani ninayo💯
@ElizabethMkini6 ай бұрын
Jamani si wange msettle huyo Naomi wamlipe...kweli mnavunja nyumba yote hiyo duh😢
@geofreykayombo4019 ай бұрын
Toa namba yakukupata waziri,na ucheki na pugu kinyamwezi kuna matatizo mengi sana ya ardhi,shida ni mjumbe na mwenyekiti wanausika kwa uuzaji wa mara mbili mbili wa viwanja.kuna baadhi ya wenye viwanja wanashirikiana na hawa wenyekiti kufanya mambo sio,sababu watu wale wale wanasaini hati ya manunuzi,kwa kiwanja kilekile na kipo karibu na office ya serikali ya mtaa,na mjumbe anajua kasaini hati hiyo kwa mnunuzi wa kwanza na mnunuzi wa pili anasaini tena.
@ChristopherMgoli-m2y9 ай бұрын
Nahawa wenyeviti wa serikari za mtaa ni chanzo cha migogoro kabisa
@athumanfuko1999 ай бұрын
huko anakujua sana alikuwa mkurugenzi wa jiji,akawa mbunge,akawa now waziri
Habari mkuu tunaomba uje uku mtaa wa darajani.mikocheniA ccm Kuna mtu amejenga katikati ya njia anasema ni kwake na mahakama imempa na ni barabara ya maji mvua zikinyesha saizi mvua zikinyesha maji yanaingia majumbani kwetu..kisa ana ela.
@devothakapuna72518 ай бұрын
Mungu akusaidie katika kutekeleza haki
@saidipara41346 ай бұрын
Tunajua na wewe watakuuwa.lakini habali wameipata 👍
@aminangombo70489 ай бұрын
Asante baba mlezi, mkeo Bi. Hadija kafurahi mno kupata haki yake
@mucci_AI8 ай бұрын
duuuh Hasara huku mwingine analia amedhulumiwa wangejadili tu
@shukranichomolla-zi5tc9 ай бұрын
Mm nikipoteza buku tu napagawa itakua ghorofa la mamilion ila safi sana mtumishi Mungu katenda kaxi ya haki
@agnesjohn93829 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@patriciamakoye15468 ай бұрын
Mfalme suleimani aliomba apewe hekima,waziri angetafuta suruhu
@ireneanania97148 ай бұрын
Sasa na ww hapo kwa akili zako ulitaka afanyaje 🙄
@edlumala94289 ай бұрын
Hongera sana Mh Jerry Silaa, kaza
@YusuphMsingida8 ай бұрын
Safi sana waziri kazi iendelee
@alumonkisinda45748 ай бұрын
wew dada pumbuvu zako ilibidi ufie humo ndani wew ndo unaemshauri mumeo kutumia mabavu kujenga kwenye viwanja vya watu Kwa mfano wew ulimshaurije kuhusu kujenga bila hati na kibali Cha ujenzi Kama siyo unahusika
@joliapantaleo3498 ай бұрын
Mungu akulinde jerry slaa kazi nikubwa na njema
@dotnatajoseph26208 ай бұрын
Jamaniiiiiiii 😭😭😭😭 si wangeongea tu kama kuuziana wangeuziana kuliko hasala alioingia huyo baba jamani 😭😭
@LucyKapinga-fg4dk8 ай бұрын
Inaonekammna Alie vamia bado ni kiburiiiii ndivyo walivyo washindani Sanaaa kwakua pesa inawapa jeurii
@CECILIAMAGANGA-sk8md9 ай бұрын
Mama yangu anateswa na kina ngowi huku😢. Kisa Wana hela. Yaan wanaitwa serikalin hawaji na wanasema hakuna wa wakuwasumbua😢😢... Njoo na huku waziri Tusaidie
@clemencemkondya85618 ай бұрын
Hao mawaziri waliopita wizara ya Ardhi walikuwa wanafanya nini ? Mungu akupe maisha marefu waziri Slaa . Ila kuna watendaji wengine wa ardhi nimajambazi kweli.
@bonabonala55598 ай бұрын
safi jisafisheni ccm inchi imekua ya matajiri mwenye psa atishwi na sheria za leo ndio maana tunaitaji katiba mpya mihimili iwe imara kuriko leo kuna memo wana sema unanijua mimi nani?? sababu mtu wa ccm inakua shida kama huku kinondoni kuna mama anasumbuliwa na try agein kiwanja chake
@AbrahBuraheze8 ай бұрын
njo mwenge utatulie hili tatizo la wafanya biashara wadogo kati ya wale walioza bara barani na walioti sheria za kiserikali ambapo wapo sehem salama na shihi ila wanakufa njaa kwasababu ya wale waliozaga bala balani
@njiaya68338 ай бұрын
kwa hili Mungu akubariki maana MUNGU apendezwi na dhuruma na dhuruma ni nyingi katika ameneo ya nchi hii hasa watu wanyonge wanaonewa na wenye nacho
@KisokaDaniel9 ай бұрын
Safi sana waziri
@RachelLaizer-n2p9 ай бұрын
Njoo national house viwanja vya safari city utuwekee uimara wa usafi tuweze kujenga maana hapaonyeshi ramani kbsaa kuwa watu watajengaje mkuu ni manyasi barabara hazionekani kbsaa
@Sawaka-v9b9 ай бұрын
Demolition siyo sawa kwani watoa hati ni watumishi ndani ya wizard yako
@Rehmathathman239 ай бұрын
Mmmh hapo hamjatatua ttzo bali mmeliongeza ttzo huyo mmiliki wa kiwanja mda si mrefu mtackia kauwawa wallah tena sidhani kama mwenye jengo hilo atakubali hili swala😢😭
@Ndu-wa.uroony29 ай бұрын
Kwani kiwanja na jengo kipi kina thamani kubwa? Mbona majengo yanayojengwa kwenye akiba ya barabara hubomolewa?
@Rehmathathman239 ай бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 anii ni kwamba huyu aliebomolewa hili jengo lazima ataumia si kapata hasara ko lazima awe na roho ya kisasi kwa mwenye hicho kiwanja nakwambia
@BonniphaceMgahachi8 ай бұрын
Hongereni San haki saw Kwa wote
@cosmaslunyembeleka2518 ай бұрын
Kweli hata mimi nilikasirikia swala hili ila nimepata mwanga
@BarakaMazani-pr3uq8 ай бұрын
Wew wazili Leo naomba nikutukane huna akili Ila unaulimbukeni
@badmanno.16508 ай бұрын
Kiwanja milioni 5 .. nyumba milioni 50 .. ushindani si mzuri.
@EmileLugendo8 ай бұрын
Hv huyo muhusika alikuw wp muda wt mpk nyumba ishajengwa mpk kufikia hapo, its nat right and its unfair😢
@japhetjoseph17729 ай бұрын
Kweli watu wachini uporwa adhiri zao kila Mara. Na sheria bado sio muarubahini kwakuwa MTU anaweza shindwa kesi bado aka kataa rufaa hivyo kesi uchukua mdaa mrefu sana kwa kuwa watu wachini awawezi kupambania haki yao mdaa mrefu hivyo matajiri uchukua kama fursa Serikali ya haki ndio serikali Bora na tunayo itaji sema sio rahisi kupata 100%
@GasparPeter-r8x9 ай бұрын
Binafsi nafikili kingesaminishwa kwa fedha na kumlipa huyo mama mmiliki halali sio kubomoa, bora hata iuzwe na pesa akapewa mmiliki halali. Maana mwishoni mwa siku hata huyo mama naamini atakiuza hawezi kukaa hapo kwahicho kinachoendelea, maana mtu anaweza kupanga kisasi cha ulimwengu huu wa mwili au ulimwengu wa giza. Dunia hii.
@user-rr8sd2gx2e yani hatua ya kuvunja kitu ni yamwisho kati ya zote ikiwemo na vikao vy maelewano na muhusik kuto ikubali hatma sheria zote zinafatwa,anko wangu kibosho alijenga kwenye shamba la watu tangu mwaka 2016 vikao walikaa sana lkn yeye hakutaka chochote zaidi yakuendelea kuishi pale meisho hadi kwenye vikao vingine hakufika kabisaaa na serikali ilichukuwa sheria na ilivunjwa mmiliki akapewa haki yake ndo ivyo iyo ya miaka mingi ivyo walizungushana saaana ivyo wamemchoka hataki kushirikiana na wenzake
@maxwellnzai95428 ай бұрын
Hii si haki..wangeelewana tuu....na kma ni kulipaa hat kmani mara kumi kuliko kupomboa..haikua njia sahihi
@hijaabdalah92358 ай бұрын
ihi israfu wangekubaliana walipane
@joneydomin67088 ай бұрын
Hatimae shangazi yangu Naomi kwayu kapata haki yake .MUME wake ambaye ni MAREHEMU alinunua kiwanja MIAKA mingi mno .
@LucianSanga-q8j9 ай бұрын
Piga kazi yupo Mwingine Ana itwa Moleli ni Bilionea kazi yake ni kuvamia vi wanja huko Mbezi
@JoelZacharia-n6k9 ай бұрын
Hongela Sana mku malipo yako yapo kwamung
@khadijashabani55098 ай бұрын
Da daa duu msipende kuwa wababe kwenye viwanja vya watu
@zuwenasalim27948 ай бұрын
Jamani mngemuacha tu atoe vitu vyake milango mageti,mabati,madirisha hata tofali pia uwiii,dhuluma kweli haifai😢
@si-qm1ki8 ай бұрын
Hapo kitu wangefanya busara walojenga wangeongea na huyo alirdhulimiwa wakamlipa pesa yake ya plot akanununa kwengne..ila ni kama walitumia mabavu na lugha mbovu juu yake pole yao..kulala tajir kuamka maskin😩..maisha haya
@siaveramanga2898 ай бұрын
Inawezekana huyo tajiri hakutaka mahojiano akifikiri pesa inaweza kununua haki si unajua jeuri ya mafisadi
@abullahsalimabdul-rahman18178 ай бұрын
MBONA WAMESITA KUBOMOA...SIM MOJA TU
@salimmakange18688 ай бұрын
Ila km hekima ingetumika wangekaachin na waziri huyo mwenye kiwanja angelipwa akanunue mwengine kulko hasara iliyofanyika sio uungwana
@siaveramanga2898 ай бұрын
Inawezekana mwenye kiwanja alishataka mahojiano lakin mwenye pesa hakutaka hivi unawajua matajiri mafisadi jeuri zao ww mpaka kuja kubomolewa na Yy yupo ndani sidhani kama hakupewa tahadhari kibao ila ujeuri tu
@eliufooelias69646 ай бұрын
kama ni mm mwenye nyumba ningeempa hiyo nyumba bure mwenye kiwanja.na kama akiwa vizuri anaweza kunirudishia ata nusu gharama za ujenzi,nipunguzie Pressure,Slaa na Makonda ni Pasua kichwa kabisa,Ukipita kwe anga zao vibaya unapotezwa mazima;Km ni mm halibomolewi ni hasara aisee.
@josephatmathiasgalagalabuh7869 ай бұрын
WAZIRI NJOO MSUMI KUNA WAHUNI WAMEVAMIA SHMAB LA MTU NA KUJENNGA NGOME YA UHALIFU
@sadokikitankula30058 ай бұрын
Msumi sehemu gani boss
@FrolianChusi8 ай бұрын
Karibuni chusifunitures tunapatikana iringa
@waukweelinikkon65558 ай бұрын
Safiiii, nimefrahi sana,kuna watu wamedhulumiwa mali zao jamani 😢😢😢
@neemanziku54039 ай бұрын
Jmn bas wangeelewana ampe pesa akajenge sehem nyingine heshimni Mali za watu jmn Sasa mnabomoa hamjui hata Aliye Jenga ametumia pesa nyingi?
@PopTiger-br2nh8 ай бұрын
Kwa watu happ
@MtuSafi8 ай бұрын
wakat anajenga akijua kabisa kwamba eneo sio lake si dharau?Miaka 20 ametulia tu na alipoambiwa alipie kiwanja akagoma ulitaka wamuache?
@pascojm68168 ай бұрын
Kajenga kwa watu
@PoulFred8 ай бұрын
Hiv unawawajuwa wenye nguvu ya pesa wew au unaropoka tu hayajakukuta?omba yasikukute utajuta uroporopo wako
@SHULE_YA_KRISTO8 ай бұрын
Yaani wewe kiongozi...unatakiwa kutambua, wewe sio wa kwanza kukaa katika ofisi. Walio tangulia unajua waliingia makubaliano gani?.... Ukumbuke...ukichukua maamuzi, lazima utambue...aliye toka na wewe uliyepo...wote ni serikali...., kosa la mwenzako ni lako kwakuwa wewe ni serikali.... Huyo mama hatokulilia wewe...bali ni serikali. Kama alitendwa hapo awali...leo ukachukua hatua...., Kosa ni la serikali.
@abujafarshaban68308 ай бұрын
ENDELEA OUTA ONGOZA HI NCHI INSHAALLAH
@mariakigula14198 ай бұрын
Waziri utukumbuke Jimboni kwako Barabara huku Ukonga, kitunda-Magole tunateseka nauli juu sababu ya barabara
@luizavankilasi90308 ай бұрын
Mungu akubariki waziri
@RichMotherr8 ай бұрын
Migogoro ya viwanja jaman mh 😢
@elvisoscar99128 ай бұрын
Da! Mjengo umeniuma uo mimi sina ata kiwanja sa nitanunua kweli maana mambo aya nijenge alafu wabomoe
@AgaelAbraham9 ай бұрын
Mtangazaji usipende kukurupuka iyo sio mbez makonde ni mbezi Africana
@exaverysimon10649 ай бұрын
NASHAUR HUYO MBOMOAJ AONGEZEWE POSHO😂😂 MAANA ANAFANYA KAZ KWA WELED 😂😂😂
@crershawmafia10099 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@samshelembi49628 ай бұрын
Kwahyo mmeona kumlipisha fidia haitoshi hii sio nzur bana, kwann hata asinyanganywe ikawa mali ya selikali alafu mwenye eneo akataftiwa eneo zur akapewa
@LucyKapinga-fg4dk8 ай бұрын
Hii itakuwa funzo kwa wazirimaj
@ashaali71549 ай бұрын
Duluma zimekithiri Tanzania Mungu ni mwema.
@Yusudav9 ай бұрын
Mgeomba alipe pesa ya kiwanja ila sio kubomoa nyumba😢
@hamisaally9689 ай бұрын
Miaka karibia 20 anapigania haki yake kwa nini alijengaa kwenye kiwanja chenye matatizo
@AminiMsellem-gk3yy9 ай бұрын
Ameshaambiwa amegoma
@safiaothman51759 ай бұрын
Hongera Mh.Waziri nami nimevamiwa kiwanja changu Makole Dodoma Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamepandikiza hati katika kiwanja cha mmiliki mwingine wakidai eti CDA ndo walompa na c kweli kwani CDA ilivunjwa mwaka 2017 na kiwanja hicho kilikuwepo hadi mwaka 2020. Hapo kuna mianya ya Rushwa .
@KoyiAsunga9 ай бұрын
Dah binadamu hawana huruma kabisa
@ZanzibarAfrica-p6j9 ай бұрын
Kabla ya kuhukumu haki imetendeka je mnaujua ukweli? Si mnafurahia tu nyumba ya mtu inavunjwa kiufi WTZ wengi wanafurahia mtu pale anapo angushwa na anaposifiwa hawatoi pongezi kiukweli waziri angetumia busara busara ange ita pande zote mbili huwezi jua alojenga usikute nae kauziwa hivyo isifike hatua hii wangemalizana hata kwa kumlipa huyo mwenyewe
@adkajisi45369 ай бұрын
Mpaka kufika uamuzi huo ujue yote hayo yamefanyika. Usikute tajiri alileta dharau
@kheirdulla90468 ай бұрын
Kwann wasingekubaliana akamlipa pesa kuliko kutiana hasara hivi
No .. alitumwa ajenge?? Alivamia kiwanja akatumia ubabe akajenga bila kibali wala kujali haki ya mwenzake .. na hapo saa hizi amesharaiwa sana pengine wayamalize kama wewe ulivyo shauri ila itakuwa ameendelea kuonyesha ubabe na kutotoa ushirikiano na kutishia watu maisha .. mwache alinywe alilolikoroga.
@ernestsereli85598 ай бұрын
@@badmanno.1650 kwa upande mwngine ni sawa kabsaa
@hancemagembe62607 ай бұрын
Hataki hela anataka eneo lake ili ajenge akae kwenye ardhi yake
@JamesSichimata-w1u8 ай бұрын
Safi sana
@shafiiathuman48018 ай бұрын
Mi niombee tu sio tuwachangia machezaji wanaofanya vizuli tu mpaka viongozi wa nchi nao tuwachangie ili kuwapa nguvu zaid ya rushwa
@abuutwalha87968 ай бұрын
Wa Israel wanasafisha mji wa gaza daah
@erickmahona53578 ай бұрын
Daah jaman walishndwa kumalzan kwa ustaarabu
@ezrommussamusssa25409 ай бұрын
Mungu amemsikia mweny kiwanja chake
@antonioigneous66538 ай бұрын
Nadhani haki ya Naomi imepatikana
@GersboyOfficial9 ай бұрын
Kuna viboss uwa vinadhani pesa inafanya kila kitu Sasa kazi ndo hii hapa
@OmanOman-dd5qk9 ай бұрын
Hawatosheki na halali halamu pia haitofaa
@LucyKapinga-fg4dk8 ай бұрын
Haswaa awatoshekii
@samsonkisanga85878 ай бұрын
Msibomoe nyuma yanguu...😂😂😂 ole wake
@wajisheikh_9 ай бұрын
Jama anastahiki pongezi tena kwa hili serekali ya mama samia inaupiga mwng pesa si chcht
@dignakanje45089 ай бұрын
Viboss hivyo vipo tu mweshimiwa,vinahela kma mchanga,niwatu wenye rohoongumu sana mweshimiwa,wanajua kuzungusha sheria kutoa hla kufoji hti kufuta ukweli,kupoteza ushaidi.
@dudemussa67158 ай бұрын
Ya Kaisari apewe haki yake, na pilato pia apewe haki yake.
@safarivahocha80778 ай бұрын
Huu ni uharibifu usio wa lazima, ungekua heri kukawa na njia ya kupata suluhu au kufikia maridhiano pasipo kubomoa nyumba.