Рет қаралды 54
Ni Beka Mtanzania, Eddy Nyota na Hilali Ruhundwa katika muunganiko makini kabisa wa kukuletea burudani huku ukijifunza. Ikiwa Beka ametamba kama Ertugrul na Osman Bey na Eddy akitamba kama Kamanda Dragos/Zangoch katika tamthiliya ya Ertugrul huku Ruhundwa akitamba katika Simulizi za Sauti tangu azianzishe hapa nchini....Sasa watakuletea vitu adhimu hivi karibuni...Usiwe mchoyo mweleze na mwenzako afuatilie channel hii ili asipitwe