Huyu waziri nimemfuatilia sana anakitu tofauti,endelea na moyo huo huo wa kutetea wanyonge waziri utafika mbali,safi sana
@VeronicaPaul-cj1yu10 ай бұрын
Kweli Jerry. Umeamua kuitafuta pepo yako ukiwa bado una nguvu inshaalah mungu akujalie na azidi kupa nguvu zaidi na uzidi kutenda mema. Amini
@petercostakisoka10 ай бұрын
Daah uyo tajiri mjinga sana kuliko ange tumia mawakili kupambana na uyo mwanamke angekaa nae amlipe angerizika ss akaona pesa zake zingeweza kupindisha sheria
@msafirimaulidi505410 ай бұрын
Kabisa apo alishajenga angmlipa ata marambili yake ili kuokoa asala kubwa
@MamuduAziz-h1z10 ай бұрын
Tajiri kakataaa kutoa rushwa wanamkomesha tu, miaka 20 mtu anaanza kujenga waziri wa aridhi alikuwa wapi adi mjengo umekwisha, ndio wanakuja kubomoa kwanini wasimkataze kujenga au huyo kashitaki huzi baada kuona mjengo tayari nn
@yapukahassan10 ай бұрын
@@MamuduAziz-h1zwew waongea 2 hajakukuta
@NoeliKaayaiLiomom10 ай бұрын
Safiii Sanaa waziriii ,hakii itendeke kwa usawaaa ,Bigg up waziri silaaaa .
@MsAggie510 ай бұрын
Hata huyo aliyejenga usikute alikuwa na hati. Ardhi kuna wakati walikuwa wanawapiga sana watu. Kiwanja kikikaa miaka 5 bila kujengwa wanamuuzia mtu mwingine. Ilitokea Sana Sinza
@issaramadhani914110 ай бұрын
Tatizo tunapata huruma baada ya kuon uvunjaji hatumfirii mwenye kiwanja amepitia mateso kiasi gani, huenda kashatukanwa sana na kudhihakiwa wakati akidai haki yake, miaka 20 angekuwa ameshafanya uwekezaji wake lakini ameishia kuhangaika, ukisema wapatane alipwe hapo wenye nguvu ya pesa watawahamisha wanyonge wote kwa kuvamia maeneo yao wakitegemea watawalipa fidia wakishtaki. Acha maamuzi magumu na machungu yafanyike
@frankrobertkomba231810 ай бұрын
Hii ipo kitaalam sana,shda kupata muendelezo wa viongoz wahv ndo mziki
@chuchufplatnumz488810 ай бұрын
@@frankrobertkomba2318Mimi mpaka naogopa wakija kumuhamishaaaaa😢😢😢
@MsAggie510 ай бұрын
Ardhi mko hovyo sana, nyinyi ndo mlikuwa mkiwauzia watu wawili wawili viwanja Kwa nini msiwashauri waelewane? Kama ni haki hata aliyeuziwa mala ya pili nae ana haki. Watumishi wenu ndo wabovu, wabaneni waache hiyo michezo
@estakapufi758210 ай бұрын
Kabisa vitu ivi huwa vinatakiwa maamuzi magumu sana bila hivi ndio maana mgogoro wa haya mambo huwa hayaishi, usipo tumia maamuzi magumu.
@kabhikachambala339210 ай бұрын
Umeandika kwa akili na ufafanuzi mzuri sana... Hakuna kuhamisha mtu... Inatakiwa ivunjwe na amlipe hasara ya muda na faida alioipoteza kwa kunyimwa fursa ya kuwekeza
@abdulfatahumarsaideazamo265410 ай бұрын
Pedimos a Allah para nos conceder dirigentes como esses aqui em Moçambique também
@Tzn2558 ай бұрын
ogopa sana neno linalo itwa haki, haki ni zaid ya sheria aise tujifunze ivyo hapo na bado, jerry fanya kazi yako bila kugeuka nyuma. watasema sana laikini usiku watalala. asante.
@EmmanueliKimaro10 ай бұрын
Waziri MUNGU akulinde sana na akuepushe na mabaya ya adui zako yaani wewe huna tofauti na magufuli umekuja kufukua visima vya dhuluma
@asmasaif597210 ай бұрын
Mashalah huyu ndio wziri mchapa kazi hingera waziri wa ardhi 🙏
@estakapufi758210 ай бұрын
Jamani mingu yupo anayenda mambo kwa wakati sasa alitumia nguvu ya pesa kuchukuwa kiwanja kwa pesa kiko wapi, mungu analipa hapa hapa duniani, mungu azidi kukulinda waziri maana hapa duniani tunapita, tenda haki kabisa mungu atakurinda.
@mbuganitv302110 ай бұрын
Huyo ni moja tu kavunjiwa wapo wengi sana wanadunda tu
@BIGBOSS-hl3bu10 ай бұрын
Hii ndio dawa yake Hongera sana mh waziri Kwa msimamo wako ktk kutekeleza sheria ❤❤❤mungu akulinde
@joycestai804910 ай бұрын
Asante sana mungu ww ni mume wa wajane umempigania mjane
@wilfredmlaki82210 ай бұрын
Safi sana Mr slaa! Unafanyakazi sana!!! Safi kabisa! Mungu akupe maisha marefu sana.
@hawaelymaricca760210 ай бұрын
Mama kitomari hongera kw kumjua mmiliki,hii ni fundisho hapo mbez ,Afrikana wezi sana matajiri wanatumianpesa na kwenda Ardhi kuhonga hii iwe Fundi should
@dismasdastan549310 ай бұрын
Mama kitomari nimemfahamu zaidi ya miaka 24 iliyopita na alikua mtumishi katika taasisi flani hivi mika ya 2001 hivyo A To z anamjua huyo dada naomi ndie mmiliki
@magembesitta565710 ай бұрын
Safi slaaa Mungu akulinde brooo your best than lukuvi
@hasinaalrahbi66815 ай бұрын
Yani mungu amlimde.tu.wabongo mtunakitumia haki anauwawa
@Serenawilson1110 ай бұрын
Safi sana waziri
@sophiadarabu860610 ай бұрын
Mungu akulinde ktk kutekeleza wajibu wako wa kutetea haki za wananch
@EmmanueliKimaro10 ай бұрын
Naomba serikali imongezee ulinzi waziri wetu wa ardhi na wanachi wamuombee ulinzi wa MUNGU
@johnsebastian486810 ай бұрын
Safi sana hii ndiyo inayotakiwa swali kwanini ununue utumie nguvu kudhulumu
@exaverysimon106410 ай бұрын
MIONGON MWA MAWAZIR ANAE SIMAMIA HAKI AF INAONEKANA HANA NJAA YA PESA MAKE MWINGINE ANGEHONGWA MAMBO YAKAPOTELEA CHIN KWA CHIN GOD BLESS SANA WAZIR
@HappynessJapheth8 ай бұрын
Kweri
@fikirimachela477810 ай бұрын
Safi sana waziri piga kazi wapo wengi sana ao walio wazulumu wenzae
@bhmeela10 ай бұрын
Huyo anayebomoa na kijiko ukute anaishi kichochoroni ata bei ya msumari haijui, ila tafuteni suluhu za kibinadamu maana hapo itakua mmetengeneza uhasama mkubwa sana haswa familia yenye hiyo asset... Mtanguluzeni mungu
@RobertRange-uf3rf10 ай бұрын
Wewe unajielewa kweli, au hata sheria unajua yaan mwizi akuibie halafu useme kwamba suluhisho itafutwe na vielelezo vimenyooka fikiri kabla y kuweka koment sheikh hii nchi ina sheria
@agapemunyi209510 ай бұрын
Watu kama hawa sio wa kuwaonea huruma ukiona kadharum mpk kujenga ivo hashindwi kukufanyia lolote ili usidai haki yako , kua uyaone
@PrinceBonnyTz810 ай бұрын
Anafanya KAZI yake
@tobosha323610 ай бұрын
Yeye alipokuwa anampora uyo mama haki yke alimtanguliza Mungu
@stevenclaud664810 ай бұрын
Akili yako haina akili aliyevamia hapaswi kumwogopa Mungu ila aliyeporwa ndio aogope Mungu
@Shehasweet-hy6xn10 ай бұрын
Miaka 20..je ni mawazir wangapi wamepita?hata yule mama wamwanza alietumbuliwa alikuwa mwizi tuuu. Ona kazi inavyokwenda sasa...mungu akuweke waziri na moyo huo ulionao na akuripe kadir ya utendavyo haki❤
@stanchi13810 ай бұрын
Kwa kweli wanaumiza sana Hawa Akina jeuri ya pesa,,,wanasau Dunia ni ya MUNGU, na sisi ni wake,na mwisho tunatoweka
@logicsportsandentertainmen10510 ай бұрын
Safi sana tena kuna TAPELI wa mbezi mpk BOKO anaitwa MIKELA 💔
@lydiadaudi407610 ай бұрын
Some day na mm nitapata haki yangu, wapuuzi wako wengi sana wanaong'ang'ania maeneo yasiyo yao. 🙏
@swedywamba553510 ай бұрын
Very nice
@shanimbaruku207110 ай бұрын
Ubarikiwe sana kiongozi ❤🎉
@ericdaniels260810 ай бұрын
Safi sana Mhe. Waziri 👏🏼
@ZulfaRamadhani-d4z6 ай бұрын
Wanyonge huonewa sana ila haki yamtu aipotei bule mungu akuweke kiongozi
@erickchitumbi130810 ай бұрын
Jerry Mungu akusimamie.najua wenye mioyo migumu hawaelewi unachofanya.muda ukifika wataelewa.
@willydugilo325810 ай бұрын
Uishi miaka mingi Jerry!! Haki ya mungu huinua taifa!!nayo amani furaha ya wengi!! Amani itakuwepo ikiwa haki itaheshimiwa!!
@ROZITHOMAS-y4q10 ай бұрын
Inaonekana huyu jamaa alikuwa anatumia hela kumkandamiza huyo mama mjane. Ndio maana wanavunja na huyo alipewa taarifa aondoke
@mosesmzakwe777410 ай бұрын
Jerry Slaa sasa ninakuelewa sana sana. Hakika unabeba nguvu ya William Lukuvi, Endelea kutengeneza njia yako kuelekea juu zaidi
@charlesmwambinga435510 ай бұрын
Safi Jerry ..Upo Vizuri.
@KidijeiNuru10 ай бұрын
Slaa mungu akuongezee ujasiri
@msatibongonyuzi1410 ай бұрын
Safi sana mbwa hawa wanazani dunia ya kwao hii sasa fundisho kwa wotee😂😂😂😂
@maase202310 ай бұрын
Huyu waziri kivhefu chefu sana kwa kweli!
@graceshayo576310 ай бұрын
Mungu awabaliki viongoz wetun
@mpambanajitz702610 ай бұрын
Njoo Kilindi TANGA Mkuu wangu 🙏🙏🙏
@steve-zf4tj10 ай бұрын
Waziri slaa hakika unamsaidia mama Kwa haki. Endapo mawaziri wote wangenyanyuka nchi yote ingependeza zaidi Kwa haki
@FatimaAli-of4gh10 ай бұрын
Mnaweza kutiana uchuzi kwa vitu ambavyo tunakufa tunaviwacha dunia simama nishuke😢😢
@gilbertkalanda935410 ай бұрын
Wangekaa wayamalize, wangeona uwekezaji, huyo kama alitumia pesa basi ilikuwa kufeli kwa mifumo yetu. Poleni wote
@MrKhatibu10 ай бұрын
Miaka 20 unategea wangeyamaliza mezani?
@CECILIAMAGANGA-sk8md10 ай бұрын
Waziri Waziri Waziri 😢😢nimekuita mara tatu. Uje na huku kilombero Mama yangu anadhurumiwa huku tena wazi
@husseinhamisimwindadi221110 ай бұрын
Mwenyezimungu akulinde kwa kulinda haki yawanyonge waziri SLAA
@MeliYaMaweBm10 ай бұрын
Kama Kweli Serikali Na Mnajua Hicho Kiwanja Si Chake Kwanini Ameanzisha Ujenzi Na Kibali Mmempa Nyie Kama Selikal Na Mnajua Eneo Sio Lake Why? Mwanzo Mlikiwa Mnapokea Rushwa Ndio Mmeamua Kuvunja Makosa Pale Mwanzo Mliyafanya Kama Serikali Sijapenda 😭😭😭😭
@joshuamwambene287410 ай бұрын
Haaaaaaa jamani MUNGU tusamehe tunachezea hela wakati kuna wahitaji
@sapikiwanga615410 ай бұрын
Hapa Kuna somo,wakati huyu anavamia na kujenga viongozi waliotoa kibali cha ujenzi ni kwamba wamekura RUSHWA,this is the BIG SHAME.
@shabanihugo833210 ай бұрын
Safi sana
@lovely-mq4rg6 ай бұрын
Anafaa kua Mkuu
@zawadimpayo383910 ай бұрын
Hatari sana sisimizi kamla tembo mzima 😭😭😭😭
@neemaneychricious649310 ай бұрын
Daaah kiukwel ni hatr ila mwenye aliyejenga nyumba angekubali kukaa na huyo mama amnunulie kiwanja kingine saw na hicho kuliko kula hasara ya ghoropha kuvunjwa jamn daaaah wangeelewana jamn yasingefik huko hata angemwongezea na hela kidg kuliko hvo hasara kubwa hvo kisa kudhulum
@salehkhamis-ob8ln10 ай бұрын
Hii nimeipenda iwe fundisho kwa wengne
@MrMindsettz10 ай бұрын
Be blessed #slaa
@SharifaOman-bf1bn10 ай бұрын
Labda. Alikataa. Kumlipa ndiomana. Wanabomoa😢😢😢
@MsAggie510 ай бұрын
Itakuwa! Wangeelewana Tu, nyumba ya mamilioni kama hiyo alishindwa nini kumpa milions akanunue Boko au Bunju huko
@AminiMsellem-gk3yy10 ай бұрын
Ndo ivo alikataa na kiburi juu
@stanchi13810 ай бұрын
Wanakuwaga jeuri sa mingine anavimbia serikali sa wamekutana na wazir
@justinomtili922610 ай бұрын
Mheshimiwa Jerry silaha naomba uje Dodoma wilaya ya kongwa kata ya pandambili wananchi tuna kero nyingi sana, Kuna mtumishi anaitwa petronila shirima amekuwa na tabia ya kuvamia maeneo ya watu na serikali ya Kijiji ipo kimya tu, kiukweli tunaumia sana sisi masikini
@gloriamichael793510 ай бұрын
Uwiiii si alipe hela kuliko kubomoa Uwiiii Mungu wangu
@victorcharlesmwakikoti776410 ай бұрын
Hatutaki pesa tunataka ardhi yetu ,mnatuibia Kwa makusudi ili mtulipe fidia,Mungu ameingilia kati
@demicratia407110 ай бұрын
Thnx I saw it ysterday
@alexmatt950410 ай бұрын
Hili zoezi ni zuri na lifanyike nchi nzima.Na kwa hiki kilichotokea hapo kwanza washikwe wote waliohusika kumuuzia kiwanja huyo mvamizi,na huu mfumo wa madalali uchwara inabidi upigwe marufuku kisheria.Kama mtu anataka kiwanja anunue direct kwa mmiliki halali au serikalini.Mambo ya udalali kwenye ardhi ni utapeli wa waziwazi.Mweshiwa Waziri Slaa hebu liangalie hili kwa kina.
@Syikiwaryoba10 ай бұрын
Good job mh:waziri wa ardhi Ili iwe mfano Kwa wenye tabia kama hiyo nenda kahama pale mh:Kuna mtu anaitwa kwema kajenga kwenye uwanja wa mtu
@Herson-yw6cn10 ай бұрын
Sijapenda kwa kweli. Ilitakiwa busara itumike kwa sababu huu uzembe hata serikali wamehusika. Kuliko kubomoa nyumba ni bora ingetumika busara ya kumlipa huyo naomi kiasi ambacho angekiridhia akanunue kiwanja kingine
@ernestkilaryo101510 ай бұрын
Aliyevamia yeye katumia busara gani kuchukua eneo la mtu kwa nguvu?? Yeye hakutumia busara ila unataja walioumia mwanzo Ndio watumie busara?
@crershawmafia100910 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@crershawmafia100910 ай бұрын
Naomi anataka Billion 2 je zipo?😂
@awadhjamal34309 ай бұрын
Wasiwasi wangu waziri anaeza akatangulizwa mapema sana
@ramadhankhatwib856110 ай бұрын
Sasa nyumba inabomolewa kwa nn kama huyo nyumba mtu kajenga kwenye kiwanja cha mtu mwenye kiwanja angechukua na hio nyumba
@OubwaMohamed10 ай бұрын
Nawe pole sana na mitihani
@abdallahmmary859110 ай бұрын
Nadhani hii ndio Hy haki na tunaposema dhulma haidumu ila kinachodumu ni hasara tuzingatie haya hayaendi Bure BG up Waziri Slaah
@yujinxhing376610 ай бұрын
Duh..hatari Sana,si Bora angempa hela tuu
@AMBINHED10 ай бұрын
Hivi wameshindwa kuafikiana jamani hata compassion wangempa mwenye kiwanja? Very sad wezi wakubwa ndio hao hao viongozi wizarani 😢
@eliamtani284010 ай бұрын
hakuna cha kufidia, walichokifanya ndio sahihi, nimesikia raha sanaaa
@maxgerad508310 ай бұрын
Ukiona hivo, huyo aliyejenga alikuwa na mdomo na majibu ya nyodo
@idinado-wk3lx10 ай бұрын
Uyo mwenye njumba angee Kaa nae uyo mama wayaongee amununulie sehemu amkabizi ampe na pesa kidogo kikubwa izidi samani ya kiwanja kuliko kuvunjiwa njumba kubwa ivyo duuuu
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Yy aliona amemaliza kibabe
@mfebricknkuna710610 ай бұрын
Sasa si mngempa hiyo nyumba naomi ailipie pole pole, hata mkiibomoa huyo noami si atakuja kujenga tena. Kama serikali imeshampa naomi umiliki basi wangekaa chini na kujadili kuhusu jengo na kukubaliana hata nusu hasara ilipwe kuliko kubomoa. Na unaweza kukuta mwenye nyumba na yeye hana kosa ni tamaa za madalali tu, ndiyo wamemungiza katika matatito.
@MisanaMasatu-zz4xr10 ай бұрын
Je kama hataki nyumba ya aina hyo lkn pia mali yake ni kiwanja na cyo nyumba
@ZUWENADELLOW10 ай бұрын
Ndugu cha mtu mavi😂😂😂
@leobalige706910 ай бұрын
Hili ni sehemu ndogo ktk kudhulumu haki za watu. Watanzania wasio na pesa wanadhulumiwa sana. Hii ni wizara zote za serikali. Mbali ya ardhi, tunataka mawazili wenye matendo, siyo kufanya maigizo. Wizaara zote mnaumiza watu.
@tobosha323610 ай бұрын
Safi sana waziri hakuna alie juu ya sheria
@wanguwangu3410 ай бұрын
Mlitakiwa muwashauri wa compromise walipane kuliko hasara hiyo ambayo Kwa akili nzuri ungeisha.
@twiseghekisilu884510 ай бұрын
Jamani wangeelewana tu jamani 😢😢😢!
@juliethmaleko358410 ай бұрын
Hayo madirisha na milango jamani ingenifaa kweny pagala langu 😊
@InnocentCharles-hm3ff10 ай бұрын
Hili jambo liko positive..hili nimeelewa...hiyo ndio Ibada ya kweli...tunaitaji hata waziri huyu akiachia madaraka ,atakayeteuliwa nae atetee wananchi....dhuluma ni kitu mbaya mno.......
@mcback438410 ай бұрын
Safi kabisa iwe fundisho na kwa wezi wengine wa mali za watu, unaiba haki ya mtu miaka 20 halafu unataka uhurumiwe? Kama huyo mama angefungua biashara hapo kwa miaka 20 si angekua milionea leo? Acha nae apate hasara ya miaka 20
@RichardJavara10 ай бұрын
Duh!! Watz wana tabia chafu sana kama sio waziri kusimamia haki wala tusingesikia parapanda la haki linalopigwa na waliosimama nyuma ya waziri.
@raistchelva32910 ай бұрын
Auja fanya chamahana ungetafuta njia nyegine yaku suluhisha 💔💔 maendeleo yatakuwa madogo kwa inchi iyo kk 💔💔
@RobertPangaya10 ай бұрын
MH..kuna maeneo ya wazi mengi yameingiliwa na wenye pesa. Tunataka kuona kama kweli sheriya msumeno au ubanaishaji tu
@SuzanGabriel-tp2cx10 ай бұрын
Kweli kabisa uku kwetu Toangoma Mtaa wa Masaki katika viwanja vya serikali, maeneo mengi ya wazi yameuzwa na serikali ya mtaa na maafisa ardhi Temeke, na bado wanaendelea kuuza . Mbona serikali hipo kimya .
@veronicangailo764410 ай бұрын
Hongera kiongozi kwa maamuzi magum
@caashamacalini388710 ай бұрын
Sawa sawa nasie tumezulumiwa kiwanja chetu tegeta na mwenye mihela tutakuja waziri naamini itatusaidia nimekupenda bure waziri tuonewa na wenye hela
@jumasalum99110 ай бұрын
Jer slaa nakuelewa Sana yuko Makin na anachikifanya piga kazi njoo na morogoro uku mana kumeoza sana
@imanmwashitete524310 ай бұрын
Jamani kwahiyo wameshindwa kuyajenga mpaka kufikia kubomoa nyumba km hiyo si Bora wangea wabadilishane viwanja duuh
@agapemunyi209510 ай бұрын
Mkiona wamefikia hapo jamaa jeuri
@iddyjohn103210 ай бұрын
Hayajakukuta ndugu yangu,na usiombe kukukuta, kukutana na Watu wanao vamia maeneo ya watu
@tumsifumunuo260210 ай бұрын
Wangempa compensation tu asee..sijui lkn
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Nan amfibia mwizi? Kwahiyo mwizi afidiwe? Huna akili nawewe
@Abdumfaume10 ай бұрын
Hii nayo ni israfu..😢 tusichezee mali jamani..😢🙏
@josephndunguru629010 ай бұрын
Safii Sanaa waziriii wasitumie pesa kamaa fimboo ya kuporaa maeneo ya watuu wakomee kabissaa,
@abuyunusmohamed696110 ай бұрын
Sio haki kabisa mlichofanya
@bwisofredrick804710 ай бұрын
Ww huyo aliyekosa haki yake kwa mda mrefu mwenyewe ndo alkua anafanyiwa haki? Ulishawah kudhurumiwa ww na ukahangaika kuitafuta hak yako?
@ZUWENADELLOW10 ай бұрын
Ck zote mtenda akitendewa huhisi kaonewa na mkuki kwa ngurue kwa binadam mchungu miaka 20 we kuweza? Muda wote huo nani anafidia hasara hiyo? Lazima tukubali matokeo.
@leilasaid362310 ай бұрын
Wallah inauma jamani si mgemhurumia tyu huyu mtu nyumba yake ibaki ila angempa fidia za kiwanja chake jamani hata km ni milion 20 za kiwanje alipe 😢😢😢😢😢
@iddyjohn103210 ай бұрын
Usiombe yakakukuta, kushindana na mtu mwenye pesa kwenye haki yako
@crershawmafia100910 ай бұрын
Wewe unaongea kizembe hivi unajua thamani ya kiwanja Mbezi beach? Tena ambacho kiko eneo ambalo limendelezwa namna hio.😅
@Madisonmahondo941010 ай бұрын
😂🙏Jamani mimi ndohuyo ninayeendesha hiyo kijiko
@omarymbaraj807210 ай бұрын
Nyinyi viongozi hajielewi hata Kidogo kweli mnashindwa kuwaweka Sawa hawa watu wawili2 tu. Sio poa Tanzania inawana siasa wakongwe wengi tu Mngekwenda hata kwa Mizengwe pinda mkawakutanisha tajir na Masikini hakika lingekua Sawa
@mosesnyelo138010 ай бұрын
Sasa kama mwenye kiwanja hataki uta mlazimisha
@omarymbaraj807210 ай бұрын
@@mosesnyelo1380 Kwa Nasaha za kibinadam hawezi kataa inakua ana Moyo wa kipekee. Me wazo langu viongozi wawajibike kwenye Sito faham kama hizi kwa Nasaha. Sio kufanya wanavyo fanya Mwisho wa siku kakutwa Mtaroni kafa, au raha Zao kuona Movie za Aina hizo
@GodfreyOsward10 ай бұрын
Huruma nayo ina garama, kubwa. Unawzakufanya huruma ikagharimu. Dar shida, kuna watu walifanya huruma hivyo tena wakashia kuendesha kesi kea miaka mingi, haki iko wazi. Iwe fundisho kwa tukuwaheshimu watu wasio na pesa.kama sisi. Ziara za makonda wale waliokatakata mtu vile ni akina nani. Siku akipatikana kiongozi wa kumpa haki. Tutaumia?
@doreentendwa598110 ай бұрын
Salamu ziwafikie Morogoro commissioner wa Ardhi na watendaji wake wote.😂 nawaambia haki ya mtu haipotei itachelewa tu.
@joycekaishozi117710 ай бұрын
waziri au mtumishi wa serikali akiwa hana njaa njaa au tamaq za kidunia raha sana.atafuatilia vyema majukumu yake..sio miwaziri njaa njaa imejaa dhuluma mpaka ktk majukumu yao kwa wananchi..watu maskiji hudhulumiwa sana maeneo au kuuza bila kutaka...na wakat mwingine hata viongozi nao hla rushwa..ukiona hivi tujiulize miaka 20 iliyopita je watendaji walikua wapi?? so sad..
@Ushauri23510 ай бұрын
Hapa inaonyesha huyu tajiri alakataa kumlipa mwenye kiwanja akatumia nguvu ya fedha sasa amejua kwamba majonzi ya mtu si mazuri serikali simamieni haki za watu binadamu wote ni sawa
@zebedayokatamaduni967610 ай бұрын
Sahihi kabisa mtu wa Mungu
@kambamazig0202410 ай бұрын
Sheria imeshika msumeno, kuwa na pesa siyo kuwa kwenye sheria. Ila wizara ya ardhi pia ina watu wachache wabaya wenye roho mbaya wanajali pesa badala ya sheria.
@steve-zf4tj10 ай бұрын
Big up waziri slaa
@SuzanGabriel-tp2cx10 ай бұрын
Njoo kwetu Toangoma katika mradi wa viwanja vya serikali, maeneo ya wazi yanauzwa kila siku, hadi maeneo ya miradi kama mashule DAWASCO yote yanauzwa na wenyekiti pamoja na maafisa ardhi, wananchi tunapeleka malalamiko yetu hadi Takukuru akuna hatua yoyote inayochukuliwa na uuzwaji Unaendelea kwa kasi, na haya ni maeneo ya umma.
@banosmaximillian753810 ай бұрын
Sasa si mungemwachia hyo mama nyumb kama fidia
@kambamazig0202410 ай бұрын
Fidia kwa vipi kwa hali kama hiyo, mwenye pesa angeweza kuridi tena kwa sura tofauti.
@kurumwagodfrey705210 ай бұрын
Namna hiyo waziri safiiii
@adamamir3510 ай бұрын
Yani me ushushe nyumba yangu hivyo aah 😢😢😢. Hio nyumba itashuka na mtu
@zebedayokatamaduni967610 ай бұрын
Utashuka Wewe mwenyewe . Mungu ni Mungu wa haki.na haki ya mtu haipotei
@adamamir3510 ай бұрын
Uzuri ushasema mungu ni mungu wa haki na haki ya mtu haipotei. Hata mwenye hio nyumba anahaki yake pia kuna kesi nyengine za ardhi madudu yanakua ya baadhi ya watendaji wa ardhi wenyewe kwakutaka janja janja. Asa we kesi miaka 20 nyumba inavunywa leo huoni kuna sehemu kuna kosa hapo. Alijengaje kibali alipataje cha ujenzi? Nani alipitisha planning ya nyumba? Yani kuna vitu vingi hapo havikufatwa. Wanatakiwa watibu tatizo sio dalili za tatizo